wewe hivi umesoma kilichoandikwa au umekurupuka toa usingizini..kawatwangwa wote sasa watapetea wapi au ulikuwa unamaanisha watapetea kuzimu
Hueleweki
Vijana wanapotea kwa sababu akili zao zipo kwenye mapenzi hawafikirii zaidi ya mapenzi ya siku hizi ni mapenzi ya uongo hayan ukweli kabisa watamalizika wengi kwa ujinga wao kuendekeza wivu wakupindukia kupita kiasi mapenzi gani ya kupigana risasi?
Mimi sipendi kulazimisha Mapenzi na
ninamuomba Mungu anilinde nisifike hatua kama ya huyo kijana aliye amuwa kuuwa na yeye mwenyewe kujiuwa kuna faida
gani ya kuuwa na wewe mwenyewe kujiiuwa? Kama mwanamke wako au mke wako au Mpenzi wako hakutaki muache tafuta
Mwanamke mwengine wako wengi wapenzi wa kike na wa kiume. Mpenzi wako akikuona wewe ni wa nini wengine wanasema
watakupata lini.Mapenzi ya kulazimishana mimi huwa siyapendi kabisa nikiwa na mpenzi wangu au mke wangu huwa
ninamuambia ukweli ikiwa unaona mimi sifai kuwa mpenzi wako au mume wako niambie ukweli nikuache ukatafute unaye mpenda. Bora kutokuwa na mpenzi kuliko kuwa na mpenzi mwenye mauzi.
Gold is no longer digwable...!
Kiukweli na sisi wanaume tumezidi kuwekeza nguvu na pesa nyingi sana kwa mwanamke ambaye ni mchumba tu na pengine kidume una mke halali alafu unatumia pesa kibao kisa nyapu za nje ukigeukwa unapagawa hasa mapesa uliyotupa.
wewe hivi umesoma kilichoandikwa au umekurupuka toa usingizini..kawatwangwa wote sasa watapetea wapi au ulikuwa unamaanisha watapetea kuzimu
Akiamua kuchomoa wakati kuna ndoa inakua mbaya zaidi.
Hii mambo ya kutumia hisia za watu kwa manufaa binafsi kisha kuja kukataa ina madhara yasiyopimika.
Very well said RR,yaani King'asti maumivu ya hii kitu ni mabya kuliko unvyofikiria ukishaoa,kumbuka umeshagharamia yote hayo,mmeshazaa watoto halafu mtu anakuja kuleta kashfa na dharau,mbaya zaidi ukute kapata kazi inayomlipa vizuri kukupita wewe,mbona utajuta kuzaliwa,jamaa yangu mmoja aliambiwa,'kwani nilikutuma unisomeshe'!Akiamua kuchomoa wakati kuna ndoa inakua mbaya zaidi.
Hii mambo ya kutumia hisia za watu kwa manufaa binafsi kisha kuja kukataa ina madhara yasiyopimika.
Duh.......!!!Mwanamke hana Dhamana na Sisi Wanaume Tumezidi UBWEGE NAZI ( UJINGA ) acha tu Akina Dada Watutese na Watupelekeshe Watakavyo! Unaacha Kumsomesha Ndugu Yako wa Damu Unahangaika Kumgharamikia Demu TENA WENGINE HUWA MNANIBOA KWELI KWANI UTAKUTA DEMU HAKUTAKI LAKINI WEWE UNAKOMAA TU. Acha MTESWE TU MALOFA WAKUBWA NYIE! Mimi Niliacha KUPENDA RASMI MWAKA 2010 na Sasa UKINIONA na DEMU UJUE NAMDANGANYA TU NA NAKWENDA KUMBATUA KISHA NAHAMISHA KAMBI. Mwanamke hata Umpe Nini na Hata UMSUGUE VIPI bado tu ATAGONGWA NJE na MASELA na KIBAYA ZAIDI MASELA WA SIKU HIZI WANAJUA KWELI KUSIMAMIA SHOW ( KUGEGEDA ) na Wengi Wao WANAGONGA * 148 * 01# OK ( KINYELEO ). Ukiwa Masikini UNAKANYAGIWA, UKIWA TAJIRI NAPO PIA UNAKANYAGIWA Hivi Nyie Dada Zangu NANI KAWAROGA? Cha Msingi Sasa ni Kuishi Kama MAFIA tu UNATAFUTA DEMU na UNAMSETI AKUZALIE MWANA, AMLEE KISHA AKIKUA TU MKUBWA MAMA ANASEPA kwa Kumpa Hata MTAJI Kisha Wewe Unaishi tu na Mwanao. DADA ZANGU MNATIA SANA HASIRA NDIYO MAANA NASI MIDUME SASA TUNAISHI KIMAGUMASHI na KIMINYATO. Badilikeni Jamani MNATUUMIZA........................................................:smile-big:
Kuna bint alinambia kama unataka kuwa na mimi,nipangie chuma na uwe unanihudumia as Mchumba kwa mahitaj yote muhimu,na hapo ndipo nilipoamua hata kuifuta namba yake,
kirahirahisi tu hivi nikupangie chumba n then.....
kuna bint alinambia kama unataka kuwa na mimi,nipangie chuma na uwe unanihudumia as mchumba kwa mahitaj yote muhimu,na hapo ndipo nilipoamua hata kuifuta namba yake,
kirahirahisi tu hivi nikupangie chumba n then.....