Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,498
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Demokrasia Makini Coaster Jimmy Kibonde amesema "nikishinda urais, Rais Samia atabaki Ikulu"
Hivi vyama pandikizi ndivyo vinavyoharibu demokrasia hapa nchini, kwa kweli CCM ni adui wa haki kwa kila Mtanzania.Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Makini Coaster Jimmy Kibonde amesema "nikishinda urais, Rais Samia atabaki Ikulu"
Na uwezi shinda chochote🚮🚮🚮Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Makini Coaster Jimmy Kibonde amesema "nikishinda urais, Rais Samia atabaki Ikulu"
Haswaaa. 😂😂😂😂RC mtarajiwa
Siasa ni sayansi 😂😂
Halafu hao wapandikizi mbona wanakuwa kama wendawazimu!Hivi vyama pandikizi ndivyo vinavyoharibu demokrasia hapa nchini, kwa kweli CCM ni adui wa haki kwa kila Mtanzania.
😂🤣🤣🤸Mavi ya nyoka
Ukitaka kucheka unalia ukitaka kulia unacheka, nchi haielewekiHii nchi hapana kwakweli 😂😂
Pure kazi maalumu
👇