William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
Bila samahani Mkandara, au Bob Mkandara, kama ndugu yangu mmoja anavyokuita. Pia anapenda kusema, ndugu yangu huyo anapenda kuanza kwa kusema, heshima mbele. Bahati mbaya mara nyingi tunashindwa kuheshimiana na ndugu yangu huyo. Sad situation.
Anyhow, ukifanya kazi World Bank wewe sio mhamiaji wa nchi hiyo ulipo. Green Card ni hali ya uhamiaji, immigrant status, specifically permanent resident status. Unapopata kazi World Bank, au IMF ama offshoots zingine za UN wewe huna jukumu la kutafuta uhamiaji wa nchi enyeji. Ni nchi hiyo yenyewe ndio imekubali kuwa mwenyeji wa ofisi za jumuiya hizo za kimataifa na wao ndio watajiju katika kukupa haki za uwepo ambazo sio lazima ziwe umamiaji wa kudumu.
Pale Arusha, kwa mfano, sisi ni wenyeji wa Wakenya, Waganda, Waburundi na wa Rwanda katika EA Community. Hawa hatuwaulizi vibali vya kudumu vya kuishi Arusha. Hawakutaka kuishi Arusha isipokuwa kwa kazi za jumuiya.
Similarly, the US does not, it can not, require immigrant status, especially permanent residence, of anybody in the employ of a world body that they have agreed to host in their own volition.
"Lau" asingehitaji Green Card kufanya kazi World Bank katika ofisi zilizoko Marekani, au mahala pengine popote pale duniani. Lakini hata hivyo this is a moot point kwa sababu FMES ameshakubaliana na mimi kwamba Waziri "Lau" hakuwahi kufanya kazi World Bank, kinyume na alivyo indicate mwanzoni.
- Irrelevant kama kawaida!