Paragumu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 326
- 142
Ikaishia hivyo tuu!!?[emoji12]nilishawai kuchapwa uchi tena na waalimu wa kiume mimi na wenzangu wawili eti tulikuwa hatujavaa chupi.kwani ni lazima kuvaa chupi? wakatuvua sketi wakaanza kutuchapa
Ikaishia hivyo tuu!!?[emoji12]nilishawai kuchapwa uchi tena na waalimu wa kiume mimi na wenzangu wawili eti tulikuwa hatujavaa chupi.kwani ni lazima kuvaa chupi? wakatuvua sketi wakaanza kutuchapa
Nilisikia rais wa nchi moja kubwa duniani alipitia uhuni wote hadi kuvuta bangi...kilichomfanya aache ni kipigo toka kwa walimu wake....????[06/10, 09:43] +255 767 488 622: Nimesikia ni Mbeya Day sec iko Mbeya mjini. Inasemwa semwa sehemu nyingi
[06/10, 09:43] Richard Kasesela: Nimeongea na MZEE wangu pale mbeya day ameniambia walikuwa walimu wa field na anadai mwanafunzi n mvuta bangi lakin naomba mamlaka husika ziwafuatilie hao popote walipo kwan majina yao yapo Kwa MKUU wa shule kama kumbukumbu ya walimu waliofanya field. Copy and paste grp la Mbeya
Unataka haki? Nenda mbinguniKwahiyo huyo mwanafunzi aliwakunja walimu hao wote?
Taaluma ya ualimu inasemaje ikiwa utakutana na mwanafunzi akikukunja? Inasema muitane walimu mumchangie kama hivyo? TCRA anzeni na huyu jamaa huenda ni mmoja wa hao walimu wapuuzi
Kwaheri! Unam- condemn mtoto bila kumsikiliza, wewe bure kabisa! One of the cardinal principle of natural justice is that you should not condemn anybody unheard!Mwanafunzi wa hivyo unakuta hata wazazi wameshamshindwa.Acheni kutetea ujinga hivi walimu ni wavuta bangi wampige tuu hivi hivi,huyo kaleta nyoko na waweza kuta kanavuta bangi.Mimi nilikuwa nawatia vitasa kinomaaaa,na kuna ambao baaadae nikikutana nao wananichangamkia na kunikumbusha .Msitetee ujinga.
Absolutely right, this is simply inhuman, there are regulations for every offence done by the students,and I don't believe that these teachers ganging on a helpless student is right, whatever offence he may have committed, as you say it is unjustifiable.Something should be done to stop these atrocities.This is purely criminal offense. Whatever the student did, the punishment is unjustified.
Mfukuze shule inatosha siyo kumpiga namna hiyo.
Bora ukamuacha akaenda kufundishwa na dunia kuliko mwalimu kufanya kitendo kama hicho, mpaka hapo utakuwa siyo mwalimu timamu.
pole ulikua na umri gani, ulishaota tuvuzi?nilishawai kuchapwa uchi tena na waalimu wa kiume mimi na wenzangu wawili eti tulikuwa hatujavaa chupi.kwani ni lazima kuvaa chupi? wakatuvua sketi wakaanza kutuchapa
Acha ulofa wewe ndugu.....na wewe ni mwalimu kila.za sio? Hata kama mwanafunzi ameshika fimbo ya mwalimu unadhani ni sawa kuadhibiwa hivyo? Usiwe jinga kutetea uhalifu aliofanyiwa huyo kijana. Na ninakuhakikishia hao walimu dawa yao inachemka.....usidhani hapa JF ni kijiwe cha wajinga.....hii taarifa inafishwa panapo stahili na justice itatendeka.No comment, huyo dogo inaonekana aliwaletea ubabe hao walimu wake, ukiangalia vizuri mwanzoni anaonekana ameshika fimbo ya mwalimu, naona wadau mnakomenti upande mmoja tu.
You such a stupid damn man... Naona unacomment upuuz Tu hapa we mjinga nn... Hata angekua mkorof kiasi gani hakuna sheria inayomruhusu mwalim kufanya unyama huo. And pls shut up fuckin mouthKazi ya mwalimu ni kufundisha darasani na kufundisha adabu.Huwezi kumuacha mwanafunzi ambaye ni jeuri ni hajitambui,inatakiwa kumuelimisha na kumuadhibu pia.Huyo kwa yaliyo mpata hawezi rudia akirudia ndo anafukuzwa,ukimfukuza bila kumtia adabu atatamba anaogopwa,unamtigo pesa kwanza akiendelea na ubahau wake unamsepesha.Akienda mtaani lazima akukumbuke.