Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Status
Not open for further replies.
- Lakini ukamuhakikishia uwaziri Tanzania, sasa tofauti iko wapi?

Haujui tofauti ya World bank na uwaziri wa Tanzania? Yeyote yule, ili mradi awe raia wa Tanzania na atimize masharti husika anaweza kuwa waziri. Hakuna interview wala kuambiwa upeleke reference kwenye uwaziri wa Tanzania. Ile ni political post. Rais wa Jamhuri ya Tanzania ana mamlaka yote ya kumpa yeyote yule anayemuona atamfaa uwaziri. Hakuna kwenda kuomba kibali cha bunge wala nini.

World Bank wanaangalia uwezo wako kitaaluma. Kuna viwango unavyotakiwa kutimiza ( elimu, uzoefu wa kazi n.k.).Unafanyiwa interview. Unaombwa ushahidi wa uliyoyadai katika maombi yako. Mara nyingi mnagombea wengi. Kinachozingatiwa ni nani katika waombaji ndiye anayekidhi zaidi mahitaji ya taasisi ya World Bank ( si ya rais wa WB). Huyu ndiye anayechaguliwa. Bahati mbaya umeneja wa Amusement Park si moja ya sifa zinazotakiwa katika World Bank. Unadhani huo umeneja unaoutetemekea ungekuwa na maana angeacha kuuweka kwenye C.V. yake? Mtu ambaye ameweka hata shule ya msingi aliyesoma!

Bottom line ni kuwa Masha hajawahi kuajiriwa World Bank. Kwa hiyo hajawahi kuacha kazi World Bank kama ulivyotaka kutuingiza mkenge.

- At best irrelevant na chuki pamoja na wivu, nothing new kwa wale tunaelewa vizuri.

Don't flatter yourself. Chuki na wivu viko wapi katika haya niliyoyasema? Kwa nini nikuchukie au nikuonee wivu mtu ambae simjui? Kwa sababu ulikuwa unamwendesha Masha? Kwa sababu unamjua Masha? Kitu gani hasa kinakufanya uamini kuwa Fundi Mchundo anakuonea wivu?

Ulichotaka tuamini kimeonekana si kweli. Basi kuwa mtu mzima na kubali kuwa uliteleza. Kilio chako kuwa haupendwi na unachukiwa haki-hold water anymore. Tetea hoja yako au nyamaza. Ni hicho tu.
 
- Huu ni mtizamo wako tu lakini sio lazima uwe ukweli, maana na mimi nina mtizamo wangu na sio lazima uwe ukweli.

Kuna viongozi wengi wanaosubiri kwenda kwenye sheria kuhusu EPA Lau sio mmojawao, na EPA kumbuka haikuanza leo ilianza toka enzi za Mwalimu ila kwa njia tofauti na hizi za juzi, lakini in the end hela za taifa zilichukuliwa bila idhini yetu wananchi, kwa maneno mengine umekwua ni wizi tu siku zote.

Mzee FMES, mimi nakubaliana na wewe kwamba saga la EPA halijaanza jana. Lakini nataka tuangali reaction ya Mh. Masha pindi waandishi wanapotaka kuangalia kama ana skeleton kwenye closet.

Kwanza unakumbuka kuhusu yeye kulitishia gazeti ambalo liliripoti ajira ya Ridhiwani na IMMA, wakati ule yeye alikuwa ashajiuzulu kuifanyia kazi IMMA.

Leo hii tunaona movement yake ya chinichini ya kutaka kuziba mdomo IPPMEDIA. Nadhani huitaji kuwa msoma mashitaka ndio ujue kwamba mshika kibendera atakiwa anyooshe bendera yake.

Sijasema Masha anahusika na EPA moja kwa moja, sema nimesema hii reaction yake inasababisha nirecall maamuzi yangu ya mwisho kwamba Masha hausiki na EPA. Ninachotaka kuona ni more scrutiny kwa Mh. Masha.
 
Waziri L. Masha anatakiwa amuombe Mengi (kama raia) msamaha kwa kusema asipoleta ushahidi atakiona cha "Moto".

Hivi ni vitisho vya wazi kwa Mengi kinyume kabisa na uhuru tulipewa na katiba yetu. Mengi (akitaka) anaweza kumshitaki Waziri Mahakamani.
 
1.

- Mkuu naona uko mbali sana na the ishu hapa, ni kwamba jamaa nimembana mbavu kwenye topic yake ya Hall of fame, ndio kaamua kuja kulipiza kisasi hapa, nilipokuwa US na mkulu wangu Lau huyu bwana hakuwepo US, ila alienda later na anajua, kwamba ati nilete ushahidi you got to be kidding me ushahidi wa nini hasa? Mboina the ishu ni Masha na Mengi sasa mimi nina ushahidi wa nini?

2.

- Sina uhakika kabisa hapa na unachosema, yaani haya yote yana uhusiano gani na the ishu ya Mengi na Masha? Unajua mkuu mtu ninayemfahamu unapoteza muda bure tu kulilia none ishu naona it is about time sasa mkarudi kwenye the ishu Masha na Mengi.

4.

- Irrelevant! I mean juzi ulikuwa una-make sense lakini sio leo, unajaribu sana kuficha tatizo lako lakini unashindwa vibaya sana, muacheni kijana afanye kazi asimamie sheria, hizi chuki za binafsi bila sababu za msingi mtapata ugonjwa wa moyo bure wakuu!

Thanxs!

Naona sasa tutaelekea kulumbana badala ya kujadili.

Haya mzee umeshinda, umeweza ku-prove kwamba Masha alishawahi kufanya kazi WB.

Samahani kwa kukuudhi.
 
  1. Sina uhakika mwishoni ni nani ataibuka mshindi katika sakata hili. Ninachoona hapa kinachoendelea ni juu ushindani wa sheria, siasa, madaraka na popularity.

  2. Kitu kimoja ninachofahamu kuhusu Mengi ni kuwa Popularity yake katika Jamii ni kubwa sana ukilinganisha na Masha. Na hii inatokana na kazi zake katika Jamii na na vyama mfano, Misaada kwa wahitaji, NGO's, Vyama vya Kibiashara na Mashirika mbalimbali ukiachilia mbali media zake. Hivyo, katika nyanja ya Popularity, huenda akaloose kwa kuwa tayari upepo unaovuma unaonyesha kuwa ana support ya public no matter the outcome. Nimesoma mahali walemavu tayari wanamuunga mkono . . . . Yes, Mengi anayo matatizo yake lakini katika hili anajua karata gani ya kucheza.

  3. Kuhusu Sheria na Siasa, huenda Mh. Masha kuna anachojua wapi atamshindia katika hili na ndiyo maana akapata nguvu ya kufika katika Media na kutoa Ultimatum. Hata hivyo, kwa Mashahidi wanaoendelea kuongezeka kama Mh. Zitto, suala linakuwa la kisiasa zaidi likichanganyika na uzalendo wa chuki kwa mafisadi. Kwa hiyo, kama kuna ushahidi wa kutosha na nadhani upo (Zitto alishaonja adha ya kuongea mambo bila ushahidi wa kutosha na uhakika pale bungeni na sidhani kama atafanya kosa tena), basi hili pia Masha atashindwa. Hivyo Masha tayari anelekea kushindwa Kisiasa. Kisheria inabidi tusubiri . . .

  4. Kitu ambacho nafahamu kuhusu Masha ni kuwa swala hili amelichukulia kwa jazba na haraka sana hasa ukizingatia ukweli kuwa Mzee Mengi amewahi kuwa na malumbano siku za nyuma katika vyombo vya habari kuhusu masuala mengine na wasindani wake wakashindwa. Kuna usemi wa Wahenga usemao "Usijibu Barua wakati una hasira" na hata wazungu wanatuambia "Time will tell". Ilikuwa ni busara ya kiutu uzima tu, kutulia na kutafakari kwa muda kabla ya kuamua cha kufanya.

  5. Hii inanipa mawazo kuwa Nadhani imefika wakati sasa Mawaziri wachagulie kutokana na past records zao hasa katika kutumia Public au hata Communities. Na hapa kigezo kikubwa kiwe ni uzalendo na uaminifu kwa maslahi ya nchi.

NDUGU YANGU ALLIEN<

Zito hajawahi kuongea kitu pale Bungeni bila USHAHIDI! Yaliyompata Zitto ilikuwa ni 'maguvuguvu' ya watu waliokuwa walevi wa madaraka ambao hawakuwa tayari kuambiwa UKWELI! Fuatilia vizuri nini kilitokea baada ya Zitto 'kuswekwa' rumande! Buzwagi! Richimonduli! EPA! Hivi wewe hukusikia kwamba wale watu wa CCM walikuja na hoja kuwa Zitto 'anadessa' ishu zao? Tujitahidi tuwatengeneze akina Zitto wengi la sivyo tunaelekea pabaya sana tukiwatengeneza akina Masha na Adam Malima wengi!
 
- Mkuu kama hili ni valid basi Tanzania hatuna uongozi kabisa, maana hivi kweli unasema viongozi wote tulionao toka Mwalimu wamewahi kuwasaidia ndugu zao kwanza kabla ya taifa na wananchi wake?

Kiongozi FMES, hili linaweza kuwa Valid katika zama hizi.

Je, ni kipimo gani ambacho Umma utamtambua kiongozi yeyote ambaye hana record ya kufanya kazi katika Communities, Public Office au hata kuwasaidia ndugu zake?

Mwalimu case yake ni tofauti sana kwa kuwa alianzia katika grassroot level na kazi yake aliyoifanya inaeleweka na kutambuliwa. Mchango wake unathaminiwa. History can tell. Alikuwa na uzalendo wa juu sana na uaminifu wa hali ya juu kiasi kwamba utumishi wake kwa umma hauhitaji record ya kujua aliwasaidiaje ndugu zake.

Issue iliyopo mbele yatu ni kuwa kama hakuna namna ya kujua utumishi wa mtu katika Communities au Public, basi walau tuangalie wale ndugu zake alionao karibu na hasa kama mhusika huyo ana mafanikio kibiashara. Kama si hivyo, tutajuaje records ya mhusika au hata kupata imani kuwa anaweza kuusaidia umma wa Tanzania? Au ni kutafuta Opportunity ya kupata Power na Authority regardless ya nini utaisaidia jamii?

Kwa kuwa unamfahamu Masha, bado unayo nafasi ya kutueleza kama anayo record yeyote ya kufanya kazi za kijamii au kama hakuna walau hata kusaidia ndugu zake.
 
NDUGU YANGU ALLIEN

Zito hajawahi kuongea kitu pale Bungeni bila USHAHIDI! Yaliyompata Zitto ilikuwa ni 'maguvuguvu' ya watu waliokuwa walevi wa madaraka ambao hawakuwa tayari kuambiwa UKWELI! Fuatilia vizuri nini kilitokea baada ya Zitto 'kuswekwa' rumande! Buzwagi! Richimonduli! EPA! Hivi wewe hukusikia kwamba wale watu wa CCM walikuja na hoja kuwa Zitto 'anadessa' ishu zao? Tujitahidi tuwatengeneze akina Zitto wengi la sivyo tunaelekea pabaya sana tukiwatengeneza akina Masha na Adam Malima wengi!

Gottee, uliyonena yana mantiki. Yawezekana Zitto alikuwa na Datazi wakati huo lakini mpangilio wa hoja yake na vielelezo havikujitosheleza kwa wakati ule. Of course kuna suala pia la mizengwe ya kisiasa.

Hoja yangu ni kuwa katika hili suala la Masha na Mengi kwa kuwa linayo sura ya Kisheria pia, naamini Kijana wetu Zitto atakuwa ana ushahidi wa kutosha na uhakika vinginevyo asingeingia kichwa kichwa. Tusubiri . . . .
 
Haujui tofauti ya World bank na uwaziri wa Tanzania? Yeyote yule, ili mradi awe raia wa Tanzania na atimize masharti husika anaweza kuwa waziri. Hakuna interview wala kuambiwa upeleke reference kwenye uwaziri wa Tanzania. Ile ni political post. Rais wa Jamhuri ya Tanzania ana mamlaka yote ya kumpa yeyote yule anayemuona atamfaa uwaziri. Hakuna kwenda kuomba kibali cha bunge wala nini.

World Bank wanaangalia uwezo wako kitaaluma. Kuna viwango unavyotakiwa kutimiza ( elimu, uzoefu wa kazi n.k.).Unafanyiwa interview. Unaombwa ushahidi wa uliyoyadai katika maombi yako. Mara nyingi mnagombea wengi. Kinachozingatiwa ni nani katika waombaji ndiye anayekidhi zaidi mahitaji ya taasisi ya World Bank ( si ya rais wa WB). Huyu ndiye anayechaguliwa. Bahati mbaya umeneja wa Amusement Park si moja ya sifa zinazotakiwa katika World Bank. Unadhani huo umeneja unaoutetemekea ungekuwa na maana angeacha kuuweka kwenye C.V. yake? Mtu ambaye ameweka hata shule ya msingi aliyesoma!

Bottom line ni kuwa Masha hajawahi kuajiriwa World Bank. Kwa hiyo hajawahi kuacha kazi World Bank kama ulivyotaka kutuingiza mkenge.

Don't flatter yourself. Chuki na wivu viko wapi katika haya niliyoyasema? Kwa nini nikuchukie au nikuonee wivu mtu ambae simjui? Kwa sababu ulikuwa unamwendesha Masha? Kwa sababu unamjua Masha? Kitu gani hasa kinakufanya uamini kuwa Fundi Mchundo anakuonea wivu?

Ulichotaka tuamini kimeonekana si kweli. Basi kuwa mtu mzima na kubali kuwa uliteleza. Kilio chako kuwa haupendwi na unachukiwa haki-hold water anymore. Tetea hoja yako au nyamaza. Ni hicho tu.
Mkuu umeweka bayana hamna ubishi......mzee wa datazi alitaka kutunywesha sumu hivi hivi.Eti alimpeleka airport na sijui wapi huko.Bwa ha ha ha ha
Masha kachemka halina ubishi.
 
Kwako masha na baraza lako la mawaziri ambalo mnashindwa hata kujitetea kwa kutumia media na mabavu,nimeona wengi wanaandika mengi kuhusu upuuzi wako na mr mengi.kwa ushauri wangu kaka hapa ambae anatakiwa kupewa siku saba kama ulivyosema ni mh zitto kabwe,,sasa basi wazo langu na kama mwana jf nionae mbali
nakushauri chezea huyo mchaga na magazeti yake yote
ila kama wewe mwanaume kweli wadhiirishie watanzania kwa kumpa mh zitto kabwe siku 7,ulizompa bwana mengi

pili:::kwa aibu usiyozaliwa nayo mh zitto hajui umbea wala
kuzunguka zunguka tuulize tuliekuwa na chuoni.....
Kaamua kukupa ukweli sasa wewe ndie unataka kumuua mzee wa watu kipenzi cha

maalbino

yatima

masikini

viziwi

vipofu

sasa kwa hili ufidasi nakuapia hatokuwa na wewe hata umpeleke
mahakamani,,,pili naomba utumie akili yako ukiwa unakunywa vijibia vyako na hawara zako,,ukumbuke ulisema lini kwenye magazeti na watanzania wanakusubiri kuona utakachomfanya mchaga wa watu
kama chuki zako binafsi mi ningependelea achia kwanza uwaziri alafu ushindane nae ukiwa uraiani!!!aibu kubwa kwa mtu kama wewe
kiongozi unaeongoza usalama wa watanzania ati kumtishia mtu ""utakiona cha moto""",,,ndio maana wenye akilizao'
wanakuita ""dogo jinga""pale rosegarden..kumradhi ila nafikiri wazo langu utalifanyia kazi...uitaji kuwa raisi kuonyesha
""""""""""""ustaarabu wako""""""""
kila la kheri
 
Wewe nawe umeibukia wapi? JF wakati mwingine........
 
mengi hakutaja jina la waziri kijana matokeo yake kapewa siku saba za kuwakilisha ushahidi na pia kumtaja waziri mhusika.

zitto kamtaja waziri mhusika. sasa sijui yeye atapewa siku ngapi kupeleka
ushahidi kunako vyombo vya kisheria.

au kwa vile masha yupo safarini hawezi kutoa "amri" kwa zitto kupitia vyombo vya habari mpaka atakaporudi bongo?

kweli hii movie kali.
 
Kwako masha na baraza lako la mawaziri ambalo mnashindwa hata kujitetea kwa kutumia media na mabavu,nimeona wengi wanaandika mengi kuhusu upuuzi wako na mr mengi.kwa ushauri wangu kaka hapa ambae anatakiwa kupewa siku saba kama ulivyosema ni mh zitto kabwe,,sasa basi wazo langu na kama mwana jf nionae mbali
nakushauri chezea huyo mchaga na magazeti yake yote
ila kama wewe mwanaume kweli wadhiirishie watanzania kwa kumpa mh zitto kabwe siku 7,ulizompa bwana mengi

pili:::kwa aibu usiyozaliwa nayo mh zitto hajui umbea wala
kuzunguka zunguka tuulize tuliekuwa na chuoni.....
Kaamua kukupa ukweli sasa wewe ndie unataka kumuua mzee wa watu kipenzi cha

maalbino

yatima

masikini

viziwi

vipofu

sasa kwa hili ufidasi nakuapia hatokuwa na wewe hata umpeleke
mahakamani,,,pili naomba utumie akili yako ukiwa unakunywa vijibia vyako na hawara zako,,ukumbuke ulisema lini kwenye magazeti na watanzania wanakusubiri kuona utakachomfanya mchaga wa watu
kama chuki zako binafsi mi ningependelea achia kwanza uwaziri alafu ushindane nae ukiwa uraiani!!!aibu kubwa kwa mtu kama wewe
kiongozi unaeongoza usalama wa watanzania ati kumtishia mtu ""utakiona cha moto""",,,ndio maana wenye akilizao'
wanakuita ""dogo jinga""pale rosegarden..kumradhi ila nafikiri wazo langu utalifanyia kazi...uitaji kuwa raisi kuonyesha
""""""""""""ustaarabu wako""""""""
kila la kheri

Kwa standard hizi za uandishi labda ulisoma nae madrasa!
 
Kwa standard hizi za uandishi labda ulisoma nae madrasa!

No...Inawezekana ni Usagara ama Galanosi huko Tanga...Sina uhakika.
Ila Madrassa zina standard gani za uandishi?
Ama P Diddy ameleta mada yenye mwelekeo wa kidini?
Kama ungefafanua zaidi mkuu.
 
Acheni zenu hizo.Ujumbe wa PDiddy umeeleweka.Masha alikurupuka kutoa siku saba kwa Mengi japo mfanyabiashara huyo hakutaja jina la Waziri kijana anayemtuhumu.Zitto dared to do that,na it seems like Masha alotajwa na Zitto ni Hussein Masha,ex-SSC player,na sio huyu Waziri anayejaribu kuiga archaic style ya Mrema ya siku 7.Kwa sie tunaojaribu kuangalia kwanza substance katika mada,as opposed to rushing into uncalled for criticism,tunaona kuwa huo ndio msingi wa arguement ya PDiddy.

Nimesha wahi kuwaona Masha na Zitto mahali fulani wakiwa pamoja na nikapima mambo yao nikagundua Masha ana ukubwa wa uwaziri ila uelewa wa Zitto anautambua tena kwa karibu sana .So hawezi kusema lete ushahidi maana ngoma inaweza kuwa kali zaidi .Ila si kasema wasipo leta yeye atafanya kweli wacha tuone .Ninapata sasa message kwamba Mengi kasema hana mpango wa ku heed his call na anangoja kuona alicho ahidi Masha wacha nitulie sasa .
 
Yaani hili ni bonge la kichekesho. Hii ndo mitumba ya viongonzi tunayoletewa.

Sasa hizo siku saba katoa kama Waziri wa mambo ya ndani ili aweze kufanyia kazi malalamiko ya Mengi au katoa siku saba kama mtuhumiwa. Nikimaanisha kuwa yeye ndo yule Waziri kijana anayetaka kutumia madaraka aliyopewa kuwaletea watu umasikini. Mengi hakutaja jina sasa baada ya hizo siku saba atamshitaki Mengi yeye kama nani!!!.Kama waziri kijana au mwakilishi wake au waziri wa mambo ya ndani.
 
Yaani hili ni bonge la kichekesho. Hii ndo mitumba ya viongonzi tunayoletewa.

Sasa hizo siku saba katoa kama Waziri wa mambo ya ndani ili aweze kufanyia kazi malalamiko ya Mengi au katoa siku saba kama mtuhumiwa. Nikimaanisha kuwa yeye ndo yule Waziri kijana anayetaka kutumia madaraka aliyopewa kuwaletea watu umasikini. Mengi hakutaja jina sasa baada ya hizo siku saba atamshitaki Mengi yeye kama nani!!!.Kama waziri kijana au mwakilishi wake au waziri wa mambo ya ndani.
 
Acheni zenu hizo.Ujumbe wa PDiddy umeeleweka.Masha alikurupuka kutoa siku saba kwa Mengi japo mfanyabiashara huyo hakutaja jina la Waziri kijana anayemtuhumu.Zitto dared to do that,na it seems like Masha alotajwa na Zitto ni Hussein Masha,ex-SSC player,na sio huyu Waziri anayejaribu kuiga archaic style ya Mrema ya siku 7.Kwa sie tunaojaribu kuangalia kwanza substance katika mada,as opposed to rushing into uncalled for criticism,tunaona kuwa huo ndio msingi wa arguement ya PDiddy.

Masatu naona ndiyo anataka kuingiza issue za madrassa hapa jambo ambalo halina msingi...Masatu ni mwana ccm na hivyo tumeshajuwa namna ya kuwavumilia at least hapa jamvini.
Kuhusu kuchemsha kwa Masha hilo liko wazi kwa walio wengi hapa JF toka siku ya kwanza ya habari za waraka wa mengi...Sasa alitowa siku saba jina liwekwe wazi..Hakutumia busara...Then chale zikamcheza kabadili statement akasema alikuwa akimlinda Mengi...Sasa Zitto kamtaja directly...Yeye kimya...Na ndio P Diddy anamwambia Masha ampe na Zitto siku saba za kutoa udhibitisho...Je ataweza?
Na kama akishindwa..Je atajiuzulu?
 
Nimepata kuongea na watu tofauti wanaomjua masha vizuri.

Wanasema, huyu(wa sasa) si masha yule waliomjua wao tangu akiwa UDSM mpaka anarudi na kupanda kuwa MD wa Tanzania Oxygen... inaonyesha huyu bwana baada
ya kujiweka karibu sana na mzee wa delusions of grandier, EL. Nae ameambukuzwa
kale ka ugonjwa ka Bigotry ya kifisadi.

Mkuu FMES midhali upo karibu naye,...unaweza kabisa kumfunda jinsi ya kubehave unapopewa dhamana ya big portfolio, kama MoIA, kama ulivyomfunda juu ya kuwa hard working.

Najua mwisho wa hili sakata ni bado kabisa,...ila the sure thing kinachommaliza huyu bwana mdogo ni kuamua kufa na kundi la mafisadi...badala ya kuwa smart na kusoma alama za nyakati na kureact accordingly. Anasahau kuwa ni politics hakuna permanent allies, bali kuna permanent interests... Kama permanent interest yake ni umimi na maslahi binafsi, basi na abaki na kujiidentify na akina EL, RA na Mafisadi wengine,... na kama long term interest yake ni serving the nation honorably, then hana choice but to severe ties zake za kifisadi NOW.... HE CANT HAVE IT BOTH WAYS!

Inavyoonekana kale ka ugonjwa ka bigotry ya kifisadi kameshamkamata,... It may not be too late for him, but the choice is his.
 
No...Inawezekana ni Usagara ama Galanosi huko Tanga...Sina uhakika.
Ila Madrassa zina standard gani za uandishi?
Ama P Diddy ameleta mada yenye mwelekeo wa kidini?
Kama ungefafanua zaidi mkuu.

Mkuu JMUSH,

Taratibu na shule za watu mkuu.Mmeku na mimi nitakupa siku saba u-withdrawal statement yako ya kuhusisha utumbo wowote na Galanos.Kwi kwi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom