Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

Khadija Kopa awe mwangalifu, kibarua chake chaweza kuota mbawa maana huyu Lusinde kaonyesha umahili wa taarabu. Kama darasa la nne ameweza kuwa mbunge, kwa nini ashindwe kujiunga na taarabu officially??
 
Huyu si mzima huyu!

Kwa uhakika si mzima

Suala sio kama anayeongea ni mzima bali kama wanaomsikiliza na kushangilia wanayoyasikia ni wazima. Wala simlaumu. Ndio siasa ambazo wabongo wanapenda. Kupashana.
 
  • Thanks
Reactions: bht
Mimi nataka kujua ni watu gani wa CCM waliokuwepo wakati huyu bwana akiongea? Kwa nini hawakumnyanga'nya microphone? Je ina maana walikuwa wanakubalina na kile alichokuwa anakisema? Kwani huyu bwana ameongea kwa takribani dakika kumi na tano.
 
Hahahaaa, anajua sana walioliwa maana anasema Lema kaliwa na huko Lupango ana Bwana. Nashindwa kujua amefahamu vipi kuwa Lema huko alipata bwana na akaliwa.

Pia Vincent Nyerere analiwa. Jamaa anakuwa fundi sana wa kujua mashoga.... Kudadadeki... hahahahaaaa....

Inabidi TUJlLAANI kwa kumshambulia Mzee Malecela maana huyu jamaaa.....

Ila ukiangalia kwa mbali, atakuwa anafanya kazi nzuri sana kwa Chadema maana inabidi kwenda sehemu hii na kuyajibu matusi haya kwa ufupi sana. Kuwaambia Wananchi kuwa Matusi ya Lusinde wakiyachagua, kesho wakilalamika si na wao atawatukana tu?

Hili la kuitwa SIOI ni shoga mbona kaliongelea sana? Kuna ukweli ndani yake? Ukweli unauma nini?

Hivi SIOI ni mmoja ya WANAUME WANNE (Maneno ya Migulu Nchemba) wanaolala Guest House kwenye vitanda viwili na mheshimiwa akiwa safarini? Kudadadeki.

Anadai yeye ni kichaa wa KUZALIWA. Nafikiri pia atakuwa ni SHOGA maana aisifiaye mvua.... Kudadadeki Lusinde, Mgogo akishiba.

Mami Nyani Ngabu, huyu mtani wetu inabidi tumkamate tumpeleke ISELAMAGAZI na tukifika huko "tutange tabu".

Lusinde, kasema kweli wala hakuna tusi hapo wewe endelea kuangaika, Lusinde na Mwigulu, ndiyo kiboko ya CDM.
 
Mimi nataka kujua ni watu gani wa CCM waliokuwepo wakati huyu bwana akiongea? Kwa nini hawakumnyanga'nya microphone? Je ina maana walikuwa wanakubalina na kile alichokuwa anakisema? Kwani huyu bwana ameongea kwa takribani dakika kumi na tano.

Mimi nataka kujua CCM watamchukulia hatua gani za kinidhamu baada ya kutapika hiyo mitusi yake hadharani.
 
Ndio maana tunawataka Chadema wawe na TV yao watu wenye matusi kama hawa unaweka hotuba zao wananchi wanawasikiliza na kuwa judge
 
CDM kwa unafiki hawajambo mbona nyie humu kila siku mnamfananisha Wassira na Sokwe mnashangilia, Lusinde kawapa za uso mnalalamika vumilieni. Mh Lusinde hongera sana kwa maneno yako Mujarabu.
 
Pole sana Wagogo wa Mtera, yaani nadhani watakuwa wanajuta kuchagua mtu huyu maana Lusinde ni zaidi ya mwendawazimu.
 
Inabidi ashitakiwe kwa kutumia ushahidi wa hiii hii clip, kweli CCM wanafuga MIREMBE, na hao wanaomsikiliza si wangemrushia mawe mdomoni wakamn'goa hata meno ya mbele anyamaze, uchafu mtupu...... hakuna alichoongea cha kumsaidia yeyote, inaonekana anasikiliza sana taarabu huyu
 
Mimi nataka kujua CCM watamchukulia hatua gani za kinidhamu baada ya kutapika hiyo mitusi yake hadharani.

Hakuna matusi hapo kaka, vipi Lema, nae si alisema Siyoi ni shoga aende zake Mombasa, hayo ndiyo majibu sahihi mtu akileta ukauzu nae anakutana na ukauzu.
 
Mimi nataka kujua CCM watamchukulia hatua gani za kinidhamu baada ya kutapika hiyo mitusi yake hadharani.
atapewa unaibu waziri.......ila jamaa sijui aliswaki maji ya chooni siku hiyo?
 
Hivi bado ccm hawajapanda jukwaani na bastola tena?
 
Hakuna matusi hapo kaka, vipi Lema, nae si alisema Siyoi ni shoga aende zake Mombasa, hayo ndiyo majibu sahihi mtu akileta ukauzu nae anakutana na ukauzu.

Kama Lema naye alitoa matusi hadharani kama alivyotoa Lusinde basi alikosea.
 
I'd be ashamed if he was my representative.

I am ashamed and embarrassed on their behalf...
maana sisi ndo wale wale tu, hebu ona mwenyewe anavyoshangiliwa pale, basi ndo anapandisha mori kama kalamba kloriti ya waarusha!!!

Halafu najiuliza, kwani pale hapakuwa na viongozi wengine wa chama? mbona hawakuchukua basi hatua yoyote ile dhidi ya huyu Kibajaj wao? (kwanza hawezi hatakuwa boda boda wala baiskeli achilia mbali Bajaj)
 
Jamani nafikiri huyu jamaa anahitaji kufikishwa mahakamani. Je polisi walikuwepo kwenye hicho kikao???
 
Hivi kuna kiongozi yoyote wa CCM kitaifa ambaye ame-repudiate hayo matusi ya Lusinde?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom