Rufiji
Platinum Member
- Jun 18, 2006
- 1,946
- 1,135
CDM kwa unafiki hawajambo mbona nyie humu kila siku mnamfananisha Wassira na Sokwe mnashangilia, Lusinde kawapa za uso mnalalamika vumilieni. Mh Lusinde hongera sana kwa maneno yako Mujarabu.
Kumfananisha mtu na sokwe ni jambo baya ambalo linatakiwa kukemewa na watu wote wenye akili timamu, lakini kucondone criminal activity is beyond the pale. Lusinde aliposema wanajua mheshimiwa Lema alichofanywa akiwa jela alikuwa ana-imply nini? For the sake argument, let's assume what he said is true, then what did they do to bring those culprits to justice?