Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Jamaa uko vizuri kwenye propaganda, Wewe mwenyewe unajua fika huyo jamaa hawezi kuwa Rais leo, kesho au keshokutwa unachojaribu kufanya ni kujipa matumaini hewa.
Hata ukusanye Maoni milioni tambua Makonda aka Bashite hawezi kupitishwa kugombea Ubunge wa Kigamboni.
 
Hii ndio taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa , Kwamba mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA Mh Tundu Lissu , mtu aliyefufuliwa na Mungu kutoka katika wafu baada ya kutandikwa bila huruma risasi zaidi ya 38 na wanaoitwa watu wasiojulikana , amefuatiliwa na zaidi ya watu Bilion 1 kwenye mitandao ya kijamii duniani kote wakati akichukua rasmi fomu za kugombea Urais .

Taarifa za wadau wa siasa za bara la Africa zinadokeza kwamba hii inaweza kuwa ni idadi kubwa mno ya wafuatiliaji wa mambo ya kisiasa na yaweza kuvunja rekodi ya bara la Africa .
Ahahahahahaha! Bila shaka wengine walideki barabara! Ahahahahahah!
 
Sina usemi kwanini atashinda na huu mwaka.
hivi hao watu wanaosema akimaliza hii miaka watamchagua tena sindio hali itakuwa si hali?

Wanaomshabiki JIWE wote ni wanufaika wa huu mfumo , mtu ambaye anajitafutia ridhiki mwenyewe hawezi kumkubali JIWE hata siku moja maana jiwe limeshusha mzunguko wa pesa ,limeweka mazingira magumu sana ya kufanya biashara ,halijaongeza mishahara kwa miaka mi5 ,hawa wanaopiga kelele humu sijui mi5 tena wanalipwa na simalenga ,ni kitengo cha lumumba online.,wanavyopost mashudu humu jioni wanaingiza pesa!!
 
Kama utalipwa kwa post hii basi mwajiri wako no punguani.
Yaani nyie chadema akili zenu wengi zipo under averageline,sio kila mtu anayekosea chadema analipwa sijui buk7,acha ujinga...kwanini hao chadema wanaokosa vyama vingine wanalipwa...kama jibu ni no..basi ujue kunawatu hatukubaliani na hii SACCOS kwa mtazamo na sio mpaka tulipwe.
 
Hodi wana jamiii wenzangu.. Itakuaje endapo mtumwenyekesi mahakama agoombee na wakati kesi zake hazijaishaa? Ikitokea akashindwa hizo kesi itakuajeee? Na kwa nini chama kipitishe mgombea ambaye anakesi mahakamanii, kwaaani haakukuwepo mwingine ambaye hana kesi mahakamani? Nisaidieni mnaofaham utaratibuuu.
 
Lissu ni mkora tu,eti leo wanajifanya makini kupekua mkoba wao mbele ya viongozi wa tume,kweli hawa jamaa hawaimani tume ila form wanachukua ,pathetic
Lema ndiye aliyeongoza zoezi la kuhakiki forms kutoka NEC kuona kama ndio zenyewe na zimetimia.
 
Ukimuua mtu kwa pressure mimi simo
Naye ni miongoni kwa hao 1 billion viewers,avumilie kama Mh.Lissu alivyovumilia maumivu ya risasi nyingi zilizomtoboa,mikasi na visu vya Dr's waliomtibia pamoja na uchungu wa dawa alizonyweshwa.Hayo ni maelezo ya juu juu tu,hawezi sema sana sasa.Muda utaongea!!!
 
Maraisi wengi wa Africa hasa ukanda wa SADC wamesikika wakisema wangependa kujumuika na raisi mpya wa Tz mh.TAL, kwani huyu anayemaliza muda wake hawana mahusiano mazuri naye
Si vema kuhusisha taarifa za nchi za watu ambazo hazijathibitishwa kwenye siasa zetu.tuweke akiba ya maneno uchaguz unakuja tutajua
 
Hii ndio taarifa inayozunguka mitandaoni kwa sasa , Kwamba mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA Mh Tundu Lissu , mtu aliyefufuliwa na Mungu kutoka katika wafu baada ya kutandikwa bila huruma risasi zaidi ya 38 na wanaoitwa watu wasiojulikana , amefuatiliwa na zaidi ya watu Bilion 1 kwenye mitandao ya kijamii duniani kote wakati akichukua rasmi fomu za kugombea Urais .

Taarifa za wadau wa siasa za bara la Africa zinadokeza kwamba hii inaweza kuwa ni idadi kubwa mno ya wafuatiliaji wa mambo ya kisiasa na yaweza kuvunja rekodi ya bara la Africa .
Ila ingependeza zaidi km hao watu bilioni moja wangekuwa wapiga kura wake..
 
Mazingira ya kupiga, kuhesabu na kutangaza kura hasa za urais yapo vilevile na probably yameharibika zaidi ya mwaka 2015. Hizo “views” kama ni kweli zisiwapumbaze na mkaanza kujitangazia ushindi.

As long as kura za uraisi zinatumwa kwa NEC na wao wanazichakata, tutakutana hapa early November na story tofauti kabisa. Simuoni Jiwe na maafisa wake wa TISS ndani ya koti la NEC wakiachia kile kiti kindezi

Kama anaweza, Lissu na team yake wanapaswa kuanza kuweka mikakati ya kuhakikisha kura atakazopata kwenye kila kituo cha kupigia kura zinatangazwa kama zilivyo. Muda wa kulialia jukwaani kwamba alipigwa risasi umeshapita. Ni kazi tu na mikakati sasa
 
Lissu ni sauti kwa walio fungwa midomo, Lissu ni nuru kwa walio gizani, Lissu ni masikio kwa walio viziwi na lissu ni sauti kwa wasio na masikio.

Hatukujua kuwa kumbe hata mtera, bwawa la nyumba ya Mungu ni miradi iliyo jengwa na serikali,hatukujua kuwa hata ndege kumbe zilisha nunuliwa na serikali, kumbe hata meli na vivuko vilikuwepo tuuu.

Mwenyezi Mungu tunazidi kukuomba umzidishie huyu kiumbe wako uliye mleta hapa duniani kututoa gizani.
photo%20266%2012-18-0.jpg
 
Back
Top Bottom