Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

CCM inakufa taaaratibu, hao ndio watu wa kumsaidia Mh Rais
Haya sasa,
By Lusinde,
1. Mh Lema aliolewa mahabusu, ana bwana kamuacha kule (mnajua mtu aliyeolewa anafanywa nini).
2. Mh Nyerere analiwa hawasemi (hopeful akimaanisha k.u.l.a.w.i.t.iwa)
3.Pro. Maji marefu kawachanja viongozi wa cdm chale matakoni
4
5..
Na mengineyo.

Hivi kwa ushahidi huu, jamaa hawezi pelekwa mahakamani kwa kosa la defarmation?
 
Wanachadema na Watanzania wapenda siasa kwa ujumla tuachane na watu wajinga kama Livingstone Lusinde tena nawaomba tuondoe (tufute) neno la Mh,kwani hata majirani zetu wakisikia watu wenye hekima wanaropoka maneno kama hayo wanamsikitia Mwenyezi mungu, ni heri ya kipofu wa Kigogo MATONYA anazungumza maneno ya maana wakati akiomba fedha ya kumsaidia lakini mgogo mwenzake msomi anamwaga matusi hadharani poleni ndugu zangu Wagogo mwenzenu ana watia Doa.
 
eti kudadadeki matusi tunajua...lol
kweli comedians wamekuwa wanasiasa
na wanasiasa wamekuwa comedians..lol
 
Haya sasa,
By Lusinde,
1. Mh Lema aliolewa mahabusu, ana bwana kamuacha kule (mnajua mtu aliyeolewa anafanywa nini).
2. Mh Nyerere analiwa hawasemi (hopeful akimaanisha k.u.l.a.w.i.t.iwa)
3.Pro. Maji marefu kawachanja viongozi wa cdm chale matakoni
4
5..
Na mengineyo.

Hivi kwa ushahidi huu, jamaa hawezi pelekwa mahakamani kwa kosa la defarmation?

Hapo Ndio Kazi ya Kumkimbiza Kichaa!! Sasa Kichaa kashikilia Nguo zako sasa Ukimkimbiza Huku Ukiwa Uchi Raia wa Kawaida Watajua ni nani pale Kichaa? Eh Mungu Tusaidie kama Hali ndio Hii!! Maendeleo ya Kweli Kwenye Hii Nchi ni ndoto!! Huyu Kijana ndio aliweza Kumwangusha Mzee Malechela!! Kama Vijana ni Taifa la Kesho na leo Pia!! Basi Hapa nimezimia!!
 
Kwa matusi ya Livingstoen Lusinde ni aibu kwa RAIS KIKWETE kama Mwenyekiti wa chama anakubali vijana wake kutoa matusi haya, tutajiuliza uongozi wake, CCM sera hakuna. Mimi nasubiri 2015 kama zambia na senegal
 
Hii ni aibu kubwa sana kwa ccm. Ukiona chama kinatumia watu kutukana, ujue kuwa siku zake za mwisho zinakaribia. Ccm inadidi wajiweke mbali na kauli za huyu mtu kwani ni hatari kwao.
 
kasema yeye sio kichaa wa kulogwa bali ni alizaliwa akiwa kichaa!
aliponishangaza ni pale aliposema shule zote na vyuo vyote vimejengwa na CCM.
ila alishakula viroba jogoo! na msokoto!
Kama viongozi wa CCM ndio hawa! vita inanukia!
 
Haya sasa,
By Lusinde,
1. Mh Lema aliolewa mahabusu, ana bwana kamuacha kule (mnajua mtu aliyeolewa anafanywa nini).
2. Mh Nyerere analiwa hawasemi (hopeful akimaanisha k.u.l.a.w.i.t.iwa)
3.Pro. Maji marefu kawachanja viongozi wa cdm chale matakoni
4
5..
Na mengineyo.

Hivi kwa ushahidi huu, jamaa hawezi pelekwa mahakamani kwa kosa la defarmation?

Kwa vila ni wa CCM, mwacheni tu, alikuwa natania! Si mnajua yako mazito zaidi ya hayo. Mfano, Rage kuwa na silaha hadharani - ilipotezewa. Na ya Malima kukutwa na silaa ya kivita, wakasema waandishi wa habari wanalikuza tu. Hivyo naomba mkuu Mestod na wengine mpotezee tu. Hiyo ni jeuri ya kuwa na dola kwa muda mrefu. Watang'oka tu siku moja na hapo ndipo hawatafufuka kabisa
 
wana JF ebu sikilizeni UHARO WA MDOMO WA MH,LUSINDE .Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru - YouTube

Wakati Kamanda Mbowe a.k.a KAKA, aliposema wakati wa ufunguzi kuwa wabunge magamba 30 ni sawa sawa na mbunge mmoja wa CDM, nilikuwa na shaka kidogo na kauli yake, lakini kwa sasa nimeamiinia kauli yake pasipo shaka kabsa. Mbunge mmoja wa CCM, ambao wengi wao akili zao ni kama za huyu Lusinde wanaweza wakawa ni zaidi ya 40.:thinking::sleepy:...!! Hao watu wa mtera (bila shaka itakuwa ni jimbo analotoka) walimchaguaje mtu wa namna hii kuwaongoza?????!!!!:sleepy:, huyu mtu anafaaa kabsa kuwa mpiga debe wa daladala za mwenge Mbagala. Najiuliza bila ya majibu, mtu wa namna hii wa-na- Mtera ilikuwaje mkachagua kuwa Mbunge wenu??!!!:redface:
 
alishasema ni kichaa wa kuzaliwa sasa huyu wagogo wawakumuona , huyu ni mvuvi au ni mbeba mizigo kariakoo, alafu anajua kuwa wanaume wana mabwana, labda yeye ndio kawafundisha
 
Ndugu zangu waarumeru mwaka huu wanalo watapewa ***** wa kila aina. Kiukweli natamani chaguzi ndogo zingekuwa angalau 10 kwakila mwaka mpaka miaka mitano iishe tutagundua yupi chizi yupi mwerevU
 
Hakika taifa letu linaelekea kubaya huyu kijana nadhani hata wazazi wake alikuwa anawachungulia

ee mungu tuepushe na hili balaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom