Kikarara78
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,495
- 904
Waziri wa Elimu, Tamisemi na Wadau mpo wapi ?
Ni shule gani hiyo? Mzazi wa huyo mwanafunzi akiwatokea na panga hao walimu atakuwa amekosea? Hasa yule mpigaji?
Utajiskiaje kama huyu ni mwanao na wewe ndio mzazi unakuta wanamtendea huu ukatili..!?
Wakuu katika pitapita zangu huko kwenye makundi ya WhatsApp nimekutana na video inayowaonyesha Waalimu wakimuadhibu kijana wa kiume katika njia ya kikatili sana.
Kiukweli aina hii ya adhabu si sawa ndugu waalimu kuna wazazi wengine mtaishia kugawana majengo ya serikali wewe mwalimu unaelekea hospitali na mzazi anaelekea kituo cha polisi.

wachukuliwe hatua za kisheria au mzazi wa huyo mtoto awapeleke police kwa kumkidnap na ushahidi huu tosha.
swissme