Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Status
Not open for further replies.
Masha is too late to backtrack now, the damage has been done.

U thought as a minister U can scare people by giving days, for what?? Like we said I hope Mengi says nothing within 7 days and put Masha in a choke hold, because he will look like a joke. what can U do legally to Mengi for those allegations??

Masha I wish U all the best but pse look after the welfare of the citizens since now its official Ur presidency dream has been extinguished
 
Nimewahi kukaa Masha , kula kunywa naye , niligundua kwamba hakuwa tayari kwa madaraka makubwa kama aliyo nayo ,Sijajua kwa nini JK alimpa madaraka makubwa kama haya haki akijua kabisa kwamba bado yu ngali kijana na ujana ni maji ya moto.Sijajua kwamba ndiyo kozi ya uwaziri zinatolewa namna hiyo ila kwa kweli Masha na Uwaziri ule mengi tutasikia.

Nilisema toka awali kuwa Masha kachemsha..Na pia nilikuwa nikijiuliza kuwa ni akili gani anatumia huyu mtu ama ni nani anamshauri.
Hata hivyo si vyema kabisa kutumia mfano wa Masha na kuanza kuwaponda vijana...Si kweli kabisa kuwa vijana hawawezi kuwa viongozi wazuri...Usije kutaka kuturudisha nyuma uncle...Vijana tunawahitaji sana tu...Akichemsha mmoja si lazima ku generelize kwasababu tumeongozwa na wazee all the time then what do we have?

Jamani huyu Masatu anayeomba radhi huku ndo yule tuliyewahi kusema tusichukulie mambo yake serious au ni kuna mwingine?
Msaada tu!
NB: Ili Mzee Slaa akiona mahali pengine wala asiwe na haja ya kujibu hizi offs!

Siao, Masatu ni mwanachama mwaminifu kabisa wa ccm na inawezekana mwenye cheo kikubwa tu...Hata hivyo Dk Slaa hulieshimu jukwaa hili na ndio maana akamwomba Masatu aweke record straight.
 
...Maisha hana idea na hastahili kuongoza Wizara kubwa na nyeti kama ile,apewe tuu mkasi mpya awe anafungua mashindano ya Warembo jijini maana ndio anachoweza,Wizara yake inaongoza kwa uzembe na rushwa...naona ameanza kujisahau kama Lowassa na kuanza kutukana watu hadharani na anaota atakuwa Raisi siku moja,nafurahi sana nikisikia watu kama hawa wakiwa exposed sasa na ninaanza kuamini nchi yetu sasa inaelekea pazuri!
 
Sasa hivi ni Zitto vs Masha...Vijana kwa vijana...Haya kazi imeanza.....Ila hapa JF napo bado ipo...Ha haa!
Kaazi
 
JK atamtoa Masha hapo halafu atamweka Zitto...Halafu serikali ya 2010 mseto.
 
  1. Sina uhakika mwishoni ni nani ataibuka mshindi katika sakata hili. Ninachoona hapa kinachoendelea ni juu ushindani wa sheria, siasa, madaraka na popularity.

  2. Kitu kimoja ninachofahamu kuhusu Mengi ni kuwa Popularity yake katika Jamii ni kubwa sana ukilinganisha na Masha. Na hii inatokana na kazi zake katika Jamii na na vyama mfano, Misaada kwa wahitaji, NGO's, Vyama vya Kibiashara na Mashirika mbalimbali ukiachilia mbali media zake. Hivyo, katika nyanja ya Popularity, huenda akaloose kwa kuwa tayari upepo unaovuma unaonyesha kuwa ana support ya public no matter the outcome. Nimesoma mahali walemavu tayari wanamuunga mkono . . . . Yes, Mengi anayo matatizo yake lakini katika hili anajua karata gani ya kucheza.

  3. Kuhusu Sheria na Siasa, huenda Mh. Masha kuna anachojua wapi atamshindia katika hili na ndiyo maana akapata nguvu ya kufika katika Media na kutoa Ultimatum. Hata hivyo, kwa Mashahidi wanaoendelea kuongezeka kama Mh. Zitto, suala linakuwa la kisiasa zaidi likichanganyika na uzalendo wa chuki kwa mafisadi. Kwa hiyo, kama kuna ushahidi wa kutosha na nadhani upo (Zitto alishaonja adha ya kuongea mambo bila ushahidi wa kutosha na uhakika pale bungeni na sidhani kama atafanya kosa tena), basi hili pia Masha atashindwa. Hivyo Masha tayari anelekea kushindwa Kisiasa. Kisheria inabidi tusubiri . . .

  4. Kitu ambacho nafahamu kuhusu Masha ni kuwa swala hili amelichukulia kwa jazba na haraka sana hasa ukizingatia ukweli kuwa Mzee Mengi amewahi kuwa na malumbano siku za nyuma katika vyombo vya habari kuhusu masuala mengine na wasindani wake wakashindwa. Kuna usemi wa Wahenga usemao "Usijibu Barua wakati una hasira" na hata wazungu wanatuambia "Time will tell". Ilikuwa ni busara ya kiutu uzima tu, kutulia na kutafakari kwa muda kabla ya kuamua cha kufanya.

  5. Hii inanipa mawazo kuwa Nadhani imefika wakati sasa Mawaziri wachagulie kutokana na past records zao hasa katika kutumia Public au hata Communities. Na hapa kigezo kikubwa kiwe ni uzalendo na uaminifu kwa maslahi ya nchi.
 
Nimewahi kukaa Masha , kula kunywa naye , niligundua kwamba hakuwa tayari kwa madaraka makubwa kama aliyo nayo ,Sijajua kwa nini JK alimpa madaraka makubwa kama haya haki akijua kabisa kwamba bado yu ngali kijana na ujana ni maji ya moto.Sijajua kwamba ndiyo kozi ya uwaziri zinatolewa namna hiyo ila kwa kweli Masha na Uwaziri ule mengi tutasikia.

Jamani hivi huyu Masha ni Mbunge wa jimbo gani???
 
wakuu taratibu jamani.
si wote tunakubaliana kwamba hoja hujibiwa kwa hoja?
chonde chonde.
 
Masatu kusema juu ya Slaa na mahakama mie sikutaka kuligusa maana Slaa ni member hapa so vyema akijibu mwenyewe ila nilijua tu kwamba Masatu kaanza mapishi kama yale aliyo yaanza wakati wa Tarime na Chadema wakamba dume .

Masha nadhani ana kasoro kubwa sana na kupewa nafasi kubwa kama ile kuwa waziri wa Nchi kweli inaumiza kichwa .Akisha kunywa ukaanza kumsikiliza hana tofauti na mtu wa manzese maana kazi yake ni majigambo na kutaka atambuliwe na wapambe wake wanarusha matusi utadhani si wabunge .Sijajua bado kwamba Masha ana kitu gani ila haya aliyo yafanya niliyaategemea kabisa.Kwa hulka hafai kuwa waziri hata mara moja .Ana kiburi na ushikaji usio kuwa na maana
 
kama sikosei kuna wakati nilipata kusoma mahali
kwamba nchini msumbiji viongozi wa serikali
hutakiwa kuhudhuria mafunzo kupunguza
stress/hasira. nadhani mafunzo kama hayo
yatawafaa viongozi wetu.
 
Lunyungu,

..tuhuma kwamba kuna Waziri anasuka mipango ya kumfilisi Mengi ni nzito sana. natumaini kwamba mhusika atapatikana na hatua zinazostahili zitachukuliwa.

..kwa mtu mwenye STATUS na ACCESS kama REGINALD MENGI, I am tempted kuamini kwamba angeweza kufikisha malalamiko yake kwa Waziri Mkuu, au Raisi, na suala hili likamalizwa na mara moja.

..hapa nilipo najiuliza kama Reginald Mengi alimtaarifu Waziri Mkuu, au Raisi, kuhusu tuhuma hizi. na kama alifanya hivyo alipata majibu gani.

NB:

..kwanini Mengi hamtaji kwa jina huyo Waziri kijana anayepanga hujuma dhidi yake.

..kwa jinsi alivyozitoa tuhuma hizi anawaweka Mawaziri wote vijana ktk wakati mgumu.

..ningekuwa Laurian Masha ningejikalia kimya tuu. huu si wakati mzuri kuanza kwa waziri wa serikali iliyopoteza umaarufu kulumbana ktk vyombo vya habari.

..FMES, hebu mshauri kijana wako a lay low kwa kipindi hiki.
 
Kufuatia matukio ya miaka mitatu iliyopita, siku hizi ninayachukulia maneno ya Mheshimiwa Zitto na Mheshimiwa Slaa kwa uzito sana, kwa sababu mara zote wamekuwa wako sahihi wanapoamua kutangaza jambo fulani hadharani. Inawezekana wana udhaifu mwingine wa kibinadamau ila inapokuwa katika kutoa tamko la hadhara hasa linalohusu maslahi ya watu wengine wamekuwa wako makini sana kuhakikisha kuwa wanaloongelea ni sahihi kabisa. Ndiyo maana akina Mkono, Mgonja, Karamagi, na wengineo wote walitetemeka na kutishia kushitaki lakini leo tunajua matokeo yake.

Kama nilivyosema huko nyuma katika thread nyingine, Masha alichemsha sana na huenda ni kweli ana hatia kwenye sakata hili. Yeye kama waziri kukurupuka na kudai ushahidi ndani ya siku saba, ama sivyo sheria itachukua mkondo wake na Mengi atakiona cha moto, halafu leo hii anadai kuwa anataka kumlinda Mengi, inaonyesha flip flop ya 180deg. Hajui asemal mtu huyu.

Inapotokea mtu credible kama Zitto akathibitisha kuwa kweli Masha alisema maneno hayo kwa wenzake (na huenda hakupata sapoti yao, ndiyo maana yakavuja) ni muhimu kwa Masha ajiangalie tena atenganishe mzaha na ukweli, na ikiwezekana aombe radhi kwa Mengi akisistiza kuwa huenda alichukuliwa out of context.

Vile vile ni vyema serikali ikajiangalia tena kuhusiana na madai haya kwani yanaweza kuwa ni doa kubwa sana kwa serikali kwa sababu yanaweza kutumiwa na Mengi kukwepa kodi halali kikweli kweli halafu akilazimishwa kuiilipa akajitetea kuwa serikali imekuwa na mpango wa kumbambika kodi kubwa siku nyingi.
 
Lunyungu,

..tuhuma kwamba kuna Waziri anasuka mipango ya kumfilisi Mengi ni nzito sana. natumaini kwamba mhusika atapatikana na hatua zinazostahili zitachukuliwa.

..kwa mtu mwenye STATUS na ACCESS kama REGINALD MENGI, I am tempted kuamini kwamba angeweza kufikisha malalamiko yake kwa Waziri Mkuu, au Raisi, na suala hili likamalizwa na mara moja.

..hapa nilipo najiuliza kama Reginald Mengi alimtaarifu Waziri Mkuu, au Raisi, kuhusu tuhuma hizi. na kama alifanya hivyo alipata majibu gani.

NB:

..kwanini Mengi hamtaji kwa jina huyo Waziri kijana anayepanga hujuma dhidi yake.

..kwa jinsi alivyozitoa tuhuma hizi anawaweka Mawaziri wote vijana ktk wakati mgumu.

..ningekuwa Laurian Masha ningejikalia kimya tuu. huu si wakati mzuri kuanza kwa waziri wa serikali iliyopoteza umaarufu kulumbana ktk vyombo vya habari.

..FMES, hebu mshauri kijana wako a lay low kwa kipindi hiki.

Zitto/Dr. Slaa naomba unisaidie kutatua hili;

Ina maana kuwa walikuwa wanapiga SOGA ndo pendekezo likatoka au kilikuwa kikao rasmi ya baraza la mawaziri? Having this information will help me at large plz.

Kama ni kwenye kikao rasmi then hakuna maana ya Mengi kwenda kwa PM or JK. Hapa ndo malaha pake na kama ndio CCM kwisha habari yake...
 
..ningekuwa Laurian Masha ningejikalia kimya tuu. huu si wakati mzuri kuanza kwa waziri wa serikali iliyopoteza umaarufu kulumbana ktk vyombo vya habari.

..FMES, hebu mshauri kijana wako a lay low kwa kipindi hiki

- Mark my words, Ninaamini kinachosemwa so far sio ukweli wote, na niaamini kwamba behind the scene hii ni vita ya 2010 kati ya muungwana na el, sasa tusubiri next maana this is very interesting, sasa subiri uone itakavyoishia.
 

Je Masha alibadili uraia na kupata wa Marekani au ni Raia wa Tanzania? Nimesoma mahali kwamba alisoma shule huko Marekani ambazo raia wa kule ndo wanayo nafasi ya kulipiwa. Kuhani, nisaidie hapa juu ya Education System V/s Uraia

Allien,

Masha alisoma elimu ya msingi na sekondari akiwa US. Elimu ya chini hawana haja ya kuuliza uraia, uzawa, ugeni wa kudumu n.k. kwa sababu shule za umma huwa ni bure, na zile za private ndio kabisa hawana sababu ya kuulizwi. Hivyo Masha hakuhitaji kuwa Raia/mgeni wa kudumu for the purposes of malipo ili kuweza kusoma elimu ya chini.

Uhalali wa Utanzania wa Masha sidhani kama umewahi kushwalisha. Anaweza kabisa kuwa Raia wa TZ, Waziri na mgeni wa kudumu wa US kihalali, sio tatizo. Lakini Uraia nadhani itakuwa vigumu sana kwa Waziri kuficha ubatili wa uraia wa nchi mbili.

Chekered background ya Masha na crentials zake ni two fold. Kuna hili la kukwepa JKT hili. Haijulikani alikwepakwepaje. Lingine ninalo smell ufisadi ni jinsi alivyokuwa admitted UDSM baada ya kusoma elimu ya msingi miaka 10 badala ya 12 kama wenzake wa US, au 13 ya Tanzania. Kama hakurushwa madarasa basi atakuwa ni high school drop out ambae UDSM hawakucheki!!

Unajua Watanzania ni wagumu sana (sijui wanaogopa) ku cheki background na credentials za mtu aliyetoka majuu. Ukija ukasema mimi nina utaalam wa kupasua vichwa utaruhusiwa kufungua zahanati ya kupasua bongo za binadamu hata kama huko unakosema umesomea wenyewe hawakuruhusu uguse muugua kikohozi.


FMES na Viongozi;

Inaelekea uko karibu na Mh. Masha kiasi cha kumpeleka katika Mtihani na Kuchukua Majibu...
Hiyo habari ya FMES sio ya kweli. Nimeweka sababu zote za kwa nini hajasema ukweli, bahati mbaya ma mods wameifuta. Anyhow, habari hizo za FMES kwamba Masha ni member wa NY Bar sio za kweli.
 
Last edited by a moderator:
Kuacha firm-law yake na kugombea ubunge hakiwezi kuwa kigezo cha mapenzi kwa nchi,wala uzalendo,
 
Masha bado ni partner wa IMMA, kwa hiyo profit zozote IMMA lawfirm inayopata Masha naye anapewa according to ownership stake yake.

Anachofanya ni kutokurun day to day activities ya IMMA ( Kwa Tanzania ni vigumu sana kuprove hili kuwa ahajishughulishi na lawfirm).
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom