lady j
Member
- Mar 22, 2013
- 78
- 27
Huyu tapeli TU.
Huyu tapeli TU.
Sio utaratibu...Me nadhani kuokoa muda huyo watakaempitisha bungeni aende kuapishwa tu mana bunge lote ni lakwao
Mwijaku mtembea uchi lazma achukue
Acha udini na ukabila wewe, sumu sana watu kama nyieNaatabiri watatu kuteuliwa ugombea uspika kupitia CCM ni Tulia Ackson, Masele na Azzan Zungu
Sababu ya kwanza Zungu kuwakilisha waislamu
Tulia kuwakilisha wakristo
Masele kuwakilisha Sukuma gang lililokabidhi kiti kwa Mama Samia wasukuma wengi wamechukua fomu mwakilishi wao atakuwa Masele
Wote hao wana uwezo na uzoefu na kashfa zero
Wanafaa yeyote kati yao
Ni walutheranHakuna tatizo bwashee!
Hapo Ufipa Mwenyekiti, makamu mwenyekiti na Katibu mkuu wote Wagalatia.
MiziziolojiChenge na mwenzie Sofia watatumia nguvu ya pesa achilia mbali msukuma, Tulia na Steve watakaotumia mizizioloji.
Huyo wa chama cha upinzani nampa heko sana amedhubutu
Kanda ya ziwa ina kura milioni 8.3 soma vizuri takwimu.Mikoa yote ya kanda ya ziwa ina kura 4.7 mil hii mingine ina kura 14 milion as estimate kwa sensa ya mwaka huu! Spika tunayemtaka ni Mtanzania na ikiwa hatatokea kwenye hiyo kanda au kabila bado hiyo sio sababu ya CCM kuwekewa vitisho vya kikanda. Nafasi yenyewe moja.
Nasikia ndio aliyepitishwa...Dr Tulia hafai kwa sababu ana uchu wa madaraka, kwani unaibu haumtoshi mpaka agombee uspika?
Sent from my SM-G935V using JamiiForums mobile app