Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,544
- 23,844
Hili wazo limeinhiaje akilini mwako, au wewe ni upinde?😁😁😁😁😁😁😁akishinda njoon mnipige mbupu
Hili wazo limeinhiaje akilini mwako, au wewe ni upinde?😁😁😁😁😁😁😁akishinda njoon mnipige mbupu
Bwabwa hiloHili wazo limeinhiaje akilini mwako, au wewe ni upinde?
Kuna mawazo mengeni hutakiwi kuyaingiza akilini kama mwanaumeBwabwa hilo
SureKuna mawazo mengeni hutakiwi kuyaingiza akilini kama mwanaume
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Makini Coaster Jimmy Kibonde amesema "nikishinda urais, Rais Samia atabaki Ikulu"
Hivi huyu ana akili kweli? Anajua maana ya urais? Kweli watanzania wengi wana matatizo ya akili, hivi huyu punda anajua maana ya urais? Samia abaki Ikulu kama akishinda ili iweje? Huyu mpumbavu sijui ana akili ya wapi, ndiyo mtu wa kwanza duniani aliyesema akishinda rais anayeondoka ataendelea kubaki Ikulu. Kweli acheni wakenya watucheke.Bas tu
🤣 🤣 🤣 🔊😁😁😁😁😁😁😁akishinda njoon mnipige mbupu
Hivi ana mke na watoto?!Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Makini, Coaster Jimmy Kibonde, amesema endapo atashinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, atamwacha Rais wa sasa, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ndani ya serikali yake kwa nafasi maalumu ya kushughulikia diplomasia.
Kibonde, ambaye amezungumza kupitia kipindi cha Clouds360 cha Clouds TV, amesema amegundua Dkt. Samia ni mwanadiplomasia mahiri, hivyo atamkabidhi jukumu la kuongoza dawati maalumu litakalokuwa na idara tatu zinazoshughulika na masuala ya kisiasa, kiuchumi na ya kimataifa.
“Nimesema nikishinda urais, Mama Samia nitamwacha Ikulu. Nimegundua Mama Samia ni mwanadiplomasia mzuri mno. Kwenye diplomasia ya kisiasa, kiuchumi na mambo ya nje yuko vizuri. Kwa hiyo atakuwa mkuu wa dawati maalumu katika serikali yangu. Asiwe na presha, ajira nimeshamuahidi,” amesema Kibonde.
Yaani hawa ndiyo washindani wa Samia kwenye uchaguzi wa mwaka huu View attachment 3438558
Falsafa za CCM!!??Huyo ni mwanafalsafa, anaongea kifalsafa. Ukiwa mijinga mijinga tu wa kupigwa tone tone huwezi kuelewa chochote hapo
Mnajipa umuhimu ambao hamnaCHADEMA ambacho mnataka kukiua makusudi kwa sababu ni tishio kwenu
😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Makini Coaster Jimmy Kibonde amesema "nikishinda urais, Rais Samia atabaki Ikulu"
Dawati tena Lina Idara 3?Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Makini Coaster Jimmy Kibonde amesema "nikishinda urais, Rais Samia atabaki Ikulu"