Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

Hey guyz, you see this thing is getting very interesting!!!
Mh.Ndesamburo analalamika na antoa tuhuma eti Manji katoa rushwa!!! Cha kuchekesha yeye anatakiwa afuatilie kesi ya Malima na Mengi, sasa Manji anaingiaje???
Halafu sisi wenyewe tujiulize swali," Sasa aliepewa Rushwa ni wabunge au yeye Ndesamburo (kutoka kwa Mengi?)"
Kwasababu huwezi kuwa jaji halaufu ukawa biased on one f****** side. Halafu ndio hao wanaogombania uongozi, corrupted people!!!!!!!!!!!!!
Maana baada Ndesamburo kusema hivyo tuu, Mengi swalowed his own saliva..... he was shocked and he said he had nothing to do with Ndesamburo claims.....
Tanzania ni nchi ya wapenda amani sio wachochea fujo!!!!
Halafu cha kuchekesha, anasema anahofia maisha yake....hapo tu anaonyesha kwamba he is not a true leader, coz a true leader is to ready sacrifice anything for the sake of the people!!!!!! halafu kama kweli anahofia maisha yake he shouldnt have said it in the first place!!!!

Mengi is a liar,manipulator, extrovert......he wants the attention of Tanzanians basi mpeni taarifa apata kutoka kwa wale waliokuwa rahisi kununuliwa, kwa sahani ya pilau na vipindi vya tv!!!!!!!
 

Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    1.7 KB · Views: 100
Kisheria ni wajibu wa bunge letu kusikiliza malalamiko ya mwananchi yoyote yule, ambaye jina lake litatajwa katika shughuli za kawaida za bunge na mbunge wa taifa,

Mengi alitajwa na Mbunge Malima ndani ya bunge katika suhughuli za kawaida za bunge, kisheria ni haki ya Mengi kama mwananchi kutoa malalmiko yake rasmi kwa bunge, na kisheria ni wajibu wa bunge letu la taifa kuyasikiliza na kuyatafututia ufumbuzi malalmiko ya mwananchi Mengi, bila ya kujali gharama,


Ndicho kilichofanyika na kinachoendelea, wewe na mimi kama wananchi tunayo haki pia ya kulalamika bungeni endapo tutatajwa ndani ya bunge hilo na mbunge yoyote yule wa taifa, sheria yetu inataka bunge lisikilize na kujibu.

Mzee Moderator,

Heshima mbele mzee, ni kweli kuheshimiana ni muhimu sana lakini kuna wanaodai wanazijua id zetu humu sasa tuliahidi kuwa tutazitafuta za kwao, na ukweli ni kuwa zetu hawana ila za kwao ndio hivi tunazikusanya, tunazo na tutazifanyia kazi watapata majibu karibuni nje ya hii forum, ilikuwa ni kuwafahamisha tu kuwa ID zao tunazo tayari na wengine tuko mbioni kuzipata ili hiii tabia ya kutishia id za watu hapa forum iishe, na wote tuandike maoni yetu kwa amani na kuheshimiana,

tumewaomba sana kuhusu kutaja majina ya wananchi wasiohusika na hii forum, lakini naona hawatusikii, sasa hebu tuwape the taste of their own medicine, sasa hivi we are closing in na id za daktari mmoja wa pharmacy mbongo huko majuu ambaye naye anapenda sana kusema majina ya watu wasiohusika na hii forum, na huingia humu kwa majina mengi. Hatupendi hii tabia ila ni wao wenyewe ndio waliotulazimisha, sasa wakati wa maneno na kulalamikiana umeisha ila ni kazi tu! Labda sasa tutaheshimiana, mimi sio mtoto wa JM ila wataelewa sasa kuwa nani yuko behind Es!

Ahsante mkuuu moderator nilitaka niliweke sawa hilo, kuwa hatuogopi mtu either hoja kwa hoja, au id kwa id!
 
Ndugu zangu,

Kuendelea kutumia muda wetu kuongelea Mengi na Manji ni kukubali kuwa wajinga wa kutong'amua mchezo mchafu hapa.

Issue ni wizi ama utapeli wa mabilioni ya wafanyakazi hohehahe wa Tanzania kutoka katika mifuko yao mikubwa miwili. NSSF ni mmoja wapo ambao nyang'au manji kwa kushirikiana na wengine katika uongozi wa juu wa chama na serikali wametapeli mabilioni ya fedha.

Alichofanya Manji ni kuwatumia makanjanja wetu na makada uchwara ndani ya bunge letu kugeuza topic na kuwa ati UDINI na mgongano wa kimaslahi wa MANJI na MENGI ili kuondoa focus kutoka katika issue ya wizi.

Mwanzoni nilidhani ndugu yangu Malima aliingia mkenge na hadithi ya udini lakini baadae nikatambua kuwa ndugu yangu huyu sio mzalendo kama mzee wake. Mambo ya reduplication of elite hayo...Ametuanguisha vijana wenziwe

Wana JF, hata kama Spika anajitahidi kujikosha na kujijengea kinga kutoka kwa maadui zake ndani ya chama akiwemo mkubwa wake mmoja kiserikali ambaye ameapa kufunika suala la ufisadi wa Manji NSSF na kwengineko kutokana na uhusika wake na wenzake na zaidi wanye nchi wengine, ni wazi huu ni mchanga wa macho tu.

Feleshi kazi nyingine hii baada ya ile ya Mwanza. Mwenzio aliogopa kulipeleka file la PCB kuhusu NSSF mahakamani. Tuonyeshe tamu ya kasi mpya na damu changa...

Tanzanianjema
 
Tanzania njema,

umesema yote. Tatizo ni wizi wa fedha za umma! Tatizo lingine limetokea. Vita ya EL na SS. EL hataki kabisa Bunge kupata meno. suala la Malima na Mengi limegeuzwa kuwa silaha katika vita hii.
 
Spika kwa kuipeleka kesi hii PCB ikashughulikiwe kisheria, baada ya kumua kisheria kuwa the mighty Manji hana kesi, eti bado Spika anajaribu kujikosha?

are you serious?
 
Tanzania Njema,

Kesi iliyopelekwa ktk kamati ya Haki, Kinga na Maadili ya Bunge ilihusu malalamiko ya Kwanza, Mengi kuwa ameshutumiwa na Mbunge ktk chombo amacho yeye hakuwa na uwezo na kujibu shutuma, pili malalamiko ya Malima kuwa vyombo vya habari vya Bw. Mengi hakikumtendea haki na vimemkashifu.

Je ndugu Tanzania njema aliye divert hiyo topic kwenda kwenye udini na kuficha wizi ni nani? Mengi, Sitta au Malima.

Inavyoonyesha umekurupuka tu na hoja bila kusumbua kichwa chako na kuanza kuandika utumbo, its equally shame kwa Mh Zitto ambae kwa kiasi kikubwa amekuwa fundi mkubwa wa kujenga hoja kwenye forum kuliko huko bungeni ambako ameamua kumwaga manyanga kabisa come 2010.
 
kaka Masatu,

hawa jamaa wameucheza huu mchezo wameucheza kiutaalamu. Kazi hiyo Manji amekuwa akiifanya kwa kutumia consultancy ya watu makini sana katika kuchezea akili za watu. Wapo waandihi na hata watu wa ile idara inayoitwa Usalama wa ....(sijui ni taifa ama watawala).

Mara baada ya magazeti yanayomilikiwa na Mengi kuanza kuandika hili suala jamaa (kwa ushauri wa makuwadi wa unyeng'au) akaamua kutumia sumu ya udini kumdiscredit Mengi na kugeuza kuwa hilo ni suala la wao wawili. Na hili lilifanywa na waandishi walewale waliozoe kutumia wino wa damu.

Ndugu yangu Malima naye akavaa hiyo sumu ya udini kutokana na urafiki wake na Kaka yangu Dau ambaye naye aliingizwa katika sakata hilo. Lakini baadae mambo yakabadilika baada ya Manji kuanza kuwafadhili baadhi ya wabunge ambao nao wakajitokeza moja kwa moja kumvaa Mengi. Sijui kama Malima naye yupo katika kundi hili lakini naamini ni kuwa aliingia mtegoni kutokana na uaminifu wake kwa Dau ambaye nijuavyo mimi hata yeye alijaribu kuzuia hiyo dili lakini vimemo vya wenye nchi vilimzidi nguvu. Na sumu hii ya udini ndio ikamuingiza Mzee wangu sheikh Basalehh na Mchungaji Mtikila.

Kwa hiyo kitendo cha Malima kumsema Mengi kilikuwa na nia ya kuharibu credability ya issue yenyewe yaani NSSF kwa kupitia Mengi ambaye naye kwa bahati mbaya amekumbuka shuka kumekucha. Historia yake huko nyuma na maslahi ya watanzania inamsuta na kumfanya awe vulnerable na propaganda dhidi ya vyombo vyake kama Kulikoni na Thisday (hili liwe somo kwa wote hapa zaidi vijana "tunaosubiri kukumbukwa na neema za JK"!).

Zaidi ya yote, alichofanya Mengi ni kudandia issue ambayo ilitoka katika magazeti yake ikitokea hukohuko kwa wenye nchi ikiwa na baraka kedekede za baadhi ya wakubwa ukitowa wale ambao walifaidika na kamgao ka Manji.

Kwa hivyo ndugu zangu tusikubali kuburuzwa na hizi manipulations zinazoendelea na kukomaa katika issue :Unyang'au NSSF na kwengineko.

Tanzanianjema
 
hawa jamaa wameucheza huu mchezo wameucheza kiutaalamu. Kazi hiyo Manji amekuwa akiifanya kwa kutumia consultancy ya watu makini sana katika kuchezea akili za watu. Wapo waandihi na hata watu wa ile idara inayoitwa Usalama wa ....(sijui ni taifa ama watawala).

MMH TUNAOMBA USHAHIDI WA THE CO CALLED CONSULTANCY YA WATU MAKINI

Mara baada ya magazeti yanayomilikiwa na Mengi kuanza kuandika hili suala jamaa (kwa ushauri wa makuwadi wa unyeng'au) akaamua kutumia sumu ya udini kumdiscredit Mengi na kugeuza kuwa hilo ni suala la wao wawili. Na hili lilifanywa na waandishi walewale waliozoe kutumia wino wa damu.

CONSULTANCY YA WATU MAKINI WAMESHINDWAJE KUZUIA/KUNUNUA MAGAZETI HAYO?

Ndugu yangu Malima naye akavaa hiyo sumu ya udini kutokana na urafiki wake na Kaka yangu Dau ambaye naye aliingizwa katika sakata hilo. Lakini baadae mambo yakabadilika baada ya Manji kuanza kuwafadhili baadhi ya wabunge ambao nao wakajitokeza moja kwa moja kumvaa Mengi. Sijui kama Malima naye yupo katika kundi hili lakini naamini ni kuwa aliingia mtegoni kutokana na uaminifu wake kwa Dau ambaye nijuavyo mimi hata yeye alijaribu kuzuia hiyo dili lakini vimemo vya wenye nchi vilimzidi nguvu. Na sumu hii ya udini ndio ikamuingiza Mzee wangu sheikh Basalehh na Mchungaji Mtikila.

BUNGE LENYE GOOD NUMBER YA WAKRISTO LIMEHONGWA NA MANJI?

Kwa hiyo kitendo cha Malima kumsema Mengi kilikuwa na nia ya kuharibu credability ya issue yenyewe yaani NSSF kwa kupitia Mengi ambaye naye kwa bahati mbaya amekumbuka shuka kumekucha. Historia yake huko nyuma na maslahi ya watanzania inamsuta na kumfanya awe vulnerable na propaganda dhidi ya vyombo vyake kama Kulikoni na Thisday (hili liwe somo kwa wote hapa zaidi vijana "tunaosubiri kukumbukwa na neema za JK"!).

HISTORIA IPI INAYOMFANYA MENGI AWE VULNERABLE?

JE TUSHIKE LIPI SASA CONSULTANCY YA WATU MAKINI IMEWAHONGA WABUNGE AU MENGI KAUVAA MKENGE OR WHAT?
 
Tz njema,

Uliyosema ni kweli kabisa yaani umepiga IKULU. Naambiwa Dau alipokataa ku sanction the deal walimwambia kama hataki ajiandae akawe DG wa CDA Dodoma!

Inasemekana pia Mengi uki-mbelembele wake wa kuvalia njuga mambo ya wakubwa almanusra wamtose kama si kuokolewa na Sitta walitaka kuvifungia vyombo vyake, wamtoe urais wa CTI na atozwe faini kwa kuliongopea bunge.

Taarifa za ndani zinadai kinara wa goma zima ni mzee Ben ambae inasemakana haivi na Mengi na miaka 10 yote aliyokaa Ikulu Mengi hajakanyaga pale! na hao ma-consultancy makini unaowasema TZ-njema ndio wamelifanya jambo zima lizunguke humo humo tu na kuwazunga wadanganyika, tunaambiwa mara ugomvi Manji na Mengi, heh mara Mengi na Malima mara Udini, mara bunge limehongwa nk.

Watu wanauzunguka mbuyu tu the real people hawatajwi, deal hili limefanyika kitaalam zaidi kuliko Rada na Ndege ya Rais. Namfahamu vizuri Dau alikuwa mwalimu wangu Mlimani na nilijua tu kuwa Dau hatoweza kufanya kazi na wahuni wa CCM na soon atarudi mlimani kuendelea kufundisha Business ethics na u cordinator wake wa MBA course wahuni wanamtoa kuwa kondoo wa sadaka.
 
Ndugu yangu Masatu,

Mimi ni mwerevu kiasi hivyo usitegemee nikaingia mtegoni kirahisi. Shule yangu ni ndogo lakini naitumia kujierevusha na sio kukusanya makaratasi yanayoitwa degree.

Issue ni UNYANG'AU NSSF na mifuko mengine ya wafanyakazi wa umma

Tanzanianjema
 
Mzee Kyaruzi,

Mengi alikuwa atoswe na kesi ya uhaini bro!, kilichomponza ni magazeti yake kunusa ishu za Manji na NSSF, aliyemuokoa ni Mbunge Ndesamburo period!
 
Shadrack Sagati
HabariLeo; Friday,March 30, 2007 @00:07

TAASISI ya Kuzuia Rushwa (PCB) imesema kuwa itamhoji kila mtu aliyetajwa katika tuhuma za rushwa zilizotolewa na Mbunge wa Moshi Mjini, Phillemon Ndesamburo, wakati wa kusikiliza shauri la Mbunge wa Mkurunga, Adam Malima na Mwenyekiti wa IPP, Reginald Mengi.

Mkurugenzi wa PCB, Edward Hoseah, alisema jana kuwa baada ya kumhoji Ndesamburo, itawahoji wabunge wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge ambao walikuwa wanasikiliza shauri hilo.

Hoseah alisema wabunge hao watahojiwa mmoja mmoja baada ya kumalizika kwa mkutano wa Bunge kutokana na tuhuma za rushwa zilizotolewa na Mbunge wa Moshi Mjini, Phillemon Ndesamburo. Alisema wabunge hao ndiyo watuhumiwa wa kwanza katika madai ya rushwa hivyo katika kuisaidia taasisi hiyo kwenye uchunguzi wake ni lazima wahojiwe. “Kwa sasa bado tunaendelea kumhoji Ndesamburo, lakini wanaofuatia ni wabunge wa kamati husika,” alisema Hoseah.

“Usiwe na wasiwasi kila aliyetajwa atahojiwa ili kupata ukweli wa mambo,” alisema Hoseah. Ndesamburo katika mkutano wake na waandishi wa habari alitangaza kujiuzulu ujumbe wa kamati ya maadili, kwa maelezo kuwa wajumbe wa kamati hiyo walipokea rushwa kutoka kwa mfanyabiashara Yusuf Manji.

Ndesamburo katika maelezo yake alisema alipokea tuhuma hizo kutoka kwa Mengi ambaye naye alielezwa na Waziri Mkuu Edward Lowassa. Iwapo PCB itatimiza ahadi yake ya kuwahoji kila anayehusika, ambao ni Wabunge, Manji, Mengi na Lowassa.

Akizungumzia kuwahoji Wabunge, Hoseah alisema taasisi yake haiwezi kuwahoji wabunge hao kwa sasa, bali inasubiri vikao hivyo kumaliza ndipo itakapoingia kwenye harakati za kuwahoji. PCB imejihusisha katika suala hilo baada ya kuombwa na Spika wa Bunge, Samuel Sitta aliyesema kuwa tuhuma za Ndesamburo ni nzito, kwa vile mbunge huyo ni miongoni mwa watu wanaoheshimika katika jamii ya Watanzania.

Ndesamburo alidai kuwa wabunge walichukua rushwa hiyo kupindisha ukweli katika kuandaa ripoti ya mwisho ya shauri la Mengi na Malima. Hata hivyo, wajumbe wawili wa kamati hiyo walitofautiana na kamati hiyo, hivyo wakaandika ripoti yao ambayo katika maamuzi ya Spika ilionekana kuzingatiwa zaidi kuliko ushauri uliotolewa na kamati ya Nh’unga.

Juzi mwenyekiti wa kamati hiyo, Juma Suleiman Nh’unga alipoulizwa kama ameshaitwa na PCB kutokana na tuhuma zinazoikabili kamati yake alisema; “Siwezi kwenda PCB hadi kwa idhini ya Spika.”

Nh’unga alisema shutuma za Ndesamburo hazikuishia kwa kamati yake tu, bali pia ziliwahusisha na wabunge wengine “yule alisema ni wabunge, hakuainisha kama ni wa kamati yangu.”



Nimeleta hii mada hapa japokuwa imepitwa na na wakati ila nashangaa kama kweli Nchi yenye kufuata utawala wa sheria na inapambana na rushwa inaweza kungoja kibali cha Spika wa Bunge ili watuhumiwa kuhusika na rushwa kuhojiwa ? Ni sheria gani hizi zinawalinda hawa wabunge wetu ? Je wangalikuwa ni Wabunge wa upinzani wangali tetewa kweli na Spika ama ni sababu ya Chama tawala ?
 
Mzee Kyaruzi,

Mengi alikuwa atoswe na kesi ya uhaini bro!, kilichomponza ni magazeti yake kunusa ishu za Manji na NSSF, aliyemuokoa ni Mbunge Ndesamburo period!

Mzee Es, UHAINI? Una maana treason?
 
Mzee Mheshimiwa Mbunge Zitto,

You got it right, najua unaweza kuongea na Mengi face to face muuulie akupatie ukweli wa kilichokuwa kinapikwa! Ailkuwa anapikiwa Treason!
 
Mzee ES,

Hizo ndoa za watu wa Chadema na Mengi zinatutia mashaka sasa, haya mawasiliano unayomshauri Mh Zitto ayafanye yana confirm what we already know... Mengi ana mkono Chadema!
 
Mzee Masatu,

Mengi kuwa na mkono Chadema hilo sina uhakika na wala sidhani, lakini lisemwalo huenda lipo!
 
In my opinion he must be charged with penalty and interest for late payment from the date when the transaction (sale transaction) took place.
~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*


Quality Group loses appeal against TRA-imposed tax

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

QUALITY Group Limited has lost an appeal against a 1.3bn/- tax arrears bill charged by the Tanzania Revenue Authority (TRA), based on the company’s sale of its Ubungo godowns in Dar es Salaam to the National Social Security Fund (NSSF) for a staggering 47.5bn/-, it has been confirmed.

According to sources within the National Tax Revenue Appeals Board, the company � which was disputing the TRA’s capital gains assessment figures - will now have to pay the assessed amount in full.

Contacted for comment, board secretary Respicius Mwijage declined to give details of the board’s March 23 ruling, apart from confirming that it was basically in TRA�s favour.

He said a copy of the case proceedings and final ruling would only be available after the Easter holidays.

According to our sources, the board ruled that TRA had jumped the gun in collecting, by dint of a distress warrant, 500m/- from a local bank account belonging to Quality Group, saying ’’it was too early for TRA to collect that money.’’

Following the TRA’s action of taking the 500m/- as an advance payment of sorts on the total 1.3bn/- arrears debt, Quality Group went ahead and lodged its appeal with the National Tax Revenue Appeals Board.

’’Now after this ruling, Quality Group will have to pay the difference, which amounts to 800m/-. All TRA has to do is reconcile the transactions,’’ a government tax expert told THISDAY.

Quality Group, which is owned by prominent local businessman Yusuf Manji, was said to have tried to dodge paying capital gains tax by failing to disclose to TRA the sale of its Ubungo godowns to NSSF.

According to well-placed government sources, even after NSSF made final payment to Quality Group for the Hifadhi EPZ warehouses at Ubungo in the city, the company appeared to intentionally dilly-dally in informing TRA about the sale as required by law.

Regulations required the privately-owned company as seller to inform TRA as quickly as possible about such a transaction for tax purposes.

Quality Group’s tax obligations in the deal are understood to have consisted mainly of capital gains tax, being 10 per cent of the selling price minus adjusted costs such as depreciation and other costs.

However, according to our sources, TRA came to learn about the transaction by itself quite a while after the final payment was made to Quality Group by NSSF.

’’That was when TRA officials started following up the matter to try and establish if the relevant taxes were paid. It was later revealed that Quality Group had not informed TRA of the sale as required by law, and had thus dodged to pay taxes,’’ said a government official familiar with the transaction.

The sources said the Quality Group CEO, Manji, refused to disclose details of the transaction even after officials from TRA’s domestic revenue department contacted him directly about the deal.

It was only after an independent assessment of the revenue implications tied in with the transaction, that the TRA officials are said to have discovered that the company had dodged taxes amounting to a total of 1.3bn/-.

According to the government official, the initial 10 per cent capital gains tax estimate on the transaction amounted to 4.75bn/-, but the figure was lowered to 1.3bn/- after adjusting for depreciation and other costs.

’’When Manji was initially confronted by TRA officials over payment of the due taxes, he did not cooperate and even refused to pay. He only obliged after being served with a distress warrant sometime last year,’’ explained another source.

The TRA serves a distress warrant to taxpayers who resist to pay their due taxes after the commissioner-general has confirmed the revenue assessment.

If a taxpayer fails to pay within 10 days of being served with the warrant, the TRA has the right to seize any property belonging to the defaulting taxpayer after appointing a broker, so as to recover the money.

In this case, the source said that Manji ’sensed danger’ and eventually complied before the expiry of the ultimatum, submitting his company’s records to TRA and initially paying 500m/- of the 1.3bn/- taxes due.

He is then said to have immediately submitted a formal appeal with the National Tax Revenue Appeals Board, disputing the TRA order for him to pay the assessed amount of taxes.

To appeal, a taxpayer must pay at least one-third of the assessed amount he is rejecting as being excessive.
 
I can't believe mahala palipojaa Wachagga namna hiyo wakang'ang'ani kukusana hela kwa niaba ya serikali.. au labda wanataka kuziingiza mifukoni mwao... unajua tena.. Wachagga - Pesa..!! Inabidi tuwaondoe wachagga wote kwenye sehemu zinazohusiana na pesa...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom