Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,090
- 143,304
Mkuu tembelea kwenye mikutano ya kampeni usikie mengi. Hii haijaanza leo na sidhani kama itakuwa mara ya mwisho. Unajua kisa hasa cha Mramba kukosa Ubunge? Wengi wanadhania eti ni kwa sababu ya tuhuma za ufisadi zinazomwandama. Leo tena wanawake wametukanwa na wanashangalia.
Nimeshaenda sana kwenye mikutano ya kampeni. Lakini hii ni tofauti. The language he used was unbecoming of an MP. He crossed the line, period, end of story.