Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,789
- 4,820
Vijana wanapotea kwa sababu akili zao zipo kwenye mapenzi hawafikirii zaidi ya mapenzi ya siku hizi ni mapenzi ya uongo hayan ukweli kabisa watamalizika wengi kwa ujinga wao kuendekeza wivu wakupindukia kupita kiasi mapenzi gani ya kupigana risasi?
Mimi sipendi kulazimisha Mapenzi na
ninamuomba Mungu anilinde nisifike hatua kama ya huyo kijana aliye amuwa kuuwa na yeye mwenyewe kujiuwa kuna faida
gani ya kuuwa na wewe mwenyewe kujiiuwa? Kama mwanamke wako au mke wako au Mpenzi wako hakutaki muache tafuta
Mwanamke mwengine wako wengi wapenzi wa kike na wa kiume. Mpenzi wako akikuona wewe ni wa nini wengine wanasema
watakupata lini.Mapenzi ya kulazimishana mimi huwa siyapendi kabisa nikiwa na mpenzi wangu au mke wangu huwa
ninamuambia ukweli ikiwa unaona mimi sifai kuwa mpenzi wako au mume wako niambie ukweli nikuache ukatafute unaye mpenda. Bora kutokuwa na mpenzi kuliko kuwa na mpenzi mwenye mauzi.
powerful word mzizi mkavu,dah but this things hurt alot aisee.