Miaka 40! Mtambuzi naelekea uzeeni sasa

Miaka 40! Mtambuzi naelekea uzeeni sasa

Happy birthday kaka mtambuzi, pokea zawadi yako kutoka kwangu.

hday.gif
 
Hongera sana mkuu,

Karibu sana kwenye chama chetu cha mababu. Miaka 27 iliyopita ndo nlikuwa na umri kama wako.

Wapi tuje tusheherekee na biya za baridi?
 
Kumbe umekula chumvi nyingi mzee..................hongera zako mkuu................
 
Hongera sana kwa kutimiza umri huo, kumbe una umri mkubwa ndio maana unashushaga nondo za maana za maisha, wengi wameshindwa kufikia ulipofika, kwa hiyo usisahau kumshukuru Muumba kwa ni yeye ni kila kitu, Happy bday Mtambuzi
 
life span ya watanzania ni 45 yrs. u have 5yrs to go. (Joke)
 
Hongera sana mkuu,

Karibu sana kwenye chama chetu cha mababu. Miaka 27 iliyopita ndo nlikuwa na umri kama wako.

Wapi tuje tusheherekee na biya za baridi?

Asprin hii avator yako niliiona kwa mshikaji amekuachi nini ?
 
hepiiii besdeiii tuuu yuuu *3
hepii besdei dia mtambuziiii
hepi besdei tu yuu

BIGUP PAMOJA KAKA
 
Tarehe kama ya leo, ndio siku ambayo nilizaliwa na kuongeza idadi ya watu hapo Duniani. Si haba, namshukuru muumba kwa kunifikisha hapa nilipo. Pia nawashukuru wazazi wangu, mke wangu mpendwa mama Ngina, na Wanangu Ngina, Ngano na Ngadu, bila kuwasahau wana JF, mahali ambapo pananisaidia kupunguza stress zangu za maisha…………..LOL

Tupo pamoja………………….

They say life bigins at 40. Hongera Mkuu
 
Tarehe kama ya leo, ndio siku ambayo nilizaliwa na kuongeza idadi ya watu hapo Duniani. Si haba, namshukuru muumba kwa kunifikisha hapa nilipo. Pia nawashukuru wazazi wangu, mke wangu mpendwa mama Ngina, na Wanangu Ngina, Ngano na Ngadu, bila kuwasahau wana JF, mahali ambapo pananisaidia kupunguza stress zangu za maisha…………..LOL

Tupo pamoja………………….

Kumbe umeanza kula chumvi nyingi mkuu! Sa kwanini wimbo wa Sikinde ukusumbue leo hii wakati umekwepa mishale kibao hadi sasa?
 
Tarehe kama ya leo, ndio siku ambayo nilizaliwa na kuongeza idadi ya watu hapo Duniani. Si haba, namshukuru muumba kwa kunifikisha hapa nilipo. Pia nawashukuru wazazi wangu, mke wangu mpendwa mama Ngina, na Wanangu Ngina, Ngano na Ngadu, bila kuwasahau wana JF, mahali ambapo pananisaidia kupunguza stress zangu za maisha…………..LOL

Tupo pamoja………………….

nasubiri thread yangu uliyoniahidi
 
Mtambuzi, yaani uko age nayokulaga 🙂
ni mfano tu siwezi kula maana nimeshiba.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom