Miaka 40! Mtambuzi naelekea uzeeni sasa

Happy Birthday Mzee Mtambuzi, Mwenzezi Mungu akujalie miaka 1000 na zaidi ya kuishi yenye neema na baraka tele.
 
Last edited by a moderator:
Jamani Mtambuzi kumbe bado kijana kabisa
Baba Cantalisia mie nikajua unakimbilia 60 hongera mungu aendelee kukupa maisha mema na marefu
uishi maisha ya kumpendeza milele.
Zawadi yako nimetuma by DHL
 
Last edited by a moderator:
Nimestuka nikajua mdingi karewind miaka. Haya, ntakusaka leo tukumbushie besdei basi, kuna issue nataka nikuulize (sio blackmail, but the bill is on u)
 
Jamani Mtambuzi kumbe bado kijana kabisa
Baba Cantalisia mie nikajua unakimbilia 60 hongera mungu aendelee kukupa maisha mema na marefu
uishi maisha ya kumpendeza milele.
Zawadi yako nimetuma by DHL
FirstLady1 Mzee wetu bado kijana kbs basi tu umachachari wake alitupata mapema,
Hope mbwe mbwe zake kwa mabint hazifichiki mpaka hata sie wanae hatuogopi tena!
 
Last edited by a moderator:
Duh, kumbe mzee Mtambuzi mdogo 'angu? Aisee nakudai shkamoo zangu.. Na kuanzia leo najitangaza rasmi kama Mzee TANMO...
 
Jamani Mtambuzi kumbe bado kijana kabisa
Baba Cantalisia mie nikajua unakimbilia 60 hongera mungu aendelee kukupa maisha mema na marefu
uishi maisha ya kumpendeza milele.
Zawadi yako nimetuma by DHL
FirstLady1 hawa watu wanaoibukia kwenye POST za zamani ndio maana wanaitwa AMSHA POPO............. Sasa mbona hii POST ni mwaka 2001, yaani miaka kumi iliyopita, sasa leo hata Septemba bado tayari mnanichulia na HAPPY BIRTHDAY.............!

Mwaka huu ndio nitatimiza 50, msinipunguzie umri mie.......>>LOL
 
Last edited by a moderator:
Nimestuka nikajua mdingi karewind miaka. Haya, ntakusaka leo tukumbushie besdei basi, kuna issue nataka nikuulize (sio blackmail, but the bill is on u)
King'asti Haya nakusubiri kwenye kibaraza cha kahawa Kwa Msisiri
 
Last edited by a moderator:
FirstLady1 hawa watu wanaoibukia kwenye POST za zamani ndio maana wanaitwa AMSHA POPO............. Sasa mbona hii POST ni mwaka 2001, yaani miaka kumi iliyopita, sasa leo hata Septemba bado tayari mnanichulia na HAPPY BIRTHDAY.............!

Mwaka huu ndio nitatimiza 50, msinipunguzie umri mie.......>>LOL

hahaha nimedadavua bila kujua kama hii ni ya 2011 or 2001
 
Dah cku zote nafkiria mkuu unamiaka zaid ya 45 kumbe bado kjana kabisa!
hongera sn mkuu
 
mtambuzi hureeeeeeeee!!! kutoka usharobaro hadi ufataki,namuonea huruma mwanamke mwezangu kwa maaana hujatulia kama mpira unadunda kila mara huachi kusingizia daladala hakuna hata kama zipo.Ngina ni me au ke?
 
Hongera mkuu bado miaka 10 utahit kitu inaitwa midlife crisis... Ungekuwa she ingekuwa menopause in 10 years to come
 
Nimewajua wenye kawaida ya kudandia treni kwa mbele. Uzi wa septemba mwaka jana unachangiwa leo! Watu wanatoa na birthday wishes, mweh! However, kwakuwa september iliyopita iko mbali kuliko ijayo, me natoa pongezi in advance kwako Mtambuzi - Happy Birthday! Utapokea ifikapo 28.9.2012. Otherwise, nakukumbusha tu, Life begins at 40. So DONT WORRY, BE HAPPY!
 
Last edited by a moderator:
Tarehe kama ya leo, ndio siku ambayo nilizaliwa na kuongeza idadi ya watu hapo Duniani. Si haba, namshukuru muumba kwa kunifikisha hapa nilipo. Pia nawashukuru wazazi wangu, mke wangu mpendwa mama Ngina, na Wanangu Ngina, Ngano na Ngadu, bila kuwasahau wana JF, mahali ambapo pananisaidia kupunguza stress zangu za maisha…………..LOL

Tupo pamoja………………….

Hongera sana mkuu ( though belatedly).
Canta kumbe jina lake jingine ni ngadu? Du!
 
Kuna haja ya watu kua makini kusoma alicho post mtu badala yake watu mnakimbilia kusoma heading tuu,any way mkuu Mtambuzi mie nikupongeze kwa huo umri wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom