Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

Muheshimiwa Tabasamu,kama kweli Ndesamburo ana uhakika na anacho kinena,why siku zote hizo alikaaa kimya mpaka kamati imesha kaa na ndo analeta hoja ooooohh waziri mkuu aliniambia kuwa kamati yote imesha hongwa!!!Kama kamati yote imesha hongwa ina maana hata yeye mwenywe Ndesamburo kwanini tusiamini kuwa ana yeye kahongwa?Ama na Manji au na Mengi?ukweli ni kuwa Mengi kalivamia fupa sasa limesha mtoa menoooo!!!miezi ya kati hapa aliandika sana kuhusu NSSF,kibaya zaidi aliyoyaandika yote ni uongo mtupu,Dr Dau alipoingia NSSF kima cha chini kilikuwa 50,000 leo no 380,000 mboya haya hakuyaandika?Ndesamburo na CHADEMA WOTENI WALA RUSHWA!!!
 
Mzee wa London una matatiz nadhani . Kwanza kwa wewe kujiita Mzee wa London pekee unaonyesha una matatizoi makubwa . Mtanzania kujiita Mzee wa London it raise so many questions. Mzee Ndesa hakuna kati yetu anayejua kwamba amewasiliana na nani kabla hajaja kwenye ile podium so wana CCM na Serikali ya waongo na wana mtandao come out clean . Speaker alielezwa mambo haya akawa anaogopa na kumsihi asiondoke wala asiseme . Mzee Ndesa ni Mbunge wa wananchi si wa kuteuliwa . Wacha tuone ukweli uko wapi .Yeye kesha sema is up to PCB kumufuata na kumuuliza zaidi na Mbunge nalo si wamesema wana angalia namba ya kum contain ? wacha waje na hoja zao tuone . Yaani Bunge letu kila siku na kila kitu kwao ni siri . Mbona wakija kuomba kura ni wazi why utendaji uwe siri ? Umeona matamshi ya Speaker na wajinga wenzie wote wana mlaumu Mzee Ndesa kisa Mtandao unataka kuwa clean .

Look here NSSF ina uchafu mwingi sana zaidi ya mazuri ambayo unataka yasemwe. Lowasa kaona Manji anendeleza Uislam kwa Mwislam mwenziwe ndiyo maana kamweleza Mengi . Kwanza EL ni mla rushwa na mjenga rushwa . JK kapatikana kwa rushwa na we all know .Leo sitashangaa kusikia EL anajua habari za rushwa na kumwambia Mengi aache madai yake. Lakini kazi ni kubwa wanamtumia sana na vyombo vyake kuwasaidia CCM katika propaganda zao leo wanataka kusema nini ?

Mzee wa London wewe uko London bakia huko tuachie mambo yetu hapa Bongo bro .
 
Wanaforum,
Tunapoanza kuhoji ushahidi wa rushwa kwa wala rushwa hapa naona si busara kuliza kama kuna ushahidi!
Ni vigumu kushuhudia dolla milioni mbili zikihamishwa kutoka account ya Richmond kwenda kwa EL (huu ni mfani tu) utachoweza kuambulia ni hizo pesa zitakwenda kwenye kampuini ambayo EL ana mahusiano nayo na pesa zinakoshewa huko.
Binafsi, nionavyo ushahidi wa rushwa kwa mla rushwa ni wingi wa mali walizokuwa nazo viongozi wetu, maisha ya anasa wanayoishi wao na familia zao!
NINGEKUWA TRA wangejua ni nini maana ya kodi na NINGEKUWA PCB wangeniambia hizo mali walizipataje - hazilingani na mishahara yao na marupurupu!!
 
Mie wote huo naona ni upuuzi tu.Kuna mambo muhimu ambayo kamati ya bunge inapaswa kujadili IPTL;El-Tanesco,Mikataba ya madini nk.Issue za kijinga ndo zinapewa kipaumbele na kamati, za bunge huu ni ujinga kabisa
 
Nyangumi, hili si jambo dogo kama unavyofikiria. Linahusu credibility ya Bunge zima. Kama Waziri Mkuu anajua kuwa kamati ya bunge imepewa rushwa na ameshindwa kuchukua hatua dhidi ya anayetuhumiwa kutoa rushwa basi aidha ana muogopa au ana maslahi ambayo hataki yagundulike. Kwa sababu zote hizo mbili hafai kuendelea kuwa Waziri Mkuu!!

Kama maneno ya Ndesa hayana ukweli na Mzee Mengi akamkana basi Ndesamburo ataonekana mchochezi na anaweza kufunguliwa mashtaka ya kuharibu sifa ya mtu (assassination of character) na siyo jina lake tu bali pia itamlazimisha Mbowe na Chadema aidha kusimama upande wake au kujitenga naye!! The loser here will be Ndesamburo!

Hivyo, kutafuta ukweli wa jambo hili unaweza kufuna mambo mengi, ndo maana nadharia yangu ni kuwa, Bunge litaamua kutofuatilia kwa kina jambo hili kwani "aliyelala usimwamshe"!!
 
Mwanakijiji,sikuwa na maana ya hapa ilipofikia.Hapa kwenye rushwa ni kweli ni mahala pazito.Lakini ukisoma kwa makini ujumbe wangu,nilikuwa na maana mwanzo lilipopelekwa bungeni kuwa "Mengi anatuhumiwa kuvitumia zaidi vyombo vyake vya habari kiliko viongozi wa nchi" Hapa uchunguzi ulikuwa wa nini? Kwani kuna sheria inayomzuia mmiliki wa chombo cha habari kukitumia chombo chake?
 
Unajua nakushangaa sana Mzee MKJJ . Hata naweza kuungana na Mwanasiasa kujiuliza kama ni wewe tunaye kujua hapa ulivyo badilika . Unaonekana humwamini sana Mzee Ndesa ila unaamini Serikali na CCM na wabunge wako wa CCM ndiyo wa kweli . Je kama ukweli ukija kwamba watu wamehongwa na kukawa na ushahidi wa aina yeyote kwamba Waziri Mkuu aliyasema hayo maneno utafanya nini ? CCM yako na waziri Mkuu watajiuzuru wakati hili neno katika CCM ni msamiati Mkubwa ?Ndiyon maana hata spika anashangaa Mzee Ndesa kujiondoa kwa kuwa si kawaida ya wana CCM kufanya kama aluvyo fanya Mzee Ndesa. Huyu ni mzee makini sana hawezi kukurupuka na anajua CCM walivyo mafya na bado kasema. Unadhani yule bila ya Ubunge hawezi kuishi ? Moshi jimboni kwake umefika uone mambo aliyo yafanya bila ya pesa za CCM ? Naomba tuongee ukweli hapa tuachane na mawazo ya kinafiki kwamba Mzee kaongopa sasa nani mkweli hapa Spika ? Jamani maghorofa ya Detroit haya yanakupambaza kijana amka rudisha heshima yako una micha ya maana ukiamua lakini sasa unachangia kama umelambishwa basi kasi sana .
 
Mwanakijiji,sikuwa na maana ya hapa ilipofikia.Hapa kwenye rushwa ni kweli ni mahala pazito.Lakini ukisoma kwa makini ujumbe wangu,nilikuwa na maana mwanzo lilipopelekwa bungeni kuwa "Mengi anatuhumiwa kuvitumia zaidi vyombo vyake vya habari kiliko viongozi wa nchi" Hapa uchunguzi ulikuwa wa nini? Kwani kuna sheria inayomzuia mmiliki wa chombo cha habari kukitumia chombo chake?

Niliposoma post yako ya mwanzo na mimi nilielewa hicho ndicho ulikuwa ukihoji. Tangu sakata hili limeibuka hata mimi swali langu ni hilo, hivi inakuwaje kamati kujadili suala la kijinga kama hilo? Na aliyeanzisha huko bungeni sijui ndio huyo Malima Yaani wananchi wa Mkuranga ndio walichomtuma huko bungeni? Kwamba kaulize kwanini vyombo vya ipp vinatumia muda mwingi kwa habari za Mengi? Ama kweli tuna safari ndefu sana.
 
Lunyungu 5th December 2006

Lunyungu
Senior Member Join Date: Tue Dec 2006
Posts: 224
Rep Power: 1

Jin lako ni sahihi na una haki ya kultumia mtu akilichukia basi asisome post zako aachane nawe


Lunyungu 12th January 2007


Today, 05:47 PM

Lunyungu
Senior Member Join Date: Tue Dec 2006
Posts: 224
Rep Power: 1

Mzee wa London una matatiz nadhani . Kwanza kwa wewe kujiita Mzee wa London pekee unaonyesha una matatizoi makubwa . Mtanzania kujiita Mzee wa London it raise so many questions.


Which statement fits you best?

What next? Kuikosoa CCM and others? Mhhhhh. I doubt!
 
Parliament team now split: It`s over corruption claims by Ndesamburo

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

ONCE powerful, the Parliamentary Committee for Privileges, Ethics and Powers is apparently split following the sudden resignation of Phillemon Ndesamburo, MP for Moshi Urban (Chadema).

The maverick opposition MP earlier charged that the Committee could no longer discharge its obligations fully on the Mengi-Malima case because of corruption allegations leveled against some of its members.

Our sources say there are now two camps, one demanding the Committee to come out clean on Ndesamburo’s allegations of corruption within its ranks, and the other insisting Ndesamburo should be ignored ? and let business run as usual. THISDAY could not confirm reports that some of the members exchanged fists during their protracted and acrimonious discussions.

’’One of us has since demanded that the committee should clean its image and restore its lost integrity by coming public before going on with any business ? otherwise the public will lose confidence with the committee,’’ a source said.

Sources say members now avoid its meetings ? with some pleading various excuses: One member is said to have taken his documents and left when the Committee was in session. All alibis apparently involve commitments out of Dar es Salaam

’’One of our members was bitter ? she complains that she wasn’t bribed by one Yusuf Manji’’ -- as by Ndesamburo claims ? ’’personally, I can swear that I didn’t take a bribe,’’ said a committee member.

Apart from Ndesamburo, other members of the Parliamentary Privileges, Ethics and Powers Committee include Chairperson Juma Suleiman N’hunga and his deputy, Wilson Mutagaywa Masilingi, Anna Abdallah, Tatu Musa Ntimizi, Anne Kilango Malecela, Haroub Said Masoud, Dr. James Alex Msekela, Dr. Lucy Sawere Nkya, Athumani Said Janguo, , Christopher Olonyokie Ole-Sendeka, William Mganga Ngeleja, Ramadhani Athumani Maneno, Juma Hassan Killimbah, and the only opposition MP Fatma Mussa Maghimbi (CUF).

Ndesamburo resigned from the committee accusing some Committee members for taking bribes from Manji, the man at the centre of the storm.

Ndesamburo informed the Speaker of the National Assembly, Samuel Sitta, that he wouldn’t like to be part of the Committee -- which he alleged was corrupt.

Ndesamburo told newsmen in Dar es Salaam that the Committee cannot exercise fairness in two cases: IPP Executive Chairman Reginald Mengi accusing the MP for Mkurunga, Adam Malima, for purgery; and Malima on his part accusing Mr Mengi for defamation.

Now Ndesamburo doubts if the Committee can ever exercise fairness following allegations that some of its members had taken bribes from Manji.

Ndesamburo also says there is enough circumstantial evidence that the Executive arm of government was interfering with the Legislature in open violation of the tenets of good governance.

Ndesamburo’s decision came after the committee sat for more than 61 days without coming up with any report from either Mr Mengi or Hon. Malima. The Mengi/Malima case in the committee is the first in Tanzania’s parliamentary history that a member of the public has received the blessings to file a complaint over remarks made against him by an MP during debate in the National Assembly.

The complaint by Mr Mengi arises from accusations by Mr Malima that ITV was devoting more than ten minutes airtime to Mr Mengi compared with more deserving national leaders like the president and other leaders who he alleged were given only ninety seconds (1.30mins).

In contributing to the debate of budget estimates for the Ministry of Information, Culture and Sports last year, Mr Malima accused ITV of disproportionate allocation of airtime, alleging that President Jakaya Kikwete was on one occasion given only a minute and half when he was addressing a public gathering on the looming famine in the country. He accused the TV station of giving the same amount of coverage to Prime Minister Edward Lowassa when he spoke on the same issue.

He contrasted this with the coverage of nearly 10 minutes during the same broadcast, of a visit by pupils from Zanzibar to the Coca Cola Kwanza Plant in Dar es Salaam, which Mr Mengi chairs.

Mr Malima also gave the example of the coverage given by ITV to a visit by Mr Mengi to a ’madrassa’ where he spoke about an imam with whom he had a personal dispute.

According to the MP, this ’’trivial’’ matter was also given nearly 10 minutes while speeches by the Minister for Public Safety, Bakari Mwapachu and the Inspector General of Police, Said Mwema, at a meeting of top policemen to discuss the rising number of armed robberies in the country, were given ?’’negligible airtime.’’?

Meanwhile a statement from Chadema said it was wholly behind their MP, adding that, it felt proud of his stand for it reflected his integrity adding that Ndesamburo stood for justice and truth.

The statement said, the MP’s resignation would alert the state to pay greater attention on the whole issue, so that justice would eventually prevail.

Chadema promised to do everything possible to make sure that the matter is properly rested, in the hope of fulfilling good governance, democracy and justice, the statement said.

Source: http://thisday.co.tz/News/1225.html
 
Our sources say there are now two camps, one demanding the Committee to come out clean on Ndesamburo’s allegations of corruption within its ranks, and the other insisting Ndesamburo should be ignored ?
 
I would think that among the first things the kamati should have done was kuwahoji wahusika hawa wawili ... sasa kama ni kweli hawajahojiwa, hizi siku 61 kinachojadiliwa ni nini?
 
Jamani nina uhakika kuwa kuna mtu ana contact za Mzee Mengi.. please ni PM hapa... kwa sababu hata katika taarifa za leo Mengi hajakana kumwambia Ndesamburo maneno hayo! na waandishi hawakumpush kuwapa jibu linaloweka.
 
PM alianza kuwatisha wabunge wa CCM kwenye swali la umeme; Kamati iliandika barua mwaka jana, kwa hiyo utaona kabisa jinsi anavyotaka ku-buy time kwa manufaa binafsi.

Hii kamati ilipewa uwezo wa kumhoji mtu yoyote ambaye ana habari na kutoa ukweli, sasa kama namna hii, nini maana ya kamati? Hapa mtu mwongo lazima apatikane.

Where is the credibility at the highest level?
 
Kulikoni nilisema huko nyumaaa kuwa kuwa Manji amewapa kina Adam Malima, Kingunge, pamoja na marehemu ngawira za huuu mchezo sasa si unaona yanatokea?

Nilisema siku moja pale bingeni, niliwaona hao wajamaa saaa za jioni sana wakiwa pamoja, nilipomuuuliza mzeee mmmoja pamoja na kunipa namba za mazishi ulizonishambulia nazo sana, na nikakubali kuwa siku-check namba, lakini the message si hii clear kama alivyoniambia yule mzee kuwa walikuwa wanapeana something kuhusiana na hii kesi, si unamsikia PM anarudia niliyoyasema!

Pakiwa na ukweli basi kubali sometimes yaishe!,

lakini

Heshima mbele na tuendelee ku-agree, ku-dis-agreee, sina noma miye zaramo kwetu Msanga, ninaenda na bazi la Zingatia, nyie hayeni tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom