Aisee hapana, najuta kuangalia hii video mana amani yote imeniisha nazani siku yangu leo itakua mbaya siku nzima, ali survive kweli huyu mtoto?
[emoji2] [emoji2] siku hizi unavaa chupi? Au adhabu haikufanikiwa kukurekebisha mkuu!!nilishawai kuchapwa uchi tena na waalimu wa kiume mimi na wenzangu wawili eti tulikuwa hatujavaa chupi.kwani ni lazima kuvaa chupi? wakatuvua sketi wakaanza kutuchapa
Mwanafunzi hewa huyo.
Nina wasiwasi na akili yako na uelewa wako wa akili kama ni mzima?Wacheni ale kichapo yaonekana huyu Toto jeuri saana... waalimu ni watu wazuri... wenye kulea na kutoa Ujinga.
Mbona sijaona kipigo hapo? Ndio maana mijibwa yenu hii inatoka na division zero
Kwa mtazamo hapo mwalimu kaghafirika na lazima huyo mtoto eidha alimkunja hata mwalimu.
Sisi walimu tunayokutana nayo huku mashuleni mtu awezi jua ila akiona ndio atatokwa na povu tu, mitoto haina adabu, anaweza kukutusi hata mbele za wenzie kabisa
Mimk hapo sijaona kipigo na nimetamani niongezee kabisa maana najua fika kero za wanafunzi wa kata hawa wasio hata na akili.
Sijashangaa na walimu lazima walighafirika. Ninyi mnaotetea hamjui ndio maana uwezi guswa na hili.
Umewai kutana na janga mtoto akakutukana mstarini **** ya mama ako na wanafunz wamejaa asemble? Ukamuita anagoma, ukimfata anakukunja? Kama hujawai kuona haya jua yapo na pengine ndio yalimfikisha mwalimu huyo kwenye hasira izo
Mitoto inakula bange inakuja shule bange zishamuweusha na anataka akuzingue mwalimu au akudhalilishe.
Shule iko Mbeya mjini inaitwa Mbeya day!Sitaki kuifungua, naogopa kufia hapa kwenye ofisi ya watu;
Ni shule gani?
Wadau,
Clip hii sijui ni shule gani lakini yaonekana ni hapa nchini kutokana na sauti ya dada inayosikika kwenye background.
Hata kama huyo kijana amekosa vipi si angepelekwa vyombo vya sheria?
Wana tofauti gani na wale wanakijiji walioua watafiti?
Sheria ifuate mkondo wake, inaumiza sana.
[06/10, 09:43] +255 767 488 622: Nimesikia ni Mbeya Day sec iko Mbeya mjini. Inasemwa semwa sehemu nyingi
[06/10, 09:43] Richard Kasesela: Nimeongea na MZEE wangu pale mbeya day ameniambia walikuwa walimu wa field na anadai mwanafunzi n mvuta bangi lakin naomba mamlaka husika ziwafuatilie hao popote walipo kwan majina yao yapo Kwa MKUU wa shule kama kumbukumbu ya walimu waliofanya field. Copy and paste grp la Mbeya
Adhabu ile ni kubwa kuliko kosa, acha mambo kushabikia mambo ya kijingaNo comment, huyo dogo inaonekana aliwaletea ubabe hao walimu wake, ukiangalia vizuri mwanzoni anaonekana ameshika fimbo ya mwalimu, naona wadau mnakomenti upande mmoja tu.