MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

Kunatatzo kubwa sana la kimaadili kwa walim hasa hawa walim wa mwendo kasi...

Ule utafiti wa twaweza kunawatu hawakuupenda ila upo sahihi, karb nusu ya walim si waalim, na waliobaki hawana wito wa ualim,

Hvyo ni vyema hawa ambao wamefanya tukio hili, pamoja na yule mama aliekuwa anasema pembeni acha yule aliekuwa anamuoneo huruma, wakusanywe wote....
 
Ni mwizi/kibaka tu ndiye anayeweza kupigwa hivyo tena mtaani, ni bora umrudishe nyumbani kuliko kumpiga kiasi hicho.
 
Mbona sijaona kipigo hapo? Ndio maana mijibwa yenu hii inatoka na division zero

Kwa mtazamo hapo mwalimu kaghafirika na lazima huyo mtoto eidha alimkunja hata mwalimu.

Sisi walimu tunayokutana nayo huku mashuleni mtu awezi jua ila akiona ndio atatokwa na povu tu, mitoto haina adabu, anaweza kukutusi hata mbele za wenzie kabisa

Mimk hapo sijaona kipigo na nimetamani niongezee kabisa maana najua fika kero za wanafunzi wa kata hawa wasio hata na akili.

Sijashangaa na walimu lazima walighafirika. Ninyi mnaotetea hamjui ndio maana uwezi guswa na hili.

Umewai kutana na janga mtoto akakutukana mstarini **** ya mama ako na wanafunz wamejaa asemble? Ukamuita anagoma, ukimfata anakukunja? Kama hujawai kuona haya jua yapo na pengine ndio yalimfikisha mwalimu huyo kwenye hasira izo

Mitoto inakula bange inakuja shule bange zishamuweusha na anataka akuzingue mwalimu au akudhalilishe.
kweliii..
 
Hawa itakua walim wa field tu...maana Walimu wa field hua wanataka waonekane wababe kwa wanafunzi...si unamsikia uyo mwingne anamuliza kabisa eti unajifanya mbabe

0404
 
Nyie mnajifanya mnalalamika, ulizeni kosa la huyo mwanafunzi, wanafunzi wengine manunda hatari
 
Shame on them. Unamwadhibu vipi Mwanafunzi namna hiyo? Kama huyu anayempiga makofi ameshindwa kucontrol feelings kabisa? Hata kama angekuwa amefanya nini hiyo adhabu hapana aiseee. Sheria ichukue mkondo wake.
 
Kama mtt wangu akifanyiwa hv nina uhakika nitaelekea jela
Mkuu huna tofauti na mimi siwezi kukubali unyama kama huo afanyiwe mwanangu japo sasa hivi bado kijana sina mtoto. Nakumbuka kipindi fulani nilikuwa nasoma school flank wakataka kuniadhibu kwa kosa ambalo sikufanya....niligoma kuadhibiwa na nilimuita mzazi wangu school siku hiyo hiyo niliondoka shule nikahamia shule bora zaidi.

Huwezi endekeza unyama kama huh hata kama huyo mwanafunzi amefanya nini. Hiyo ni BIG NO
 
Dah sijui kwanini nimefungua hii clip siku yangu imeharibika yote ooohhhhh noooo....kwa kosa gani hasa alilofanya huyu kijana jamani?? Nimeumia sana na sio vema kabisa
 
Video hii inaonyesha walimu wakitoa adhabu kwa mwanafunzi kwa mtindo ambao haujaelekezwa kutumika, mwanafunzi anapaswa kupewa adhabu kwa kuchapwa mikononi au matakoni, sasa hapa walimu zaidi ya watatu wanamuadhibu mwanafunzi kwa ngumi na mateke sehemu mbalimbali za mwili.

Hili si jambo linalofaa hata kidogo na likiachwa hivi kuna maafa yatatokea siku moja katika shule zetu ama kwa kuuawa wanafunzi kwa vipigo ama kwa wanafunzi kutopenda kwenda shule kwa kuhofia adhabu za mtindo huu.

Hata kama mwanafunzi kagomea adhabu si kwa nguvu hii inayotumika nafikiri akigoma nikumchukulia hatua zinazofuata sio kumfanyia shambulio la kudhulu mwili namna hii.

Wadau wa elimu litazameni hili
Utamchapaje mwaanafinzi kama huyo wakati amegoma hataki ?
 
Nilisikia rais wa nchi moja kubwa duniani alipitia uhuni wote hadi kuvuta bangi...kilichomfanya aache ni kipigo toka kwa walimu wake....????
Ndivyo wanavyofundishwa huko kwenye vyuo vya ualimu? Hawafundishwi saikolojia???!!!!! hawawezi kum counsel huyo kijana? Na baada ya hiki kipigo bangi kaacha?
Hicho kipigo unaweza kuua kimepita kipimo..Tunajenga taifa la watu wasio jiamini kwa kudhani tunawafundisha watoto wetu kwa kuwapiga kama wanyama
 
Dogo ni mkaidi na akishazingua anaenda kutamba kwa wenzake,hii kitu ni lazima ili ajue kwamba akileta uhuni anazinguliwa kihuni.Saafi sana walimu,saaafiiiii kabisaaaaa
duuuuu subirini mkipata watoto ndio mje mcomment hii mada ndio mtajua uchungu wa mwana
 
nilishawai kuchapwa uchi tena na waalimu wa kiume mimi na wenzangu wawili eti tulikuwa hatujavaa chupi.kwani ni lazima kuvaa chupi? wakatuvua sketi wakaanza kutuchapa
ulimtega mwalimu.. kiukweli hii video inatia uchungu
 
Mama Ndalichako fanyia kazo huu ukatili. Hawa walimu inaonekana wamesahau Principle za kumwadhibu Mwanafunzi
 
Kazi ya mwalimu ni kufundisha darasani na kufundisha adabu.Huwezi kumuacha mwanafunzi ambaye ni jeuri ni hajitambui,inatakiwa kumuelimisha na kumuadhibu pia.Huyo kwa yaliyo mpata hawezi rudia akirudia ndo anafukuzwa,ukimfukuza bila kumtia adabu atatamba anaogopwa,unamtigo pesa kwanza akiendelea na ubahau wake unamsepesha.Akienda mtaani lazima akukumbuke.

Huu ndio mwisho wenu, ndugu zenu wa Mbeya Day wamebumbulisha dili. Now, endeleeni kupiga watoto wa watu muuone kitakachowakuta ... fimbo ni matakaoni tu vinginevyo mzazi aitwe au mwanafunzi asimamishwe.

Kwa taarifa yako, mwanangu anasoma shule unayofundisha na nimesha mwambia mkimgusa ukoo mzima tunakuja kukinukisha.
 
Nimetoa maoni yangu baada ya kuitazama hyo clip mara nyingi kama nyie mlivotazama na kutoa maoni yenu, nyie mnaonikoti huku mkitokwa na mapovu acheni dabo standard zenu, naamini mlipita shuleni pia, mwalimu hawezi kukupiga kwa hasira ivo kama hakuna sababu za msingi. Na ndo mana mitoto ya siku izi inatabia mbovu sana, sababu ni malezi mabovu ya wazazi kama nyie watokwa mapovu.
Yaani mtoto hata akunyee mkononi huna ruhusa ya kumpiga namna Ile ww ni mwalim Tu na kaz yako Ni kufundsha Ni bora mumfukuze shure Kama mmemshindwa au mpeleken police but huu walioufanya hawa mbwa Ni unyama
 
Mimi najua adhabu ya viboko isizidi vitatu tena matakano, mwalimu huruhusiwa kumpiga mwanafunzi ngumi na mateke. Hawa walimu wa kufukuza kazi na kifungo kisichopungua miaka mitatu na kulipa faini ya sh. 3,000,000.
nakumsukuma mtoto kaunguka vibaya ..
 
Haahaa, kweli Mungu anisamehe hawa walimu ingekuwa ni mwanangu ningechukua sheria mkononi niwafanye kitu amchacho sijui kama wangesahau lazima ningefanya kama scopion Mungu anisamehe, makofi ya kichwa kwa mwanangu?! hapana aisee.
 
Kipigo kimepitiliza,ila nina mashaka kama ni Tanzania.
 
Back
Top Bottom