Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Status
Not open for further replies.
4. Mengi vs Mkapa. 5. Mengi vs Lowasa. 6. Mengi vs Kikwete. 7. Mengi vs Wananchi (ambao watakuwa wamechoka naye na kushindwa kumwonea huruma)

Mimi sielewi kwa nini hadi hivi sasa huyu Mengi hajapoteza credibility yake. Yeye nadhani ana paranoia fulani hivi. Kumbukeni kuwa madai kama haya hajaanza kuyatoa leo. Kama mnakumbuka hata mwaka 1994 alidai eti wale Wahindi wa DTV walikuwa wanataka kumfanyia kwa sababu TV yake ilinunua haki pekee za kurusha matangazo ya kombe la dunia mwaka huo. I'm tired of him and his bellicose antics!!! He should just go away.......
 
Mimi sielewi kwa nini hadi hivi sasa huyu Mengi hajapoteza credibility yake. Yeye nadhani ana paranoia fulani hivi. Kumbukeni kuwa madai kama haya hajaanza kuyatoa leo. Kama mnakumbuka hata mwaka 1994 alidai eti wale Wahindi wa DTV walikuwa wanataka kumfanyia kwa sababu TV yake ilinunua haki pekee za kurusha matangazo ya kombe la dunia mwaka huo. I'm tired of him. He should just go away.......

Tatizo lake ni dogo tu, anapenda sana kusikiliza sauti yake mwenye akidhani pia na wengine pia wanaipenda sana sauti yake.
 
Tatizo lake ni dogo tu, anapenda sana kusikiliza sauti yake mwenye akidhani pia na wengine pia wanaipenda sana sauti yake.

Hivi nani mmliki wa CNN au Aljazeera?Sijawaona wala kuwasikia! Lakini mengi kila siku anajitangaza kwenye vyombo vyake vya habari na kisha anazua mambo ya kuwachafua wengine mbele ya jamii.Huyu Mengi ana agenda gani?
 
Mimi nina hisia kwamba kwa hili Mengi kapata ushauri wa Kike; Hakutakiwa ku-rush kwenye ka-Tiivii kake na kengele zake.

Ila kama wapo wenye data jamani, Kuna uvumu kwamba mkunandiko wa Mengi ndiye aliwahi kuwa wa jamaa zamami (mwanasheria mrembo sijui yuko na mambo ya usajili wa companies or something).

Waangalie wasije wakatumika kijinga na kugombana kumbe kuna mtu ana yake... Maybe the lady is still bitter about something

Girls power these day!!!
 
-- whistling -- kitu cha kwanza Masha ajiuzulu Uwaziri kwanza just to make it a fair game.

wewe Mkjj,

Hivi kwani Masha naye ni muislam hadi unataka ajiuzulu. Au naye ni muislam kwa siri siri kama vile wapambe na fundamentalist wa kidini walivyosema kuwa unawasakama waislam peke yao (huku wakisema kuwa umegundua kuwa Lowasa alislim kwa siri so ndio maana umemshikia bango).

Tafadhali kabla Game Theory na wenzake hawajaanza kuleta vilio hapa kuwa unasakama waislam, iwekwe wazi hapa kama Masha (na mramba, mgonja, chenge) wameslim kisiri siri.
 
Halafu kwa nini hii administration ya Kikwete ina watu ambao academic qualifications zao ziko questionable? Sikuwahi hata siku moja kusikia watu waki question qualifications za Dr. Pius Ng'wandu au Prof. Kigoma Malima na wengine ktk administration zilizopita. Why this one?
 
Mimi nina hisia kwamba kwa hili Mengi kapata ushauri wa Kike; Hakutakiwa ku-rush kwenye ka-Tiivii kake na kengele zake.

Ila kama wapo wenye data jamani, Kuna uvumu kwamba mkunandiko wa Mengi ndiye aliwahi kuwa wa jamaa zamami (mwanasheria mrembo sijui yuko na mambo ya usajili wa companies or something).

Waangalie wasije wakatumika kijinga na kugombana kumbe kuna mtu ana yake... Maybe the lady is still bitter about something

Girls power these day!!!

Grrrrrrrrrrrrrrrrrrrr Grrrrrrrrrrr Grrrrrrrrrrrrrrrrr ... ushauri wa Kike ni upi tena huo?
 
Kwanza issue kubwa hapa ni Mengi Vs Masha na matukio yaliyojitokeza katika siku hz mbili.Habari ya education ya Masha na admission yake Mlimani itafutiwe post yake.

Ohh,

Naona sasa unataka kuamuru nini kifanyike hapa kwenye hii forum. Get another job maana hiyo so far imekufa kwenye kufika (dead on arrival).

Education ya Masha na namna alivyoingia Mlimani ni issue kubwa sana kwa mtu ambaye amepewa nafasi ya uwaziri nyeti sana Tanzania. Ukipenda unaweza kuskip kila post itakayoongelea education ya Masha.

Kwangu mimi, I have just started kwenye hili.
 
Kwa vyovyote vile, hata kama ni kweli kuwa Mengi alitoa taarifa zisizo sahihi kumtuhumu kiongozi wa serikali akutumia vyombo vyake vya habari, bado Masha kakurupuka ile mbaya kwa kudai amempa Mengi siku saba kutoa ushahidi, kwa vile hilo siyo jukumu lake. Yeye kama waziri ni mwanasiasa tu na jambo hilo ni la kiufundi (upepelezi wa uhalifu), kwa hiyo katika kiwango cha Taifa lilitwakie liwe addressed na IGP tu au msaidizi.

Kama ilikuwa ni lazima, jambo ambalo Masha angetamka ni kuwa amesikia tuhuma hizo na ameliagiza jeshi la polisi lizifanyie uchunguzi kwa haraka, lakini syo kwa yeye kutoa ultimatum ya siku saba. Huo ni upuuzi kabisa huo.
 
Kwa wale wanaoujuwa mchezo wa draft nadhani wanafahamu kitu inaitwa "forced King" Yani unamwingiza mpinzani wako kingi halafu unaiuwa king na kushinda game.

Kuna wale waliokuwa wakidai ndugu Mengi aende kwenye vyombo vya usalama na kwamba alikurupuka...Ni wazi walikuwa wrong maana walikuwa na confidence ila wengine tuliamini ndugu Mengi alitumia busara.

Si vizuri kuingiza emotions na personal feelings kwenye issue kama hivi kwani mara zote maamuzi yenye mrengo huo huwa hayana mwisho mzuri.
Nimesikia kuhusu mahojiano na waziri huyo na siku saba alizotowa....Maamuzi yake ya siku za karibuni yanaonyesha picha ambayo haijakaa vizuri...Something very serious is going on na sisi tuko hapa tunajadili lakini nadhani hatujui vizuri kuhusu behind the scenes na michezo hii ya mwisho mwisho kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010.

ccm ni muhimu sana igawanyike na hilo halitakwepekea kwani ni wazi kuna mtikisiko ambao unapelekea utashi kuwashinda viongozi wetu ambao ni wazi wako kwenye kikaangio...Tatizo ni media inawamulika na Mengi ni adui wa mafisadi.

Watu hawashangai kuwa kwanini mara baada ya elements za Mkapa kuguswa na mjdala kuanza kumfikia yeye sasa imemgeukia Mengi? Wale wanaodhani kuwa mtu kama Mengi anaweza kukurupuka kwenye issue kama hii bila kufikiria kwa mapana na marefu basi watakuwa wamekosea tu kama waziri wao huyo kijana.
Na kwasababu Mramba na Mgonja wamefikiwa...Sasa tunaona elements za vijana wa JK ambao bado wana sympathise na either Mkapa ama Lowassa.

Ushauri wangu ni kwa wale wanaochukulia issue hii personal...Please tuangalie ukweli ili iwe ndiyo utamaduni wetu wa ku solve matatizo yetu kwani thats the only way ku overcome matatizo yetu kama Taifa moja.
Hatuwezi hata mara moja kumvua uwaziri mh waziri na kumpa ulevi simply kwasababu anayemtuhumu kuna ambao hawampendi kwasababu zao binafsi....Kama ni kweli alikuwa amelewa...Basi ni yeye atakayetakiwa kuidhibitishia mahakama na kamwe si kazi ya ndugu Mengi kufanya hivyo. Tena kwenye process ya kutoa udhibitisho kuwa alikuwa maji ni lazima akawalete mabaamedi waliokuwa wakimuhudumia ili waweke wazi kuwa alikuwa amekamata chupa ngapi ama toti ngapi ama shoti ngapi ili hakimu ama jaji aweze kutoa tathimini kama ni kweli mh huyo ambaye kwa wakati huo alikuwa akita aitwe mlevi kuwa its very likely kuwa alikuwa mlevi.

Historia ya ndugu Mengi pia ni ndefu na ina mwingiliano na mambo mengi nchini kwetu na hivyo ni budi tukumbuke hilo kwani nani asiyejuwa kuwa ni ngumu kupeta kama wewe ni mzawa? Tena the time Mengi alikuwa anaanza? Amepambana kivyake na ni wazi hajapora mali ya wananchi ama kuuza nchi hiyo ni tofauti kubwa sana tuu!
This time chuki lazima tuweke pembeni na tuache mambo yale yanayotufanya tuonekane kama binadamu wasiopendana na wala wasiopenda maendeleo ya binadamu wenzao...Na hata yakwao wenyewe...Tukiondoa mentality kama hizo tunaweza kujenga Taifa lenye mafanikio na pengine Afrika.
 
Masha's academic qualifications are not questionable at all...You people are like the mob in the Roman forum.. Yani anything goes.lol.. Angekuwa kasoma some little known university somewhere mngesema ooh! kanunua.. The guy got a law degree from UD.. and as a lawyer i respect that.. His masters from George town... sasa mnataka nini?!

Kama alirushwa darasa.. labda alikuwa na akili sana. its a non issue to be honest.. JF is full of haters kwakweli n sour losers..

Huyu jamaa hastahili kuwa waziri maana he doesnt give a toss about anything that doesnt involve him getting richer so that he can continue his affluent lifestyle full of mistresses, expensive cars, a ministerial portfolio and all its related financial and ego-trip enlarging perks. He doesnt give a shit about Tanzania and security, and Ma Albino.. probably anaona (ashakum si matusi) shit happens so its unfortunate lakini acha wafe tuu.

Tatizo la vongozi wanaojali financial gains and their own power. Amekuwa quoted akisema he wants kuwa PM in the next 15yrs... Lakini hajali tanzania..

Wafanyabiashara, and by this i mean from all parties, hawawezi kamwe kuisaidia Tanzania. We need patriots. Businessmen are NOt patriotic in most cases. Hawa kina JK, MBowe, sijui Masha, Mkono sijui Berlusconi wote ni wale wale.. Dr, Nyerere was a patriot. Kenyatta was a businessman.. look at his family wealth now and tell me how they got it.lol
Moi was a businessman, wanigeria huko hata sitaki kugusia. Wanasiasa patriotic ndio tunataka and so far... sijaona in the current political sphere in Tanzania

WE Dont WANT BUSINESSMEN running the SHOW... AND i MEAN all of theM... I dont care if this is JF where people are aligned to one party or the other. To be honest all these parties are just tools for people to get that moolah...

Hao haters wa JF ni pamoja na wewe au ni wengine wote isipokuwa wewe?

Ni vizuri kurespect elimu ya Masha.... BTW hata Joji Kichaka amemaliza ivy league... sijui the same heshima itatumika pia hapo?
 
Kwa vyovyote vile, hata kama ni kweli kuwa Mengi alitoa taarifa zisizo sahihi kumtuhumu kiongozi wa serikali akutumia vyombo vyake vya habari, bado Masha kakurupuka ile mbaya kwa kudai amempa Mengi siku saba kutoa ushahidi, kwa vile hilo siyo jukumu lake. Yeye kama waziri ni mwanasiasa tu na jambo hilo ni la kiufundi (upepelezi wa uhalifu), kwa hiyo katika kiwango cha Taifa lilitwakie liwe addressed na IGP tu au msaidizi.

Kama ilikuwa ni lazima, jambo ambalo Masha angetamka ni kuwa amesikia tuhuma hizo na ameliagiza jeshi la polisi lizifanyie uchunguzi kwa haraka, lakini syo kwa yeye kutoa ultimatum ya siku saba. Huo ni upuuzi kabisa huo.

Lipi baya zaidi: kumzushia mtu mambo ambayo si ya kweli au mzushiwa ku-react kwa tuhuma alizotolewa na mtoa tuhuma? Swali hili halihusiani na swala la Mengi na Masha. Linahusiana na principle.
 
Halafu kwa nini hii administration ya Kikwete ina watu ambao academic qualifications zao ziko questionable? Sikuwahi hata siku moja kusikia watu waki question qualifications za Dr. Pius Ng'wandu au Prof. Kigoma Malima na wengine ktk administration zilizopita. Why this one?

Nyani Ngabu,

Hata mimi nimekuwa najiuliza swali hili kwa muda sasa. Tatizo ni kuwa Kikwete anajali sana ushkaji badala ya masilahi ya nchi. Haya mambo hayatokei kwa bahati mbaya. Inawezekana ameshauriwa na watu wengine lakini katika teuzi za Kikwete, kuna tatizo kubwa sana.

Jiulize mara mbili mbili kama Mkullo is the best we have katika watanzania zaidi ya milioni 30 kushika wizara ya fedha!?!?!
 
... kwa waliosikiliza na kuangalia mahojiano ya TBC, Waziri Masha alijibu nini alipoulizwa kuhusu issue ya kwenda gerezani kuwatembelea akina Yona?
 
Nyani Ngabu,

Hata mimi nimekuwa najiuliza swali hili kwa muda sasa. Tatizo ni kuwa Kikwete anajali sana ushkaji badala ya masilahi ya nchi. Haya mambo hayatokei kwa bahati mbaya. Inawezekana ameshauriwa na watu wengine lakini katika teuzi za Kikwete, kuna tatizo kubwa sana.

Jiulize mara mbili mbili kama Mkullo is the best we have katika watanzania zaidi ya milioni 30 kushika wizara ya fedha!?!?!

Kabla hatujafika kwa Mkullo, tuanzie na yeye Kikwete: Is he the best we have katika Watanzania zaidi ya millioni 30 kuwa raisi? The answer is heck no and that partly explains why he chooses the people he chooses to run his government. Oh well, elections have consequences.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom