MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

Huyo anaepiga naomba nikutane nae tuzipige kavu tena street fight, I swear he wouldn't take a chance.
What an animal
Kwani umeambiwa yeye ni bondia? Huyo anamfunza adabu mwanafunzi mkorofi,kama unataka kajiunge shuleni kwake halafu umletee za kuleta,utanyorooshwa mpaka basi.
 
Mimi najua adhabu ya viboko isizidi vitatu tena matakano, mwalimu huruhusiwa kumpiga mwanafunzi ngumi na mateke. Hawa walimu wa kufukuza kazi na kifungo kisichopungua miaka mitatu na kulipa faini ya sh. 3,000,000.
 
nilishawai kuchapwa uchi tena na waalimu wa kiume mimi na wenzangu wawili eti tulikuwa hatujavaa chupi.kwani ni lazima kuvaa chupi? wakatuvua sketi wakaanza kutuchapa
Hee,waliwachapia fimbo gani? Kumbe umeanza kutembea uchi kama mbuzi siku nyingiieee,da ningesoma na watu kama nyie dah,mngenikoma.
 
Wanafunzi wengine wakorofi sana,ni kina scorpion wajao.....mfano hapo ameambiwa lala chini ila anagoma angekuwa humble wala wasingemshambulia,na ingekuwa ni mwl mmoja bila shaka wangepigana
 
No comment, huyo dogo inaonekana aliwaletea ubabe hao walimu wake, ukiangalia vizuri mwanzoni anaonekana ameshika fimbo ya mwalimu, naona wadau mnakomenti upande mmoja tu.

So what?! Kwahiyo, sheria na utaratibu ukishika fimbo ya mwalimu ndio unatakiwa upigwe kwa style ile?! Nyie watu hebu anzeni kwanza kuzaa ndio mjue uchungu wa kulea na kusomesha ... Hiyo style ya upigaji haina justification hata kama mwanafunzi alimtukana mwalimu matusi ya nguoni

Upo utaratibu wa adhabu ikiwemo kusimamishwa shule/kufukuzwa ama kupelekwa Mahakamani. Kumpiga mwanafunzi namna ile kunafanya watu waanze kujiuliza kuhusu mpigaji kama ana akili timamu.

Tunahitaji kujua jina na huyo mwalimu na shule yake tuende tukamjazie inzi kwa kusimama na mabango kupinga ukatili huu.
 
Mhhh! utafikiri kituo cha mateso ya wanajeshi wa Hitler,hata kama huyo mwanafunzi ni mjeuri si kwa kipondo hicho,duh walimu punguzeni hasira kwani hasira hasara.



halafu ndiyo wanalalamika hawajaajiriwa hadi leo. bora tu wasiajiriwe, ukiangalia katika hao walimu wote ni kizazi cha .com,
 
No comment, huyo dogo inaonekana aliwaletea ubabe hao walimu wake, ukiangalia vizuri mwanzoni anaonekana ameshika fimbo ya mwalimu, naona wadau mnakomenti upande mmoja tu.
Wengi wanakurupuka tuuu,na ndo maana mitoto ya siku hizi haina adabu,unakakuta kabinti ka shule kanaongea na simu mambo ya kingonongonooo,na kamekaa kingonongono tuuu kisa hawa walezi wanaocomment humu.Vivulana vinajifanya vitemiiii na kuwadharau walimu kisa baba yake ana ka passo na pick up.kama ni mimi nakunyoosha kama nyoka na niliwahi fanya hivo kwa dogo mmoja hivi shule moja Mbez huko.Alipoleta ujuaji nilimfukuzisha shule jumla,Sipendagi ujinga mieee
 
No comment, huyo dogo inaonekana aliwaletea ubabe hao walimu wake, ukiangalia vizuri mwanzoni anaonekana ameshika fimbo ya mwalimu, naona wadau mnakomenti upande mmoja tu.

Kama alileta ubabe si wamrudishe nyumbani,kuliko adhabu wanayompatia,hivi bahati mbaya huyu mtoto akapoteza maisha yake,picha itakuwaje?
 
Back
Top Bottom