Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

yplus

Senior Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
153
Reaction score
69
Anaanza kwa kutambulishwa kuwa anaitwa Mh Lusinde.Mbumbe wa Mtera alimaarufu kwa jina la Kibajaj...

1.Wabunge wa CDM Majimarefu unawalea sana,Wewe ndo umewachanja chale hadi matakoni leo wanakutukana.
2.Dr Slaa Baba ake ni shoga,anamalizia na kudadadeki.
3.Mh Lema alipokuwa Gerezani kisongo ali*****rwa,alipata bwana.anamalizia na kudadadeki.
4.Dr Slaa upadre ulimshinda akatimuliwa kwa kutia mimba wana kwaya.
5.***** Kampeni Meneja Vicent Nyerere analiwa.
6.CDM msiwe kama Jogoo anatongoza akisema atamnunulia gauni tetea wakati akiinama hata chupi hajavaa.
7.CDM washamba nyie,niwarambe nisiwarambe.
8.Washamba CDM wanavaa Kombati wakati hata mgambo hawajapita.
9.Dr Slaa ni mshamba,akivaa kombati anatembea kama amejinyea.
10.Dr Slaa kasema kama ni fujo itaanzia Arumeru,kwanini isianzie kwa mke wake?
11.Dr Slaa anatishia kujamba wakati anaharisha.
12.Dr Slaa anavimba macho ya watu,kama anaubavu aje tupigane,ngumi moja naua,mnamuokota hapa...
13.Mbowe anauchungu,ana mimba na asubiri kuzaa tarehe 1 April 2012.
14.CDM wote wametiwa mimba na CCM,ukiona wanaonyesha vidole V maana yake wana mimba ya mapacha.
15.CDM tembeeni taratibu msije mkaharibu mimba zetu.

Naomba mniwie radhi sana maana najua haya matusi yatawakwaza wengi lakini tupo kwenye mpango wa kuhakikisha Audio na Video zake zinaenea Nchi nzima tuijue CCM ya leo

Nawasilisha.

Siasa za CCM ndo zinaishia kwenye mnatusi kama haya! no more!

Updates: Video Hii Hapa:

Last edited by a moderator:
Mkuu hii ni kweli au? Kama ccm wameamua kucheza siasa hizi basi hatuna tena chama ila chuo cha matusi! Hizi ni siasa gani? Tume ya uchaguzi iko wapi, kwa nini isikemee hili jambo?
 
Walimuacha tu anaunguruma? Ngoja nisubiri audio. Yaani kulikuwa hakuna hata mtu mmoja mwenye busara amwambie inatosha? Hakuvunja sheria kwa kutukana hadharani tena mbele ya watoto, wazee na wakwe?
 
sasa leo nimeamini tume ya uchaguzi,jeshi la polisi vyote na mali ya ccm jamani huyu bwana bado anadunda tu mtaani?
 
Sishangai hawana sera za kunadi miaka 50 ya uhuru wanajifunza matusi
 
Anaanza kwa kutambulishwa kuwa anaitwa Mh Lusinde.Mbumbe wa Mtera alimaarufu kwa jina la Kibajaj...

1.Wabunge wa CDM Majimarefu unawalea sana,Wewe ndo umewachanja chale hadi matakoni leo wanakutukana.
2.Dr Slaa Baba ake ni shoga,anamalizia na kudadadeki.
3.Mh Lema alipokuwa Gerezani kisongo ali*****rwa,alipata bwana.anamalizia na kudadadeki.
4.Dr Slaa upadre ulimshinda akatimuliwa kwa kutia mimba wana kwaya.
5.***** Kampeni Meneja Vicent Nyerere analiwa.
6.CDM msiwe kama Jogoo anatongoza akisema atamnunulia gauni tetea wakati akiinama hata chupi hajavaa.
7.CDM washamba nyie,niwarambe nisiwarambe.
8.Washamba CDM wanavaa Kombati wakati hata mgambo hawajapita.
9.Dr Slaa ni mshamba,akivaa kombati anatembea kama amejinyea.
10.Dr Slaa kasema kama ni fujo itaanzia Arumeru,kwanini isianzie kwa mke wake?
11.Dr Slaa anatishia kujamba wakati anaharisha.
12.Dr Slaa anavimba macho ya watu,kama anaubavu aje tupigane,ngumi moja naua,mnamuokota hapa...
13.Mbowe anauchungu,ana mimba na asubiri kuzaa tarehe 1 April 2012.
14.CDM wote wametiwa mimba na CCM,ukiona wanaonyesha vidole V maana yake wana mimba ya mapacha.
15.CDM tembeeni taratibu msije mkaharibu mimba zetu.

Naomba mniwie radhi sana maana najua haya matusi yatawakwaza wengi lakini tupo kwenye mpango wa kuhakikisha Audio na Video zake zinaenea Nchi nzima tuijue CCM ya leo

Nawasilisha.

.
Aise! kweli ccm tulikupenda lakini kuzimu ikupenda zaidi. R.I.P.ccm, Kwaheri mama sisiem, kwaheri ya kutokuonana tena!!!
.
 
Ee Mola tunusuru sie wanao kwani wale tulio dhani tungejifunza toka kwao ndo wamegeuka malusifa hadharani.
 
Walimuacha tu anaunguruma? Ngoja nisubiri audio. Yaani kulikuwa hakuna hata mtu mmoja mwenye busara amwambie inatosha? Hakuvunja sheria kwa kutukana hadharani tena mbele ya watoto, wazee na wakwe?

Tutakiita Chama Cha Matusi!
 
Wakuu nilimtazama Lusinde hapo maji ya chai nikawa natetemeka kwa hasira ni vile tu sheria inatetea upande wao, ila tumeamua tukimwona huku baada ya tar 1.4 tunamkatia mbwa
 
Najua kwenye siasa watu wanaweza kurushiana maneno. Lakini kwa vyovyote vile lugha inayotumiwa na Lucinde haiwezi kukubalika kwenye jamii yoyote iliyostaarabika. Na mbaya zaidi mikutano mingi ya CCM inahudhuriwa na watoto. Lakini cha ajabu viongozi wa juu wa ccm (Taifa) wanaonekana kukubaliana na matusi haya vinginevyo wangekuwa tayari wamemkalisha chini Lucinde.

Mtu kama Lucinde anaonekana kuongelea ngono all the time! mbele ya watoto! ustaarabu gani huu?

Maadam wakubwa zake kwa maana ya uongozi wa juu wa ccm umeshindwa kuona matumizi ya lugha yanayopingana kabisa na mila, tamaduni na heshma wa watu wa wameru basi ni jukumu la wazee na vijana wa meru kuchukuwa hatua.

Napendekeza wazee wa kimeru au vijana wa kimeru waitishe mkutano na waandishi wa habari ili kutoa onyo kwa Lucinde kwa kutumia lugha inayoharibu kabisa taswira ya watu wa Arumeru. Lucinde anataka ulimwengu uamini kuwa watu wa Arumeru wanataka kusikiliza matusi na sio sera?
 
Jamani hakikisheni hizo audio zinasambaa nchi nzima...

Inasikitisha sana, sana tena zaidi ya sana.
 
Wakuu nilimtazama Lusinde hapo maji ya chai nikawa natetemeka kwa hasira ni vile tu sheria inatetea upande wao, ila tumeamua tukimwona huku baada ya tar 1.4 tunamkatia mbwa
Katieni kabisa manake hana maana, hafai tena hafai,.. Mtu mzima kukosa busara hivyo kisa kiti kimoja cha ubunge kweli sio vizuri...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom