Mbivu na mbichi za Wagombea Uspika wa CCM kujulikana leo Januari 19, 2022

Naatabiri watatu kuteuliwa ugombea uspika kupitia CCM ni Tulia Ackson, Masele na Azzan Zungu

Sababu ya kwanza Zungu kuwakilisha waislamu

Tulia kuwakilisha wakristo

Masele kuwakilisha Sukuma gang lililokabidhi kiti kwa Mama Samia wasukuma wengi wamechukua fomu mwakilishi wao atakuwa Masele

Wote hao wana uwezo na uzoefu na kashfa zero

Wanafaa yeyote kati yao
Acha udini na ukabila wewe, sumu sana watu kama nyie
 
Mikoa yote ya kanda ya ziwa ina kura 4.7 mil hii mingine ina kura 14 milion as estimate kwa sensa ya mwaka huu! Spika tunayemtaka ni Mtanzania na ikiwa hatatokea kwenye hiyo kanda au kabila bado hiyo sio sababu ya CCM kuwekewa vitisho vya kikanda. Nafasi yenyewe moja.
 
1642663320281.png
 
Kanda ya ziwa ina kura milioni 8.3 soma vizuri takwimu.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom