Haahaa maigizo yanaendeleaMgombea wa Urais kupitia Chama cha Demokrasia Makini, Coaster Jimmy Kibonde amesema akishinda urais, atampa kazi Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mkuu wa Dawati la Diplomasia la Ikulu.
Ameyasema hayo Agosti 11, 2025 katika mahojiano yake na Clouds TV jijini Dar es Salaam.
View attachment 3438844ema ha
🤣🤣🤣🤣Huyu fala anataka kula mzigo kijanja, hana lolote 😀 😀 😀
Daah... sasa atabaki ikulu kama mke wake ama?Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Demokrasia Makini Coaster Jimmy Kibonde amesema "nikishinda urais, Rais Samia atabaki Ikulu"
Mama Samia bwana, ila sawa tu.Mnajipa umuhimu ambao hamna