Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

Status
Not open for further replies.
wasiwasi wangu,kama kweli mengi anathibitisha,lakini huo ushaidi wake unaoneonekana ni wa kuvunja sheria,kawawekea watu undercover agent sijui huko kwenye mabaa, si naye anaweza kuwa kavunja sheria? duh nahisi kama wote watakuwa wamekosea.
sikilizeni ushauri wa mchangiaji mmoja hapa, kakutaneni sijui wapi,muongee weee,mrudi mtuambie yamekwisha, la sivyo mtadondoka wote.
 
Bakhresa ni msomi, maana tafsiri sahihi ya msomi ni upeo wake ktk maono ya kile anachoamini, Bakhresa amethubutu kuonyesha inawezekana kufanikiwa.

Kupitia kwake wengine wanaweza kutoa reference za kutosha ktk modern education.

Kwahiyo Bakhresa anabaki kuwa open book kwa wachumi na wafanyabiashara wa hapa ndani.
 
Mengi ana apply theory ya "best way to defend is to attack" jamaa mambo yamemfika shingoni, biashara zinayumba kapunguza wafanyakazi 200 wa guardian na haja walipa stahili zao. Sasa the only way ni kutafuta sympathy ya wananchi ili mkisikia jamaa kawekwa kati na TRA aje aseme si niliwaambia kuwa nimekuwa targeted!

So far so good kwani itam buy sometimes lakini this game will end one day na haiko mbali hiyo siku....
 
Mimi nimeshasema huko nyuma,Masha anaingilia kazi isiyo yake.Yaani Bongo bwana,mtu unaamka asubuh tu na kutoa siku saba za vitisho as if dunia ita-crush
 
"Great minds discuss ideas. Average minds discuss events. Simple minds discuss people." I wish JF could be a place for only Great Minds!
 
Ajiuzuru ili iweje?

Ajiuzuru kwa kosa gani?

Tukiendeleza mambo ya nama hii basi tunaweza fika mahali nchi ikawa naongozwa kwa uoga ,mtu anaogopa kufanya jambo sababu tu linaweza kumfanya ashurutishwe kujiuzuru!

Huyu naye atakuwa si kiongozi, ni mtu mwenye madaraka tu. Na yeye pia ataombwa kujiuzulu kwa kushindwa kutimiza wajibu wake kwa sababu ya uoga wa nini kitatokea. Hiyo ndio njia pekee ya kutuhakikishia kwamba tunaviongozi, na sio watu wenye shida ya ajira tu, na wanaopenda kuonekana mabwana wakubwa.

Kiongozi anatakiwa wawe mtu safi, mwenye mawazo safi na nia safi. Matendo yake yatakuwa safi. Atakuwa ni mtu ambaye anaona makosa yake kirahisi na nirahisi kumuonyesha makosa yake akayakubali. Na atakuwa ni mtu ambaye anajisikia kuwajibika anapofanya makosa, na atakuwa tayari kuachia ngazi kwa hilo, kwa sababu moyo wake unajisikia vibaya, na kuawajibika kwa matendo yake. Nyie ndio mtamuomba asiachie ngazi kwa sababu mnaona bado mnamuhitaji.
 
Channel Ten inaripoti habari kwa uwazi zaidi kuliko hata ITV. Mmiliki wake sijamsikia popote akilalamika kama alivyo Mzee wetu huyu MZAWA. Mengi na vyombo vyake hivi ana agenda nyingine iliyojificha?

Binafsi simjui hata jina huyo mmiliki wa Channel Ten!
 
Ukifikiri kwa makini utaona jambo moja linalofanana hapa kati ya maneno aliyoyataja Mzee Mengi kuwa ametishiwa nayo, na tuhuma za Masha dhidi ya Mengi. Angalieni maneno aliyoyumia Mzee Mengi kuwa alitishwa nayo;
-unatumia vyombo vya habari kuchochea nchi isitawakike lakini ujue amani ikitoweka na wewe hutapona.
Kisha angalia kauli ya Masha dhidi ya mengi- kwakuwa anamiliki vyombo vya habari anawachochea wananchi dhidi ya serikali, kwani waziri kutuhumiwa ni sehemu ya sirikali.
Kama tungekuwa tunafanya kazi ya kiintelijensia hapa, Masha ndie mtuhumiwa wa kwanza wa vitisho dhidi ya Mzee Mengi. Amwache mzee mengi afanye kazi yake nae ni Mtanzania tena anewasaidia wa tanzania wengi sana sana tu, kama anaona kuna maovu ni lazima aseme tu huo ndio uzalendo.
Niwazi Masha zile kauli za Kagoda ni mdudu gani alizotoa Mzee Mengi zilimkera sana, kwanza kwasababu tuliishaambiwa kuigusa Kagoda ni kuivuruga nchi, sasa ina maana Mzee Mengi alikuwa anataka kuivuruga nchi! Pili Ajua kabisa baada ya Kagoda kutajwa zitakuja pia habari za wezi wa DEEP GREEN FINANCE ambamo na yeye tumebainishiwa na wanahabari kuwa yumo.
Pia nampongeza Elisha Elia wa TBC1 kwa kumuuliza yale maswali Masha live, likiwemo la kuwatembelea kina Mramba Gerezani ambalo pia alijiumauma tu na miwani yake! kwani kwasasa si waandishi wengi wenye moyo huo.
 
Inaonekana mawaziri wetu wengi hawajui kazi za uwaziri!

Tulikuwa na mategemeo makubwa sana na Masha. Lakini vitendo vyake tangu awe waziri vimeabisha ujana na usomi. Inakuwa vigumu kuwashawishi wahafadhina kwamba ujana na usomi ni mtaji katika uongozi. Poor Masha, you are terribly shaming all of us who had great hopes in you!
 
Ukifikiri kwa makini utaona jambo moja linalofanana hapa kati ya maneno aliyoyataja Mzee Mengi kuwa ametishiwa nayo, na tuhuma za Masha dhidi ya Mengi. Angalieni maneno aliyoyumia Mzee Mengi kuwa alitishwa nayo;
-unatumia vyombo vya habari kuchochea nchi isitawakike lakini ujue amani ikitoweka na wewe hutapona.
Kisha angalia kauli ya Masha dhidi ya mengi- kwakuwa anamiliki vyombo vya habari anawachochea wananchi dhidi ya serikali, kwani waziri kutuhumiwa ni sehemu ya sirikali.
Kama tungekuwa tunafanya kazi ya kiintelijensia hapa, Masha ndie mtuhumiwa wa kwanza wa vitisho dhidi ya Mzee Mengi. Amwache mzee mengi afanye kazi yake nae ni Mtanzania tena anewasaidia wa tanzania wengi sana sana tu, kama anaona kuna maovu ni lazima aseme tu huo ndio uzalendo.
Niwazi Masha zile kauli za Kagoda ni mdudu gani alizotoa Mzee Mengi zilimkera sana, kwanza kwasababu tuliishaambiwa kuigusa Kagoda ni kuivuruga nchi, sasa ina maana Mzee Mengi alikuwa anataka kuivuruga nchi! Pili Ajua kabisa baada ya Kagoda kutajwa zitakuja pia habari za wezi wa DEEP GREEN FINANCE ambamo na yeye tumebainishiwa na wanahabari kuwa yumo.
Pia nampongeza Elisha Elia wa TBC1 kwa kumuuliza yale maswali Masha live, likiwemo la kuwatembelea kina Mramba Gerezani ambalo pia alijiumauma tu na miwani yake! kwani kwasasa si waandishi wengi wenye moyo huo hasa ukizingatia ni mwanahabari wa chombo cha umma.
 
FMES,

Sio kazi ya waziri wa mambo ya ndani kuchunguza tuhuma, hiyo ni kazi ya polisi.

Masha kumpa Mengi siku saba ina maana mbili, moja, anampa siku saba kabla ya yeye kama Masha kumburuza mahakamani. Kama sio kwa nia hiyo basi maana ya pili ni kuingilia madaraka ya polisi, kitu ambacho naamini ni makosa. Awaachie polisi wafanye uchunguzi wao.

Kazi za waziri wa mambo ya ndani sio kuchunguza tuhuma.

Kweli kabisa Mkuu. Katika mtiririko wa uwajibikaji na utendaji, waziri ni ngazi ya mtu ambaye anatakiwa kushughuklika zaidi na masuala ya kisera. Hii kazi ya kufukuzana na vibaka waachiwe waliokabishiwa majukumu hayo
 
Inaonekana mawaziri wetu wengi hawajui kazi za uwaziri!

Tulikuwa na mategemeo makubwa sana na Masha. Lakini vitendo vyake tangu awe waziri vimeabisha ujana na usomi. Inakuwa vigumu kuwashawishi wahafadhina kwamba ujana na usomi ni mtaji katika uongozi. Poor Masha, you are terribly shaming all of us who had great hopes in you!

Mkiambiwa vijana hamjui kuongoza nyadhifa kubwa mnabisha na kuandaa maandamano kila kona angalia sasa bado na wengine ni uozo mtupu na wizi mtupu.
Ukiangalia vijana walioshika nyadhifa za juu hawafanyi kazi ipasavyo kama wanavyo ongea wakiwa nje ya system wakipewa ndo hivyo watu wanachemka ovyo ovyo.Dawa ni kupiga chini tu huyu anaaibisha vijana.
 
HUYU NDIYE MENGI:

Fikiria mtu ambaye aliwahi kufumaniwa Maeneo ya Upanga na mke wake akakimbia
akaruka ukuta akapanda taxi na kutokomea gizani , Halafu wiki inayofuatia
anakuja kusimama katika majukwaa akipiga vita ukimwi , unyanyasaji na maneno
mengine mengi sana anataka huruma ya watu ambao wengi hawajapata wasaa wa
kumjua kwa undani mtu mwenyewe wacha leo niwachambulie mjue kidogo tu

1.Alipogombana na Karim, mmiliki wa kwanza wa TV nchini[ctn]...alikimbilia
kusema anatishiwa kuuwawa...kitendo kilichofanya naibu waziri mkuu na waziri
wa mambo ya ndani...[wakati huo] Augustne Mrema kuagiza MENGI apewe ulinzi
mahsusi wa polisi na TISS[VIP Protection unit]......akawa na mpambe wa
kumfungulia gari na kumlinda anayelipwa na state[nadhani alikuwa
mfanyabiashara wa kwanza kupewa hadhi hiyo]..na gari la surveillance ..etc.

MATOKEO HAKUULIWA WALA KURUSHIWA JIWE...NA BAADAYE IKAGUNDULIKA KUWA
..UGOMVI ULIKUWA WA KUSHINDANIA KUONESHA AFCON....LIVE...CTN WALIPEWA RGHTS
NA CAF.. MENGI KWA KUWAKOMOA AKAWEKA TV KUBWA MNAZI MMOJA ..WATU
WAANGALIE...NA AKAONESHA LIVE BILA KIBALI....CHA CAF.

Yule mmiliki wa CTN alikuwa so frustrated akauza kile kituo ...akaondoka
kwenda nje kupumzika...labda alisharudi....

2.Ingine ya Mengi ni pale alipokuwa anashindania tenda ya kununua
KILIMANJARO hotel...Akashindwa kwenye taratibu za tenda,...akaaamua kwenda
hewani akidai kaonewa na akataka huruma yetu kuwa mzawa amenyimwa
tenda.....akagombana sana na huyu waziri wa usalama wakati huo......Wilson
Masilingi...akamuwekea Masilingi curfew kwenye vyombo vya habari hadi
akaporomoka kisiasa......[huyu mzee lazima mjuwe kuwa ana netwok ya ajabu na
anajuwa propaganda hasa]

KILIMANJARO HOTEL IMEJENGWA NA MUWEKEZAJI MPYA ...NA SASA NI MOJA YA HOTELI
ZA FAHARI KAMA ILIVYOKUWA......sana tu tungeomba serikali iwe inalazimisha
kampuni kama hizi zitenge share kwa ajili ya ushirikishwaji wa wazawa kwenye
stock market.

3.Ugomvi wa Mengi na Manji pia ni wa kibiashara ...Manji alimzidi Mengi kwa
ujanja ..kama kawaida yake Mengi akaenda public...nadhani walikuwa
wanagombea haki za kuendesha mchezo wa kamari kwenye tv...remember jackpot
bingo[ilimtoa sana mengi hii].....

4.Ugomvi wa mengi na Tido Mhando [TVT]...kuonesha live kombe la ligi
Uingereza..[kila mtu anajua jinsi Mengi alivyoendesha mjadala huu

5.Ugomvi wa Mengi /..tvt/ze comedy .....kila mtu anajua ukweli kuhusu jambo
hili pia

so in conclusion ..I suggest that we must be very careful ..when
contemplating Mengi's grievances ...,history has shown that he is very smart
in luring mass sympathy against his haters....though sometimes its true that
he is being a target ....the starategy that he normally uses nullifies all
his rightful complain as it becomes too monotonous...wanasema aah huyu
analalamikaga ...hata malalamiko ya kweli ..watasema aah ni kawaida
yake!..you see.....

......nadhani Mengi anatakiwa kufuata mfano wa marehemu Nyaulawa ..huyu
pamoja na kumiliki media ..huwa habari zake zilikuwa haziwekwi ....kwenye
lead page....sidhani kama waandishi wa IPP media wana uhuru wa kutosha
.....kuna kila dalili kuwa ..wanaandika kwa malengo fulani....

hii inadhibitika na ukweli kuwa kila mara mtu anayegombana na bosi wao..ndio
mara zote anakuwa targeted kushambuliwa...,,,pamoja na kudhamini mchango
wake ..nafikiri kwa nia njema inabidi kama nchi tuangalie idadi ya media
tunazoweza kuwacha kumilikiwa na mtu mmoja...especially kama atakuwa
anazitumia kwa ugomvi dhidi ya wagomvi wake.....

Huyu binadamu ni mchangiaji mzuri saana wa Maendeleo ya Jamii, hata majuzi
kachangia Sekondari moja sh. 100m/=. Well done. Sasa swali inakuwaje
uchangie majirani wakati watumishi wako wanaenda miezi hata mitatu bila
mishahara???? Kama sio unafiki ni nini hiki???

...pamoja na hayo naunga mkono kwa moyo moja na kuunga mkono juhudi za
serikali dhidi ya ufisadi.....namuunga mkono yeyote anayeupinga....najuwa
kuwa kama taifa itabidi tuwe na starting point ...katika kupigana na
ufisadi...na mwanzo ndio huu........

lakini tusibadili vita ya ufisadi kuwa visasi au ugomvi binafsi...lazima
tujenge vita endelevu!!!
 
Mkuu Fidel, heshima mbele Mkuu... Taratibu hapo mkuu manake duh naona mfano mmoja au miwili tuliyonayo isiwe ndio yaleyale ya samaki mmoja akioza............ Sample space yako lazima pia ijumuishe taasisi nyingine ndani na nje ya nchi kuliko mambo ya generalization Mkuu....

Kunradhi kama nimekukwaza mkuu............
 
Kwani Masha yeye ni polisi. Hiyo ni kazi ya polisi awaachize wafanye kazi!

ha ha ha! labda ni utaratibu wa wizara ya mambo ya ndani, maana hata mzee Mrema aliwapa watu kibao siku SABA!
 
Hii kazi ya kutaka Mengi athibitishe tuhuma zake ilitakiwa ifanywe na polisi. Masha kama waziri hawezi kumpa ultimatum Mengi na hapa ndio inaonyesha wazi calibre ya mawaziri wa Jakaya; wengi hawana intergrity wala foresight!!Mengi kamtegea huyu fisadi na kweli kaingia mwenyewe kichwa kichwa na sasa ataipata fresh!!

Mi nafikiri kuthibitisha si kazi ya polisi. Hii ni kazi ambayo Mengi mwenyewe anatakiwa aifanye mbele ya chombo cha kutoa haki na si chombo cha kutetea mtuhumiwa (Polisi). Masha na Polisi wake wamfikishe Mengi MAHAKAMANI Na Huko ndiko atakapoenda kuthibisha na si kumtaka athibitishe nje ya mahakama.
 
huyu mshenzi akampe hawara wake chigwilllle ,,siku saba kwa kumnyima unyumba mwezi
uliopita na si kutishia watu kwa madaraka yake ya kishenzi
hana aibu ndio maana ROSE GARDEN WANALIITA""

""" KUBWA JINGA"""
 
MAJUNGU HATUJAYAZOE SISI JF,JIPANGE UPYA NA BWANA WAKO MASHA
MJARIBU SECOND ROUND

Back
Top Bottom