remosa
Senior Member
- Oct 3, 2014
- 161
- 142
Hata awe mjeri aje hyo sio Kaz yako ww low mind stupid teacher.. Kupga hvyo mwanafnz haikubariki...Walichokifanya ni sahihi maana kuna wanafunzi jeur na wakat mwingine hutaka kupigana na walim
Hata awe mjeri aje hyo sio Kaz yako ww low mind stupid teacher.. Kupga hvyo mwanafnz haikubariki...Walichokifanya ni sahihi maana kuna wanafunzi jeur na wakat mwingine hutaka kupigana na walim
Wewe mwenyewe inaonekana bado hujatolewa UJINGAWacheni ale kichapo yaonekana huyu Toto jeuri saana... waalimu ni watu wazuri... wenye kulea na kutoa Ujinga.
Hatua stahiki zichukuliwe kwa washenzi hao, wapate adabu!RSO Mbeya amethibitisha kuwa tukio ni la Mbeya Day Secondary.
MKUU wa Wilaya wanalishughulikia hivi sasa na Waziri Mkuu ametaka maelezo kwa Rc
This is purely criminal offense. Whatever the student did, the punishment is unjustified.
Kibaka afaa kufanyiwa hivyoSheria inasemaje? Come to your senses
So kama mkaidi ndo apigwe ivyo em imagine ndo angepigwa mdogo wako au mwanao anapigwa hivyo..ungeandika shombo hizo???Dogo ni mkaidi na akishazingua anaenda kutamba kwa wenzake,hii kitu ni lazima ili ajue kwamba akileta uhuni anazinguliwa kihuni.Saafi sana walimu,saaafiiiii kabisaaaaa
Kesho ni anayekuhusu, dunia haimkopeshi mtu na Mungu hamfichi mnafikiKibaka afaa kufanyiwa hivyo
Kuna vibaka wanakera hadi polisi wanatamani raia wakiwashika wapigwe hadi wafe
Wewe stupid teacher Tu.. Hayo ya kupka poda na umalaya hayakuhusu.. Kaz yako Ina mipaka.Hizo sheria mnazozisema ni zipi? Kwa upumbavu huo huo watoto wote sasa ni malaya,wabana pua ,wapaka poda na watembea uchi kama huyo alopigwa kwa kutovaa chupi.Wanafunzi jeuri lazima wale vitasa,lazima tuyamalize haya mambo maana wavulana siku hizi ni kuchekacheka na kurembua tuu kama kina Kaoge mvuto.Tuupinge ujinga,wavulana wanatembea uchi eti kata k,wasichana nao vinguo vifupi na chupi hawavai,what a hell!
Mimi japo mgeni humu sijawahi kukuona umechukuia kiasi hiki ,pole sana msamehe bure hajui alitendaloFuta usemi kahaba mkubwa wewe, mijibwa ni nani; huna akili, wewe sawa na hao waalim hapo juu wewe, mtoto wa dawa wewe.
Walimu pia ni wazazi kwa upande mwingine ila hapo nahisi kuna tatizo la zaidi ya kitaauma na huyo mwanafunzi.
Walimu bado vijana waodogo kwenye hiyo clip nahisi hawana hata uzao katika hii dunia so wanampiga huyo kijana kama wapo mtaani tu au kwenye uwanja pale shabiki wa simba alipoingia upande wa mashabiki wa Yanga.
Sheria zichukue mkondo wake kwa hawa walimu ili iwefundishio kwa walimu wengine .Adhabu kwa wanafunzi zimeainishwa kwenye vifungu vya sheria na jinsi kutoa hizo adhabu imeelezwa sasa sio kwa mtindo huu.
Hakuna sifa ya mwalimu mzuri wa kuadhibu bali mwalimu anayefaulisha vizuri kwenye taaluma yake.
Hapo sioni cha ajabu ! Ww hujiulizi kwa nn imebidi nguvu ya ziada itumike kumuadhibu kijana mmoja tu ? Acheni ushabiki usiokuwa na maana.Lazima tuwarekebishe hawa vijana wetu .Kwahiyo huyo mwanafunzi aliwakunja walimu hao wote?
Taaluma ya ualimu inasemaje ikiwa utakutana na mwanafunzi akikukunja? Inasema muitane walimu mumchangie kama hivyo? TCRA anzeni na huyu jamaa huenda ni mmoja wa hao walimu wapuuzi
Huo msongo wao wa mawazo waupeleke huko huko wizarani sio kwa watoto wetuWalimu nao wana msongo wa mawazo ndio hasira zao wanazimalizia kwa mwanafunzi.
ndio nilikuwa naanza ilikuwa la sitapole ulikua na umri gani, ulishaota tuvuzi?
Mbeya day secondaryNina namba ya Prof. Ndalichako. Ntamtumia hii clip. Anayejua ni shule gani hiyo, asaidie hapa
Huwezi kunipigia hivo mwanangu ata kama ni jeuri mkuu...ukimpasua ngoma ya sikio wewe kama mzazi utamuelewa mwalim ata kama kweli mtoto ni jeuri...mtoto jeuri niite mwenyewe mzazi shuleniNo comment, huyo dogo inaonekana aliwaletea ubabe hao walimu wake, ukiangalia vizuri mwanzoni anaonekana ameshika fimbo ya mwalimu, naona wadau mnakomenti upande mmoja tu.