CCM mmeridhika na Livingstone Lusinde? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM mmeridhika na Livingstone Lusinde?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pawaga, Apr 9, 2012.

 1. Pawaga

  Pawaga JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 1,245
  Likes Received: 684
  Trophy Points: 280
  [FONT=&quot]
  CCM oyeee Oyeeee!

  Mh mwenyekiti wa chama, waheshimiwa viongozi wenzangu na wanachama wenzangu, nataka nianze kutofautiana hapahapa jukwaani na wenzangu, habari ya sisi kutukanwa halafu tunasema sisi hatutukani hatufanyi kazi ya kanisa hapa, kudadadeeeki matusi yakija nitatukana hoja zikija nitasema, potelea mbali

  CCM oyeeeee.......oyeeee!

  Niseme nisiseme.....semaaaaaa!

  Unajua kuna wabunge wa chadema maji marefu unawalea sana, wewe ndio uliowachanja chale mpaka matakoni leo wanakutukana, nataka niwaambieni wenzetu wanajifanya wanajua kutukana hapa mwisho! ndio maana nimekuja kuwapasha kwamba hoja nyingine za kipuuzi wanazozisema chadema wanajitukana mpaka wao wenyewe, kuja kusema hapa kwamba mgombea wa ccm katoboa sikio kwa hiyo ni shoga maana yake na baba yake slaa nae ni shoga maana nae katoboa sikio kudadadeeeki CCM oyeeee....oyeeeee

  Nataka niwaambie ndugu zangu msindanywe, msidanganywe na rangi utamu wa chai sukari, wale waliojazana katika chadema wote karibu nusu baba zao wametoboa masikio kwa hiyo na wao mashoga? Niwaambie nisiwaambie. . . .waambie! mbunge wa arusha mjini juzi alikua mahabusu na si tunajua kule mahabusu alifanywa nini, lakini hatutaki kusema

  tuwalambe tusiwalambe.....walambeee!

  Ndungu zangu nataka niwaambieni kwa habari ya lugha chafu wote sisi tunazo wala msifikiri hatujui sisi hatuna, tunajua Lema alikua mahabusu amepata bwana kule tunajua, na kuna wanaume wengine wameolewa sisi tunawafahamu, nataka kuwasihi sana, kwenye uchaguzi, kwenye uchaguzi tunajenga hoja za msingi lakini wakileta maneno ya honyo na hapa yapo, kudadadeeeki

  nataka niwasihi sana, hakuna mtu asiye na makosa duniani, leo dr slaa anapita kuwasema wenzake wakati yeye upadri ulimshinda kanisa likamfukuza kwa kutia mimba wanakwaya

  Sioi oyeeee! Oyeeee!

  Mi nawafahamu wale, unajua tukiendelea kuwachekea hivi tukiendelea kuwambeleza hivi itafika mahali watatuchokoa machoni bora tule nao sahani moja, kuna bwe.ge mwingine yuko mle, kuna bweg.e mwingine yuko mle anajiita campain manager wa chadema, ukoo wa nyerere, baba yake mzazi wa nyerere akiitwa buhito alikua akitoboa masikio, alikua shoga? anajitukana mpaka mwenyewe kwa sababu ya akili mbovu, kutoboa masikio sio ushoga, masai wanatoboa, wagogo wanatoboa, wameru zamani walikua wanatoboa, wa-wakurya wanatoboa, wakamba wanatoboa, ye hajui historia anakuja hapa (huku kabana pua) ng'wee ng'wee ng'weeee, mbona ye ameliwa si hatusemi

  ccm oyeee, oyeeeee
  wanaokipenda chama mikono juuu!

  (sauti ya kike kwa mbaali inasikika – wamekwisha!)

  subiri niwaambie, hoja zinazojengwa hapa ni hoja za kipumbavu, kuna watu wanakuja kujenga hoja ya kitoto, kwamba msimchague sioi kwa sababu alizaliwa kenya, sio raia wa tanzania, mtu akizaliwa kwenye ndege anakua raia wa nchi gani? Acheni ushamba nyie, Suala la mtu kuzaliwa na suala na uraia ni vitu viwili tofauti, uchungu unapompata mwanamke anazalia hapohapo hawezi kusubiri, kuna wengine wamezaliwa kwenye mabasi mbona hatuwaiti raia wa basi, washamba wakubwa nyie, hiyo mnaona ni hoja ya kupita mnazungumza, halafu nyingine wanapita wamebana pua, msimchague sioi kwa sababu baba yake alikua mbunge, baba yake atarudi lini? Baba yake anarudi?

  Ngojeni niwaeleze, na bahati nzuri najua walipo ntakua napiga hapa afu napiga palepale, kudadadeeeki . . .

  PART TWO COMING SOON!

  Muendelezo huu hapa

  CCM oyeee .....oyeeeee!
  Msikubali kudanganywa ndugu zangu maswala ya mtoto kufata kazi ya baba yake, katika tanzania ni kitu cha kawaida, tunao wanajeshi na watoto zao wanajeshi uongo kweli?....kweliiiiii! tunao madereva na watoto wao madereva uongo kweli?.....kweliiii, tunao wapiga debe na watoto zao wapiga debe uongo kweli . . . kweliiii! kuna ajabu gani kwa sioi piga makofi kwake.

  Niwaulize nisiwaulize.....ulizaaaaaaa! Marehemu sumari angekua daktari na mtoto wake daktari CHADEMA wangegoma kunywa dawa (sauti ya kimbea kwa mbali inajibu . . . . wathubutu!), washamba nyie!

  ccm oyee. . . oyeeee! Niwalambe nisiwalambe. . . . walambeee!

  Ndio maana tunataka tuwaambie chama cha mapinduzi ndiyo chenye makamanda wa ukweli sio nyie makamanda feki, Jakaya Kikwete mwenyekiti wa ccm kazi yake zamani alikua mwanajeshi uongo kweli?..... kweliiii, kapteni komba alikua mwanajeshi uongo kweli? .......kweliiii! lakini wanavaa nguo za kijani halafu washamba ambao hata mgambo hawajapita wanavaa makombati.

  ccm oyeee.....oyeeee!
  Halafu katika washamba hakuna mshamba kama dokta slaa, anavaa kombati kuuubwa akitembea kama kajinyea vile (anapata shangwe kutoka kwa wanaomsikiliza, sorry to say this hapa hata mke wangu alicheka, nikamtazama kwa hasira hadi akaogopa!)

  Nipige Nisipigeee?.........Pigaaaaaaa aaaaa
  Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii?............ .......Kijaniiiiiiiiiiiiii.
  Ukipanda mahindi yanaota na rangi ganiiiiiiiiiiiii?............K ijaniiiiiiiiiiiiii.
  Ukipanda mpunga unaota na rangi ganiiiiiiiiiiiiii?............ .Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
  Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?............... ............Kijaniiiiiiiii.
  Piga makofi na vigelegele kwa chama cha mapinduzi.

  Nataka niwaambie kama CHADEMA, kama viongozi wa CHADEMA ni vichaa wa kurogwa, mie ni kichaa wa kuzaliwa, kudadadeeeki! tarehe moja, dk slaa juzi, (anaguna) yaani katika watu washamba nimewashangaa dk slaa, anakakaa kwenye tv anasema eti ''ooooh hapa isipochaguliwa chadema patachimbika'' kama ni fujo itaanzia arumeru, kwa nini isingeanzia kwa mke wake? Ngoja niwaambie ndugu zangu, alichokua anakisema slaa, alichokua anatutishia vita slaa mimi namwambia anatishia kujamba wakati anaharisha.

  ccm oyeee....oyeeee!. wangapi mtampa kura kura sioi, mikono juu....(watu wananyanyua mikono), hatufanyi kazi ya kanisa hapa! hapa tumekuja kuwaambia kwa suala la kutishana hakuna mtu anayeogopa, wote si tumeaga na nataka niwaambie slaa yule anavimba macho ya watu, lakini kama slaa ana ubavu nipeni mi tuweke ulingo hapa, ngumi moja naua yule, nikikusanya yule nipige mkono mmoja mnakuja kuokota yule, akiona watu wamejaa (anabana pua) ng'weng'weng'wee ng'weng'weng'wee upadri umemshinda ataweza serikali? thubutuu!

  Nataka niwaambie, ndugu zangu wa arumeru, suala la uchaguzi mdogo sio suala la kudanganywa, wanakuja CDM hapa wanakudanganyeni, kwamba watapora mashamba ya wazungu wawagawieni, muasisi wa chama cha CDM ndugu mtei ana shamba hapa heka 700 mbona hawampori wawagawie? wangeanza kwanza la mtei, sio kuwadanganya wananchi, kama wanawapenda kweli wa meru wamwambie mzee mtei chukua shamba lako rudisha kwa watu wa meru(sauti ile ya kike. . . hatudanganyiki)

  ccm oyeee.....oyeeee!
  Niwachane nisiwachane?......wachaneee!

  Vijana wenzangu, CDM inawapa pesa za kunywa viroba, mnalewa viroba na bangi mnazomea wazee wenu, halafu wenzenu wanapita na helikopta wanawaona machizi

  niseme nisiseme.....semaaa!

  Kokote duniani askari wanaoteka nchi ni askari wa miguu wacha wao waruke juu si tunateka nchi, wao wanaruka na helicopter si tunachukua jimbo asubuhi, kudadadeeki, mnakuja mnadanganywa hapa eti ooh chadema, sijui ooh nasari ataleta ajira na soko, ajira atazitoa wapi? Watu hawana shukrani anasimama hapa dk slaa anatukana ccm, hawajafanya kitu, hawajafanya kitu, shule alizosoma yeye zimejengwa na baba yake? shule zimejengwa na serikali ya chama cha mapinduzi, watu wanajiita wamesoma chuo kikuu (chuo hicho) kimejengwa na serikali ya chama cha mapinduzi, nionesheni hapa chuo walichojenga CDM. . . hakunaaa!

  ccm oyeee....oyeeee!

  Wanatuletea sera ya jogoo, nataka mkatae sera ya CDM ni sera ya jogoo, Jogoo katika makuku maongo hakuna kama jogoo, Jogoo linapokua linamtaka kuku mwenzake linadanganya linamwambia nitakushonea gauni reeefu mpaka huku (anainama huku akizunguka kuonyesha mfano wa jogoo, watu wanalipuka kwa kicheko)

  Niseme nisiseme. . . .semaaaa!

  Kataeni uongo wa jogoo, linaahidi kushona gauni refu wakati lenyewe likiinama hata chupi halina, waongo wakubwa tunawajua, na hivyo viroba mnavyokunywa vijana, viroba mnavyokunywa vijana mwisho tarehe moja, wataondoka watakuacheni mmetukana wazee wenu, mmewapiga mawe wazee wenu, na mimi nataka niwaambie vijana wa CDM utaonekana kichaa ukionekana unazomea rangi ya kijani maana utakuta mti una rangi gani....kijani! unaanza uhuuuu watu wanasema huyu chizi, mchezaji aliyeumia ni mchezaji wa timu ya ccm tunaweka mchezaji wa ccm, suruali yangu nyeusi imetoboka siwezi kuweka kiraka cheupe kama nina akili nzuri, inabidi niweke cha rangi gani? Kijaniii! Hata hilo mnataka mtu atoke dodoma kuja kuwaambia? Kama huoni kwa macho papasa kwa mkono utapa majibu.

  Ccm oyeeeee.....oyeeeee!
  Niwaambie nisiwaambie hawa.....waambie!...ngoja niwaambie watu wa CDM nyie

  nikakutana na kijana mmoja akanichekesha sana, ananiambia mwanaume mzima, basi kati ya watu ambao hawajui kiswahili mbowe hajui kiswahili, mbowe anasimama anasema nina uchungu mkubwa, bibilia inasema hivi wanawake mtazaa kwa uchungu, wanaume watakula kwa jasho uongo kweli...kweliiii! kama mbowe anauchungu ana mimba?....vicheko

  ccm oyeeee.....oyeeee!

  Nataka niwaambie, kipindi hiki ni kipindi cha lala salama, ukiona mtu anasikia kichefufu, ukiona mtu anatema mate, ukimuona mtu anaichukia ccm ujue tayari tumeshamtia mimba, ndio maana unawaona saa hizi wanapiga kelele, unaona kina slaa wanapiga kilele, wameshapigwa mimba, mbowe pigwa mimba, nasari pigwa mimba....mayoweee

  Tarehe moja wanaenda kujifungua mtoto anaitwa sioi, piga makofii. Kichefuchefu chote kitawaisha utawaona ooh tulikua pamoja tulikua pamoja kudadadeeki.

  Niwachane nisiwachane?.....wachane!

  we ukiona unapita mwanaccm humsemeshi mtu anakufanyia hivi (anaonesha V, ishara ya CDM) ujue ana mimba ya mapacha, mnunulie udongo, mnunulie maembe mabovu, mnunulie vitu vya uchachu tarehe moja anajifungua sioi anakwenda bungeni na wao mimba wanazaa hapohapo.

  Tuwapime wenye mimba tusiwapime....tuwapimeeee
  Tuwapime wenye mimba tusiwapime....tuwapimeeee

  nitakuuliza swali, nitakuuliza swali, atakaempigia kura sioi anyoshe mkono kama hakunyosha jua ana mimba

  ccm oyeeee....oyeeee!

  Hotuba inaisha, zinaisha wanaonyeshwa watoto wengi wa shule za msingi, wamevaa uniform za shule nao walikua kati ya watu waliohudhuria huu mkutano ambao bwana Livingstone alihudhuria.


  [/FONT]
   
 2. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  the weakness MP of the year..................... LUSINDE.
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Katika vipengele vyote kipengele cha Lusinde alipouliza bendera ya CCM ina rangi gani na muendelezo wake unaniacha hoi kabisa.

  Yaani hizo ndiyi sera!!!!!

  CCM kwishiney.
   
 4. D

  Deo JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 1,190
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wasipomshtaki huyu jamaa! CDM inawalakini
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Kwa matusi yote haya CCM wakimrudisha jukwaani nitajua Wote wako hivyo
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  He is the Most Bogus MP in Tanzania
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Wao CCM wanamahakama, CHADEMA wana Mungu usijali!
   
 8. Tambara Bovu

  Tambara Bovu JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 19, 2007
  Messages: 586
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  du,mi nilimsikia akiomba radhi clouds radio lakin sikujua km uzito wa matusi ulikuwa hivi.je hizi ndo kampeni nzuri kwa ccm ambazo mahakama zake zinabariki?
  ukweli nilikuwa namfagilia sana lusinde lakin amenidisappoint sana,tena kupitiliza.da!kwl siku hizi hakuna viongoz kama kina malima na lusinde ndo wabunge na mawaziri
   
 9. P

  Pumb JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 296
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Booooonge la hotuba, cdm wakimwaga mboga ccm tunamwaga ugali.....jino kwa jino wakijamba tunaharisha!
   
 10. Pawaga

  Pawaga JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 1,245
  Likes Received: 684
  Trophy Points: 280
  niwachane nicwachaneeee!.
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  No comment, naogopa kula ban kwa mara nyingine.
  JF bwana na ban zake, full vituko
   
 12. m

  mams JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2012
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nadhani CDM wanasubiri kutoa tamko. Mtu akitukana siyo lazima usubiri umeshindwa ndiyo umshitaki. Hata ukishinda bado una haki ya kufungua mashitaka endapo ulitukanwa na ushahidi upo.
   
 13. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #13
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Hao ndio wabunge wa CCM hivi wananchi waliomchagua wana hali gani?
   
 14. B

  BORATUMBO Member

  #14
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wamefanya vizuri kukaa kimya kichaa akichukua nguo zako mtoni nawe ukamfukuza ukiwa uchi ww ndo utaonekana chizi zaidi viongozi wa magamba vichwa vyao wote box!!!!!!!!
   
 15. K

  Kajole JF-Expert Member

  #15
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 636
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 80
  yaani nashndwa kuelewa,jamaa ni mlevi au bangi cjui ni chizi hata sielewi,ufafanuzi zaidi alikuwa ktk hali gan wkt anatoa hotuba hyo?
   
 16. D

  Developer JF-Expert Member

  #16
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 285
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 60
  lol mi kila nikiisikiliza nacheka pale kwenye kudadadeki.lol
   
 17. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #17
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Kwa thread hatarishi Kama hizi Kama wewe ni mwana CDM unakula ban tu
   
 18. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #18
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huyu Lusinde bora aliondoka CDM kwani angetuhalibia chama kwa matusi yake.
   
 19. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #19
  Apr 9, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  huyu mwehu lusinde alikuwa amekunya viroba v5 pale gateway jabla hajaja kwenye mkutano huo wa magamba.
   
 20. M

  Molemo JF-Expert Member

  #20
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Haki ya Mungu huyu mbunge ni mwendawazimu.
   
Loading...