MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

Halali kwa upande upi..!? Kuna adhabu ya namna hii kwa mwanafunzi kaka..!? Hata kama kaua..! Si mumpeleke kwenye vyombo vya sheria..!? Kuna Juvie mkuu.. au kama kawashida mumfukuze tu..! Ili asiwape hasira..! Kuadhibu mtoto wakati uko na hasira namna hii sio sahihi hata kidogo..! Kama angekua mwanao unakuta anapigwa namna iyo kama nyoka ungejiskiaje..!? Ukiangalia kwa udadisi utajua kwamba huyu aliekua anapiga kama anaua anaconda hana uhusiano mzuri na wenzie(walimu) na ndio maana hata kuna alie rekodi na kuipeleka viral..! Na ninahisi ni huyu aliekua anaomba dogo asamehewe..! Na hata apo unaona kuna wenzake wa kiume wanamwambia amuache..! Hii sidhani kama ni sahihi asee..!
Wanafunzi wa siku hz,ungekuwa ushawah kuwa mwalimu,ungejua kwann nmesema ni SAHIHI kutoa kipigo kama hicho....kwanza mim huyo mwalimu namsifu angekuwa mbaya ungeona anatumia hata miguu kumkanyaga mtoto huyo,lakin ni makofi tu mwanzo mwisho
 
Wenzangu hapa ni wapi? Hii siyo ya kufumbia macho. Nadhani mwanafunzi aliwaambia wazazi au ndugu zake wachukue hatua.
 
AAAAHHHH hii ni hatari sana. Hawa walimu wamekosa maadili kabisa.
 
No comment, huyo dogo inaonekana aliwaletea ubabe hao walimu wake, ukiangalia vizuri mwanzoni anaonekana ameshika fimbo ya mwalimu, naona wadau mnakomenti upande mmoja tu.
Hata kama alileta ubabe ndio apigwe kama mwizi?????

Kwa nini asipewe suspension? ??

Kwa nini wasiitwe wazazi wake???

Imagine kapigwa hivi halafu avute ingekuwaje???
 
Daaaah kama ni mim hyo kisanga yake haitaishia hapo, labda baada ya hapo wahame na kituo cha kazi
 
Na dogo yaelekea mgumu ingekuwa man to man angewatandika hao masharobaro
 
Mwenzake jana kule nzega kalala ndani kama kawa, asubuhi kajikuta katikai ya uwanja wa mpira
 
Daaah inaskitsha sana yan kuna mi watu haina hata huruma
 
No comment, huyo dogo inaonekana aliwaletea ubabe hao walimu wake, ukiangalia vizuri mwanzoni anaonekana ameshika fimbo ya mwalimu, naona wadau mnakomenti upande mmoja tu.
Shut the crap man, wewe inaonyesha hata paka huna, hii ni mob justice, hamuwezi kumchangi mtoto namna hii, huyo pimbi na vitravolta vyake anajiona ndio bingwa wa ku slap, only in africa ndio upuuzi huu unaweza kupongezwa na waβ¥¥zi kama wewe.
 
Mfukuze shule inatosha siyo kumpiga namna hiyo.
Bora ukamuacha akaenda kufundishwa na dunia kuliko mwalimu kufanya kitendo kama hicho, mpaka hapo utakuwa siyo mwalimu timamu.
Kazi ya mwalimu ni kufundisha darasani na kufundisha adabu.Huwezi kumuacha mwanafunzi ambaye ni jeuri ni hajitambui,inatakiwa kumuelimisha na kumuadhibu pia.Huyo kwa yaliyo mpata hawezi rudia akirudia ndo anafukuzwa,ukimfukuza bila kumtia adabu atatamba anaogopwa,unamtigo pesa kwanza akiendelea na ubahau wake unamsepesha.Akienda mtaani lazima akukumbuke.
 
Wanafunzi wa siku hz,ungekuwa ushawah kuwa mwalimu,ungejua kwann nmesema ni SAHIHI kutoa kipigo kama hicho....kwanza mim huyo mwalimu namsifu angekuwa mbaya ungeona anatumia hata miguu kumkanyaga mtoto huyo,lakin ni makofi tu mwanzo mwisho

Na hivi mbona kuna walimu wengine wamesimama na hawagawi kipigo icho.. hadi wengine wanasema muacheni.. au hao ndio hawaoni magnitude ya kosa..!?
 
Wanafunzi wengine wakorofi sana,ni kina scorpion wajao.....mfano hapo ameambiwa lala chini ila anagoma angekuwa humble wala wasingemshambulia,na ingekuwa ni mwl mmoja bila shaka wangepigana
Acha kuhalalisha ujinga kwani hakuna sheria ya inayoongoza wizara ya Elimu ambayo kwa mwanafunzi mkorofi?.
 
TANZANIA YETU HAISHI VITUKO.....
HUYU KAMTOBOA MACHO YULE.....YULE KACHUKUAA RUSHWAAA BARABARANI......
SAHV NAONA WALIMU WANAMGOMBANIA MWANAFUNZI KAMA MPIRA WA KONA...
KWELI NAZIDI AMINI DUNIA HAIWEZI KUTULIA.

OVA
 
Back
Top Bottom