Cheka unenepe.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cheka unenepe..

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by TANMO, Apr 13, 2012.

 1. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Wapendwa,
  Mabibi na Mabwana,
  Wakaka na Wadada,
  Bandugu,

  Bila kuhusisha itikadi za chama na kwa wale wanaopenda kujiongezea umri wa kuishi basi nawashauri msome hiki kituko cha Ndugu yetu, Mpendwa wetu Mbunge (sijui wa wapi).. Leo ndiyo nimebahatika kusoma hii hotuba na nimejikuta nacheka tu Aisee...

  Zingatia: "Kama CHADEMA ni vichaa wa Kurogwa basi mimi ni kichaa wa Kuzaliwa" - Lusinde (Mb)

  No Hard feelings.


  Mapendo.
  TANMO
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  mmmh!!!!!!!
   
 3. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Taratibu na miguno hiyo Mama (hapa nimekuchukulia kama Mwanamke. Ingawa kimsingi bado sijaifahamu jinsia yako)..
   
 4. Primitive

  Primitive JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kwani Kongosho ni mama!??
   
 5. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  yeah, kwa mujibu wa TANMO...
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  we baba wewe.....mimi nikinenepa na huu mwili.....utanilipia gym?
   
 7. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  hahahahahahahaha! dah! my wife wako alipocheka ungempiga kwenzi, ila sidhani km usiku ugomvi ungeisha.
   
 8. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,341
  Likes Received: 2,668
  Trophy Points: 280
  ungeisha kwa jamaa kusukumwa,kujigonga kisogo,kuanguka chini na povu kumtoka mdomoni halafu mama angekimbia kwenda coco beach kutafakuri nn kimetokea.....
   
 9. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Nitakusindikiza uwanjani ukafanye Jogging...
   
 10. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mkuu mi mwenyewe nimecheka zaidi jinsi huyu Jamaa alivyoi-narrate hiyo story.. In a very funny way
   
Loading...