MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

Pia. Huyo Mvuta Bangi achukuliwe HATUA kwani mbona wengine wasichapwe kama yeye? .
 
Tusubiri kwenye taarifa za habari leo au kesho itatoka tu juu ya hao vigozi manyoya nn kimeendelea juu yao!!kumbaavu zao,masheitwaani wakubwa!
 
Hii ni shule ya kata au ya Private? What ever the consequences adhabu does not fit the crime
 
Wengi wanakurupuka tuuu,na ndo maana mitoto ya siku hizi haina adabu,unakakuta kabinti ka shule kanaongea na simu mambo ya kingonongonooo,na kamekaa kingonongono tuuu kisa hawa walezi wanaocomment humu.Vivulana vinajifanya vitemiiii na kuwadharau walimu kisa baba yake ana ka passo na pick up.kama ni mimi nakunyoosha kama nyoka na niliwahi fanya hivo kwa dogo mmoja hivi shule moja Mbez huko.Alipoleta ujuaji nilimfukuzisha shule jumla,Sipendagi ujinga mieee
Kumbe na wewe ticha mkuu [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

0404
 
Hapo sioni cha ajabu ! Ww hujiulizi kwa nn imebidi nguvu ya ziada itumike kumuadhibu kijana mmoja tu ? Acheni ushabiki usiokuwa na maana.Lazima tuwarekebishe hawa vijana wetu .
Ni kweli kabisa
Mwanafunzi anakuja anamshika Mwalimu Ziwa.
Lazima apigwe tu hakuna namna
 
Waalimu wenyewe wanaonekana wamevaa mlegezo unategemea akili ziwe sawa
 
Hapo sioni cha ajabu ! Ww hujiulizi kwa nn imebidi nguvu ya ziada itumike kumuadhibu kijana mmoja tu ? Acheni ushabiki usiokuwa na maana.Lazima tuwarekebishe hawa vijana wetu .
Hapa swala ni kwamba kwanini wampige namna hiyo?? Mwanafunzi akiwa nunda piga suspension au fukuza kabisa shule kupiga huko inahusu?? Hata kama amekunjia ngumi mwalimu it doesn't matter bana kha??
 
T
Mbona sijaona kipigo hapo? Ndio maana mijibwa yenu hii inatoka na division zero

Kwa mtazamo hapo mwalimu kaghafirika na lazima huyo mtoto eidha alimkunja hata mwalimu.

Sisi walimu tunayokutana nayo huku mashuleni mtu awezi jua ila akiona ndio atatokwa na povu tu, mitoto haina adabu, anaweza kukutusi hata mbele za wenzie kabisa

Mimk hapo sijaona kipigo na nimetamani niongezee kabisa maana najua fika kero za wanafunzi wa kata hawa wasio hata na akili.

Sijashangaa na walimu lazima walighafirika. Ninyi mnaotetea hamjui ndio maana uwezi guswa na hili.

Umewai kutana na janga mtoto akakutukana mstarini **** ya mama ako na wanafunz wamejaa asemble? Ukamuita anagoma, ukimfata anakukunja? Kama hujawai kuona haya jua yapo na pengine ndio yalimfikisha mwalimu huyo kwenye hasira izo

Mitoto inakula bange inakuja shule bange zishamuweusha na anataka akuzingue mwalimu au akudhalilishe.
Kwenda zko pumbavu ww ... Ualimu Una mipaka Yake fala ww. Yani mi mnantia hasira cas nmeiiona clip afu nyie walimu uchwara mnakuja hapa kucomment ushuzi... So what?? Hata ukutane na jini huko shulen Kuna police na vyombo mbalimbali vinaeza ku deal na watt watukutu unajifany eti teacher what a stupid teacher.. Fanya kaz yako kwa mipaka.. Akifa hapo mtasema nn???Umenikera Sana mbwa ww
 
Ni kweli kabisa
Mwanafunzi anakuja anamshika Mwalimu Ziwa.
Lazima apigwe tu hakuna namna
Nadhani kunakuwa na @Fomu ya Kujiunga na shule' waingereza wanaita 'Join Instruction' huwa inaeleza kila kitu ada, sheria, sare nk kwanini wasitumie hiyo fomu?? Acheni bana hicho kipigo noooooooo
 
Waalimu hawa wamekosa kabisa maadili, hii inaleta picha mbaya sana kwetu wazazi
 
Halafu unataka huyo kijana wa kayumba akiwa mkubwa awe na akili na mafanikio kama mo dewji aliyesoma IST ambaye adhabu yake ilikuwa kula keki wakati huyu anakula makofi....

Akitoka hapo anaingia udsm huyo kijana anakula mabomu ya maaskari kwenye migomoooooo kisha anaajiriwa halmashauri anapigwa mikwara na mkuu wa wilaya...ha ha ha mo dewji katoka zake ist chuo kapiga zake georgetown....kweli binadamu hatupo sawa japo wanasema tupo sawa

Hapo wanamtengeneza Scorpioni mwingine maana hatajali na atakuwa katili mara mbili
 
Wmempiga kama Wapinzani wa hapa Tanzania wanavyopigwa na polis.
 
Mwigulu Nchemba kahojiwa na Clouds asbh hii. Kasema habari za mwanzo inasemekana ni Mbeya sekondari. Ametuma watu wake wafanye ufuatiliaji asbh hiii. Poa kasema inasemekana hao walimu ni wale wa mazoezi.
ASANTE MUNGU
 
1475741585500.jpg
 
Back
Top Bottom