Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

Lusinde na wana ccm wote wanapaswa kutuomba radhi watanzania kwani hawajawatukana watu wa arumeru bali watanzania na wasisahau kuwa sisi ndio tuliowapa dhamana ya kluongoza nchi wale kodi zetu watumie rasilimali za watanzania kisha watutukane huu ni ulimbukeni wa hali ya juu
 
kweli maamuzi ya wa2 wa mtera kumpigia mbunge mjinga kimefanya mtera ionejane sehemu yakijinga pia. mtoto wa nyoka ni nyoka. kama CCM ni chatu kwanini kina lusinde wasiwe chatu jamani kitanda hakizai haramu na haya ndio uzao wa dhambi za CCM.
 
Mwehu akikwapua nguo zako wakati unaoga ukamfukuzia wakati wewe uko uchi utaonekana ndo mwehu zaidi.! Lusinde inaelekea element za ukichaa zinazidi zile za utimamu, amebakiza kutembea uchi na kuokota makopo majalalani.! Kwa ushahidi hapo juu nashauri wanasheria wamfungulie mashtaka kabla hajawa mwehu kabisa
 
Kama hizi ndio dalili za ccm kufa basi inabidi imaliziwe mapema kabla haijaacha sumu kali sana kwa vizazi vijavyo maana hii ni hatari, siasa kugeuka uwanja wa matusi ya nguoni hata kama ni kutofautiana na wenzio lusinde ? Hebu jiulize wewe una wakwe, wazazi, shangazi mjomba, baba wote hawa huwaogopi? Na zaidi sana wapiga kura wako hata rais wako hivi unamuonaje. Je pamoja na kutofautiana nao umewahi kumsikia wapi jk akiporomosha matusi design ya kwako . Pumbavu sana wewe njoo nikuchape viboko. Onyo usije ukaenda butiama yatakayokukuta usimlaumu mtu. Maana mwalimu karibia afufuke kwa matusi uliyotoa. Na hakika ukienda yatakupata ya kukupata.
najua kwenye siasa watu wanaweza kurushiana maneno. Lakini kwa vyovyote vile lugha inayotumiwa na lucinde haiwezi kukubalika kwenye jamii yoyote iliyostaarabika. Na mbaya zaidi mikutano mingi ya ccm inahudhuriwa na watoto. Lakini cha ajabu viongozi wa juu wa ccm (taifa) wanaonekana kukubaliana na matusi haya vinginevyo wangekuwa tayari wamemkalisha chini lucinde.

Mtu kama lucinde anaonekana kuongelea ngono all the time! Mbele ya watoto! Ustaarabu gani huu?

Maadam wakubwa zake kwa maana ya uongozi wa juu wa ccm umeshindwa kuona matumizi ya lugha yanayopingana kabisa na mila, tamaduni na heshma wa watu wa wameru basi ni jukumu la wazee na vijana wa meru kuchukuwa hatua.

Napendekeza wazee wa kimeru au vijana wa kimeru waitishe mkutano na waandishi wa habari ili kutoa onyo kwa lucinde kwa kutumia lugha inayoharibu kabisa taswira ya watu wa arumeru. Lucinde anataka ulimwengu uamini kuwa watu wa arumeru wanataka kusikiliza matusi na sio sera?
 
Anaanza kwa kutambulishwa kuwa anaitwa Mh Lusinde.Mbumbe wa Mtera alimaarufu kwa jina la Kibajaj...

1.Wabunge wa CDM Majimarefu unawalea sana,Wewe ndo umewachanja chale hadi matakoni leo wanakutukana.
2.Dr Slaa Baba ake ni shoga,anamalizia na kudadadeki.
3.Mh Lema alipokuwa Gerezani kisongo ali*****rwa,alipata bwana.anamalizia na kudadadeki.
4.Dr Slaa upadre ulimshinda akatimuliwa kwa kutia mimba wana kwaya.
5.***** Kampeni Meneja Vicent Nyerere analiwa.
6.CDM msiwe kama Jogoo anatongoza akisema atamnunulia gauni tetea wakati akiinama hata chupi hajavaa.
7.CDM washamba nyie,niwarambe nisiwarambe.
8.Washamba CDM wanavaa Kombati wakati hata mgambo hawajapita.
9.Dr Slaa ni mshamba,akivaa kombati anatembea kama amejinyea.
10.Dr Slaa kasema kama ni fujo itaanzia Arumeru,kwanini isianzie kwa mke wake?
11.Dr Slaa anatishia kujamba wakati anaharisha.
12.Dr Slaa anavimba macho ya watu,kama anaubavu aje tupigane,ngumi moja naua,mnamuokota hapa...
13.Mbowe anauchungu,ana mimba na asubiri kuzaa tarehe 1 April 2012.
14.CDM wote wametiwa mimba na CCM,ukiona wanaonyesha vidole V maana yake wana mimba ya mapacha.
15.CDM tembeeni taratibu msije mkaharibu mimba zetu.

Naomba mniwie radhi sana maana najua haya matusi yatawakwaza wengi lakini tupo kwenye mpango wa kuhakikisha Audio na Video zake zinaenea Nchi nzima tuijue CCM ya leo

Nawasilisha.

Kwanini rais hajampa uwaziri?
 
Propoganda za mfamaji M23

Similar Discussions

Back
Top Bottom