Mirathi ya Kobe Bryant yazua gumzo USA, utajiri wote wagawanywa kwa mke na watoto huku wazazi wakiishi kimaskini

MELEKAHE

JF-Expert Member
Nov 19, 2023
434
1,967
Wamarekani wanamlaumu Kobe Kobe ana makosa ya kutowapa wazazi wake maisha hakuandika wosia kabla hajafa hivyo ni kama alichagua kutojumuisha wazazi wake katika wosia wake hivyo mali zote zimeenda kwa mke wake.

Ukweli wamarekani wana utamaduni wa ajabu sana, how can a person be worth Trillions of Money and his parents are broke? This life is not fair.

Kobe Bryants parents are broke. His dad was forced to auction off the ring Kobe gave him in the year 2000 ili apate hela ya ku survive huku mkewe na Kobe kapewa mirathi ya dola milioni 600 ambazo kobe kaacha bank.

Wazazi wake walimaindi hakuoa mwanamke mweusi

Anyway Urithi kwa wakristo una mapungufu, mke anachukua 50%. watoto nao 50%, hakuna wazazi.

marekani hakuna mirathi ya kidini. mirathi zao zinafata sheria za majimbo ya kimarekani. ni wosia peke yake ndio unasikilizwa.

hata kama Kobe angekuwa muislamu bado mirathi wazazi wasingeipata unless wosia ungekuwepo
 
Wamarekani wanamlaumu Kobe Kobe ana makosa ya kutowapa wazazi wake maisha hakuandika wosia kabla hajafa hivyo ni kama Alichagua kutojumuisha wazazi wake katika wosia wake. hivyo mali zote zimeenda kwa mke wake .

ukweli wamarekani wana utamaduni wa ajabu sana How can a person be worth Trillions of Money and his parents are broke? This life is not fair.

kobe Bryants parents are broke. His dad was forced to auction off the ring Kobe gave him in the year 2000 ili apate hela ya ku survive. huku mkewe na Kobe kapewa mirathi ya dola milioni 600 ambazo kobe kaacha bank

View attachment 2943882
Hata hivyo huyu mdada mlatino kamvumilia Kobe sana. Kobe alimuoa akiwa na bado msichana mdogo wa miaka 18. Wazazi wa Kobe walimpinga sana. Watu wakisema ndoa haitadumu.

licha ya kobe kumcheat mara kwa mara alimvumilia. Watu walimshauri aombe talaka wagawane mali akakataa.
 
Wazazi wake hawakupenda alivyooa mwanamke asie mweusi, itakuwa walikata mawasiliano
advancement-of-blacks-in-sports-champions-and-legends-awards.jpg
 
Wamarekani wanamlaumu Kobe Kobe ana makosa ya kutowapa wazazi wake maisha hakuandika wosia kabla hajafa hivyo ni kama Alichagua kutojumuisha wazazi wake katika wosia wake. hivyo mali zote zimeenda kwa mke wake .

ukweli wamarekani wana utamaduni wa ajabu sana How can a person be worth Trillions of Money and his parents are broke? This life is not fair.

kobe Bryants parents are broke. His dad was forced to auction off the ring Kobe gave him in the year 2000 ili apate hela ya ku survive. huku mkewe na Kobe kapewa mirathi ya dola milioni 600 ambazo kobe kaacha bank

View attachment 2943882
Sasa unalaumu nn hapo?
Wazazi walikuwa na maisha yao wakamzaa kobe.
Kobe akawa na maisha yake akatengeneza familia yake, maana yake kobe akawa kizazi kingine mbele.
Sasa mzazi anahusikaje hapo zaidi ya hisani tu?
Yaani nisiipende familia yangu kwa sababu ya mzazi wangu?
Mzazi anatakiwa kuwa mpenzi mtazamaji..
Anajukumu la kupenda mkwe wake na wajukuu pia, akitimiza hilo atapendwa na familia yote na hizo offer atapata tu, kama si kwangu basi kwa mke wangu au wajukuu zake.
 
Wamarekani wanamlaumu Kobe Kobe ana makosa ya kutowapa wazazi wake maisha hakuandika wosia kabla hajafa hivyo ni kama Alichagua kutojumuisha wazazi wake katika wosia wake. hivyo mali zote zimeenda kwa mke wake .

ukweli wamarekani wana utamaduni wa ajabu sana How can a person be worth Trillions of Money and his parents are broke? This life is not fair.

kobe Bryants parents are broke. His dad was forced to auction off the ring Kobe gave him in the year 2000 ili apate hela ya ku survive. huku mkewe na Kobe kapewa mirathi ya dola milioni 600 ambazo kobe kaacha bank

View attachment 2943882
Grudges , grudges, grudges.............she hold those for a loooooong time .

Ila sheria za kiislamu tamu sana kwa sababu kwenye mirathi hadi wazazi wapo pia mfano mume anaweza rithiwa na mke wake, watoto wake , wazazi wake na kuna muda hadi ndugu baadhi upande wa mume wanarithi na kwa mke vivyo hivyo.

Na kuwatunza wazazi wawili ni jukumu la lazima la mtoto (hasa wa kiume) as long as upo hai na kushindwa kufanya hivyo ni madhambi makubwa mno.
 
Back
Top Bottom