RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,056
- 137,819
Hamna anaepinga adhabu. Kinachopingwa hapa ni kundi la walimu kumpiga mwanafunzi mmoja kwa mateke,ngumi,fimbo kama wanapiga mwizi mtaani.Nimetoa maoni yangu baada ya kuitazama hyo clip mara nyingi kama nyie mlivotazama na kutoa maoni yenu, nyie mnaonikoti huku mkitokwa na mapovu acheni dabo standard zenu, naamini mlipita shuleni pia, mwalimu hawezi kukupiga kwa hasira ivo kama hakuna sababu za msingi. Na ndo mana mitoto ya siku izi inatabia mbovu sana, sababu ni malezi mabovu ya wazazi kama nyie watokwa mapovu.
Hivi wewe ndio unaingia ofisini unakuta mwanao anapigwa na hao walimu namna hio utaongea unayoongea?!!