Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Status
Not open for further replies.
naona kuna fagio limepita kuondoa uchafu ambao Game Theory alikuwa ameweka hapa. Mods asanteni kwa kazi nzuri maana huyu baba amezidi dharau zake dhidi ya wanawake hapa jamvini.
 
Naamini argument ya watu ni kwamba Masha anatumia cheo chake kutishia normal citizen.

- Hapa huwi fair hata Mengi anatumia vyombo vyake vya media kutishia wananchi ndio maana tukasema hivi tusubirie sheria iamue!
 
- Hapa huwi fair hata Mengi anatumia vyombo vyake vya media kutishia wananchi ndio maana tukasema hivi tusubirie sheria iamue!

Mkuu mimi niko fair, sidhani kama Nipashe au IPP media ime promise kwamba itaaribu Political status ya Masha? What i know ni kwamba Masha mwanzo alitishia gazeti mmoja sababu lilisema Ridhiwani Kikwete kaajiriwa sababu baba yake ni JK. Sasa anatishia magazeti ya Mengi?

Najiuliza jee huyu Masha anapata wapi time ya kubishana bishana wakati nchi iko kwenye deep hole. I am expecting yeye awe agressive kwenye more productive arguments instead ya kuwa kwenye mabishano na Mengi na IPP media.

Kama Masha anajua kwamba yupo clean kwa nini anakuwa na uwogo? Mkuu FMES mimi nadhani unakuwa more defensive badala ya kumwaga hoja kwa hoja kama kawaida yako. Nadhani in the core of your heart unakubali kabisa kwamba Masha is wrong. I think his actions says who is Masha. Argument closed.
 
naona kuna fagio limepita kuondoa uchafu ambao Game Theory alikuwa ameweka hapa. Mods asanteni kwa kazi nzuri maana huyu baba amezidi dharau zake dhidi ya wanawake hapa jamvini.

Mwafrika wa Kike,

Do me a favor dada yangu, if you really mean that. Kama kweli unachukia udhalilishwaji wa wanawake humu, na kwa sababu naona viongozi wa forum wamekusikiliza, naomba uwaambie watoe mabandiko ya ki-Utamu-utamu dhidi ya dada Emelda Mwamanga ambayo wameyarudisha humu tena. Wameweka picha za huyo dada, ambae wanadai she's ugly (as if kagombea beauty pageant) wameweka picha zake juxtaposed next to wanaume wamemshikia makende!

That is Utamu material Mwafrika wa Kike. Wengine tumewa call out wanatufutia, eti tunakebehi moderators, na mods wanaweka thanks kwenye vitisho vya kunifungia. Which absolutely does not faze me, because I wouldn't miss another Utamu-like forum.

Sasa najua siku zote Mwafrika wa Kike you never wanna get into elbowing with the mods and all that, you always try to shield them from anybody who calls them out when they don't uphold their own rules.

But if you really mean that, if it is in the core of your being to stand for the dignity of all people, the her and the him alike, if this is not just another border clash btn you and you know who, then go out there and repudiate that Utamu jibberish in that thread Mwanamke wa Kiafrika.
 
Mwafrika wa Kike,

Do me a favor dada yangu, if you really mean that. Kama kweli unachukia udhalilishwaji wa wanawake humu, na kwa sababu naona viongozi wa forum wamekusikiliza, naomba uwaambie watoe mabandiko ya kikudakuda ya dhidi ya dada Emelda Mwamanga ambayo wameyarudisha humu tena. Wameweka picha za huyo dada juxtaposed next to wanaume wamemshikia makende! Wanadai she is ugly, as if kagombea beauty pageant.

That is Utamu material Mwafrika wa Kike. Wengine tumewa call out wanatufutia, eti tunakebehi moderators, na mods wanaweka thanks kwenye vitisho vya kunifungia. Which absolutely does not faze me, because I wouldn't miss another Utamu-like forum.

Sasa najua siku zote Mwafrika wa Kike you never wanna get into elbowing with the mods and all that, you always try to shield them from the likes of us, who call them out when don't uphold their own standards.

But if you really mean that, if it is in the core of your being to stand for the dignity of all people, the her and the him alike, if this is not just another border clash btn you and you know who, then go out there and repudiate that Utamu jibberish Mwanamke wa Kiafrika.
Iweke katika lugha rahisi mkuu,nikuelewe.
 
Mwafrika wa Kike,

Do me a favor dada yangu, if you really mean that. Kama kweli unachukia udhalilishwaji wa wanawake humu, na kwa sababu naona viongozi wa forum wamekusikiliza, naomba uwaambie watoe mabandiko ya kikudakuda dhidi ya dada Emelda Mwamanga ambayo wameyarudisha humu tena. Wameweka picha za huyo dada, ambae wanadai she's ugly (as if kagombea beauty pageant) wameweka picha zake juxtaposed next to wanaume wamemshikia makende!

That is Utamu material Mwafrika wa Kike. Wengine tumewa call out wanatufutia, eti tunakebehi moderators, na mods wanaweka thanks kwenye vitisho vya kunifungia. Which absolutely does not faze me, because I wouldn't miss another Utamu-like forum.

Sasa najua siku zote Mwafrika wa Kike you never wanna get into elbowing with the mods and all that, you always try to shield them from anybody who calls them out when they don't uphold their own rules.

But if you really mean that, if it is in the core of your being to stand for the dignity of all people, the her and the him alike, if this is not just another border clash btn you and you know who, then go out there and repudiate that Utamu jibberish Mwanamke wa Kiafrika.

Why don't just leave and go away?
 
Nawapa Hi wanachama wa hii forum. Sina siku si nyingi sana tangia nimejiunga lakini nimekuwa karibu sana kufuatilia mijadala mbali mbali inayoendelea. Leo nimelazimika niseme kidogo kuhusu huyu "waziri kijana" Masha. Ni siri iliyowazi kwamba Masha naye anahusika moja kwa moja kwenye ufisadi kupitia law firm yake ya IMMA.

Kwa wale walio karibu Masha ni vizuri wakamkumbusha kuwa Mzee Mengi ni kipenzi cha Watanzania na yeye anaishi kwa jasho lake mwenyewe kwa kufanya biashara halali. Masha cheo alichonacho ni cha kisiasa na inabidi ajiulize tangia tupate uhuru some 47 years ago ni Watanzania wangapi wamewahi kuwa Mawaziri wa mambo ya ndani. Yeye hapo anapita tu. Lakini akumbuke vile vile kauli aliyowahi kuitoa waziri wa utawala bora wakati wa awamu ya tatu ndugu yangu Wilson Masilingi wakati Mengi alipoweka wazi kwamba kuna mchezo mchafu katika mchakato mzima wa kupata mnunuzi wa Kilimanjaro Hotel. Masilingi alijigamba kwamba atamshughulikia Mengi mpaka aseme huo mchezo mchafu ni upi. Watanzania tulipigia kelele hiyo kauli ya Masilingi na sasa Masha ajiulize yuko wapi Masilingi.

Ni hayo tu kwa leo lakini ukweli unabaki pale pale kwamba Masha anaelekea pabaya!!!!!!

Naomba kuwasilisha.
 
Mwafrika wa Kike,

Do me a favor dada yangu, if you really mean that. Kama kweli unachukia udhalilishwaji wa wanawake humu, na kwa sababu naona viongozi wa forum wamekusikiliza, naomba uwaambie watoe mabandiko ya ki-Utamu-utamu dhidi ya dada Emelda Mwamanga ambayo wameyarudisha humu tena. Wameweka picha za huyo dada, ambae wanadai she's ugly (as if kagombea beauty pageant) wameweka picha zake juxtaposed next to wanaume wamemshikia makende!

Ndugu yangu Kuhani,

Ninaandika majibu yangu kwa lugha ambayo najua utaielewa maana najua kuwa una uwezo mkubwa sana wa kuelewa na kuchambua mambo. Wasomaji wengine kama wasipoelewa nitawaomba kwa heshima kubwa wakutumie PM au email kuuliza kile nilichomaanisha.

Raisi Joji wa Kichaka (zimebaki siku chache kabla arudi Texas ... woooo hooo) aliwahi kuitangazia dunia chuki yake dhidi ya "three axis of evil - Irak, Iran na North Korea". Wakati akitangaza hayo (Jan 29, 02) ilikuwa ni zaidi kidogo ya mwaka mmoja toka Bubba amuachie ikulu yenye surplus na marafiki viongozi wa nchi mbalimbali duniani akiwamo kiongozi kijana na mwenye mvuto mkubwa sana duniani - Tony Blair.

Huku akipondea strategy iliyotumiwa na Bubba kwa miaka minane dhidi ya Iraq na wengine kuwa imeshindwa kufanya kazi, Kichaka na Blair wakaanzisha vita kubwa dhidi ya waovu wa dunia hii. Wakaitangazia dunia kuwa viongozi wote wa dunia hii inabidi wachague kama wako "with them" au "against them".

Matokeo ya hiyo strategy nadhani yanajulikana kwa wote.

That is Utamu material Mwafrika wa Kike. Wengine tumewa call out wanatufutia, eti tunakebehi moderators, na mods wanaweka thanks kwenye vitisho vya kunifungia. Which absolutely does not faze me, because I wouldn't miss another Utamu-like forum.

Tofauti na watu wengi wanavyodhani, mimi husoma threads chache sana hapa JF. Wakati watu wengi hapa walipoanzisha vita dhidi yangu (ukiwemo wewe) kuwa ninaharibu hii forum. Nilikuwa ninapost wastani wa post 10 kwa siku - hiki ni kiwango kidogo sana kulinganisha posts mamia zinazopostiwa hapa kila siku.

Ninasikitika sana kuwa nilikuwa sijaiona hii thread ya Imelda na ngoja nisome ili nami nijue nini kimewekwa huko.

Sasa najua siku zote Mwafrika wa Kike you never wanna get into elbowing with the mods and all that, you always try to shield them from anybody who calls them out when they don't uphold their own rules.

But if you really mean that, if it is in the core of your being to stand for the dignity of all people, the her and the him alike, if this is not just another border clash btn you and you know who, then go out there and repudiate that Utamu jibberish in that thread Mwanamke wa Kiafrika.

The get is always in a position of moving if the can is neutral. I have almost nothing when it comes to telling Mods what to do and what to not do. Mods are human beings (exposed to making mistakes) just like me and you. I hope that something will be done sooner than later. Being a sheriff would(should)nt fit my extended stay application I have just submitted.

..... well, I dont like what I have seen so far but hey... fighting with MODS is the last thing you will ever see me get myself into... Sometimes......just like Bubba once asserted...... messages behind the scene are lethal than MOAB - Mother Of All Bombs (just used by Bush in Iraq).
 
Manitoba

Hii Signature yako imeniacha hoi "Mr. Mpalakanya adumbukile in the water. Likaja black fish likamsakatula into two pieces. Msaliatu mwaamwamwa, asala jimtunga asala" Kuna Kiingereza, Kiswahili na hiyo lugha nyingine hope not Lingala
 
BBC ndiyo nini? Au ndiyo wapi? Mimi ni Fundi Mchundo wala si dereva. Walahi sijawahi kutoka nje ya Marekani, sina gari ( nina baiskeli) na wala sijui kuendesha gari. Sasa huyo mama ningemwendesha wapi? Maadam naona Mkuu umeniombea neema basi itakuja tu. Fundi Mchundo dereva! Mbona jamaa wataipata.

Haunijui, Mkuu, haunijui!

Sijawahi kusema wewe ulikuwa dereva wa Masha. Nilichosema ni kuwa hata dereva wa Masha anaweza kupata uwaziri bongo kama Rais wetu atamwona anafaa. Mbona unajihisi au ndiyo ulikuwa unafagilia uwaziri?

You take yourself too seriously. Wengi hatukujui humu kwa hiyo hata tukilumbana naamini haitaleta tofauti yeyote katika maisha yako!

Ngoja nipumzike kidogo maana naona Mwafrika wa Kike amenivurugia mipango yangu.
Amandla.........

Haya na kiherehere changu.... sijui nimefanya nini tena!

Samahani Mchundo, wewe endeleza kazi yako tu mkuu ... nilichofanya kule kilikuwa na nia tofauti kabisa na kukuvurugia mipango yako.
 
..... well, I dont like what I have seen so far but hey... fighting with MODS is the last thing you will ever see me get myself into... Sometimes......just like Bubba once asserted...... messages behind the scene are lethal than MOAB - Mother Of All Bombs....

Fair enough Mwafrika wa Africa, you have let me know where you stand.

You have ruminated a lot on the intrigues of the politicians of modern day America, so I am sure you have intimate knowledge of some figures of the past century too. One of them, Malcom X, once said so trenchantly, "I have more respect for a man who lets me know where he stands, even if he is wrong, than the one who comes up like an angel and he is nothing but a devil." So, I thank you for not mincing words.

I didn't wanna start following your lead here on this effort to rout gender bigotry only to find out rather late that your valiance and principles have a limit. Well, now I know where you draw the lines. See, when Martin Luther King Jr. accepted the peace prize during the height of the '60s racial excesses in America, that man again, Malcom X, questioned how come they were following a general to a war who all of a sudden was getting gifts from the enemy, before the war was over! After all there was no peace that King's people were enjoying. You know, I was gonna follow you here. So before I hopped on your ship its a good thing I now know how far you will push the envelope before you jump ship. So thank you again for being blunt with your machinations and alliance-forming intrigues.

See, that's why I could never be a politician. Because you can't possibly be one and have any unshakable code of being. You gotta know how to form alliances, and who to pay homage to, and who not to provoke, and whose bandwagon to hop on, and whose ideological butt to kiss, and who to go to bed with, and all those intrigues of politicians. (I am only using political metaphors here, Mwafrika wa Kike, and I hope and I'm sure you won't take me out of context here, please don't, and you should know that I respect you profoundly; and by the way, your comments that I was among those who intrigued against your presence here couldn't be farther from the truth.)

But anyhow, let me put you on to something, Mwanamke wa Kiafrika, a code that I try to hold on to so fiercely. If you believe in something, Mwafrika wa Kike, if you think, for example, that women should not be disparaged and thumped on, and treated like two-bit trumps, and articles of sex and rumination of man, then you can't possibly put a cap on how far you would go to confront the perpetrators of such dark age mentality. Sometimes there is a purpose bigger than authorities, bigger than owners of a discussion forum, bigger than the law of man. Or of gods. So, while I do not revel in, in fact I do hate, tussling with the mods as much as you do - believe you me I hate it - yet I do not want to sell the core of my being in order to be on the right side of authority. Just wanted to share with you, Mwafrika wa Kike, that that is where I stand. Thanks again for your thoughts.
 
Kwa taarifa za haraka ni kuwa hadi kufikia juzi Jumamosi 06 Dec 2008 jioni, watu walio karibu na timu ya ushauri wa sheria (Legal team) ya Mengi walikuwa hawajapata wala kusikia kama Mengi amepata barua ya Masha (kama Waziri wa Mambo ya Ndani au kama Masha binafsi). Jumatatu na Jumanne ni sikukuu hapa Bongo.

Haya siku saba ziendelee...................
 
Viongozi;

Huu si wakati tena wa kuwaonea haya wale wote wanaofanya makusudi kukwamisha maendeleo ya nchi. Hakuna mwingine ambaye atatupigania maendeleo yetu. Tulishapata Uhuru sasa kazi kwetu.

Asiyejua kufa na atazame kaburi . . . .

I will be back after 7 days zilizotolewa.

Yes Pundit . . . Ikawa usiku, ikawa mchana siku ya tano . . . .
 
Hizi siku wala hakuna haja ya kuzihesabu kwa sababu naamini hakuna kitakachotokea.

Waziri Masha alitoa hiyo amri akiwa na lengo la kuisafisha Serikali machoni mwa wananchi. Alijua akimpa Mengi siku saba wananchi watajua Serikali haina mchezo na yeye Masha kupata sifa kem kem za utendaji kazi. Wananchi ni wepesi wa kusahau hivyo wiki 2 zijazo hii issue itakuwa imeshafutika kwenye kumbukumbu za wengi.
 
Nakubaliana na wewe mkuu.... lakini hata ikifutika tutarajie "issues" nyingine za namna hii nyingi tu kwani kipenga cha ileeeee.... vita ya kuwania urais (sio 2010) ndio kwanza kimepulizwa. Kulingana cha chanzo kimoja ni kuwa hii issue ni kweli Masha alii-suggest (baada ya kuhisi IPP media "inawajeruhi" washirika wake muhimu kwenye safari yake ya urais) .....bila kujua "mshindani" wake mmoja wa karibu angejaribu kuitumia kama konde la "knockout" kumwangushia mbali.........!!!!!
 
Fair enough Mwafrika wa Africa, you have let me know where you stand.

You have ruminated a lot on the intrigues of the politicians of modern day America, so I am sure you have intimate knowledge of some figures of the past century too. One of them, Malcom X, once said so trenchantly, "I have more respect for a man and woman who lets me know where he or and she stands, even if he is wrong, than the one who comes up like an angel and he is nothing but a devil." So, I thank for not mincing words.

I have added just few words (in red) to Malcom X's

I didn't wanna start following your lead here on this effort to rout gender bigotry only to find out rather late that your valiance and principles have a limit. Well, now I know where you draw the lines. See, when Martin Luther King Jr. accepted the peace prize during the height of '60s racial excesses in America, that man again, Malcom X, questioned how come they were following a general to a war who all of a sudden was getting gifts from the enemy, before the war was over! After all there was no peace that King's people were enjoying. You know, I was gonna follow you here. So before I hopped on your ship here its a good thing I now know how far you will push the envelope before you jump ship. So thank you again for being blunt with your machinations and alliance-forming intrigues here.

I still expect you to get it better than the rest of 'em. I however get the message being sent (which might not necessarily be for me) to ..... you know who!

See, that's why I could never be a politician. Because you can't possibly be one and have any unshakable code of being. You gotta know how to form alliances, and who to pay homage to, and who not to provoke, and whose bandwagon to hop on, and whose ideological butt to kiss, and who to go to bed with, and all those intrigues of politicians. (I am only using political metaphors here, Mwafrika wa Kike, and I hope and I'm sure you won't take me out of context here, please don't, and you should know that I respect you profoundly; and by the way, your comments that I was among those who intrigued against your presence here couldn't be farther from the truth.)

Rather... the missed point (I bet not by Fundi Mchundo) is that ... not all fighting planes will have black tails...... not all fights will include MOAB's

But anyhow, let me put you on to something, Mwanamke wa Kiafrika, a code that I try to hold on to so fiercely. If you believe in something, Mwafrika wa Kike, if you think, for example, that women should not be disparaged and thumped on, and treated like two-bit trumps, and articles of sex and rumination of man, then you can't possibly put a cap on how far you would go to confront the perpetrators of such dark age mentality. Sometimes there is a purpose bigger than authorities, bigger than owners of a discussion forum, bigger than the law of man. Or of gods. So, while I do not revel in, in fact I do hate, tussling with the mods as much as you do - believe you me I hate it - yet I do not want to sell the core of my being in order to be on the right side of authority. Just wanted to share with you, Mwafrika wa Kike, that that is where I stand. Thanks again for your thoughts.

Getting to what I said about BUBBA... not all fights will include name calling - axis of evils. I declared here and still do, that... I will never engage in a fight with MODS. I will rather send Bill Richardson (use PM or phone) to call their mother's name or threaten their Kids.

I hadnt seen the thread in question by the time you posted here. I however have now seen it... and I dont condone it....that is my stand.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom