Uchaguzi 2020 Mgombea wa Urais wa Tanzania, Tundu Lissu afungiwa na NEC kufanya Kampeni siku 7

inasemekana katika kamati ya maadili kuna vyama vitano na vitatu vilipinga LIssu kufungiwa na vingine 12 vikaunga mkono.Huenda hivi vitatu ni ACT na CDM na NLD.Swali je hivi vyama vingine 13 havijakatwa na kufantiwa hujuma kama inavyofanyiwa CDM na watu wa NEC?
 
Na asipojirekebisha anafutwa kabisa kwenye uchaguzi,Lissu asijiropokee hovyo akahisi labda serikali haipo au inamuogopa wala asijifanganye.
Morgan Tshivangirai alikuwa kama Lissu lakini mwisho wa siku alipigwa spana na kaiacha Zimbabwe hiyo inasonga chini ya Zanupf.
Alafu we hujielew kbsa huwenda unaishi kwa baba ako
 
Hatimae wenye busara ndani ya chadema wamemfunga speed governor bwana lodilofa mjuvi na mjivuni wa sheria kuliko mtu yeyote duniani
 
Najaribu kuweka sawa kumbukumbu zangu za maambo ya uchaguzi na naomba kufahamishwa kwa usahihi siku ambayo mgombea urais wa JMT Tundu Lisu atatoka kifungoni.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mpigie Kura magufuli,Kama Kuna Cha kurekebishwa kitarekebishwa,

Unatakiwa umsome magu umelewe,his projects is for the benefit of the country

Hebu niambie your personal difference na yeye ni Nini????

Vote for magufuli.
The guy isnt fit to rule this country,he became the leader kwa bahati tuu due to power struggle between Membe and Lowassa nimtu aliye bebwa na chama but hakuwa na strategies hata ndani ya CCM to outclass rafki zake ili awe pa ballot paper alidandia ndiyo mana hana uwezo wakushinda kwenye ulingo wa siasa kama predecessors wake.hata kwa gun point cnt vote for your man.
 
Amesha rule for five year,ndo nataka uniambie your personal difference na yeye ni ipi? Ukingangania he isn't fit kwa reference ya how he became president kipindi kile unakuwa hujajibu swali?That was a power struggle within ccm akachomoza yeye with the will of God,na juzi hapa he won by 100%

Kuna kitu kinaitwa individual difference,he ruled with his own style

Whats your personal difference??

Vote for magufuli.
1.Poor human rights record
  • Who shot Tundu Lissu?
  • why Nape was pointed gun when was trying to exercise freedom of expression-a birth right?
  • Who abducted Sanane and the Journalist?
  • Who killed Mawazo?
  • why extra judicial killings in our own beloved country yet we have judiciary e.g Kibiti?

2.Poor governance
  • Zero transparency -who knows the actual price ya ndege if really TZ government bought?
  • Why Auditor General was fired un procedural?
  • why all media houses are under armpits of your party?
  • why using excess force to your own citizens when are demanding better life?

Clear me very well on those two issues in detail so that l can make an informed decision on whether to vote for your party or NOT .
l rest my case!!!
 
You have No personal difference.Oky

From your personal view,what's your rate by percentage % on human right record and Good governance.
Is that the way you can clear me on range of issues presented to you so that l can vote for your party?? try to be logic in your thinking otherwise cant see any justifiable reason to change my mind
 
I think its you who should be logical,
You have talked on "human rights record"

The USA have killed more than 1 million people in the middle East,very poor human right record

And your candidate have the guts to take a picture with the ambassador,then both of you preaching human rights record

I have asked you on the rates,you have ignored

Vote for magufuli.View attachment 1594585
Am in doubt of your IQ, do you justify the killings in the Middle East and Tanzania???...your a vagabond so pathetic.....how can l gauge someone who is very incompetent in the running the affairs of the state??afadhali niwe counted kwenye vote apathy ..
Jibu kwanza hoja zangu zote those with "Why and Who" hapo ntakuelewa sio kujifanya hujaelewa
 
Am not justifying any thing,umetaja Mambo mengi,ndo nimekuuliza how do you rate human rights record.

Maana ume generarize matukio mengi tofauti na hauna any personal difference.

Usipanic we niambie tu how do you rate human rights record kwa hiki kipindi Cha miaka mitano????????

Ukitaka niende in detail kwa Kila ulichotaja utanifanya niweke documents humu ,hizo documents Mimi sina

1.Poor human rights record
  • Who shot Tundu Lissu?
  • why Nape was pointed gun when was trying to exercise freedom of expression-a birth right?
  • Who abducted Sanane and the Journalist?
  • Who killed Mawazo?
  • why extra judicial killings in our own beloved country yet we have judiciary e.g Kibiti?

2.Poor governance
  • Zero transparency -who knows the actual price ya ndege if really TZ government bought?
  • Why Auditor General was fired un procedural?
  • why all media houses are under armpits of your party?
  • why using excess force to your own citizens when are demanding better life?

-Swali langu huna majibu ya hoja zangu hizo juu right???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom