Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Status
Not open for further replies.
Ninapokea kimemo kanasema haya hapa chini .


Mgogoro baina ya Masha na Mengi ni mgumu kiasi. Mgogoro huu unaashiria kufikia ukingoni kwa zama za CCM kuwaamuru wafa nyabiashara kama wanavyotaka.
Masha ana maovu ambayo anataka yasijadiliwe kwa undani hata kidogo. na Hivyo anaona njia pekee ni kumparamia Mengi ambaye vyombo vyake vya habari vimekuwa vikiwanyima CCM usingizi siku za hivi karibuni.

Siri kubwa iko kwenye namna Masha kama Advocate alivyoiestablish Meremeta na kuiua ikiwa imekunywa USD 10,000,000 za nchi yetu. Masha anajua wazi katika vyombo vitakavyo mkaanga ni vya Mengi This Day na Kulikoni na mengineyo. Huo ndiyo mzizi wa mgogoro wao.

Hata hivyo Mashga ni kivuli cha viongozi kadhaa wa CCM pamoja na wahindi wanaoifadhili CCM.


Je kuna mwenye nyongeza wakubwa hapa jamvini ?
 
Kuhani is being his pugnacious self.

And that Malcolm vs. Martin stuff is so low, and Malcolm was simply being a self imposing jackass, with all due respect. Just like Masha is being right now.

It is one thing not to agree with cooperation/ segregation. It is quite another to impose your views on others.

Just like that preaching woman who pissed me off so much on the way to work today.I was like Lady, some of us do not believe in the lord and all that crap, enough already, keep it to yourself, or on a street corner or something, not on a subway car where you practically hold everybody hostage to your brimstone and sulphur fire doctrine of fear.

So I am sorry Kuhani, brother Malcolm was being very divisive among the AA community.

Sorry to go on a tangent, but nobody -I should say nothing- is beyond "The Holy Spirit's" reproach.
 
Bottom line Masha kutoa a Gestapo like siku saba ni bonge la joke, anaturudisha mwendo wa ki Lyatonga-Lyatonga usawa huu? "Msomi" mzima?

Lyatonga alikuwa na excuse, shule hajaenda vizuri, sasa huyu UDSM-Georgetown graduate excuse yake nini?
 
Nyani,

Wanavyo sin wenyewe ni kwamba hakujihisi kwamba ni yeye (how shameless) na kwamba alitoa tamko katika capacity yake kama waziri muhusika.

Mi naona however you cut this, haya mambo ya police state kama hatuna mahakama noma, especially kwa mtu aliyesoma sheria UDSM na kupata exposure ya Georgetown.

Ndiyo maana nikasema angalau Lyatonga ukimsema atakwambia mimi nilikurupuka tu kwenye vyama vya ushirika na security system, sina shule ya nguvu kunipa wigo mkubwa wa kuelewa kuwa waziri hawezi kugeukamahakama.

Masha can never say the same.
 
Kwa wale walio karibu Masha ni vizuri wakamkumbusha kuwa Mzee Mengi ni kipenzi cha Watanzania na yeye anaishi kwa jasho lake mwenyewe kwa kufanya biashara halali.

- This is best quote so far katika hii mada.
 
Bottom line Masha kutoa a Gestapo like siku saba ni bonge la joke, anaturudisha mwendo wa ki Lyatonga-Lyatonga usawa huu? "Msomi" mzima?

Lyatonga alikuwa na excuse, shule hajaenda vizuri, sasa huyu UDSM-Georgetown graduate excuse yake nini?

Pundit this is irrelevant..As if matatizo yote ya ufisadi na umasikini tumeletewa na wale wasioukuwa na elimu...To me thats wrong.
Kwanza uelewe kuwa tatizo sio siku saba...Tatizo ni mazingira ya siku hizo saba,issue yenyewe na bila kusahahu mtu mwenyewe...Mrema alitowa siku saba kwa majambazi na alikuwa popular kwasababu hiyo...So tatizo Mengi si jambazi na hivyo amri ya Masha ni butu na isiyokuwa na nia njema...Thats it...Usidhani kuwa ni kwasababu eti Mrema hakusoma kama unavyodai na kuwa eti ndiyo sababu ya misjudgement ya Masha.
Angewapa kina RA siku saba ndiyo ungeshangaa playbook ya Mrema itakavyokuwa popular.
 
Baada ya kufuatilia habari za mheshimiwa toka alipoenda keko "kuwasalimia" waheshimiwa, na kauli amabzo amekuwa akitoa baada ya tukia hilo, na mambo mengine yaliyofuata baada ya hapo especially hili la Mengi, linanifanya niendelee kula matapishi yangu kuhusu zamu ya vijana kuwa madarakani. Mimi simfahamu mheshimiwa hata kidogo, namfahamu kwa habari zake ninazosikia JF, kwenye vyombo vya habari na kwenye blogs chafu kutokana na habari hizo, akiwa ni waziri mwenye dhamana na moja ya wizara nyeti, na kijana mwenye nguvu, msomi na asiye maskini wa fedha, mwenendo wake umenisikitisha sana. Umenisikitisha simply because matumaini ya neno vijana ndani ya serikali nilikuwa nimeweka kwake, i was hoping kama angeprove kwa old school kwamba vijana can do it, in new and better way, lakini that is not what i see. Naona mtu anarudi kwenye politics ambazo hata wazee wameachana nazo. Kutoa altmatum ya siku saba ni Mrema style, ambayo ni kichekesho kitupu, ambayo mtu mwenye busara hawezi kuitumia. Malumbano kwenye vyombo vya habari, ni lowest thing ambayo kiongozi anaweza kufanya, yeye ana madaraka makubwa why don't he just talk to Mengi directly. Kama alikuwa na uwezo wa kwenda keko na kuwasalimia waliokuwa mule ndani, nini kilimshinda kwenda kwa Mengi na kumwambia aviambie vyombo vyake vya habari viache kutumiwa kupamabana na ufisadi? angeweza kufanya hivi kwa njia nyingi tu, hii ya kutoa altimatum ni ya kusikitisha sana. I am worried kuwa kama akiendelea kuwepo kwenye Cabinet huenda itaanza kuonekana kituko.

- Mkuu maneno yako ni yale yale, yaani popular hapa JF lakini yako mbali sana na ukweli wa ishu as I know, Mengi ametoa taarifa zake kwenye media na waziri amewakilisha msimamo wake ambao ni wa serikali kwenye media, my concern ni for how long Mengi ataruhusiwa kuendelea kui-undermine serikali, wananchi na viongozi wake kwa kutumia media zake, hilo kwangu ni very important ishu, kwa sababu mind you sio Mengi peke yake wmenye media bongo, lakini hatujawahi kuwasikia wengine!

- Mengine ya waziri kama ulivyosema siwezi kuyatetea kwa sababu siyajui sana na sijayathibitisha uwkeli wake, kwa nini alienda rumande kwa kweli sijui, kwa nini asliema nini sijui, mimi tatizo langu ni sheria kuchuku mkondo kwenye hii ishu ya sasa na Mengi, so far isjui nani kati yao mwenye makosa kisheria, lakini ninasubiri kwa hamu kuona haki ikitendeka, ingawa kwa maoni yangu ambaypo sio maarufu sana hapa ni kwamba nina wasi wasi na the way Mengi anavyojaribu ku-undermine our demokracy na media zake.

Lakini pia sina tatizo na mawazo yako, kwa sababu ninaamini kuwa yako genuine.

Thanxs!
 


- Again kwenye hii ishu yake na Mengi, ninataka sheria ichukue mkondo tu na sio anyhting else



...mimi tatizo langu ni sheria kuchuku mkondo kwenye hii ishu ... so far isjui nani kati yao mwenye makosa kisheria

FMES naomba nikuulize hivi:

Umewahi ku comment chochote kuhusu sakata la kina Mramba na Yona au umekuwa ukinyamaza na utaendelea kusubiri mpaka tujue mwisho wake mbele ya sheria ?

Maana unasema hujui mwenye kosa kati ya Waziri na Mengi. Sasa unamchomtetea Lau hapa sijui ni nini, ni hii proposition kwamba tunyamaze tusi comment mpaka kesi iishe, sio ?

Wewe huwa una subiri kesi za kisheria ziishe ndio u comment au kwa sababu huyu wa leo ni Lau ?

Ikiwa unasema hivyo kwa sababu ni Lau ina maana umemweka mshikaji mbele zaidi ya maneno ya siku zooote hapa oooh Taifa this Taifa that. Utakuwa mnafiki. Mshikaji kama kachemka hateteeki mchunie!!

Wewe huwa unasubiri kesi ziishe ndio u comment ? Umewahi ku comment ya Mramba ?
 
FMES naomba nikuulize swali.

Umewahi ku comment chochote kuhusu sakata la kina Mramba na Yona au umekuwa ukinyamaza na utaendelea kusubiri mpaka tujue mwisho wake mbele ya sheria ?

- La yona na Mramba ni a home run ishu, Yona amehusika na Mkapa kununua Kiiwira, Mramba amehusika na mambo mengi sana ya kihalifu na besides tayari wamefikishwa kwenye sheria tayari na kusomewa mashitaka, kwenye hili sijawahi kuwa na tatizo ku-comment,

- Lakini hili la waziri na Mengi, bado ni complex sana kwangu kwa sababu najua kuna siasa na sheria involved, wote wamesema kwenye media na wote wanadai wana sheria upande wao, hapo ndipo ninapokuwa na tatizo kutoa hukumu nzito bila all the facts, Mengi alipoanza kusema nilisubiri serikali kujibu na ikajibu, sasa nataka kwanza nione siku saba zitakuwaje, na nini kitafuata,

- Until then kwa maoni yangu binafsi on the ishu, nina wasi wasi sana na Mengi na tabia zake mpya maana mpaka leo bado I am troubled tena sana na jinsi alivyowarekodi wale mashehe, halafu sasa this one kwangu ni kama vile Mengi anaanza kua another serikali ndani ya serikali, now sina maana kwamba waziri au serikali huenda ikawa ina makosa, hapana ninaamini kwamba kama wkeli kuna waziri amefanya anayoyasema Mengi basi asemwe wazi na achukuliwe sheria haraka sana, now ninaelewa kwamba msimamo wangu huu ni very unpopular hapa JF, lakini niko comfortable nao sana mkuu.

Ahsante.
 
Maana unasema hujui mwenye kosa kati ya Waziri na Mengi. Sasa unamchomtetea Lau hapa sijui ni nini, ni hii proposition kwamba tunyamaze tusi comment mpaka kesi iishe, sio ?Wewe huwa una subiri kesi za kisheria ziishe ndio u comment au kwa sababu huyu wa leo ni Lau ?

Ikiwa unasema hivyo kwa sababu ni Lau ina maana umemweka mshikaji mbele zaidi ya maneno ya siku zooote hapa oooh Taifa this Taifa that. Utakuwa mnafiki. Mshikaji kama kachemka hateteeki mchunie!! Wewe huwa unasubiri kesi ziishe ndio u comment ? Umewahi ku comment ya Mramba ?

- Nimetetea the background ya Lau, on education na kazi as much as I know, lakini sijatetea anything as waziri kwa sababu sijui ana makosa gani so far yaliyothibitishwa kama Yona na Mramba,

- Siwi mnafiki kwa sababu ya kukataa unayotaka wewe au forum kwa ujumla ya kuhukumu bila facts au dataz, so far sielewi alichochemsha kama unavyosema, Mengi amesema na serikali imejibu kila upande unadai una sheria upande wake sasa mkuu unataka nichune nini hasa hapo?

- Naomba uniamini kwamba Lau akipatikana na maovu siwezi kumsamehe, maana huko nyuma nimegombana sana na Bob Mkandara kuhusu Mama Mongella, ambaye ni rafiki yangu sana, Bob alisema siku nyigni sana kuwa ana matatizo, nikambishia sana na hata rafiki yangu wa karibu sana Kamando, aligombea naye ubunge na kushindwa, aliniambia hivyo hivyo kama Bob kuwa huyu mama ana some problems, pia nikamkatalia mpaka ilipokuja thibitishwa kua kweli ana some problems, sikusita kusema wazi kwamba I was wrong na kumchunia, otherwise ikithibitishwa kwamba Lau ana problems basi nitakwua wa kwanza ksuema wazi hapa wkamba ninamchunia, na wewe unajua kwua sina tatizo kukubali kushindwa na ksuema wazi.

Thanxs!
 
1.
Quote:
‘‘Kilichoishtua serikali ni kumsikia Mengi akizungumza kuhusu mambo yaliyojadiliwa katika kikao kimoja nyeti cha kitaifa kinachohusisha watu wazito. Sasa jamaa walichofanya wanataka kumlazimisha Mengi amtaje mtu aliyempa taarifa hizo ili hatua za kinidhamu zichukuliwe dhidi yake,” kilisema chanzo kimoja cha habari.

2.
Quote:
Kundi moja la wadadisi wa mambo, wanakielezea kitendo cha waziri kupendekeza mfanyabiashara kuhujumiwa kuwa ni hatua ya kihalifu ambayo haipaswi kuungwa mkono kwa namna yoyote na serikali ambayo imeruhusu kisheria ushindani wa kibiashara katika misingi ya haki.

- Mkuu hapa ndipo pananifanya niwe na msimamo nilionao, maana hayo mambo mawili hapo juu ni hatari sana kuwepo kwenye demokrasia ya kweli tunayoililia Tanzania, kwa hiyo ni lazima yapatiwe ufumbuzi.
 

... Lakini hili la waziri na Mengi, bado ni complex sana kwangu kwa sababu najua kuna siasa na sheria involved, wote wamesema kwenye media na wote wanadai wana sheria upande wao, hapo ndipo ninapokuwa na tatizo kutoa hukumu nzito bila all the facts, Mengi alipoanza kusema nilisubiri serikali kujibu na ikajibu, sasa nataka kwanza nione siku saba zitakuwaje, na nini kitafuata

Kwa hiyo ina maana kwenye hili swala wewe huna opinion, unasema huna facts za ku formulate opinion. Sasa unachotaka hapa ni nini, wenye opinion wasi comment ? Unachobishia hapa ni nini hasa hasa kama huna opinion?

-Until then kwa maoni yangu binafsi on the ishu, nina wasi wasi sana na Mengi na tabia zake mpya maana mpaka leo bado I am troubled tena sana na jinsi alivyowarekodi wale mashehe, halafu sasa this one kwangu ni kama vile Mengi anaanza kua another serikali ndani ya serikali,

Sasa na wewe kumbe unaangalia record ya nyuma ya Mengi, na hapa chini ulisema nini ?


mimi tatizo langu ni sheria kuchuku mkondo kwenye hii ishu ya sasa na Mengi

Una flip flop ?

Unadhani na sisi wengine tuna haki ya ku raise issues juu ya swala nzima la credibility, background na mwenendo mzima wa Lau kama vile ku dogde National Service na ufisadi wa law firm yake au unadhani hayo hayahusiani na yasiongelewe katika kutathmini tabia ya huyu Waziri katika haya ya Mengi ?
 
1.

- Salim aliandikwa vibaya na gazeti moja bongo akalishitaki na kulishinda, kwa hiyo sio ajabu, ya kuajiriwa kwa Ridhiwani siyajui. Kwamaba natihsia magazeti ya Mengi hapana anasimamia sheria ingwa kwa mtizamo wako unaweza kuona kama unavyoona sio tatizo tukakosa kukubaliana hapo maana wkangu hapo anatimiza wajibu wake kama waziri wa jamhuri, unless kama unaijua sheria aliyoivunja na what he has done so far! Na ninaamini kwamba matokeo ndio yataamua, ingawa ni hakli yako kuamini unavyotaka, mimi huwa sina tabia za ku-band wagon huwa ninatafuta ukweli kwanza, lakini pia I am troubled na tabia mpya za Mengi za kutumia media yake kutihsia amani za wananchi, na hasa toka wkenye ile ishu ya Mashehe hata kabla ya hii, infact nilikuwa kwenye uchgunuzi mkubwa sana kuhusu ile ishu, ndio ikatokea hii ishu ambayo imeni-trouble zaidi.

2.

- Hapa ndipo unapoonyesha your true colors, waziri wa jamhuri ni wajibu wake kusimamia usalama wa wananchi Mengi included, ila again ni haki yako kuamini kama unavyosema hapo juu!

3.

- Mpaka kwenye hii stage bado ninampa waziri a benefit of the doubt na hii ishu, na bado ninaamini so far kuwa ana-act on the law side as serikali, na pia bado ninaamini haki ya Mengi kulalamika, lakini siungi mkono kabisa the way he did it kwa sababu inaweza kuleta uharibifu wa amani kwa taifa, kwa sababu kila mwananchi akiamua kuanza kutoa accusations kwenye vyombo vya habari hovyo hovyo litakwua taifa gani hili?

- Defensive? Hapana kuna wanaotaka kuniweka huko kwa nguvu, lakini ninajua where I stand, ninataka heshima kwa the rule of law, ninasema hivi kati ya Mengi na waziri mmoja wapo ana makosa kisheria ninataka sheria ichukue mkondo wake, ila in the meantime nikiwa ninasubiri sheria nina haki ya kutoa maoni yangu on this kesi nayo ni kwamba ninatatizwa sana na tabia mpya za Mengi za kujaribu ku-intimidate taifa na media zake, hayo ni maoni yangu na wewe una yako, ila so far sijaya-fault mawazo yako, na ninaogopa sana kuwa bendera fuata upepo kama ninavyoona wengi hapa, halafu nilitegema utaheshimu sana msimamo wangu maana so far umeufikisha huu mjadala hapa, maana ninaheshimu sana mchango wako.

Thanxs!

Mkuu FMES, jee unaamini asilimia miamoja kuhusu Uhuru wa Habari? Na kama una respect uhuru wa habari, nadhani utakubaliana na mimi kuhusu public judgement. Kama magazeti ya mengi hayako fair nadhani ni haki ya public kurespond na sio haki ya waziri.

Swali langu kubwa ni mmoja tuu Mkuu, Jee unaona any wrong doing kutoka kwa Masha katika hii case? Na kama hivyo what is it?
 
Kuna watu wana roho ngumu,duh ! Mtu anapewa za mbavu lakini bado yupo.Anakuwa kama waziri wa habari wa Iraq wakati vita vinaaza tunaonyeshwa majeshi ya US na washirika wake wanashikiria airport yeye anasema no sio hivyo ,alikuwa ananipa raha sana yule.
Ila safi tunajifunza mengi hapa tukisubiri news.Wenye kuendelea waendelee ila naona hapa Fundi Mchundo kaachwa uchi ,naomba akanushe tehe tehe tehe.
 
Are serious? If so, how?

I guess the question is "Are you serious?"

Katika tamathali za semi na sarakasi za lugha kuachwa uchi ni kuwekwa mambo yako ambayo si vyema yakawa hadharani pasipo ridhaa yako (wangine huita too much information)

Sasa hii habari ya kujikomba kwa mke wa balozi,sijuhi kumuendesha mwanamama wa BBC toka NYC to boston na nyingine ambazo zimetajwa na mtoa shutuma.
Kwa kuwa Fundi Mchundo aligoma kuwa haendeshi gari ,natoa wito akanushe tena hili pamoja na nyongeza ya shutuma zingine.
 
Kwa kuwa Fundi Mchundo aligoma kuwa haendeshi gari ,natoa wito akanushe tena hili pamoja na nyongeza ya shutuma zingine.


Penye ukweli huongo hujitenga. Nadhani Macho yako yanahitaji miwani kuona nani kavaa nguo.
 
Penye ukweli huongo hujitenga. Nadhani Macho yako yanahitaji mwani kuona na kavaa nguo.

Nadhani unamaanisha miwani!

Kweli kuhusu kwenye ukweli uongo hujitenga uko sahihi.Ok kwa hiyo Fundi mchundo asikanushe?
 
Hivi Siku 7 zimekwisha au la?....

Kwa Maoni yangu...Mengi Kama alikuwa na ushahidi kwanini Hakwenda Mahakamani...au ndio kutafuta attentions na sympathy za wananchi...?...Angeunguziwa Products zake kama Bakhresa ingekuwaje....

Sijui wapi Masha kazungumza hii issue ya Kodi dhidi ya Mengi...kwa kuwa Masha mlevi kuna uwezekano mkubwa akawa kaitoa hio statement ktk Vikao vya ULEVI...

Ikiwa Masha kaizungumza ktk VIKAO rasmi vya SERIKALI...basi hapo kuna mambo ya msingi ya kuyaangalia.....Nadhani pia kama Mengi anajua hili limezungumzwa huko, basi hata yeye anakhoufu kwenda Mahakamani asije ulizwa Habari hizi nani kakupa...na hapo ndipo mzozo utakapokuwa mkubwa!!!!.....Let us wait n see the GAME in the court.
 
1.
Kwa hiyo ina maana kwenye hili swala wewe huna opinion, unasema huna facts za ku formulate opinion. Sasa unachotaka hapa ni nini, wenye opinion wasi comment ? Unachobishia hapa ni nini hasa hasa kama huna opinion?

- Mengi alizungumza kwanza, mkaanza kuruka na hukumu nzito nzito even though Mengi hakutaja jina la waziri, hapo ndipo nilipokuwa na tatizo, sasa serikali ilipojibu bado mkaanza mashambulizi tu na hasa kudai kuwa background ya waziri ina utata ndipo nikasimama kuiweka sawa, hayo mengine yako wewe sio yangu, otherwise nina-enjoy huu mjadala sana maana ninajifunza mengi sana.

2.
Sasa na wewe kumbe unaangalia record ya nyuma ya Mengi, na hapa chini ulisema nini ?

- Wewe umejaribu kuangalia record ya nyuma ya waziri kwa kusema uongo, mimi ninaingalia record ya nyuma ya Mengi kwa ku-examine ukweli huoni kuwa kuna tofauti kubwa hapo?

3.
Una flip flap ?

- Ukisoma betweeen the lines utaona nani kati yangu na wewe mwenye tatizo la ku-flip flap!

4.
Unadhani na sisi wengine tuna haki ya ku raise issues juu ya swala nzima la credibility, background na mwenendo mzima wa Lau kama vile ku dogde National Service na ufisadi wa law firm yake au unadhani hayo hayahusiani na yasiongelewe katika kutathmini tabia ya huyu Waziri katika haya ya Mengi ?

- Uyafanye hayo kwa kusema ukweli, sio uongo, ndio maana nipo hapa kusimamia ukweli ingawa ninaelewa kuwa ni very unpopular lakini ni tabia yangu kusimamia ukweli bila kujali wengi wanasema nini, na nina -enjoy sana hii debate so far.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom