Uchaguzi 2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

Kwani lazima zijazwe zote kama zilikuwepo zingine za magumashi je??

Unajua unachoongea? Vyeti fake ni tofauti na wafanyakazi hewa. Sasa kama hujafikia hiyo 19,000 unajisifia nini kama umetoa ajira, wakati kilio cha ajira kimezidi ndani ya hii miaka mitano? Huyo Magufuli namfananisha na wale vijana wanaonyanyua vitu vizito wanaishia kuvimba kifua na kuwa kama ufunguo wa gari, huku sehemu nyingine zikiwa kondefu. Hivyo Magufuli kawekeza kwenye miundombinu zaidi, kasahau sehemu nyingine. Hii ndio tunaita maendeleo ya vitu na sio watu.
 
Unaongea nini dogo, unanitaka nikishindwa kihalali nikiri, nimekupa mifano ya chaguzi zote toka awamu hii iingie madarakani, kuwa haikuwa halali na uligubikwa na ushenzi mwingi tu. Lakini unataka nikiri nikishindwa, kwa hiyo mimi ndio mamlaka? Ww ni mnafiki usiyejitambua, amani ni tunda la haki, ufumbie machi haki, kisha ujifanye unajua thamani ya amani! Shubamiit.

Wewe vuruga amani halafu utaona kitakachokupata. Kama wewe umeichoka wengine tnaitaka.

Halafu nakuzidi sana umri.
 
Wewe vuruga amani halafu utaona kitakachokupata. Kama wewe umeichoka wengine tnaitaka.

Halafu nakuzidi sana umri.

Kaa kwa kutulia ww mnafiki, maana huna unaloongea zaidi ya kupandikiza amani ya kikondoo.
 
NEC na polisi mnakwama wapi. Lissu anakuja kwa maandamano JPM na CCM hafanyi hivyo. Lissu anawafanyisha kazi 88 na weekend JPM hafanyi hivyo. Mkwara wa kusema asipowakuta ofisi zenu halali yao imewafanya mfyate mkia?
Acha uchochezi bwashee!
 
We utopolo vipi mbona umekomaa hivyo au unaleta habari za UDP hapa ,hukumuona Naibu katibu Mkuu Mwalimu.
Au kwa kuwa vyombo vya habari mmepigwa mkwara kuripoti tukio la leo.

Endeleeni tu ngoja Oktoba tuwakomboe kutoka makucha ya mkoloni mweusi.
The devil you know is better, than the devil you don’t.

Somo la leo sote mimi ni na wewe serikali imeshaelewa jinsi kukabiliana na CDM.

Si ajabu uwepo wa Azam TV leo kurekodi tukio lote la uchukuaji form limelipiwa na NEC. Yote hayo ni kwa uelewa Azam wasingekuwepo (au media yoyote) sasa hivi kungekuwa na thread tofauti zenye kuzusha uongo wa kila aina kitu gani kilitokea na namna CDM walivyotaka dhulumiwa haki yao na NEC.

Kwakuwa hakuna jipya na NEC waliona isiwe shida wawape tu hizo form ata bila ya kwenda na katibu sasa hivi wenzako wameamia kuilaumu Azam TV na Ayo Tv ndio watu waliowakosea leo kwa sababu wazijuazo wao wenyewe.

Kama nilivyokwambia CDM ni chama ambacho ili kufanya siasa lazima kitafute mbinu za kuonekana kinaonewa kwenye jamii, lakini hakina ushawishi wa kisera ili kupata support ya kutosha.

Nikiangalia uchokozi wa CDM toka Lissu ametua mpaka leo inaonekana Magufuli anajiamini na kazi yake kaamua hakuna kuwapa kiki uchaguzi huu. Msipojipanga mtajimaliza wenyewe time will tell.
 
Luka : Mlango 12
56 Enyi wanafiki, mwajua kuutambua uso wa nchi na mbingu; imekuwaje, basi, kuwa hamjui kutambua majira haya?
 
Leo pamekuwepo na malalamiko lukuki hapa Jf kwamba media za ndani zimekwepa kuonyesha tukio la Tundu Lisu akikabidhiwa fomu na mwenyekiti wa NEC Jaji Kaijage.

Niko naangalia Clouds tv habari na wamemuonyesha kwa kirefu Tundu Lisu.

2020 hakunaga kama Dr Magufuli!
 
Leo pamekuwepo na malalamiko lukuki hapa Jf kwamba media za ndani zimekwepa kuonyesha tukio la Tundu Lisu akikabidhiwa fomu na mwenyekiti wa NEC Jaji Kaijage.

Niko naangalia Clouds tv habari na wamemuonyesha kwa kirefu Tundu Lisu.

2020 hakunaga kama Dr Magufuli!
...reaction baada ya kunangwa mitandaoni!!
 
It doesn't matter! RIP Ccm.
.
FB_IMG_1585317102178.jpg


Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom