Wasifu wa Masha: Maswali na Majibu

Wasifu wa Masha: Maswali na Majibu

Fundi Mchundo,
Mkuu kwanza sahamni kwa bibie Kisura kwani niliposema Jikoni ina maana kule kwenye moto ambako sisi wanaume hatuna haja ya kwenda huko maanake itafikia hata Mkandara kuzungumzwa anabeba box hivyo kwa hiyo blaa blaa blaa...
narudi kwako mchundo, kumsema Mengi ilikuwa ktk kujaribu kukatisha mjadala wa maisha ya Masha ambaye FMES na Kuhani wamesha achana nao... na nimeona dhumuni kubwa la ushibiki hapa ni kumrudisha FMES ktk hoja hii ya maisha ya Masha Marekani....
Kama ni swala la kumtendea haki basi bibie kakosea sana kwani tulisha maliza huko kwa Masha sasa kaingia na swala la Udereva... bado mnamtafuta FMES personal.
Halafu nilimwelewa sana alipozungumzia kuwa Masha alikosa kazi ktk field yake lakini hii haiukuwa hoja kwani inavyosemekana kulingana na FMES alipata offer ya kazi WB... hakuna mtu aliyenambia kuwa huwezi kupata OFFER ya kazi WB ukiwa na green card ambayo ndiyo Masha alikuwa nayo (kulingana na maneno ya FMES.. Yanayofuata ama utaratibu unaofuata ukiwa na greencard bado hauna maana umekosa kazi..
Ni hayo tu mkuu turudi kwa Masha vs Mengi..
 
Hapana, Mkuu. Hakuna cha uchonganishi. Hii ni public forum na maneno kama haya ( kwa mtazamo wangu) hayastahili katika dunia ya leo. Kama sikumtendea haki, atanisahihisha na nita-apologize.

BTW. Umeamua kula samaki nini? Maana michango yako ( mfano wa huo hapo juu) imetulia sana. Najua kuwa hii haimaanishi lolote kwako lakini I am impressed. For real.

Mnajua nyinyi sijui mna picha gani ya Nyani. I don't know...pengine ni jina langu au antics zangu au vyote kwa pamoja ndivyo vinavyowafanya mdhanie mna dili na mtu aliye losti losti asiye na mpango. Anyways, enough of that let's 'cut the issues' (before you all jump on me, I made this one up) before I get back on my B.S.....

Binafsi sidhani kama beef ya hawa jamaa (Mengi na Masha) itafika mbali. Itaisha bila hata ya sisi kujua imeisha kivipi. Mpaka leo sijui beef zote aliwahi kuwa nazo Mengi ziliisha ishaje. Kinachoendelea sasa hivi nyumbani kwenye vyombo vya habari na kinachoendelea hapa ni sensationalism tu. Na unajua tena lifespan ya sensationalism sio ndefu!
 
Fundi Mchundo,
Mkuu kwanza sahamni kwa bibie Kisura kwani niliposema Jikoni ina maana kule kwenye moto ambako sisi wanaume hatuna haja ya kwenda huko maanake itafikia hata Mkandara kuzungumzwa anabeba box hivyo kwa hiyo blaa blaa blaa...

Samahani kwa Kisura unampa Fundi Mchundo!

Halafu nilimwelewa sana alipozungumzia kuwa Masha alikosa kazi ktk field yake lakini hii haiukuwa hoja kwani inavyosemekana kulingana na FMES alipata offer ya kazi WB... hakuna mtu aliyenambia kuwa huwezi kupata OFFER ya kazi WB ukiwa na green card ambayo ndiyo Masha alikuwa nayo (kulingana na maneno ya FMES.. Yanayofuata ama utaratibu unaofuata ukiwa na greencard bado hauna maana umekosa kazi..
Ni hayo tu mkuu turudi kwa Masha vs Mengi..

Naona unarudi kule kuleee kwa World Bank na green card ya "job offer" ya Lau!

Halafu utasema tena oooh tuyaache!
 
Fundi Mchundo,
Mkuu kwanza sahamni kwa bibie Kisura kwani niliposema Jikoni ina maana kule kwenye moto ambako sisi wanaume hatuna haja ya kwenda huko maanake itafikia hata Mkandara kuzungumzwa anabeba box hivyo kwa hiyo blaa blaa blaa...
narudi kwako mchundo, kumsema Mengi ilikuwa ktk kujaribu kukatisha mjadala wa maisha ya Masha mabyo FMES na Kuhani wamesha achana nao... na nimeona dhumuni kubwa la ushibiki hapa ni kumrudisha FMES ktk hoja hii ya maisha ya Masha Marekani....
Kama ni swala la kumtendea haki basi bibie kakosea sana kwani tulisha maliza huko kwa Masha sasa kaingia na swala la Udereva... bado mnamtafuta FMES personal.
Halafu nilimwelewa sana alipozungumzia kuwa Masha alikosa kazi ktk field yake lakini hii haiukuwa hoja kwani inavyosemekana kulingana na FMES alipata kazi WB... hakuna mtu aliyenambia kuwa huwezi kuapata OFFER ya kazi WB ukiwa na green card ambayo ndiyo Masha alikuwa nayo (kulingana na maneno ya FMES.. Yanayofuata ama utaratibu unaofuata ukiwa na greencard bado hauna maana umekosa kazi..
Ni hayo tu mkuu turudi kwa Masha vs Mengi..

Ni alama ya uungwana wa hali ya juu kuomba msamaha pale unapohisi kuwa hukumtendea haki mwenzako. Shukurani kwa hilo.

Hili la credentials za waziri limekuwa likiingizwa humu na FMES. Yeye akidai kuwa yuko karibu sana na waziri ( alikuwa akifikia kwake, kamfania Party kubwa n.k.) ndiye aliyekuwa akileta hizi habari za kazi alizokuwa akizifanya Marekani. Wengine tukisema kuwa mbona hazijakaa vyema tulikuwa tunaambiwa kuwa tuna wivu kwa sababu hatuko karibu na wakubwa. Fair enough. Sasa Kisura amejitokeza ambaye inaelekea nae anavuta the same rarefied air na hao wakubwa. Yeye ametuthibitishia kuwa sisi wanyonge hatukukosea. Ni uamuzi wako kumuamini au kutokumuamini.

Kwenye hili la Benki ya Dunia. Hebu tuangalie aliyo yasema FMES.

- Haya maneno sio mara yangu ya kwanza kuyasema hapa, kuna wakati nime-debate sana na Fundi Mchundo, nilisema exactly nilivyosema leo kua Lau aliacha kazi World Bank na kurudi nyumbani, lakini kwa sababu ni lazima tu ushinde kwa any means necessary, unajaribu kuigeuza geuza ishu wakati iko very clear na leo sio mara yangu ya kwanza kusema kua wakati anarudi nyumbani, Lau alikuwa tayari ana ajira World Bank, kwa hiyo hujabadili wala kuongeza anything ila unapoteza muda wako na wa wananchi hapa bure kwa kujaribu kunitega na kunizunguka huku ukijua wazi kuwa una -deal na a pro wa this game. Nafikiri kati yangu na wewe kila mwananchi hapa ana akili saafi ya kuona wazi nani ni a funny guy!

2.

- Naomba nirudie tena kwamba mimi binafsi ndiye niliyemuendesha na kumpeleka kwenye mtihani, Lau alikua ndio kwanza amemaliza Georgetown, akawa anafanya kazi Playland, akiwa anasubiri green card yake ili akafanye kazi World Bank akaamua kufanya hiyo Bar, akashinda na kuipata, baba yake akaamua kurudi bongo, akaipata green card yake akabadili mawazo na kurudi nyumbani, sasa sielewi exactly hasa unachopotezea muda na maneno mengi yasiyo na uhakika wala ukweli, halafu sikutegemea kwua kuna siku utarudia tena haya maneno yako kama ya Dr. Masau ya kudai unajua sana US kuliko wengine wote, drop it bro maana huna ukweli mimi ninao, na hizo CV unazopigia kelele nazo hazina yote aliyoyafanya kijana waziri Lau, maana maefanya mengi kikazi kuliko hiyo CV yako!.

FMES amesema Masha aliacha kazi WB ndiyo akarudi nyumbani. Kwa kuelewa kwangu ni kwamba huyu bwana aliisha ajiriwa na WB aka-resign kazi hiyo ili arejee nyumbani. Tukumbuke kuwa ajira ( FMeS amesema kuwa " Lau tayari alikuwa na ajira") inaanza pale unaposaini mkataba na mwajiri wako na si pale unapoletewa barua ya kukubaliwa maombi yako!

Halafu chini yake FMeS anasema tena kuwa alikuwa anasubiri kupata Green card yake ili aweze kuanza kazi WB. Alipoipata hiyo Green card akaghairi na kuamua kurudi nyumbani! Hii si tu inapingana na maneno yake ya awali kuwa aliacha kazi bali inaongeza utata kwa kuonyesha kuwa kilichomzuia kuanza kazi WB kilikuwa ni kukosekana kwa Green Card. Wanaojua mambo ya WB wameshaonyesha kuwa hii haiwezekani maana hauhitaji Green Card kufanya kazi WB. Kwa hiyo kama alikubaliwa kazi WB angeweza kuanza mara moja bila kusubiri chochote. Kinachowezekana ni kuwa Masha alikosa kazi WB ( sio dhambi hili) lakini hakutaka kuwaambia wenzake ukweli huo kwa sababu zake binafsi (which is totally understable). Akatumia kisingizio cha Green Card nao wakamwamini.

Alichotusaidia Kisura ni kuondoa lile pazia la ukaribu na kusema kuwa haya yote si ya kweli na ameyasikia kutoka kwa mhusika mwenyewe. Sasa ni juu yako kumuamini Kisura au FMeS kwenye ishu hii. Mimi namwamini Kisura kwa sababu nilizoziainisha hapo juu. Simjui Kisura kama vile nisivyomjua FMeS kwa hiyo hata kwake yeye siwezi ku-vouch kuwa kweli aliwahi kumsikia Masha akizungumzia suala hili. Kwangu mimi, alichokisema ni more probable kuliko alichokisema FMeS.

Wengine wetu tumechoka kuambiwa kuwa inabidi tuwanyenyekee wote wanaotoka majuu kwa sababu wametufanyia fadhila kwa kurudi nyumbani. Wote wapimwe kwa utendaji wao hapo walipo na si kwa madigiri yao, kiingereza chao, ukoo waliotoka, nchi walizowahi kuishi au kazi walizowahi kufanya. Kutetea udhaifu wao kwa kutumia vigezo hivi ni kututukana sisi watanzania. Wakati wa kushukuru kulishwa makombo umepita!
 
Ni alama ya uungwana wa hali ya juu kuomba msamaha pale unapohisi kuwa hukumtendea haki mwenzako. Shukurani kwa hilo.

Hili la credentials za waziri limekuwa likiingizwa humu na FMES. Yeye akidai kuwa yuko karibu sana na waziri ( alikuwa akifikia kwake, kamfania Party kubwa n.k.) ndiye aliyekuwa akileta hizi habari za kazi alizokuwa akizifanya Marekani. Wengine tukisema kuwa mbona hazijakaa vyema tulikuwa tunaambiwa kuwa tuna wivu kwa sababu hatuko karibu na wakubwa. Fair enough. Sasa Kisura amejitokeza ambaye inaelekea nae anavuta the same rarefied air na hao wakubwa. Yeye ametuthibitishia kuwa sisi wanyonge hatukukosea. Ni uamuzi wako kumuamini au kutokumuamini.

Kwenye hili la Benki ya Dunia. Hebu tuangalie aliyo yasema FMES.

FMES amesema Masha aliacha kazi WB ndiyo akarudi nyumbani. Kwa kuelewa kwangu ni kwamba huyu bwana aliisha ajiriwa na WB aka-resign kazi hiyo ili arejee nyumbani. Tukumbuke kuwa ajira ( FMeS amesema kuwa " Lau tayari alikuwa na ajira") inaanza pale unaposaini mkataba na mwajiri wako na si pale unapoletewa barua ya kukubaliwa maombi yako!

Halafu chini yake FMeS anasema tena kuwa alikuwa anasubiri kupata Green card yake ili aweze kuanza kazi WB. Alipoipata hiyo Green card akaghairi na kuamua kurudi nyumbani! Hii si tu inapingana na maneno yake ya awali kuwa aliacha kazi bali inaongeza utata kwa kuonyesha kuwa kilichomzuia kuanza kazi WB kilikuwa ni kukosekana kwa Green Card. Wanaojua mambo ya WB wameshaonyesha kuwa hii haiwezekani maana hauhitaji Green Card kufanya kazi WB. Kwa hiyo kama alikubaliwa kazi WB angeweza kuanza mara moja bila kusubiri chochote. Kinachowezekana ni kuwa Masha alikosa kazi WB ( sio dhambi hili) lakini hakutaka kuwaambia wenzake ukweli huo kwa sababu zake binafsi (which is totally understable). Akatumia kisingizio cha Green Card nao wakamwamini.

Alichotusaidia Kisura ni kuondoa lile pazia la ukaribu na kusema kuwa haya yote si ya kweli na ameyasikia kutoka kwa mhusika mwenyewe. Sasa ni juu yako kumuamini Kisura au FMeS kwenye ishu hii. Mimi namwamini Kisura kwa sababu nilizoziainisha hapo juu. Simjui Kisura kama vile nisivyomjua FMeS kwa hiyo hata kwake yeye siwezi ku-vouch kuwa kweli aliwahi kumsikia Masha akizungumzia suala hili. Kwangu mimi, alichokisema ni more probable kuliko alichokisema FMeS.

Wengine wetu tumechoka kuambiwa kuwa inabidi tuwanyenyekee wote wanaotoka majuu kwa sababu wametufanyia fadhila kwa kurudi nyumbani. Wote wapimwe kwa utendaji wao hapo walipo na si kwa madigiri yao, kiingereza chao, ukoo waliotoka, nchi walizowahi kuishi au kazi walizowahi kufanya. Kutetea udhaifu wao kwa kutumia vigezo hivi ni kututukana sisi watanzania. Wakati wa kushukuru kulishwa makombo umepita!

The always classy, non-abrasive, on point Fundi Mchundo.
 
ha ha aa aaaaaaaaaaaa

Oh my gosh!!

Lau amezua mambo!

Ha aaa aa aaaaaaaa

Hiyo point ya Wabongo kurudi Tanzani na kutetemekewa na wengine bila hata kufanyiwa evaluation ya masomo yao ya kupasua vichwa ndio nakataa kila siku.
 
That's not very manly....
 
Mkuki achomwe nguruwe tu, akichomwa binadammu wauma...
 
Kuwa naye ndio nini, tehe tehe...eti nilimpeleka airport, so what? Unachekesha kweli wewe.
Sasa kwa taarifa yako, haya maneno yametoka kwake Masha mwenyewe. Obviously uhusiano wenu(if any) ulikuwa ndio huo wa wewe kumuendesha kumpeleka kwenye mitihani, playground, na airport...lakini vitu kama hivi alikuwa hakuelezi. Sasa ndio nakupa, Masha alirudi Tanzania kwasababu hakupata kazi wala prospects katika field yake! Habari ndo hiyo!

Keep them honest...
 
1

- Mkuu heshima mbele, naomba kuliweka hili wazi kwanza kwamba originally urafiki wangu unaanzia na his dad ambaye only last week alikuwa at my home fo four days, na ni mbunge wa EAC ni mmoja wa wazee ninaowaheshimu sana kwa busara za maisha na na hasa za siasa, in the process ndio familia yake imegeuka kuwa kama yangu, na yes ninamjua Lau toka akiwa mdogo sana na familia kwa ujumla, nimefanya naye mambo mengi sana katika maisha to leo Lau ni Lau, ingawa sasa ni waziri, na ni mimi ndiye niliyemfundisha kufanya kazi kwa bidii,

- Sasa ninaijua sana siasa pia, na ni kawaida hapa kwamba nikimtetea kiongozi au mtu then anageuka kuwa a target ya never anding attacks sio jipya hilo, sina tatizo na wanaomshambulia kila kukicha lakini ninachoomba tu ni kiomja kwamba kuwe na ukweli na hasa wa kisheria, lakini ninaheshimu sana mawazo ya wananchi maana ni haki yao kumshambulia mwanasiasa yoyote!

2.

- Lau amekulia kwenye mazingara tofauti sana na yako wewe na mimi, baba yake alikuwa na matatizo mengi ya kisiasa na watawala wa wakati huo kwa hiyo naomba nisiende ndani zaidi maana ni katika matatzio hayo ndio utakuta sababu zinazohusu yeye na JKT.

3.

- Lau amesoma shule za USA kwa kulipiwa asilimia kubwa na UN kutokana na nafasi ya kikazi aliyokua nayo baba yake kule, yaani Mkurugenzi wa Information kwa karibu miaka 30. Ninajua for a fact kwamba aliwahi kuapta green card, lakini ya uraia sio kweli!

4.

- Asingkeuwa nao kama ninavyomfahamu asingeacha kazi World Bank na kurudi Bongo kufanya kazi kwenye lawfirm ya Mahalu na Warioba, TOL na baadaye kwua mwanasheria wa binafsi, na pia ndiye aliyehusika sana na kuandika maoni ya marekebisho ya Muungano wetu na visiwani, lakini pia huenda kuna mengine pia nikawa siyajui yanayomhusu!

5.

- Najua kuwa yeye ni m-Tanzania mwenye uchungu sana na taifa lake ndio maana akaamua kuacha mahela mengi sana kwenye lawfirm yake na kugombea ubunge ili alisaidie taifa lake, sasa may be ana matatizo mengine ambayo mimi siyafahamu, lakini so far sielewi kama haya maswali yana anything to do na hili tatizo la kisheria lililojitokeza kati yake kama waziri na mwananchi Mengi.

I hope nimekusiadia mkuu!

Kiongozi FMES, asante sana kwa ufafanuzi. Namfahamu Masha ingawa si kwa kiwango kikubwa kama ulivyoeleza.

Baada ya maelezo yako napenda kutoa mchango ufuatao:

Masha alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuendelea kusoma shahada yake ya kwanza Marekani na hatimaye masters. Hata hivyo hakuweza kufanya hivyo, aliamua kurudi TZ na kusoma shahada ya kwanza na kisha kurudi Marekani kwa Masters. Zaidi ya hayo Masha hakupitia JKT. Katika kipindi ambacho Masha alianza Chuo Kikuu, miaka ya mwishoni mwa 1980, ilikuwa ni lazima upitie JKT. Hata hivyo hakuweza kufanya hivyo bali aliingia Chuo Kikuu. Napata maswali mengi sana. Je, alikuwa anatafuta opportunity ya kuanza kujijenga kisiasa baada ya kutokuwapo TZ kwa miaka mingi?

Kama kuna namna yoyote aliyofanya kugain admission UDSM kinyume na taratibu, then inawezekana akawa na tabia ya kufanya 'namna yoyote ya kufanikisha mambo yake" kinyume na taratibu. Unless kama tunapewa sababu za kuridhisha ni vipi alipata admission bila kupita JKT.

Uzalendo haupimwi kwa mtu kuacha kazi nzuri na kuchagua kazi mbadala. Ni suala la opportunity na mapenzi ya kazi aipendayo Mhusika. Mzalendo ni mtu mwenye mapenzi ya kweli ya nchi yake kiasi cha kuitetea na ikibidi hata kutoa uhai wake. Si viongozi wote ni Wazalendo. Viongozi wachache Wazalendo ninaowajua ni kama Hayati Sokoine na Nyerere. Ambao mapenzi yao ya kweli yalijidhihirisha toka walipoanza kuutumikia umma.

Kuna suala la Uchungu wa Nchi na Suala la Opportunity. Utumishi wa Kisiasa ni Wito wa Watu kuwatumikia Wananchi kwa uaminifu wa hali ya juu kwa nia ya kuleta maendeleo. Kiongozi wa Kisiasa na Dini wanalingana. Tofauti ni kuwa wa Dini anatumikia waumini Kiroho na wa Siasa anatumikia umma kuleta maendeleo. Niliuliza historia ya Masha katika kutumikia Umma au hata Communities au hata kutoa msaada kwa wahitaji lakini bado sijapata jibu.

Labda tupate picha, je ukiacha maendeleo yake binafsi, amewasaidiaje ndugu zake wengine kupata maendeleo kupitia mafanikio yake kibiashara kabla hata hajausaidia umma wa Tanzania?

Ninachotaka kusema, kiongozi mzuri ni yule Mzalendo wa kweli na mwenye mapenzi na nchi yake na wala si mtu anyetafuta fursa ya uongozi wa kisiasa baada ya mafanikio ya kibiashara. Huwezi ukawa na record nzuri sana ya uongozi kama hujawahi kuwatumikia watu. Ni vema viongozi wetu wakuu na vyama wakaliangalia hilo katika nafasi zote za wabunge na mawaziri.

Suala lingine Muhimu ni juu ya Attitude za Viongozi wanaochaguliwa. Kama mtu ana attitude ya ubinafsi na kujinufaisha yeye na hana nia hasa ya kuwasaidia wengine waweze kujiletea maendeleo huyo hafai. Tabia za watu hazibadilili sana sana hujificha tu na baada ya muda hujulikana.

Masha na anaweza akawa ni Intelligent na amefanikiwa Kibiashara lakini ni vema ajiulize sana na awe honest kama anaweza kweli kuutumikia umma kwa uaminifu?
 
Kuwa naye ndio nini, tehe tehe...eti nilimpeleka airport, so what? Unachekesha kweli wewe.
Sasa kwa taarifa yako, haya maneno yametoka kwake Masha mwenyewe. Obviously uhusiano wenu(if any) ulikuwa ndio huo wa wewe kumuendesha kumpeleka kwenye mitihani, playground, na airport...lakini vitu kama hivi alikuwa hakuelezi. Sasa ndio nakupa, Masha alirudi Tanzania kwasababu hakupata kazi wala prospects katika field yake! Habari ndo hiyo!

- Haya maneno ni ya kwako sio yake, Lau alirudi nyumbani kwa sababu hasa ya msingi ni kulazimishwa na baba yake, ili kwenda kumsaidia mama yake mwenye matatizo ya macho ambayo alikuwa akitibiwa kwenye hospital maalum ya macho Mvumi, huku baba yake akienda kutafuta ubunge Sengerema. Baba yake alikua na sababu nyingi za kumtaka arudi nyumbani zingine siwezi kuziweka hapa kwa sababu hata original plan ilikuwa ni kumpatia kazi UN ambako alikua na nafasi nzito sana lakini akabadili plan dakika za mwisho.

- Unayoyasema yanaweza kweli kuwa yametoka mdomoni kwake, lakini kwa sababu za kisiasa tu au ulevi, hakuna ukweli kabisaa on it, nothing! Kwamba eti Lau aliskosa ajira US, na qualifications zote azlizonazo na green card juu sio kweli mkuu not even close na wala huchekeshi ksuema kwamba yametoka mdomoni mwake.

Lakini good try!

Thanxs!
 
Allien,
Chekered background ya Masha na crentials zake ni two fold. Kuna hili la kukwepa JKT hili. Haijulikani alikwepakwepaje. Lingine ninalo smell ufisadi ni jinsi alivyokuwa admitted UDSM baada ya kusoma elimu ya msingi miaka 10 badala ya 12 kama wenzake wa US, au 13 ya Tanzania. Kama hakurushwa madarasa basi atakuwa ni high school drop out ambae UDSM hawakucheki!!

Kiongozi Kuhani;

Asante sana kwa hili, nakubaliana na mtazamo wako na nilikuwa najiuliza juu ya hili la JKT na Admission ya UDSM. Issue nzima hapa ni uzalendo na tabia halisi ya mtu ya kutozingatia taratibu.

Kama kuna kiongozi hakupitia JKT na ukapata admission UDSM, basi tunaomba wanahabari walishikie bango hili mpaka tupate majibu ya ilikuwaje. Mwanakijiji, nashauri litoe hili katika Cheche. Ukiangalia post zangu katika hili it has something to do with Uzalendo na Kufuata Utaratibu.

Kama kuna kiongozi yeyote kwa namna yoyote aliweza kugain admission UDSM bila kufuata utaratibu unaokubalika, kuna uwezekano pia katika maisha yake na hasa katika uongozi wa sasa ikawa kuna elements za kutofuata utaratibu na kutokujali maslahi ya taifa kwa kukosa uzalendo.

Uzalendo hapa ni, je, ikitokea opportunity ya mtu binafsi kujinufaisha hata kama opportunity hiyo italigharimu taifa na hata kama ni halali kulifanya kibiashara, je mhusika atakataa hiyo opportunity kwa kujali maslahi ya taifa au ataitumia kujinufaisha? Deep Green?
 
Ni alama ya uungwana wa hali ya juu kuomba msamaha pale unapohisi kuwa hukumtendea haki mwenzako. Shukurani kwa hilo.

Hili la credentials za waziri limekuwa likiingizwa humu na FMES. Yeye akidai kuwa yuko karibu sana na waziri ( alikuwa akifikia kwake, kamfania Party kubwa n.k.) ndiye aliyekuwa akileta hizi habari za kazi alizokuwa akizifanya Marekani. Wengine tukisema kuwa mbona hazijakaa vyema tulikuwa tunaambiwa kuwa tuna wivu kwa sababu hatuko karibu na wakubwa. Fair enough. Sasa Kisura amejitokeza ambaye inaelekea nae anavuta the same rarefied air na hao wakubwa. Yeye ametuthibitishia kuwa sisi wanyonge hatukukosea. Ni uamuzi wako kumuamini au kutokumuamini.

Kwenye hili la Benki ya Dunia. Hebu tuangalie aliyo yasema FMES.

FMES amesema Masha aliacha kazi WB ndiyo akarudi nyumbani. Kwa kuelewa kwangu ni kwamba huyu bwana aliisha ajiriwa na WB aka-resign kazi hiyo ili arejee nyumbani. Tukumbuke kuwa ajira ( FMeS amesema kuwa " Lau tayari alikuwa na ajira") inaanza pale unaposaini mkataba na mwajiri wako na si pale unapoletewa barua ya kukubaliwa maombi yako!

Halafu chini yake FMeS anasema tena kuwa alikuwa anasubiri kupata Green card yake ili aweze kuanza kazi WB. Alipoipata hiyo Green card akaghairi na kuamua kurudi nyumbani! Hii si tu inapingana na maneno yake ya awali kuwa aliacha kazi bali inaongeza utata kwa kuonyesha kuwa kilichomzuia kuanza kazi WB kilikuwa ni kukosekana kwa Green Card. Wanaojua mambo ya WB wameshaonyesha kuwa hii haiwezekani maana hauhitaji Green Card kufanya kazi WB. Kwa hiyo kama alikubaliwa kazi WB angeweza kuanza mara moja bila kusubiri chochote. Kinachowezekana ni kuwa Masha alikosa kazi WB ( sio dhambi hili) lakini hakutaka kuwaambia wenzake ukweli huo kwa sababu zake binafsi (which is totally understable). Akatumia kisingizio cha Green Card nao wakamwamini.

Alichotusaidia Kisura ni kuondoa lile pazia la ukaribu na kusema kuwa haya yote si ya kweli na ameyasikia kutoka kwa mhusika mwenyewe. Sasa ni juu yako kumuamini Kisura au FMeS kwenye ishu hii. Mimi namwamini Kisura kwa sababu nilizoziainisha hapo juu. Simjui Kisura kama vile nisivyomjua FMeS kwa hiyo hata kwake yeye siwezi ku-vouch kuwa kweli aliwahi kumsikia Masha akizungumzia suala hili. Kwangu mimi, alichokisema ni more probable kuliko alichokisema FMeS.

Wengine wetu tumechoka kuambiwa kuwa inabidi tuwanyenyekee wote wanaotoka majuu kwa sababu wametufanyia fadhila kwa kurudi nyumbani. Wote wapimwe kwa utendaji wao hapo walipo na si kwa madigiri yao, kiingereza chao, ukoo waliotoka, nchi walizowahi kuishi au kazi walizowahi kufanya. Kutetea udhaifu wao kwa kutumia vigezo hivi ni kututukana sisi watanzania. Wakati wa kushukuru kulishwa makombo umepita!
I like this man.
 
Acheni zenu hizo.Ujumbe wa PDiddy umeeleweka.Masha alikurupuka kutoa siku saba kwa Mengi japo mfanyabiashara huyo hakutaja jina la Waziri kijana anayemtuhumu.Zitto dared to do that,na it seems like Masha alotajwa na Zitto ni Hussein Masha,ex-SSC player,na sio huyu Waziri anayejaribu kuiga archaic style ya Mrema ya siku 7.Kwa sie tunaojaribu kuangalia kwanza substance katika mada,as opposed to rushing into uncalled for criticism,tunaona kuwa huo ndio msingi wa arguement ya PDiddy.
 
1.
Haujui tofauti ya World bank na uwaziri wa Tanzania? Yeyote yule, ili mradi awe raia wa Tanzania na atimize masharti husika anaweza kuwa waziri. Hakuna interview wala kuambiwa upeleke reference kwenye uwaziri wa Tanzania. Ile ni political post. Rais wa Jamhuri ya Tanzania ana mamlaka yote ya kumpa yeyote yule anayemuona atamfaa uwaziri. Hakuna kwenda kuomba kibali cha bunge wala nini. World Bank wanaangalia uwezo wako kitaaluma. Kuna viwango unavyotakiwa kutimiza ( elimu, uzoefu wa kazi n.k.).Unafanyiwa interview. Unaombwa ushahidi wa uliyoyadai katika maombi yako. Mara nyingi mnagombea wengi. Kinachozingatiwa ni nani katika waombaji ndiye anayekidhi zaidi mahitaji ya taasisi ya World Bank ( si ya rais wa WB). Huyu ndiye anayechaguliwa. Bahati mbaya umeneja wa Amusement Park si moja ya sifa zinazotakiwa katika World Bank. Unadhani huo umeneja unaoutetemekea ungekuwa na maana angeacha kuuweka kwenye C.V. yake? Mtu ambaye ameweka hata shule ya msingi aliyesoma!

- Mkuu sometimes kujua kwingi huharibu maarifa, nina mshikaji wangu anayeitwa Johne Paul, kijana mwanamapinduzi aliyeongoza machafuko dhidi ya Mobuttu, akiwa rais hata jina lake tu ni matatizo kuandika lakini yuko World Bank, unataka nikutajie wabongo wanaozuga kule W/B, acha hizi mkuu heshimu elimu za watu na naafasi za watu kutokuwa nazo haina maana ya kuwachukia walionazo hata unakosa heshima angalau kidogo.

2.
Bottom line ni kuwa Masha hajawahi kuajiriwa World Bank. Kwa hiyo hajawahi kuacha kazi World Bank kama ulivyotaka kutuingiza mkenge.

- Lau alipoondoka US kurudi bongo, alikua amepewa ajira World Bank, lakini hakuenda kuichukua au kufanya kazi alivyokuwa amewaomba, aliamua kurudi bongo, kwenye hili unaweza ukasema anything you want na ukasaidiwa na forum nzima kama ninavyoona ila siwezi ku-move kwa sababu ninajua for a fact, tena 100% truth.

3.
Don't flatter yourself. Chuki na wivu viko wapi katika haya niliyoyasema? Kwa nini nikuchukie au nikuonee wivu mtu ambae simjui? Kwa sababu ulikuwa unamwendesha Masha? Kwa sababu unamjua Masha? Kitu gani hasa kinakufanya uamini kuwa Fundi Mchundo anakuonea wivu?
Ulichotaka tuamini kimeonekana si kweli. Basi kuwa mtu mzima na kubali kuwa uliteleza. Kilio chako kuwa haupendwi na unachukiwa haki-hold water anymore. Tetea hoja yako au nyamaza. Ni hicho tu.

- Masha nimemuendesha kama rafiki, kwa sababu alipomaliza shule Georgetown, aliliuza gari lake alilokuwa akilitumia ku-deliver Pizza wakati anasoma, na mimi leo nikienda any place ambako kuna mtu ninayemfahamu na mimi ni mgeni ataniendesha lakini haina maana anakuwa ni dreva wangu, kwa hiyo hiyo hoja ni nje au nonesense!

- Kwamba unanichukia hapana ila unamchukia Lau kwa sababu kwanza umri wake ni mdogo kuliko wako kulinganisha na aliyokwisha yaa-accomplish kwenye maisha, pili ana elimu kubwa kuliko yako, tatu ni kiongozi wewe sio na ungetaka kua kiongozi kama yeye, na unathibitisha na maneno yako hapa JF kuhusu chuki zako dhidi ya Lau, au mtu yoyote anyekuzidi usiyokuwa nayo na unayoyataka, lakini huna haya yote yanathibitishwa na maneno yako hapa forum.

- Hakuna nilipoteleza ila unajaribu kulazimsiha kama kawaida kuwa nimeteleza, another nonesense ambayo huwa ninaitegemea kutoka kwako, maaana as far as michango yako hapa is concerned sijawahi kusema ukweli, ila huwa ninasema uongo tu kila neno, ndio maana siwezi kushangaa kujaribu kuweka maneno mdomoni kwangu na all this nonesense, lakini sitabadilika mkuu siku zote huwa ninasimama kwenye ukweli tu, ukiwa na ukweli hata upande wa pili mkiwa wote kama mlivyo sasa haibadili ukweli ndivyo nilivyofundishwa katika maisha yangu na ndivyo ninavyosimama siku zote.

- Ya kuchukiwa ni maneno yako ya chooni ambayo hayana msingi, unajua ninachokisema wazi kwamba una chuki binafsi na Lau, mimi hata ukinichukia huwezi kunisaidia anything wala kunipunguzia anything ila unajiletea machungu ya bure na masha yako maana I could care less, labda kama huna ukweli kama unavyoonyesha kwenye maneno yako mengi ya chuki na wivu ni bora kama ulivyosema mwenyewe u-shut up!, maana huwezi kinifanya niseme uongo wakati ninaujua ukweli,

Matatizo yako hayakusababishwa na waziri wa Lau, na kama huna hoja ni bora ukafunga mdomo ukatuachia tuendelee na mjadala kama tulivyoanza.

Thanxs!
 
Ku-deliver Pizza tena mazee, too much information.
 
FMES, kwa nini ulimuendesha? Kwani yeye alikuwa hajui kuendesha? au alikuwa hana leseni au leseni yake ilikuwa imekwisha muda wake? Na wewe ulivyokuwa unamwendesha ina maana ulikuwa huna kazi ya kufanya?
 
Naona sasa tutaelekea kulumbana badala ya kujadili.

Haya mzee umeshinda, umeweza ku-prove kwamba Masha alishawahi kufanya kazi WB.

Samahani kwa kukuudhi.

- Hapana umejiudhi mwenyewe mkuu, maana hakuna mahali nimewahi kusema unayoyasema, nimesema Lau alikuwa ajira World Bank akaiacha na kjurudi bongo, nimelisema hili toka last years ukienda kwenye maktaba ya JF utalikuta sio mara ya kwanza,

- Naomba kurudia tena ninayoyakumbuka being close to him bila ya kusoma CV yake, Lau alipomaliza Mlimani alirudi US kwa wazazi wake, akaenda kusoma Georgetown, alipomaliza alirudi NYC, akafanya kazi Playland, akafanya Bar ya ku-practice Criminal Law NYC, akaitwa kujiunga na World Bank kabla ya kwenda DC kuchukua kazi akaamua kurudi bongo, lakini ajira World Bank alipewa na ilikuwepo, ni yeye mwenyewe kutokana na ishus mbali mbali mojawapo ikiwa hasa ya afya mama yake na kushinikizwa na baba yake ndio aakaamua kurudi bongo,

- Bongo alianzia kwa Mahalu na Warioba Law Firm, akateuliwa kwenye kamati ya taifa ya marekebisho ya katiba ya muungano, akaingia TOL kama Company Secretary na baadaye Director, akajiunga na IMMA, ndio akaanza kuingia kwenye siasa na sasa ni waziri, haya ninayajua as a matter of fact na sio kwa kusoma au kuambiwa haya nimeyajua wka kumjua kwa karibu.

Thanxs guy!
 
Back
Top Bottom