MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

Wengi wanakurupuka tuuu,na ndo maana mitoto ya siku hizi haina adabu,unakakuta kabinti ka shule kanaongea na simu mambo ya kingonongonooo,na kamekaa kingonongono tuuu kisa hawa walezi wanaocomment humu.Vivulana vinajifanya vitemiiii na kuwadharau walimu kisa baba yake ana ka passo na pick up.kama ni mimi nakunyoosha kama nyoka na niliwahi fanya hivo kwa dogo mmoja hivi shule moja Mbez huko.Alipoleta ujuaji nilimfukuzisha shule jumla,Sipendagi ujinga mieee
Hufai wewe siku ukirekodiwa hiyo kazi japo itakuwa goodbye na hela itakuhusu.upigaji gani huo? Mtoto akiwafia watajitetea nini? Jee watoto wao wangekubali kupigwa hivyo?Sister wangu aliniambia yeye mwalimu alimfinya maziwa alimshika chuchu akazizungusha eti adhabu hiyo akikumbuka hana hamu.aliumia kisa hakwenda na ufagio shule.sometimes hao walimu wanakuwa na hasira zao binafsi wanaamua kuwamalizia walimu.
 
Wenzangu hapa ni wapi? Hii siyo ya kufumbia macho. Nadhani mwanafunzi aliwaambia wazazi au ndugu zake wachukue hatua.
Mwanafunzi wa hivyo unakuta hata wazazi wameshamshindwa.Acheni kutetea ujinga hivi walimu ni wavuta bangi wampige tuu hivi hivi,huyo kaleta nyoko na waweza kuta kanavuta bangi.Mimi nilikuwa nawatia vitasa kinomaaaa,na kuna ambao baaadae nikikutana nao wananichangamkia na kunikumbusha .Msitetee ujinga.
 
Kazi ya mwalimu ni kufundisha darasani na kufundisha adabu.Huwezi kumuacha mwanafunzi ambaye ni jeuri ni hajitambui,inatakiwa kumuelimisha na kumuadhibu pia.Huyo kwa yaliyo mpata hawezi rudia akirudia ndo anafukuzwa,ukimfukuza bila kumtia adabu atatamba anaogopwa,unamtigo pesa kwanza akiendelea na ubahau wake unamsepesha.Akienda mtaani lazima akukumbuke.

Kwahiyo ni halali kumpiga hivyo? Ni sheria hipi inatoa uhalali wa mwalimu kumpiga mwanafunzi makofi,ngumi na mateke?
Unajua madhara aliyoyapata uyo mwanafunzi baada ya kupigwa hivyo?
Serikali sio wajinga walivyoweka sheria ya viboko.
 
Mabao ya mkono wasaidie wenyewe......sahizi wanakiona cha moto......hasira kwa watoto wa watu.....mxeuuuuuuu.....ebu waisome number huko
 
nimeipenda..nyie acheni tu..wapo wanafunzi magaidi...nikiwa olevel mwalimu wangu wa geography alipigwa na mwanafunzi mwenzetu darasani..sasa unafikiri akifikishwa ofisini mwanafunzi kama huyo anafanywa nini
 
Hata kama alileta ubabe ndio apigwe kama mwizi?????

Kwa nini asipewe suspension? ??

Kwa nini wasiitwe wazazi wake???

Imagine kapigwa hivi halafu avute ingekuwaje???
Suspension,kufukuzwa na kuita wazazi ni kuwasumbua wakati toto lenye makosa lipo! Anakula kichapo tuuu,mzazi anayeelewa atakununulia na soda.Watoto wa siku hizi nyie hamuwajui.Hivi mwanafunzi kamtukana mwalimu,ukimuita mzazi ndo tusi linafutika? Huyo ni wa vitasa tuuu,akamwadithie demu wakee.Sitaki ujinga.
 
Tetesi za awali zinasema ni Mbeya Day Sec School
 
Nimetoa maoni yangu baada ya kuitazama hyo clip mara nyingi kama nyie mlivotazama na kutoa maoni yenu, nyie mnaonikoti huku mkitokwa na mapovu acheni dabo standard zenu, naamini mlipita shuleni pia, mwalimu hawezi kukupiga kwa hasira ivo kama hakuna sababu za msingi. Na ndo mana mitoto ya siku izi inatabia mbovu sana, sababu ni malezi mabovu ya wazazi kama nyie watokwa mapovu.
 
Mwanafunzi wa hivyo unakuta hata wazazi wameshamshindwa.Acheni kutetea ujinga hivi walimu ni wavuta bangi wampige tuu hivi hivi,huyo kaleta nyoko na waweza kuta kanavuta bangi.Mimi nilikuwa nawatia vitasa kinomaaaa,na kuna ambao baaadae nikikutana nao wananichangamkia na kunikumbusha .Msitetee ujinga.
wazazi wake wamshindwe au wasimshindwe, avute bangi au unga, hiyo si kazi yako mwalimu wewe uko hapo kufundisha tu, hayo mengine muachie mzazi wake, tena mfukuze shule kabisa akahaingaike na waliomleta dunia
 
Walichokifanya ni sahihi maana kuna wanafunzi jeur na wakat mwingine hutaka kupigana na walim
 
Nimewamiss waalimu wangu waliniofundisha zamani ........

1. Walikuwa ni watu wazima ambao waliweza kustahimili kila aina ya madhila tuliowafanyia kwa kuwa wengi wao walikuwa watoto wa umri wetu... Hivyo hawakuishia kuwa waalimu ila wazazi walioongozwa kwa hekima na busara kubwa

2. Walifanya kazi kwa moyo na pia ilikuwa nadra kusikia mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi wao ..

HIKI KIZAZI CHA WAALIMU WA BODI YA MIKOPO YAANI HAWANA LEPE LA MOYO KWA KUWA MKOPO NDIO ULIOWALAZIMU KUSOMEA UALIMU ....

kwanza ni wadogo kiumri na unaweza kuona katika Clip jinsi wanavyoshirikiana kama teenagers ...
Hawana lepe la busara wala hekima...
Wanawaka tamaa ya ngono na kisasi kwani hawapishani umri sana na watu wanaowafundisha...
Maarifa na ujuzi ni patupu

Wapo walio wazuri hata Leo (japo ni nadra kuwapata) lakini ukweli lazma usemwe... Watoto wa Leo haswa wa kike "HAWAPO SALAMA MASHULENI"
 
Hufai wewe siku ukirekodiwa hiyo kazi japo itakuwa goodbye na hela itakuhusu.upigaji gani huo? Mtoto akiwafia watajitetea nini? Jee watoto wao wangekubali kupigwa hivyo?Sister wangu aliniambia yeye mwalimu alimfinya maziwa alimshika chuchu akazizungusha eti adhabu hiyo akikumbuka hana hamu.aliumia kisa hakwenda na ufagio shule.sometimes hao walimu wanakuwa na hasira zao binafsi wanaamua kuwamalizia walimu.
Hizo sheria mnazozisema ni zipi? Kwa upumbavu huo huo watoto wote sasa ni malaya,wabana pua ,wapaka poda na watembea uchi kama huyo alopigwa kwa kutovaa chupi.Wanafunzi jeuri lazima wale vitasa,lazima tuyamalize haya mambo maana wavulana siku hizi ni kuchekacheka na kurembua tuu kama kina Kaoge mvuto.Tuupinge ujinga,wavulana wanatembea uchi eti kata k,wasichana nao vinguo vifupi na chupi hawavai,what a hell!
 
Mwanangu apigwi hivyo ,anajua amekula gunia ngapi za mchele mpaka amefikia hapo ?

Ningekua mzazi wa huyo mtoto hata nisingeenda polisi

Huyu mwalimu ningemalizana nae kihuni na asingekaa kurudia kupiga mtoto wa mtu hivyo

Fimbo zipo mchape mtoto kwenye matako unampiga kichwani namna hiyo
Jamaa kaniumiza sana huyu
 
This is too much aisee. Hawa walimu hawakupaswa kumshambulia huyo kijana hivyo, Haijalishi ni kosa gani kalifanya.

Hivi uwa wanafundishwa psychology kweli huko vyuoni???

Mwalimu kama kiongozi wa mwanafunzi inampasa aweze kugawala hisia zake kama hasira.

Hapo ni kujijengea uasama tu na wanafunzi.
 
Kama huko shuleni ndo hivi kuna haja gani ya kumpeleka mwanao huko?da!nilikuwa nakunywa chai nimejikuta nimeshiba ghafla.sina la kusema zaidi ila natumaini kuna wadau wataitambua hii shule then vyombo husika vitachukua hatua..
 
Shut the crap man, wewe inaonyesha hata paka huna, hii ni mob justice, hamuwezi kumchangi mtoto namna hii, huyo pimbi na vitravolta vyake anajiona ndio bingwa wa ku slap, only in africa ndio upuuzi huu unaweza kupongezwa na waβ¥¥zi kama wewe.

Kila mmoja anakomenti the way anovojiskia right? huwezi kunilazimisha nikomenti utakavyo wewe, who are you? Pita kule eboo
 
Back
Top Bottom