Uchaguzi 2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

Hapa ni Tundu Lissu ni kutoa evidence ya kikao kilipofanyika, muda na siku sasa nani atakaye mpa hizo vitu ikiwa ni picha na muonekano wa wakurugenzi
 
Hata wangemfungia siku zote zilizobaki,Watanzania wameshamwelewa! Wameshamkubali kuwa ndiye mtu wao waliyekuwa wanamhitaji.
 
Mnazidi kuwapa ushahidi Marekani. Subirini Muone consequences zake .

Yaani mwaka huu lazima Tundu Lissu awachanganye hadi mvue nguo!! Dadekiiii 😂😂
Kaa hapo na woga wako, sisi ni nchi huru na kama ni kufa kwa nchi yetu tutakufa hapa hapa kama alivyofanya Sadaam Husein, Gaddafi na Lumumba to name a few! We ngoja tu!
 
Mbona sielewi Mambo aya ,japo sijui sheria hivi mahakama inaweza mfunga mtu bila kujieleza???
Tume
Kwa ushauri tu Basi muhengueni kabisa ila nafsi zenu labda ziwe Safi ,au sitisha uchaguzi ,mbona tume Kama vile mnawatia watz katika majaribu yasiyo ya msingi,lengo lenu kwa tz hii ni lipi?
Ikithibitika kuwa wito umepokelewa na mlalamikiwa akadharau kuitikia wito, mahakama huwa inaendelea na kesi kwa kusikiliza upande mmoja na kutoa hukumu.

Summons sio lazima uipokee wewe binafsi, inapelekwa kwa physical address yako uliyowapa.
 
Tanzania mpya inakwenda kuzaliwa. Magu yupo very disappointed, upande huu Lissu amewabana kule Maalim Seif amewabana. bado tunawapiganaji wengine kama Kigogo nao wanatisha
 
DANIELI 5

25 “Maandishi yenyewe ni: ‘MENE, MENE, TEKELI na PERESI"

26 Na hii ndiyo maana yake: MENE maana yake, Mungu amehesabu siku za ufalme wako na kuukomesha.

27 TEKELI maana yake, wewe umepimwa katika mizani, nawe ukaonekana kuwa umepunguka.

28 PERESI maana yake, ufalme wako umegawanywa kati ya Wamedi na Wapersi.”

Ili neno hili likapate kufikia utimilifu wake wote hapa Tanzania, ufalme wa CCM utagawanywa kwa CDM na ACT Wazalendo kwa hapa Tanganyika na kule Zanzibar.
 
Nafasi yake imeshikwa na Ermason Mnangagwa chini ya Zanupf,haya nambie wewe Tshivangirai nafasi yake imerithiwa na nani?
Hatimaye mashamba yaliyopewa wagombea Uhuru yanarudishwa kwa wazungu.Nani amefeli hapo?
 
Kwanza anamapumziko siku nne kuanzia leo.....wamemuongezea siku tatu tu...pumzika Kamanda wetu hawa nguchiro tunajua cha kuwafanya Oct 28.
 
NO! NO! NO! Lissu anamuhitaji sana Amsterdam kuliko sisi! Na sisi hatumhitaji Lissu kwa lolote lile, TANZANIA IS GREAT THAN LISSU!
Toa maoni yako usitoe maoni ya watanzania. Sisi watanzania sio Wajinga, Tunamuhitaji Lissu atukomboe mikononi mwa wakoloni weusi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom