ngaboru
JF-Expert Member
- Mar 3, 2016
- 1,998
- 5,217
amenisemea mm na wengine wasiopenda kuandika.Mkuu wewe ni hatari yani
wewe ni mfanyabiashara
wewe ni mtumishi wa umma...
amenisemea mm na wengine wasiopenda kuandika.Mkuu wewe ni hatari yani
wewe ni mfanyabiashara
wewe ni mtumishi wa umma...
Mbona sielewi Mambo aya ,japo sijui sheria hivi mahakama inaweza mfunga mtu bila kujieleza?Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemfungia kufanya kampeni Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Tundu Lissu kwa siku saba kwa madai ya kukiuka maadili ya uchaguzi...
amenisemea mm na wengine wasiopenda kuandika.Mkuu wewe ni hatari yani
wewe ni mfanyabiashara
wewe ni mtumishi wa umma
wewe ni mwanachuo
wewe unasota mtaani
wewe umetumbuliwa na kuonewa
wewe mstaafu hujalipwa mafao
wewe ni mwananchi uliebomolewa nyumba
wewe ni "nk"
zote hizo ni title zako mkuu? kweli wewe unamuhitaji Tundu Lissu.
Lissu atatoa majibu ya ujeuri na kejeri tu, hana jibu la maana na atafanya hayo kama mwendelezo wa mkakati wa kuleta fujo na uasi kama wanavyo elekezwa na Asmsterdam and his GANG wanaotaka kuendesha GANGSTER POLITICS hapa nchini ili kuleta fujo. Ila kitu cha uhakika ni kwamba kikiwaka hata huyo Lissu HATOKI! hILO AWE NA UHAKIKA NALO NA Amsterdam hatakuwepo kumsaidi. Hawaijui nchi hii!?
Na aliyempiga spana hajalala mauti?Na asipojirekebisha anafutwa kabisa kwenye uchaguzi,Lissu asijiropokee hovyo akahisi labda serikali haipo au inamuogopa wala asijifanganye.
Morgan Tshivangirai alikuwa kama Lissu lakini mwisho wa siku alipigwa spana na kaiacha Zimbabwe hiyo inasonga chini ya Zanupf.
Kukosa kwa akili kwa CCM, NEC na watu wao ndo karata turufu kwa Tundu Antiphas Lissu mwaka huu!!NEC haijafungua malalamiko juu ya Lisu ni NRA na vyama vingine vya siasa Sasa mpaka hapo tuiache NEC iendelee na majukumu mengine ya kufanikisha uchaguzi mkuu Lisu akapambane na kamati ya maadili kwa sababu yeye mwenyewe alisaini na kutoa tamko la kuheshimu hayo maadili Sasa ameamua kuzivunja makusudi hapo asisukumie lawama NEC akapambane na hali yake tuone Kama Robert Amsterdam atamsaidia
ndiyo mimi ndiye!Mkuu wewe ni hatari yani
wewe ni mfanyabiashara
wewe ni mtumishi wa umma
wewe ni mwanachuo
wewe unasota mtaani
wewe umetumbuliwa na kuonewa
wewe mstaafu hujalipwa mafao
wewe ni mwananchi uliebomolewa nyumba
wewe ni "nk"
zote hizo ni title zako mkuu? kweli wewe unamuhitaji Tundu Lissu.
Thubutuuuu yenu. Subirini majibu yakeMbona kapigwa ban hajaongea chochote. Lissu ni joka la kibisa halina sumu
Kabisa. Anapewa political milageWanampa kiki ya bure!
Nimekupa "Thanks" kwa uongo na kuwa kama kipaza sauti kama wengine humu cha Lissu. Tungoje tuone this time kama atatoka!Mbona alivyomwita yule mungu mtu dikteta uchwara alitoka.
Wamejiingiza wenyewe kibra,Lisu anawamaliza mapema tu pale mahakamani.
Lisu unamsikiaga tu kumbe,subiria uone moto.ataendelea na kampeni kama kawa.mkimkamata ndio mnajipeleka wenyewe kwenye sheria sasa tuanze kujadili vifungu hapo sasa ndio Lisu atawamaliza mtabaki midomo wazi.
Hapa Tanzania akuna shamba la mzungu lililochukuliwa na serikali. mada yangu sio mashamba,nachosema mimi nyinyi mnahisi mabeberu watawasaidia endapo mtavunja sheria za nchi yetu kama walivyomsaidia Morgan wa Zimbabwe.Kwa jinsi Zimbabwe maisha yalivyo magumu, ni juha tu kama ww anaweza kuandika huu utoto hapa jukwaani. Kwa taarifa yako, hata yale mashamba waliyopewa wazalendo uchwara Zimbabwe yanarudishwa kwa wazungu.
Huyo Amsterdam hana lolote China size yao mbona amewashinda.He is watching and collecting evidence.
Ingawa ni ya muda tu kwani Watanzania wana akili zao zilizo TIMAMU!Kabisa. Anapewa political milage
Hakuna kulala, Mungu mbariki TAL*Wito wa dharura, Mkutano na Waandishi wa Habari*
Chief, habari za muda huu?
Naomba kukutaarifu kuwa Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mhe. Tundu Lissu, atazungumza na vyombo vya habari vya kitaifa na kimataifa, nyumbani kwake...
Mpango moja tu huo... Mbona wakiomuita ni Tume.Kumbe ni Kamati ya Maadili ya Uchaguzi Ngazi ya Taifa ndio iliyomfungia bwn. Tundu Lissu na sio NEC.
Wote hawapo ila Zimbabwe ipo tena chini ya Zanupf.Na aliyempiga spana hajalala mauti?
Mnazidi kuwapa ushahidi Marekani. Subirini Muone consequences zake .Lissu atatoa majibu ya ujeuri na kejeri tu, hana jibu la maana na atafanya hayo kama mwendelezo wa mkakati wa kuleta fujo na uasi kama wanavyo elekezwa na Asmsterdam and his GANG wanaotaka kuendesha GANGSTER POLITICS hapa nchini ili kuleta fujo. Ila kitu cha uhakika ni kwamba kikiwaka hata huyo Lissu HATOKI! hILO AWE NA UHAKIKA NALO NA Amsterdam hatakuwepo kumsaidi. Hawaijui nchi hii!?