Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

Sasa naamini kwamba lusinde anahitaji msaada wa haraka sana, si mzima huyu mtu.
 
Jamani huyu ni mbunge kweli au wamekosea?. Tunaweza kuwa na watu wa hali ya namna hii anaitwa Mheshimiwa?. Then the word Mheshimiwa has lost its meaning. Ningekuwa CCM leo ningechana card yao.
Namhurumia sana mke wake. Mme wa namna hii hata kuongozana nae shida, maneno ya hovyo hastahili heshima toka kwa mtu yeyote.

huyu sio mheshimiwa huyu ni pimbi lusinde aliyepatikana guest house maana hata akili zake ni za fasta fasta 1000 huko kwao mtera na hata bungeni atakua anakatabia cha kuwachabo wabunge wa kike maana anaonekana ni mswahili kwisha kazi!
 
siye ndiye huyuhuyu LUSINDE alitoa hoja bungeni eti wabunge wapimwe akili?
 
kwangu mimi adhabu kubwa kwa watu kama hawa wenye uelewa kama huu ni kuwaignore
hakuna haja ya kurespond kwenye ***** wa namna hii adhabu watajipa wenyewe

ukibishana na mgonjwa wa akili na wewe utaonekana ni mgonjwa pia
 
CCM WAMEISHIWA na sera, Mwaka 2010 walimaliza maneno yote na ahadi zote ziliisha. Sasa leo wamefikiria waseme nini hakuna!!!!!!!

Ndio maana mara ooooohhh..........

(1) Arumeru kuna tatizo la Ardhi mkituchagua tutashughulikia = MKAPA

(2) HAPANA Arumeru hakuna tatizo la ardhi na wawekezaji wanamiliki kisheria = Waziri

(3) Mchagueni SIOI mumfute machozi ya kufiwa na Baba yake = LUSINDE

(4) Mkimchagua SIOI mtamfurahisha KIkwete kwa sababu ni chaguo lake = LUSINDE

(5)Kumwaga mitusi ya Nguoni mbele ya watoto.

(6) N.k, Nk, nk, nk, nk,


WANACCM KWA KUJUA KUWA WAMEISHIWA SERA NAO WANASHANGILIA KUTUKANWA MBELE YA WATOTO WAO


PTYUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!!!!!


WANA ARUMERU MSIFANYE MAKOSA NA HAKIKISHENI MNALINDA KURA HADI KIELEWEKE!!!




MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Ame expire kama mkapa wamrudishe kambini kumcharge ndivyo CCM walivyo wakiishiwa charge
 
Siasa za CCM ndo zinaishia kwenye mnatusi kama haya! no more!




Updates: Video Hii Hapa:

<span style="color:#ff0000;"><strong>


Hiyo ndio c.c.c.m iliyo chini ya J.K.M
 
Last edited by a moderator:
NO. this is total madness sasa!

kama kuna mtu ana-clip ya chadema inayodaiwa na lusinde kuwa ina matusi, tunaomba atumwagie hapa jamvini ili tusije tukamhukumu peke yake huyu nutcase.

this is absolute insanity!
 
Kweli CCM inafuga matahila ndo leo nimeamini.
Naona Novatus Makunga aliamua kuleta kipande chenye maneno ya kuomba kura tu, kweli huyu makunga hakuona kwamba Lusinde kamwaga matusi hadharani? Ama kweli.......
 
Ila wanachadema tusinyamazie haya matusi anayomwagiwa Dk. wetu, rais wetu mpendwa Slaa!
we should react immediately!
mkuu nasisi tutukane!??
anaweza kupata matusi ambayo hajawai pata toka amezaliwa bwana!
lakini mwenyewe amesema kama kichaa cha wanachadema wamelogwa yeye amezaliwanacho!
Najua watu wamtera walimchagua kwasababu walikuwa wamemchoka mzee Malecela!
 
Kweli hii ni aibu kwa CCM, jimbo la Mtera na kwa Taifa. Yaani huyu ni kweli ni mbunge kweli? It's so sick hasa ukiangalia kwenye hiyo video utaona kuwa watoto wetu pia walikuwepo pale. Halafu huyu jamaa anamwaga ***** wake pale watoto wakisikiliza. Hata kama wewe si mzazi, unatakiwa kuwafikiria wale watoto....Mmmh, nafikiri kutakuwa na umuhimu wa taasisi au NGO kufungua kesi dhidi ya CCM pamoja na huyu punguani kumwaga haya maneno mbele ya watoto. Suala la Lema kuchafuliwa nafikiri atakuwa busy na mwanasheria wake kuona nini cha kufanya.

 
Last edited by a moderator:
This is beyond the pale! CCM should kick him out. He is a disgrace.

sidhani Ngabu, who will dare to? maana kumuwajibisha nadhani kungeanzia na kumshusha jukwaani ili angalau asiendelee kuporomosha maneno ya hovyo...

halafu sikiliza na huo umati unaomshangilia?? haisikitishi jamani?? kweli viongozi wetu ni reflection yetu sisi wenyewe
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Huyo ni comedian wa chama. Nimemsikiliza mwanzo mwisho inaonekana alikuwa ana reply mesage ya cdm, ivi cdm walizungumza nini mpaka ccm wakaamua kulipiza?
 
sidhani Ngabu, who will dare to?

But this is unprecedented! I have never heard an MP use that kind of language in public before. Never!

What he spewed is absolutely indefensible. And if the CCM top brass doesn't act fast then that's pretty sad.

How can they let one of their MP's stoop so low like that?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom