Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Status
Not open for further replies.
Mengi ana apply theory ya "best way to defend is to attack" jamaa mambo yamemfika shingoni, biashara zinayumba kapunguza wafanyakazi 200 wa guardian na haja walipa stahili zao. Sasa the only way ni kutafuta sympathy ya wananchi ili mkisikia jamaa kawekwa kati na TRA aje aseme si niliwaambia kuwa nimekuwa targeted!

So far so good kwani itam buy sometimes lakini this game will end one day na haiko mbali hiyo siku....

Mie nayajua sana haya,Nikimwambia mwanakijiji anaona kama mie najenga chuki na wafanyabiashara wazawa.


Mengi ameshakwisha na hana maana yoyote na kuna mambo yanamsumbua kwa sasa.Nina imani Mhe. Lau atakuwa amesamwandikia Barua!


 
Hivi mbona sijasikia Masha akitoa ultimatum kwa ma RPC na MaOCD kuhusiana na vifo vya albino?????? au ndio vile kama inavyodaiwa kwamaba alisema hilo ni jambo dogo!!!!!!!!!!!!!!!
 
- Kama nilivyosema jana, kwenye hili Mengi ameenda nje ya mstari hawezi kuanzisha serikali yake ndani ya serikali ya jamhuri, ameanzisha mwenyewe wakati kuna njia nchungu nzima angeweza kuzitumia kutatuta tatizo lake, mara mashehe mara waziri kesho itakua rais, it has to be stopped tena now.

- Taifa tunaongozwa na sheria, sio uhuni uhuni wa kukusanya habari za walevi mitaani na kuzigeuza dhana za kutishia walevi, mimi sinyiwi pombe na nina marafiki 75% wanaolewa kila siku, sasa nikijali maneno yao ya ulevi sitakua na rafiki hata mmoja. Kwenye kesi yake against Manji nilikuwa mmoja wa waliomtetea sana Mengi kwa wahusika wa uamuaji ile kesi kuwa anaonewa lakini not this time, kwa sababu this one yuko nje ya mstari tena out na ninaunga mkono kwa 100% any response kwa wale wote aliohusika na kuwarecord au kuwapiga video na picha wakiwa kwenye ulevi, kama ndio sababu ya claims zake against viongozi wa serikali.

Sasa na wewe ukiambiwa uthibitishe kwamba huyu mzee hana ushahidi itakuwaje? au ukiambiwa useme walevi gani ndio walimpelekea hiyo taarifa, si utapata hasira tu zaidi?



- Priviledge ya kumiliki media au kuwa na uwezo wa kuandika kwenye vyombo vya habari ikiwa ni pamoja na magazeti na mitandao haiwezi kuwa sababu ya wale wenye hizo access kuchafua majina ya wengine kuwa ni mafisadi na the rest of the story bila sababu wala ushahidi, hapa ndipo tunapomheshimu sana Dr. Slaaa, kwa kuweka mambo yote ya ufisadi kwa kalamu na ushahidi usiopingika.

Ukiambiwa uthibitishe? Wanaoshutumiwa hawaongei, maana kama wangekuwa wanajua kwamba hakuna ushahidi wangeviwajibisha hivyo vyombo faster fatser yani.


- Masha hana sababu ya kujiuzulu kwa kusimamia kiapo chake kwa jamhuri, yaani kulilinda taifa kwa njia zote zilizopo chini ya uwezo wake kisheria, ni wajibu wa waziri wa ndani kuhakikisha kua wananchi hawabughudhiwi na viongozi au wananchi wengine, na wale wanaobughudhiwa ni wajibu wao kufikisha matatizo yao kwenye vyombo vya dola kwa ufumbuzi wa kisheria iwapo wanao ushahidi wa kisheria, kama sheria yetu inavyosema. Sasa anapotokea mwananchi yoyote mwenye kuamua kwenda kinyume na sheria zetu, regardless ya who he is serikali ni lazima isiamie sheria tena kwa nguvu zote ilizonazo.

Ooho! Sasa mchezo ndio umeanza wewe ushakuwa jaji. Kama unataarifa za ziada, ungesaidia kutuelimisha. Lakini nadhani mchezo ndio umeanza, na kwa information zilizopo hatujui kwa hakika kama analinda taifa au anajilinda yeye mwenyewe.

Kwani angekaa kimya tu, hiyo taarifa ya Mengi ingekuwa na hatari gani kwa taifa kiasi kwamba lihitaji kulindwa (namaanisha taifa sio serkali, tafadhali)? Maana tunavyojua ni kwamba anasema amemsamehe, na maana yake ni kwamba kwa upande wake yamekwisha.


- Ninamuunga mkono kwa 100% kitendo cha waziri wa ndani kumpa Mengi muda wa kutoa ushahidi wake kwa serikali, na pia kumpa waziri anayehusishwa nafasi ya kusema pia mbele ya sheria, na sheria iamue nani mwenye makosa kisheria na nani hana,

Plus Plus, very objective,


lakini the important ishu ni kuhakikisha kua next time Mengi anakwenda kwenye vyombo vya sheria bdala ya media, hawezi kusema kua haviamini kwani vimewahi kumpa nafasi ya kujitetea na akashinda kesi, tena against waziri wa jamhuri, ni lazima Mengi ajifunze kupeleka malalamiko yake kwenye sheria, kama sheria inavyotaka.

Oohoo ... objectivity ni chachuu ya kutafuta ukweli ...

Lakini anahaki ya kuamua kama anaenda kwenye vyombo vya sheria ama la. Mbona wewe huwa unaleta malalamiko yako huku badala ya kupeleka kwenye vyombo vya sheria? Mbona husemi kwamba Masha angeenda mahakamni badala ya kutoa siku saba kwenye TV?

Sina tatizo na opinion zako baba, bias yako inakuwa wazi mno.


- Wote sisi ni wananchi wa Tanzania, na hili taifa ni letu sasa tusitishane na hizi tabia mpya za kujifanya wanamapinduzi, kwa kutaka kulazimisha kwa nguvu hoja za kuwaita walioko kwenye power tuliowachagua kisheria kuwa ni mafisadi just because hatuwataki au tuna chuki zetu za binafsi, dawa ni kudai tu kwa nguvu kuwa ni mafisadi kwa sababu ni wimbo unaokubalika kirahisi na wananchi bila hata ushahidi ulio wazi, hili sio taifa la walevi au wajinga wajinga, tunazo sheria na ni lazima zitekelezwe kwa nguvu zote.

Mzee nadhani wapo wanaowaita viongozi waliopo madarakani ni mafisadi, na data wanzo, na wameshare na sisi. Sasa ungesaidia katika harakati za kuwaprove wrong ungekuwa unafanya la maana zaidi.

Ukiambiwa uthibitishe kwamba sababu inakuwa ni chuki binafsi tu, utaweza? au utapata hasira zaidi tu?


Hatuwapendi mafisadi, lakini ni lazima kuwa na ukweli juu ya uifisadi wao, na ni wajibu wa waziri wa jamhuri kulinda sheria, bila kujali kama ni Mengi au anybody.

Mungu Aibariki Tanzania.

Hapo umenena vizuri, kwamba ni vizuri kuwa na ukweli. Sasa ingekuwa vizuri badala ya kulalama kwamba watu wanawasingizia wengine, ungejaribu kuonyesha kwamba either hawana uthibitisho au uthibitisho uliotoka haujitoshelezi.

Kwa swala hili, Kama una information ambazo wengine hatuna, labda hutusaidie. Lakini nadhani wengi wetu tunachokijua ni kile tunachokisikia kutoka kwa hawa mabwana. Hatujui kama hilo tishio lilitokea kweli ama la. Na kama lilitokea, hatujua kama mzee ana uthibitisho ama la. Hatujui kama waziri anatumia njia zozote kulinda taifa, ama kujilinda mwenyewe. Sasa kutumia bias yako na kuwa hakimu na ku-draw conclusion nadhani ni missues ya bytes za site; only my opinion.

Hii ni vita kati ya watu wawili, na ukweli ni kwamba kila mmoja atajaribu kutumia resourse zote zinazoweza kutmika kushinda vita. Huyu atatumia media zake, huyu atatumia wadhifa wake. Hapa labda tungejaribu kuwa objective kidogo na kutafakari yaliyo mbele yetu. Kutuonyesha side yako kwa hasira hivyo is ok, kwa sababu ya free speech and all.

Lakini na wewe pengine kutumia right yako ya free speech hapa kufanya yale yale unayowashutumu wengine kufanya, nadhani ni aina flani ya unafiki. Jinsi ambavyo unasema mzee anatumia media zake kwenye hili, na jinsi ambavyo wengine wanasema waziri anatumia madaraka yake kwenye hili, ni aina ya kitu ulichokifanya kwenye sehemu kubwa ya post yako ...

Heshima mbele
 
All shenanigans aside, it pains me to see us getting back into the unconstitutional commands of Mremaism, from a leaned brother no less.

Granted, Mengi is an obfuscating IPP ombudsman, but what will Masha do if Mengi is not able to clarify in seven days?
 
Last edited:
kama kusupport ni hiari ya mtu na sema WEWE unampa support do not say OUR SUPPORT, wewe unawakilisha KIKUNDI GANI?????????

HUO NI UMBEA MTU MZIMA ANAKURUPUKA NA KUSEMA HOVYO, KAMA KILA MTU ATAKUWA NA TABIA HIYO NCHI ITAFIKA WAPI??????

lol, Kweli kabisa.
nimeshindwa kujizui kucheka.
 
au pengine wataitwa bungeni kwenda kupataniswa tena ????


Nafikiri bunge halitakuwa na nafasi this time kwani Masha kauli hii hakuitolea Bungeni Kaitolea TBC1, Labla waitwe TBC1 wote kwenda kusuluhishwa.

Njia pekee ni Masha kumpeleka Mengi Mahakamani ili akathibitishe na siyo kumuonesha kituo cha polisi walio chini yake.
 
Hebu msome kwa kutulizana, ama sivyo nyie ndio mnakuwa (as you like to put it) "wakurupukaji"

Mleta habari hapo juu amesema, "Nimesikia TBC leo asubuhi kwamba Mh. Masha kama Waziri wa Mambo ya Ndani amempa siku saba Mr Mengi athibitishe kauli alizo toa . Kazi imeanza."

Keyword, kama waziri wa mambo ya ndani....Hivyo, kutokana na habari hapo juu, Masha hajasema kuwa Mengi athibitishe maneno yale yametoka kwake.

Ama la, labda habari haijakuwa quoted kama ilivyokuwa reported. Slow your roles!

Wana JF mtufafanulie Mh.Masha anamaanisha katajwa yeye na Mr.Mengi au Mr.Mengi amathibitishie yeye kama waziri husika juu ya ujumbe wa simu aliotumiwa.Kama sivyo mbona hakutajwa kwa jina ingawa inaeleweka kuwa Mh.Masha ni mmoja katika orodha ya mafisadi wa EPA kwa kusajili kampuni hizo.
 
Nimesikia TBC leo asubuhi kwamba Mh. Masha kama Waziri wa Mambo ya Ndani amempa siku saba Mr Mengi athibitishe kauli alizo toa . Kazi imeanza.

Utendaji kazi wa huyu Masha tayari umegubikwa na utata mkubwa. Hili sakata la Mengi na lile la kwenda kuwatembelea Watuhumiwa Mramba na Yona na kutoa maelezo yasiyoridhisha ni sababu tosha za kumuondoa huyu katika uwaziri. Kadri JK atakavyoamua kuendelea kumuweka katika nafasi hiyo ndiyo credibility ya Masha na Kikwete ambazo tayari zimeshaathirika zitavyozidi kuanguka.

Hii serikali migogoro yake haishi tangu waingie madarakani wamegubikwa na migogoro chungu nzima ambayo inazidi kuongezeka kila kukicha.
 
Wa JF hivi Mh.Masha kama waziri akimshitaki Mr.Mengi atakuwa wakili mwenyewe au atamtafuta wakili wake? Akithibitika anahusika ataachia uwaziri mfano Mr.Mengi alete ushahidi wa video itakuwaje maana sasa hivi kuna simu za mkononi zinarekodi matukio,hivyo Waziri ajiandae kwa matokeo maana ukithibitishiwa huwezi kuendelea na Uwaziri tukakuamini wakati unahujumu raia badala ya kuwalinda.Lakini ndugu zangu hivi Mtu aliyewahi kuwa kwenye kampuni ya uwakili iliyotumika kusajili kampuni za kitapeli anatufaa kweli kama waziri?ina maana hakuna watu wengine waadilifu ila yeye tu,kwa sababu vitisho kama hivi visingekuwepo kwa viongozi waadilifu.
 
Wa JF hivi Mh.Masha kama waziri akimshitaki Mr.Mengi atakuwa wakili mwenyewe au atamtafuta wakili wake? Akithibitika anahusika ataachia uwaziri mfano Mr.Mengi alete ushahidi wa video itakuwaje maana sasa hivi kuna simu za mkononi zinarekodi matukio,hivyo Waziri ajiandae kwa matokeo maana ukithibitishiwa huwezi kuendelea na Uwaziri tukakuamini wakati unahujumu raia badala ya kuwalinda.Lakini ndugu zangu hivi Mtu aliyewahi kuwa kwenye kampuni ya uwakili iliyotumika kusajili kampuni za kitapeli anatufaa kweli kama waziri?ina maana hakuna watu wengine waadilifu ila yeye tu,kwa sababu vitisho kama hivi visingekuwepo kwa viongozi waadilifu.

Waziri, halafu alifanya kazi kwenye legal system toka 1991; anayejua sheria no matter kasoma wapi na lini, sidhani kama anaweza kutuma vitisho kwa simu. Labda kuna kuna jamaa alimwingiza mjini kwa kumwomba atumie simu ya mheshimiwa, ndipo akatuma hiyo text bila mheshimiwa kujua!
 
Waziri, halafu alifanya kazi kwenye legal system toka 1991; anayejua sheria no matter kasoma wapi na lini, sidhani kama anaweza kutuma vitisho kwa simu. Labda kuna kuna jamaa alimwingiza mjini na kumwomba atumie simu ya mheshimiwa sana ndipo akatuma hiyo text bila mheshimiwa kujua!

Mama wengine hulewa na madaraka kisha kujisahau. Anaweza akawa na akili ya shule lakini hana akili na ujanja wa mtaani. Kuna mambo mengine yanafanywa na wasomi unabaki mdomo wazi, na kujiuliza msomi kama huyu anafanye jambo la kipumbavu kama hili huku akijua fika kwamba ushahidi utaelekea kwake.

Sisemi kwamba amefanya hayo, lakini Mengi anaweza kuwa ametumia mapesa yake kupata ushahidi wa kutosha na hatimaye kuweka tuhuma dhidi ya Masha hadharani. Tumeshayaona ya 'msomi' wetu Mkapa kufanya biashara akiwa Ikulu na kujimilikisha Kiwira kinyemela akijua kwamba itabaki siri milele, sasa anaukimbia ushahidi dhidi yake.
 
Mama wengine hulewa na madaraka kisha kujisahau. Anaweza kawa na akili ya shule lakini hana akili na ujanja wa mtaani. Kuna mambo mengine yanafanywa na wasomi unabaki mdomo wazi, na kujiuliza msomi kama huyu anafanye jambo la kipumbavu kama hili huku akijua fika kwamba ushahidi utaelekea kwake.

Sisemi kwamba amefanya hayo, lakini Mengi anaweza kuwa ametumia mapesa yake kupata ushahidi wa kutosha na hatimaye kuweka tuhuma dhidi ya Masha hadharani. Tumeshaona ya 'msomi' wetu Mkapa kufanya biashara akiwa Ikulu na kujilimikisha Kiwira kinyemela akijua kwamba itabaki siri milele, sasa anaukimbia ushahidi dhidi yake.


BAK, kwa hiyo ni dhambi kumlaumu Masha moja kwa moja bila ya Mengi kutaja jina la Waziri muhusika. To be fair Mengi ataje jina la huyo waziri anayemtumia vitisho. Baada ya hapo then tunaweza endelea kucondemn either waziri kwa kutishia, au Mengi kwa kuzusha.

Kwa sasa (muda huu ambapo bado issue nzima ni puzzle) kitendo cha kuandika Mengi kaishiwa hivyo anatafuta sympathy ni uonevu na pia kuandika Masha ajiuzulu ni uonevu. Innocent until proven guilty.
 
Mkuu Fidel, heshima mbele Mkuu... Taratibu hapo mkuu manake duh naona mfano mmoja au miwili tuliyonayo isiwe ndio yaleyale ya samaki mmoja akioza............ Sample space yako lazima pia ijumuishe taasisi nyingine ndani na nje ya nchi kuliko mambo ya generalization Mkuu....

Kunradhi kama nimekukwaza mkuu............

Ha ha ha sawa mkuu nimekupata!
Lakini haya mambo ni kawaida hapa kwetu bongo angalia vijana wakipewa shavu kwenye nyanja mbalimbali wanavyo tumia vyeo kama kinga wengine wanadiliki hata kutumia vyeo hivi kurubuni dada zetu...hii ipo wazi mkuu.
 
Mama;

Kwanini recently Masha amekuwa na skendo nyingi za uongozi mmbovu?

naomba kuuliza.

FP
 
Mama;

Kwanini recently Masha amekuwa na skendo nyingi za uongozi mmbovu?

naomba kuuliza.

FP


Sasa naona unataka kunionea, kwa yeye na Kikwete wana tofauti gani katika skendo za uongozi mbovu?

By the way hapa ni suala na Mengi na text message za vitisho alizotumiwa na waziri wa wizara nyeti, msomi na kijana; na suala la Masha kumpa Mengi siku saba a-justify madai yake.
 
Sasa naona unataka kunionea, kwa yeye na Kikwete wana tofauti gani katika skendo za uongozi mbovu?

By the way hapa ni suala na Mengi na text message za vitisho alizotumiwa na waziri wa wizara nyeti, msomi na kijana; na suala la Masha kumpa Mengi siku saba a-justify madai yake.

OK mada ni hiyo. No doubt.

Lakini JK unamuonea; yeye yake ni collective responsibility. Ya Masha sio hiyo.

My take ni kuwa inawezekana kuna watu au kikundi cha watu wanataka kummaliza Masha kisiasa. Kwa upande mwingine inawezekana jamaa ni kiongozi mmbovu!; au kutaka umaarufu na ndoto zake za kuwa RAIS wa Tanzania ndo zinamponza!


FP
 
Inanikumbusha sakata la Mengi na waziri Masilingi miaka ya awamu ya III kuhusu uuzwaji wa Kilimanjaro Hotel, sijui iliishaje.

Nadhani JK ana kazi kubwa sana kwa baraza hili la Mawaziri, wengi naamini hawana uwezo na busara katika maamuzi yao naona kama wanakurupukaga tu. Namhurumia JK, Mungu amsaidie.

Ibrah
Nilisema nachukua breeeeeeeeeeeeeeak kwa Mashaism/ Mashalysis/ Mashamania if not Mashaphobia. Nasikilizia muziki munene kwa batoto badogo!
Ila Mengi huwa hakanyagi Kilimanjaro Kempiski hata kwa dawa. Hata akialikwa na nani, ameweka mgomo wa kwenda, sounds good?
 
OK mada ni hiyo. No doubt.

Lakini JK unamuonea; yeye yake ni collective responsibility. Ya Masha sio hiyo.

My take ni kuwa inawezekana kuna watu au kikundi cha watu wanataka kummaliza Masha kisiasa. Kwa upande mwingine inawezekana jamaa ni kiongozi mmbovu!; au kutaka umaarufu na ndoto zake za kuwa RAIS wa Tanzania ndo zinamponza!


FP


Nakubaliana na wewe. Ndio maana nasema kum-judge either Mengi au Masha hapa ni uonevu. Sisi sote ni binadamu na sio malaika. Tuache sheria ichukue mkondo wake. Bottom line ni Mengi kumtaja mtuhumiwa ili kujua kama Masha anahusika ama la. Na kama ushahidi tayari uko polisi ufanyiwe kazi fairly.
 
Waziri wa mambo ya ndani siyo polisi wala mwendesha mashitaka au hakimu. Hawezi kusimamia uchunguzi wa uharifu, kukamata waharifu au kushitaki waharifu; kwa hiyo hawezi kusema Mengi athibitishe madai yake katika siku saba. Hiyo ni kazi ambayo inafanywa na polisi kutokana na ripoti zilizotolewa na raia (Mengi, in this case) . Kwa vile Mengi alishatoa taarifa zake huko polisi basi Masha awaache wataishughulikia na wala sijiingize kwa vile polis wana kesi nyingi za kushughulikia nchi nzima.

Sielewi hiyo ultimatum yake ya siku saba ni ya nini. Je Mengi akishindwa kuthibitisha katika siku hizo saba ndiyo iweje, malalamiko yake yatupiliwe mbali. Nilisikia kuwa jamaa huyu ni mwanasheria msomi aliyefanikiwa sana katika biashara ya sheria nikadhani ana busara lakini kumbe ni bomu kabisa. Anatoa vitisho vya kitoto kama vinavyotolewa na KCC aliyelewa madaraka.

Kichuguu,

Ni raha na amani moyoni kuwa na walimu kama wewe hapa jamvini.

Masha akisoma hii post yako na kisha akavuta pummmmm ....vuta pumzi, atajua ukubwa na madhara ya alichokifanya.

Asante sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom