Wasifu wa Masha: Maswali na Majibu

Wasifu wa Masha: Maswali na Majibu

1.
FMES don't use the pretext ya kuwa a "concerned citizen" wakati unamdefend rafiki yako...Just come out and defend The Honorable Minister like a good friend is supposed to do..

- Okay lets say huu ni ukweli ingawa sio, what is the beef? kuna crime?

2.
Ad in turn he might throw you another shindig at Trinity lol

- Hatakua wa kwanza maana hata humu JF yameshanitokea, ingawa hawakuwa real friends, so what life goes on!, au Bwa! ha! ha! ha! ?

Ni about familia nzima it is not about Lau na uwaziri hapana tunawasamehe those who prove to be real friends, maana it takes a lot kwangu kuita someone a real friend na Lau is a friend.

Thanxs kwa ushauri!
 
- Mkuu sometimes kujua kwingi huharibu maarifa, nina mshikaji wangu anayeitwa Johne Paul, kijana mwanamapinduzi aliyeongoza machafuko dhidi ya Mobuttu, akiwa rais hata jina lake tu ni matatizo kuandika lakini yuko World Bank, unataka nikutajie wabongo wanaozuga kule W/B, acha hizi mkuu heshimu elimu za watu na naafasi za watu kutokuwa nazo haina maana ya kuwachukia walionazo hata unakosa heshima angalau kidogo.

Hakuna mtu aliyesema hakuna wabongo, wanamapinduzi wanaofanya kazi WB. Wao wanapata kazi kutokana na taaluma zao na mahitaji ya WB. Huyo rafiki yako, hata kama aliongoza machafuko dhidi ya Mabuto kama kitaaluma ana-fit mahitaji ya WB , ataajiriwa. Hakuna cha kushangaza hapo. Tofauti ya WB na uwaziri Tanzania ni kuwa ni Rais wa Tanzania halazimiki kuangalia taaluma ya mtu anapomteua kuwa waziri. Ni uamuzi wake pekee na sio wa mtu mwingine. Kama dereva wa Masha, akigombea ubunge akafanikiwa, basi Rais anauwezo na haki ya kumteua kuwa waziri kama akipenda. Lakini dereva wa Masha akitaka kazi WB, nafasi anayoweza kuajiriwa baada ya usaili na kuonekana ana uwezo na sifa stahili ni udereva na si ukurugenzi.

- Lau alipoondoka US kurudi bongo, alikua amepewa ajira World Bank, lakini hakuenda kuichukua au kufanya kazi alivyokuwa amewaomba, aliamua kurudi bongo, kwenye hili unaweza ukasema anything you want na ukasaidiwa na forum nzima kama ninavyoona ila siwezi ku-move kwa sababu ninajua for a fact, tena 100% truth.

Ajira inaanza unaposaini mkataba na mwajiri. Kwa vile Masha hakusaini mkataba, basi hajawahi kuajiriwa. Mwajiri anachofanya ni kukupa ofa ya ajira ambayo unaweza kukubali au kukataa. Ukikubali, unaingia nae mkataba na hapo ndio ajira inaanza. Pamoja na hili ulisema kuwa Masha alikuwa anasubiri Green Card ndiyo akaanze ajira. Hii imethibitishwa kuwa ni uongo maana hauhitaji Green Card kupata ajira WB. Ulichopaswa kufanya ni kutuhakikishia ni kuwa Green card ni condition moja wapo ya kuajiriwa na WB. Kitu ambacho hauwezi maana tunawajua wengi walioajiriwa na WB ( watanzania waliosomea Marekani) bila ya kuwa na Green card.

- Kwamba unanichukia hapana ila unamchukia Lau kwa sababu kwanza umri wake ni mdogo kuliko wako kulinganisha na aliyokwisha yaa-accomplish kwenye maisha, pili ana elimu kubwa kuliko yako, tatu ni kiongozi wewe sio na ungetaka kua kiongozi kama yeye, na unathibitisha na maneno yako hapa JF kuhusu chuki zako dhidi ya Lau, au mtu yoyote anyekuzidi usiyokuwa nayo na unayoyataka, lakini huna haya yote yanathibitishwa na maneno yako hapa forum.

Nitamchukiaje masha ambae simjui? Kuwa waziri Afrika akiwa na umri huo nacho ni kitu cha kustaajabikia? Mimi nawaonea wivu wakina Robert Nesta Marley, Malcolm X, Martin Luther King, Julius Nyerere,Thomas Sankara, Mandela, Tupac Shakur, Bill Gates na wengine wengi walio-achieve mengi katika umri mdogo kuliko huo wa Masha. Masha ana Master's. Wewe unajua mimi nina elimu gani? Au kwa sababu najiita Fundi Mchundo? Na hata kama nina FTC, kwa nini nimuonee wivu Masha? Sasa hao wakina Dr. Slaa, Obama, Rice basi si itabidi nikatafute kamba nijinyonge kwa wivu?
Masha amekuwa Meneja wa Amusement Park, Corporate Secretary na MD wa kampuni ndogo ya serikali ambayo aliiacha ICU, amekuwa patna katika kampuni ya kisheria inayotuhumiwa mengi tu, amekuwa mbunge na amekuwa waziri. Katika yote haya sijaona cha kumwonea wivu maana mimi si wakili wala mbunge. Namheshimu kwa mafanikio yake lakini simuogopi, simnyenyekei, simsujudii wala kumwonea wivu maana haleti hata iota moja ya tofauti katika maisha yangu. Simjui. Hanijui.


- Ya kuchukiwa ni maneno yako ya chooni ambayo hayana msingi, unajua ninachokisema wazi kwamba una chuki binafsi na Lau, mimi hata ukinichukia huwezi kunisaidia anything wala kunipunguzia anything ila unajiletea machungu ya bure na masha yako maana I could care less, labda kama huna ukweli kama unavyoonyesha kwenye maneno yako mengi ya chuki na wivu ni bora kama ulivyosema mwenyewe u-shut up!, maana huwezi kinifanya niseme uongo wakati ninaujua ukweli,

Matatizo yako hayakusababishwa na waziri wa Lau, na kama huna hoja ni bora ukafunga mdomo ukatuachia tuendelee na mjadala kama tulivyoanza.

Matatizo yako ni kuwa kila unaposhindwa hoja unaingiza maneno yasiyo stahili. Unasema namchukia Masha kwa sababu nasema hajawahi kuajiriwa na WB? Unasema namchukia Masha kwa sababu nasema amekosea kwenye kauli yake dhidi ya Mengi? Mbona hata huyo Mengi nilipinga kauli yake ya mwanzo? nae namchukia? Unasema namchukia Masha kwa sababu nakataa kuwa katutendea fadhila kurudi na kufanya kazi Tanzania? Kama ni hivyo, basi nitawachukia wengi maana si Masha peke yake aliyerudi Tanzania. Narudi tena, sina ugomvi, wala uhusiano wowote na masha au mtu yeyote tunayemjadili katika hili jamvi. Mimi namkosoa ( na kumsifia ikibidi)mtu kwa vitendo vyake na si kinginecho. Masha akifanya jambo ambalo linastahili pongezi sitachelea kumsifia. sasa wewe unamsifia Masha kwa sababu uliwahi kumuendesha, ni rafiki wa familia, unamjua na kuaminiwa na mama yake na baba yake, alikufanyia pati kubwa n.k. Kwangu mimi vyote hivi unavyovisema havimfaidii mtanzania wa kawaida. Nitamsifia akifanya vitendo vya kumsaidia huyo mtanzania. Hayo ya ukaribu nakuachia wewe.

Kama nilivyokuasa hapo awali, nionyeshe katika mabandiko yangu wapi nimeonyesha kuwa nina wivu au chuki dhidi ya Masha au wewe? Kupingana na kukosoana si chuki. Ni katika kujaribu kusaidiana. Nimempinga Mkandara kwa maneno makali tu hivi karibuni lakini hajawahi kusema kuwa namwonea wivu au chuki binafsi. Jifunze kwake ili ujue maana ya mjadala na utu uzima.

Sasa wewe unayeniambia maneno yangu ni ya chooni, irrelevant, nonesense ( BTW ni nonsense) n.k. ndiyo niseme unanichukia na kunionea wivu? Kwa kitu gani? Ufundi mchundo wangu! Basi itakuwa kazi. Ningekuwa Profesa ingekuwaje basi? Maisha ni mafupi mno na tupo hapa kuelimishana na kufurahishana. Hakuna haja ya kuingiza chuki na matusi. Haimsaidii mtu.

Amandla.....
 
1.
Hakuna mtu aliyesema hakuna wabongo, wanamapinduzi wanaofanya kazi WB. Wao wanapata kazi kutokana na taaluma zao na mahitaji ya WB. Huyo rafiki yako, hata kama aliongoza machafuko dhidi ya Mabuto kama kitaaluma ana-fit mahitaji ya WB , ataajiriwa. Hakuna cha kushangaza hapo. Tofauti ya WB na uwaziri Tanzania ni kuwa ni Rais wa Tanzania halazimiki kuangalia taaluma ya mtu anapomteua kuwa waziri. Ni uamuzi wake pekee na sio wa mtu mwingine. Kama dereva wa Masha, akigombea ubunge akafanikiwa, basi Rais anauwezo na haki ya kumteua kuwa waziri kama akipenda. Lakini dereva wa Masha akitaka kazi WB, nafasi anayoweza kuajiriwa baada ya usaili na kuonekana ana uwezo na sifa stahili ni udereva na si ukurugenzi.

- Unajau Fundi nimekupa break kwa muda mrefu sana unanitukana sana humu ninakuheshimu, sasa ninaivua kuanzia leo nimenawa mikono na ninaivua na kucheza kama unavyotaka, hata dereva wa bibie wa BBC aliyemuendesha mpaka Boston na DC kwa ujira mdogo sana na kwa siri, anaweza kuwa waziri pia akigombea tu ubunge, World Bank kuna qualifications mbali mbali kulingana na mahitaji yao, kwa hiyo hoja mufilisi World Bank wanaajiri kulingana na matakwa yao sio anything, na anybody anaweza kuajiriwa kwa hiyo kuajiriwa kwa Lau hakuwezi kuwa big deal unless mtu ana chuki na wivu naye!

2.
Ajira inaanza unaposaini mkataba na mwajiri. Kwa vile Masha hakusaini mkataba, basi hajawahi kuajiriwa. Mwajiri anachofanya ni kukupa ofa ya ajira ambayo unaweza kukubali au kukataa. Ukikubali, unaingia nae mkataba na hapo ndio ajira inaanza.

- It does not matter, Lau alitumiwa barua ya ajira, na nikaiona na tukakaa chini na kujadili, hayo ya kusaini miktaba na the rest kwangu ni chuki na wivu tu, maana kijana mdogo kakushinda, maendeleo makubwa sasa umebakiwa na chuki na wivu, unajua kua huwezi fanya kazi World Bank hata siku moja, unajua kua huwezi kuwa waziri hata siku moja sasa ni kuwa na chuki na unaowajua wenye kufikia unayoyataka na usiyoyaweza, what a waste!

3.
Pamoja na hili ulisema kuwa Masha alikuwa anasubiri Green Card ndiyo akaanze ajira. Hii imethibitishwa kuwa ni uongo maana hauhitaji Green Card kupata ajira WB. Ulichopaswa kufanya ni kutuhakikishia ni kuwa Green card ni condition moja wapo ya kuajiriwa na WB. Kitu ambacho hauwezi maana tunawajua wengi walioajiriwa na WB ( watanzania waliosomea Marekani) bila ya kuwa na Green card.

- Baada ya kupata barua ya World Bank, Lau aliwaarifu kwua hawezi wkenda kwanza anasubiri green card yake ambayo iko njiani, as alivyokuwa ameahidiwa na Immigration, alipoipata akishia kubadili mawazo, I was there, sasa you can spin na kubadili maneno ya kuweka uongo as much as you want lakini bure ukweli unasimama sijaema unayosema ila ni uzushi wako na wivu na chuki za binafsi against Lau, na wivu na chuki kama zako ambazo hazina mipaka huwa zinawafikisha walionazo hapo ulipo tu na sio zaidi! Ni tabia zako kuwa na chuki sana na watu huku ukijifanya kucheka cheka lakini maskini ya Mungu hujui watu wenye akili walishakushitukia siku nyingi sana na zile tabia zako za kujikomba komba sana kwa ma-diplomat, muache Lau, amekushinda kubali yaishe!

4.
Nitamchukiaje masha ambae simjui? Kuwa waziri Afrika akiwa na umri huo nacho ni kitu cha kustaajabikia?

- Lakini unajua kwua Playland ni amusement park, as if unazo kumbe ni bure, kumjua au kutomjua inasaidia nini kwa mtu mwenye wivu na chuki kwama wewe na unavyoonyesha na maneno yako humu? Wivu na machuki tu Lau ni kijan mdogo sana lakini amekuzidi sio kwa sababu ya uchawi, hapan ila kwenye maisha tunazidiana uwezo na ni kawaida siuo lazima kua na chuki!

5.
Mimi nawaonea wivu wakina Robert Nesta Marley, Malcolm X, Martin Luther King, Julius Nyerere,Thomas Sankara, Mandela, Tupac Shakur, Bill Gates na wengine wengi walio-achieve mengi katika umri mdogo kuliko huo wa Masha. Masha ana Master's. Wewe unajua mimi nina elimu gani? Au kwa sababu najiita Fundi Mchundo? Na hata kama nina FTC, kwa nini nimuonee wivu Masha? Sasa hao wakina Dr. Slaa, Obama, Rice basi si itabidi nikatafute kamba nijinyonge kwa wivu?
Masha amekuwa Meneja wa Amusement Park, Corporate Secretary na MD wa kampuni ndogo ya serikali ambayo aliiacha ICU, amekuwa patna katika kampuni ya kisheria inayotuhumiwa mengi tu, amekuwa mbunge na amekuwa waziri. Katika yote haya sijaona cha kumwonea wivu maana mimi si wakili wala mbunge. Namheshimu kwa mafanikio yake lakini simuogopi, simnyenyekei, simsujudii wala kumwonea wivu maana haleti hata iota moja ya tofauti katika maisha yangu. Simjui. Hanijui.

- Unamheshimu kwa mafanikio yake, kila akitajwa hapa wa kwanza kumtukana, ni wivu na chuki kwa sababu unamjua wasiomjua hawana chuki na wivu kama maneno yako ya kiroho mbaya na mtu mwingine kama unavyosema humjui, usiowajua tunaona maneno yako mkuu, kijana mdogo amesoma kuliko wewe, na pia ana maendeleo kuliko wewe wivu na chuki haviwezi kubadili anything. Yeh ni kijan mdogo na mbunge na wewe ungependa kwua kama yeye ndio maana una wivu na chuki na majungu yasiyo na mwisho na Lau acha hizo mkuu!

6.
Matatizo yako ni kuwa kila unaposhindwa hoja unaingiza maneno yasiyo stahili. Unasema namchukia Masha kwa sababu nasema hajawahi kuajiriwa na WB? Unasema namchukia Masha kwa sababu nasema amekosea kwenye kauli yake dhidi ya Mengi? Mbona hata huyo Mengi nilipinga kauli yake ya mwanzo? nae namchukia? Unasema namchukia Masha kwa sababu nakataa kuwa katutendea fadhila kurudi na kufanya kazi Tanzania? Kama ni hivyo, basi nitawachukia wengi maana si Masha peke yake aliyerudi Tanzania.

- Haya yote ni maneno yako ya uzushi ambayo sikuyasema ila siku zote ukishinda hoja basi ni kujaribu kila njia kubadili maneno, yes unamchukia masha na sio yeye tu ni tabia yako period, haya wadanganye wengine sio mimi, ya kukutenda fadhila ndio uzushi wenyewe huo na utoto at best maana sijawahi ksuema hayo, Lau alikuwa manager wa amusement park wewe ulikuwa manager wa nini huko majuu? Lau sasa ni waziri wewe ni waziri wa nini sasa hivi? Wadanganye wengine bro, punguza chki na wivu maana vinakurudisha nyuma sana bros!

7.
Narudi tena, sina ugomvi, wala uhusiano wowote na masha au mtu yeyote tunayemjadili katika hili jamvi. Mimi namkosoa ( na kumsifia ikibidi)mtu kwa vitendo vyake na si kinginecho. Masha akifanya jambo ambalo linastahili pongezi sitachelea kumsifia. sasa wewe unamsifia Masha kwa sababu uliwahi kumuendesha, ni rafiki wa familia, unamjua na kuaminiwa na mama yake na baba yake, alikufanyia pati kubwa n.k. Kwangu mimi vyote hivi unavyovisema havimfaidii mtanzania wa kawaida. Nitamsifia akifanya vitendo vya kumsaidia huyo mtanzania. Hayo ya ukaribu nakuachia wewe.

- Kuna waliotaka kujua kama ni rafiki yangu nimejibu yote niliyowahi kufanya naye kama rafiki, sasa you can badili them as you want lakini haibadili ukweli kua una chuki naye maana wote mmeishi huko majuu karibu wakati mmoja lakini kijan mdogo amekuzidi kila kona, toka siku ya wkanza uliponirulkia ilikuwa Masha, mpaka leo umo tu na Masha utakufa kuhoro wewe, achana na bwana mdogo huyo anondoka sio size moja tena, it is over and done,

- Ubunge wa mara moja umesisha tena wa ujanja ujanja na kufanya uhuni majuu huko acha mkuu dunia imebadilika ni vijana wadogo sasa, yes ninamjua Lau na ninaheshimu sana maendeleo yake na siku zote ninaheshimu sana wote wenye maendeleo kunishinda lakini siwachukii na kujaribu kubadili amneno maneno ili kuwaharibu majina yao, acha hizo wengi wanakushitukia kama ulikwua hujui mkuu, acha hizo!


8.
Kama nilivyokuasa hapo awali, nionyeshe katika mabandiko yangu wapi nimeonyesha kuwa nina wivu au chuki dhidi ya Masha au wewe? Kupingana na kukosoana si chuki. Ni katika kujaribu kusaidiana. Nimempinga Mkandara kwa maneno makali tu hivi karibuni lakini hajawahi kusema kuwa namwonea wivu au chuki binafsi. Jifunze kwake ili ujue maana ya mjadala na utu uzima.Sasa wewe unayeniambia maneno yangu ni ya chooni, irrelevant, nonesense ( BTW ni nonsense) n.k. ndiyo niseme unanichukia na kunionea wivu? Kwa kitu gani? Ufundi mchundo wangu! Basi itakuwa kazi. Ningekuwa Profesa ingekuwaje basi? Maisha ni mafupi mno na tupo hapa kuelimishana na kufurahishana. Hakuna haja ya kuingiza chuki na matusi. Haimsaidii mtu.

Amandla.....

- Fundi ukmenitukana na kunirushia sana maneno hapa ya hovyo hivyo ambayo sikutegemea maishani mwangu kutoka wkako, lakini nimekua sana na staha kwa sababu ya understanding, mara ya kwanza kabisa ukaniita mpumbavu unakumbuka sana tena ishu kama hii ya Masha, sasa Fundi ninasema hivi at your risk enough is enough, maana nimekuheshimu sana na ilikuwa taabu sana kwangu kukujibu vibaya kwa sababu unazozijua vizuri sana.

- Wewe ndiye ujifunze kwa Mkandara maana mimi sio Mkandara ambaye ninamjua toka utotoni, mara ngapi nimeshindana na Mkandara hapa, hebu waulize wanaoelewa vizuri, lakini hata siku moja hajanirushia maneno ya kijinga wala sijawahi, na bado mpaka leo tunaweza kulumbana na tunaendelea kwua washikaji bila noma, kwa hiyo hili nalo ni nje wewe ndiye wa kujifunza wka Mkandara.

- nimekuambia maneno yako ni nonesene na irrelevant baada ya wewe kuniambia nifunge mdomo, sasa ni wewe uliyeanza maneno ya chooni sio mimi, unaweza ukafundishaana na wengine sio lazima iwe mimi, ila ukiniletea tena maneno ya choooni ya kuniambia nifunge mdomo nitajibu hivyo hivyo sina cha kukusaidia, mimi kukuchukia na kukuonea wivu hapana ulikuwepo siku nyingi sana hapa wala sikukugusa hata siku moja mpaka siku moja niliposema ninamjua Masha kwa karibu ukarukia na matusi ya kuniita mpubavu, since then naona unakuja tuuu mkuu uzalendo sasa umefika mwisho, wewe ni mtu mzima unaelewa ninachokisema, kama huwezi kujadili hoja acha hizi maana hutapenda na you know better than this!

Mkuu Fundi, ninasema tena na tena kwa mara ya mwisho kwamba tuheshimaine kama ninavyojaribu sana kukuheshimusiyataki haya lakini ni wewe ndiye unayenilazimisha, nimenawa mikono bro, ukitaka hoja karibu, lakini ukitaka matusi na kejeli karibu pia, kutoka leo, nimenawa mikono maana sasa uzalendo umenifika mwisho!

Thanxs!
 
FMeS. Narudia. Nimekutukana wapi? Au nimemtukana Masha wapi? Copy na paste matusi yangu ili watu wote wayaone!
 
tik tak tik tak - for wete you well the tyde abydeth no man. Were it not for the synonymy of time and tide in the early uses, one would inevitably be reminded of the most famous example of the tide not waiting for any man, the example of King Alfred sitting on the shore ordering the tide not to come in - Alfred wot well that the tide would not wait on him !!
 
FMeS. Narudia. Nimekutukana wapi? Au nimemtukana Masha wapi? Copy na paste matusi yangu ili watu wote wayaone!


AHSAKWAMBIA ALIKUWA DEREVA WAKE TEGEMEA MENGI TU WACHA MATUSI KAMA UTAMPINGA MASHA
 
Mzee FMES naona sasa mnakwenda kwenye personal factor badala ya kufocus kwenye activities ambazo Mh. Masha amefanya akiwa kama waziri.

I don't think kuna mtu aliye interest kujua Masha alifanya nini akiwa US au World Bank au akiwa Tanzania Oxygen, i believe hizo zote zilikuwa private sectors na hazina any influance na Tanzania. However, am so concern inapofikia swala zima la public services, sababu no matter nini Masha atafanya sasa kitakuwa na effect kwangu binafsi au kwa wanangu in the future and that is why watu wana concern na maamuzi yake.

Sidhani kama itaisaidia Tanzania hata kidogo kushambuliana kuhusu Resume ya Masha, however inaweza kutusaidia kama tutaongelea the way Masha anavyo Craft and Execute strategy kama waziri wa mambo ya ndani. Mh. Masha aliporopoka kutoa siku saba kwa Mengi aseme ni waziri gani aliyemtishia Mengi inaonyesha ni jinsi gani Gorgetown yake, na UDSM yake na his whole resume haijamsaidia chochote. Kesi ingekuwa tofauti kama hii ingekuwa ni mara ya kwanza kwa Mh. Masha kulopokwa kwenye media, however hii ni mara zaidi ya yakwanza.

Sasa usije hapa na kusema someone is better than someone sababu ana three pages resume, i think it's total wrong.

Naamini argument ya watu ni kwamba Masha anatumia cheo chake kutishia normal citizen. Yeye akiwa kama Lawyer au msimamizi wa rule of law ameonyesha udhaifu mkubwa. Ni mategemeo yangu angekuwa ameshatoa statement na kusema kwamba nimekosea and I will work with Mengi kuresolve hili Tatizo. Sasa yeye kukaa kimya na kutegemea kwamba sababu yeye ni status quo then yuko immune na haki is STUPIDY.
 
Maneno yangu

Ulichotaka tuamini kimeonekana si kweli. Basi kuwa mtu mzima na kubali kuwa uliteleza. Kilio chako kuwa haupendwi na unachukiwa haki-hold water anymore. Tetea hoja yako au nyamaza. Ni hicho tu.

Maneno yako FMeS

- nimekuambia maneno yako ni nonesene na irrelevant baada ya wewe kuniambia nifunge mdomo, sasa ni wewe uliyeanza maneno ya chooni sio mimi, unaweza ukafundishaana na wengine sio lazima iwe mimi, ila ukiniletea tena maneno ya choooni ya kuniambia nifunge mdomo nitajibu hivyo hivyo sina cha kukusaidia,



Wapi nimekuambia funga mdomo? Au nilipokwambia utete hoja yako AU unyamaze ndiyo umeona maneno ya chooni?

Nadhani mpaka sasa umeishatambua kuwa posturing zako hazinitishi. Unajisumbua.

Ukidanganya, nitakwambia. Ukileta usanii, nitakwambia. Ukileta hoja nisizozielewa, nitakwambia. Wala usiwe na wasiwasi wa hilo. Na nitafanya hivi bila kukutukana, wala kukuvunjia heshima. Sina chuki na wewe bali sipendi uongo na kufanywa hamnazo.

Amandla........


I don't think kuna mtu aliye interest kujua Masha alifanya nini akiwa US au World Bank au akiwa Tanzania Oxygen, i believe hizo zote zilikuwa private sectors na hazina any influance na Tanzania. However, am so concern inapofikia swala zima la public services, sababu no matter nini Masha atafanya sasa kitakuwa na effect kwangu binafsi au kwa wanangu in the future and that is why watu wana concern na maamuzi yake.

Mtanganyika. Wakati Masha yupo TOL, lilikuwa ni shirika la umma. Lilikuwa halijawa listed bado. Kwa hiyo aliyekuwa analiendesha alikuwa ana dhamana ya investment ya watanzania wote.
 
Aaaaaah wapi, inaweza vunja hata huo 'urafiki' kama hakutumwa.
 
Aaaaaah wapi, inaweza vunja hata huo 'urafiki' kama hakutumwa.
Wewe una hata namba ya simu ya mezani ya mkuu wa wilaya yako?

FMES nipo nawe mkuu,tupe data za washikaji zako mawaziri mkuu.Nakubali data zako kamanda hawa hawajui linaloendelea huko juu kwenu.
 
FMeS. Narudia. Nimekutukana wapi? Au nimemtukana Masha wapi? Copy na paste matusi yangu ili watu wote wayaone!

- Fundi wewe ni mtumzima unaelewa ninachokisema, mimi sijawahi kumuendesha Masha kwa ujira ila kama rafiki,

lakini wewe umemuendesha huyu mama wa BBC kwa ujira, ndicho ninachokisema, kwa hiyo kama udereva nafikiri ni clear dereva ni nani hasa hapa sizunguki mibuyu tena mkuu.

Thanxz!
 
- Fundi wewe ni mtumzima unaelewa ninachokisema, mimi sijawahi kumuendesha Masha kwa ujira ila kama rafiki,

lakini wewe umemuendesha huyu mama wa BBC kwa ujira, ndicho ninachokisema, kwa hiyo kama udereva nafikiri ni clear dereva ni nani hasa hapa.
Thanxz!
Thatts whats up FMES hizi ndio data tunataka kuzisoma mkuu.Kudos FMES
 
Wewe una hata namba ya simu ya mezani ya mkuu wa wilaya yako?

FMES nipo nawe mkuu,tupe data za washikaji zako mawaziri mkuu.Nakubali data zako kamanda hawa hawajui linaloendelea huko juu kwenu.

- Mkuu bahati mbaya mimi ninakula nyama kwa hiyo hatuwezi kwua washikaji na sijisogezi kwa mods ili nipewe nafasi ya kutukana watu bila kufungiwa, najua una nguvu sana humu ndugu yangu kwa hiyo siwezi kubishana na wewe maana yatanikuta makubwa Bwa! ha! ha! ah! ah!

ila ya kwenye maisha yataendelea kwua kama yalivyo, wewe ni wewe na mimi ni mimi, ila again ni aibu kubwa sana kwa sisi JF kutumiwa kwenye vita vya urais wa CCM!

Kuhusu urafiki wangu na viongozi nafikiri hujui so far jinsi nilivyowasadia wengi sana humu ambao hawakuwa na access na baadhi ya viongozi ambao nimewahi kuwasema hapa kua ninawajua, ni majuzi tu nimemaliza kesi nzito sana ya kijana mmoja masikini ya Mungu, aliyekuwa na tatizo na kiongozi mmoja maarufu sana, it is very sad ilivyoisha lakini I am glad kwamba I was able to help kwa hiyo huenda wewe huna faida lakini mkuu jaribu kufikriia na wengine pia, ndio maana sitasita hata siku moja kusema wazi iwapo kuna kiongozi anayeongelewa hapa na ninamfahamu, maana ni tabia ambyo imesaidia wengi sana hapa na nje ya hapa. Na mimi vile vile nimesadiwia na wengine pia wanaojua viongozi nisiowajua, tuache kufikiria kwenye box mkuu!

Ila thanxs kwa concern!
 
Wewe una hata namba ya simu ya mezani ya mkuu wa wilaya yako?

FMES nipo nawe mkuu,tupe data za washikaji zako mawaziri mkuu.Nakubali data zako kamanda hawa hawajui linaloendelea huko juu kwenu.

Ni kweli uliyoandika.

Undumilakuwili, ona sasa hapo juu ilivyokugeuka.
 
FMes,
Katika watu walioandika kuwa urudi ukumbini ni mie hapa. Mengi hadi leo nimejifunza kutoka kwako. Nategemea mengi zaidi kujifunza kutoka kwako. Kila nililolisoma katia hasa zile makala za DATAS, basi hadi leo asilimia kama 80 imekaa kichwani. Jambo moja kila binadamu hapa anafanya ni kuwa tunajifunza kutoka kwa wenzetu.

I wish ningelikuwa na RAFIKI kama wewe (kama ningelikuwa mwana Siasa) maana najua ungelikuwa tayari kufa na mie. Unamtetea Masha ka nguvu zote na wakati mwingine unaacha njia na kwenda mbali saana kuonyesha jinsi Masha alivyo msafi (UNAMFUNUA) ili mradi tu huko mbali, Masha alikuwa msafi kama theruji.

Huu usafi wake Masha ndiyo unamponza. Jamaa alikuwa anategemewa na wengi kuwa Damu mpya, msomi, kakaa USA, mwana sheria, nk na hapo mambo yake yawe mfano wa kuigwa kwa wengi. Watu wanasema kama angelikuwa Kingunge au Makamba, watu wasingelishangaa. Sasa mkuu, unavyozidi kumwaga data zake hapa kuonyesha hilo JOHO lake Jeupe lilivyokuwa zamani, wengine ndiyo wanazidi kusikitika kwamba, Masha umefanya nini? Kwa nini unalipaka TOPE joho lako zuri namna hiyo? Ambavyonimekuwa namsikia jamaa, nilijua kuwa Tanzania inatunza kiongozi mzuri sana kwa mbele. Ila kama ni kweli yanayosemwa, amini maneno yangu kuwa KATUSIKITISHA WENGI.

Nafikiri Ngosha bado anaweza kujirekebisha. Hata Obama mwanzo alichemka na akaenda kwa wazee kujifunza siasa. Kama kweli ana moyo wa kutuongoza Watz, mwambie kwanza aombe msamaha. Pili ajitoe MHANGA kama JKN na kukubali kulitumikia Taifa. Kwa maana hiyo basi aanze kuishi maisha ya 'KITAWA'. Alete CHACHU mpya na Standard ya JUU ya uongozi. Heshima kwa watu wake, mapenzi kwa Taifa lake liwe namba 1, amini nakuambia, siku akifa TUTAMJENGEA SANAMU kama tuliyomjengea Nyerere Tabora. Na kwenye ngoma ya Chagulaga, tutamwimba sana, Milele Amina.

Bado namsubiri kiongozi atakefanya tuseme "Miafrika ndivyo tulivyo, ila Watanzania tumebadilika walau kidogo".
 
Back
Top Bottom