Huu Uchumi wa kudanganyana kipika Data wakati Wananchi wanashindia miguu ya Kuku.

Wewe nenda ha Iramba tu ukaone Binadamu wanaishia kula Punda na Vinyamapori vingine Uchumi gani huo.

Mwigulu aonyeshwe Mlango ili hii Nchi inusurike.
Hali hiyo imeanza miezi 6 iliyopita? Zama za propaganda zimekwenda na Mwendazake,data hizo ni sahihi na hazijapikwa kama alivyokuwa anafanya yule mtu wenu..

Kuharibu ni rahisi kujenga ni maumivu,mama anajenga haiwezekani ndani ya miezi 6 uchumi ukawa vizuri.

Vipi hata hizi bado unabisha? 👇

Screenshot_20211105-060659.png


Screenshot_20211101-190749.png


Screenshot_20211105-061144.png


Screenshot_20211108-083907.png


Screenshot_20211108-083923.png


Screenshot_20211110-085524.png


Screenshot_20211117-134136.png


Screenshot_20211119-151543.png


Screenshot_20211120-161636.png


Screenshot_20211120-162653.png


Screenshot_20211120-164615.png
 
Chuma ya aluminum iliyo kuwa inauzwa 30000 Sasa ni 55000

Vioo vilivyo kuwa vinauzwa 44000 kwa Sasa ni tsh 120000-150000 /= hii si sawa nafikiri Kuna shida mahala ,hata Kama chnzo cha mfumko ni korona lakini wafanya biashara wamejiongeza mbele zaidi.

Bahati mbaya kabisa serikali haisemi chochote kuhusu mufumko huo.

Ni hatari sana

Ni makosa ya Magufuli, Sukuma Gang kwa kila tatizo. Kila kitu. Ni Sera yetu thabiti. Ilani yetu hadi 2030.

Kuwatukana kila siku 25% ya wananchi, wapinzani wote25%, wasio na vyama wote25%, wasiokubaliana ndani ya chama %.

Nguvu yetu thinktank letu mmavia, Tindo, Hamatan (Barms) na wengine wengine.
 
Mama alishasema yeye hafokifoki ni vitendo tu....kakaa kimya anatucheck kwa upoleee na kwa jicho legevu la jinsia ya kike. Kazi iendelee.
 
Nawasalimu wanajf wote popote mlipo.

Siku ya pili Sasa nimeshindwa kupata jibu la swali tajwa ,maana ni kilio kwa kila ndugu na jamaa kutoka mikoa mbali mbali ambao tunawasiliana muda mwingi achilia wazee wangu walio vijijini,wakati inasemakana mama anaupiga mwingi.

Kwa kuwa JF Kuna wachumi na watu wenye UPEO wa Mambo ya kadha wa kadha naombeni mnijibu swali langu


Mpaka Sasa
1. Vifaa vya ujenzi havikamatiki, naambiwa Mwanza mfuko unacheza kuanzia Elfu ishirini na kuendelea, DODOMA mfuko kuanzia tsh 17000 na kuendelea,ujaweka mabati , nondo n.k, Sasa sijui mikoa ya pembezoni Hali ipo vipi ,jibu Hali itakua mbaya

2.Matumizi ya kila siku ya nyumbani Hali ipo ivyo, nyama kwa Sasa wanakula wachache maana kilo ipo elfu saba mpaka elfu nane

Kwa ujumla kila kitu kiko juu, Bila kusahau miamala ya kwenye simu ,ukitoa tsh 120,000/= Makato ni elfu 5300 na point

Katika mazingira Kama ya Sasa tunatoka vipi, na shida nini Hali kua Kama ilivyo sasa
Sasa mkuu, ni kipi ambacho ni kigumu kwako kukielewa katika hayo uliyoandika?

Hii serikali haikuficha kitu toka mwanzo, kwamba maslahi ya wafanya biashara ndio kipaumbele cha serikali hii. Wewe hukuwahi kusikia 'Maza Mizinguo' toka mwanzo akijieleza?

Sasa ulitegemea atafanya nini ili kutimiza hayo aliyowaahidi watu wake! Kwani hapa kweli kuna swali gumu lolote ulilouliza?

Au wewe hukuamini alivyokuwa akitangaza mipango hiyo? Au ulitegemea atawazawadia kitu gani hao watu wake 'special' ndipo uelewe kwamba kweli alimaanisha alichokuwa akisema!

Wakati mwingine watu hupenda kujichanganya tu wenyewe, mahala ambapo hapana mkanganyiko wowote. Pengine kwa unazi wako kwake hukupenda kabisa kuamini kwamba yeye atasababisha hali iwe ngumu kama unavyoieleza.

Basi sasa elewa, hali unayojisikia nayo ni matokeo ya kuwaridhisha watu waliochaguliwa kuneemeka katika utawala huu. Wewe na hao wazee wako huko vijijini hamumo kwenye kundi hilo maalum.

Sasa umeelewa?
 
SSH alifeli kidato Cha nne,Kisha akaungaunga na kuwa sekretari katika ofisi ya umma,hivyo uwezo wake katika jukumu kubwa la nchi Ni mdogo Sana,yeye kila Siku anashinda barabarani huku ya nyumbani akipashwa habari Kama mpita njia.Huyu Hana uchungu wowote na Taifa letu,mpaka tunafika 2023 Taifa litakuwa halina tofauti na Zimbabwe ya Mugabe.

Leo mvua nchini Ni pungufu lakini bado Bibi wa shungi anashindwa kuzuia usafirishaji wa chakula nje ya nchi.

Hiki chama hatuwezi kupata mtu sahihi wa kuivusha nchi kwani wote wapigaji.
 
Wachoyo,omba sasa isitokee kanda ya ziwa,utasumbukiwa samaki wakati wao hata hao wadudu wa baharini hawaji nao

Hahahah tunawaulumu bure mkuu,wanaishigi maisha ya kimaskini sana huku Dar.Kula miguu ya kuku sio mchezo mkuu,lazima akili ihame.
 
hata mie sielewi ni kwamba kuna watu/wafanyabiashara wanamdharau Mama kwa kuongeza bei ya bidhaa ama vp.

Sa zingine naona umuhimu wa yule dikteta kwasababu kwa sasa mambo hayaeleweki kabisa kuanzia bei ya vitu, umeme, maji nk nk
Mtauona sana tu, visionary leader mwenye msimamo kama wa JPM kumpata itachukua muda sana. Mlimtukana na kumuita kila jina baya ila he was something.

Mama anafungua nchi maana ya kurejesha utawala wa kifisadi na wale mapapa wote walafi watafuna nchi anawawezesha kurudi kwenye njia zao za upigaji. Usitegemee maisha mazuri kwa namna yeyote ile.
 
Madhara ya utawala wa mwenda zake madhara ndiyo yanaonekana sasa hivi...

-Nafanya kazi kariakoo kwenye hardware vitu vimepanda bei sana..

mfano kitu kilicho kuwa kinauzwa elfu 50 sasa hivi ni laki moja na 60..

Uchumi uliharibiwa sana.. Yale maduka yaliyokuwa yakifungwa enzi za mwenda zake madhara yake ndiyo haya
Sasa hayo ni madhara kweli! Yani kwenye utawala wake misumari kilo uuziwe elf 5 halafu awamu hii kilo hio hio iuzwe elfu 15 utakuwa una kitu zaidi ya bange umetumia.
 
Hii nchi mambo yalianza kugeuka 2015 hii ni laana ya lowasa mlimtukana mkapora alichopewa na Mungu 'ushindi' mkamtabiria kifo mkamtukana sasa mnakufa wenyewe,mlimbagua mnazidi kubaguana,Ccm mliomtenda yule mzee hamtabaki salama,kibaya kinacho fanya Mungu asimame dhidi yenu "AMENYAMAZA KIMYA"
Kama unapenda sana Lowasa nenda ukanywe naye chai.
 
Hali ni mbaya kwelikweli,nimeona watu Tandika wanakula miguu ya Kuku kama mlo wao kamili.
Ukiona wanakula miguu ya kuku kwa wingi maana yake kuku wameliwa kwa wingi pia! Ha ha ha!

Limwesikika taga moja kikaoni likifoka na kujichekesha kwa hasira na dharau kali mbele ya wajumbe waliokatazwa kuhoji wala kuuliza lolote.
 
Sasa mkuu, ni kipi ambacho ni kigumu kwako kukielewa katika hayo uliyoandika?

Hii serikali haikuficha kitu toka mwanzo, kwamba maslahi ya wafanya biashara ndio kipaumbele cha serikali hii. Wewe hukuwahi kusikia 'Maza Mizinguo' toka mwanzo akijieleza?

Sasa ulitegemea atafanya nini ili kutimiza hayo aliyowaahidi watu wake! Kwani hapa kweli kuna swali gumu lolote ulilouliza?

Au wewe hukuamini alivyokuwa akitangaza mipango hiyo? Au ulitegemea atawazawadia kitu gani hao watu wake 'special' ndipo uelewe kwamba kweli alimaanisha alichokuwa akisema!

Wakati mwingine watu hupenda kujichanganya tu wenyewe, mahala ambapo hapana mkanganyiko wowote. Pengine kwa unazi wako kwake hukupenda kabisa kuamini kwamba yeye atasababisha hali iwe ngumu kama unavyoieleza.

Basi sasa elewa, hali unayojisikia nayo ni matokeo ya kuwaridhisha watu waliochaguliwa kuneemeka katika utawala huu. Wewe na hao wazee wako huko vijijini hamumo kwenye kundi hilo maalum.

Sasa umeelewa?
Mbona imeandika KWa kunifokea , hoja yako ipo kushari Sana, ok naeshim mawazo yako mkuu, ila binafsi naona umejadili KWa kulaisisha sana
 
Back
Top Bottom