Mauaji ya watu 3 Ilala - Dar

Mauaji ya watu 3 Ilala - Dar

Hata mimi nimefanya utafiti zaid na kugundua kuwa kumbe jamaa aitwaye Francis aliyepigwa risasi baadaye alikufa. lkn pia kumbe siyo aliyeingilia penzi la Munisi bali jamaa mwingine ambaye labda atafahamika baadaye, huyu mkenya alikuwa "at the wrong place at the wrong time". Kitu kinachonishangaza ni kuwa huyo msababisha maafa siyo mzuri ki-hivyo maana naona wa kawaida sana na umri umeenda. Sasa huyu kijana - Munisi kama angekuja kwangu nikamchongea "Salary slip ya like Tsh 2M take home" mbona angepata binti wa hali ya juu tu hapa mjini kuwa mbadala wa huyo Christina?

Nina picha zake ktk angle tofauti lkn kwa ajili ya privacy yake huyo binti sitaziweka ingawa zimenisaidia ku-conclude with 97% confidence interval kuwa binti hana uzuri wa kusababisha maafa haya, Labda kama kuna kitu kingine. pia ktk utafiti wangu nimegundua kuwa wote Xtina na marehemu Alpha walikuwa wana JF

kwa hiyo tuna msiba!
 
mahakama zingine za kipuuzi na za kichwa cha kuku,nikuulize wewe umewahi kuumizwa mara ngapi na watu ambao umewategemea?Je ungekuwa na mahakama ya kichwa cha mbuzi kama hiyo ungekuwepo hadi leo?

Well said
 
VIJANA MSIKURUPUKE,wanawake ni more than dangerous,ukiona mrembo,---- nene,slim beautiful mnapagawa,ohoo mtakwisha wote nyambafuuu..!
 
Hii ni shule bora ingawa itachukua muda lakini tunaitaji kuona damu kadhaa zkimwagika haswa kwa wale wanaokimbilia wake za watu sina zaidi ya kusema rip mchaga
 
Hii ni shule bora ingawa itachukua muda lakini tunaitaji kuona damu kadhaa zkimwagika haswa kwa wale wanaokimbilia wake za watu sina zaidi ya kusema rip mchaga

We unasema unahitaji kuona damu zaidi inamwagika sio!?
Sasa mi ntakufanyia wepesi hapa! We toa address yako tu wazee waliolaaniwa waje wakate hizo korodani zako! Utaona hizo damu alright! !
Mnfnssssssss! Huna adabu wala usiejua vibaya wewe!
 
Hata mimi nimefanya utafiti zaid na kugundua kuwa kumbe jamaa aitwaye Francis aliyepigwa risasi baadaye alikufa. lkn pia kumbe siyo aliyeingilia penzi la Munisi bali jamaa mwingine ambaye labda atafahamika baadaye, huyu mkenya alikuwa "at the wrong place at the wrong time". Kitu kinachonishangaza ni kuwa huyo msababisha maafa siyo mzuri ki-hivyo maana naona wa kawaida sana na umri umeenda. Sasa huyu kijana - Munisi kama angekuja kwangu nikamchongea "Salary slip ya like Tsh 2M take home" mbona angepata binti wa hali ya juu tu hapa mjini kuwa mbadala wa huyo Christina?

Nina picha zake ktk angle tofauti lkn kwa ajili ya privacy yake huyo binti sitaziweka ingawa zimenisaidia ku-conclude with 97% confidence interval kuwa binti hana uzuri wa kusababisha maafa haya, Labda kama kuna kitu kingine. pia ktk utafiti wangu nimegundua kuwa wote Xtina na marehemu Alpha walikuwa wana JF
ID zao unazijua?
 
Uko sahihi,kuua sio suluhisho la maana. Sasa ame-save nini! Ameiacha dunia kabla ya muda wake I can say so! Kokutona ndio tatizo la vijana wa siku hizi, huko vyuoni wengine wanashindwa kusoma kwa sababu ya wasichana na wana-disco!

Hujambo lakni!

Dunia hii usipomshirikisha Mungu katika matatizo yako na kuamua kubeba mizigo mizito mwenyewe ndo haya yanatokea.

Ni kweli vijana siku hizi wamefanya mapenzi kama ndo dira ya maisha yao, wakasahau kuwa yalikuwepo na yatakuwepo tu, na kwamba kuna vitu muhimu zaidi ya mapenzi vya kufanya kwa ajili ya maisha yao ya baadae.

Pia hatuna hofu ya Mungu siku hizi.

Sijambo mdugu yangu, wewe mzima?

Luno umenichekesha sana
sista hizi mambo huwa zinauma sana ndiomaana niliapa sitakuja kuwekeza kwa mchumba kwa kiwango hiki cha kumsomesha au kumfanyia mambo makubwa kwa minadi ya kuja kuoana
 
Uzinzi uzinzi tuuuu......tamaa huzaa dhambi,dhambi ikikomaa huzaa mauti......nashauri watu wasikae katika uchumba sugu kwa muda mrefu......its better mfunge ndoa na Mungu atawasaidia kuiepuka roho ya mauaji!!period
 
Dunia hii usipomshirikisha Mungu katika matatizo yako na kuamua kubeba mizigo mizito mwenyewe ndo haya yanatokea.

Ni kweli vijana siku hizi wamefanya mapenzi kama ndo dira ya maisha yao, wakasahau kuwa yalikuwepo na yatakuwepo tu, na kwamba kuna vitu muhimu zaidi ya mapenzi vya kufanya kwa ajili ya maisha yao ya baadae.

Pia hatuna hofu ya Mungu siku hizi.

Sijambo mdugu yangu, wewe mzima?

Nice to hear from you. habari za hapo. Tumshirikishe Mungu katika kila jambo tunalolipanga na kulifanya. Tutaona heri zaidi. have a nice day.
 
hii inanikumbusha jamaa flani aitwae robinson mchau ni mchungaji pia mwalim wa chuo cha tumaini smmuco moshi anagonga vibinti balaa alafu akihisi anaibiwa anapiga vibinti na kucjhakaza mali ndani ya nyumba. jamaa ana mke wake lakini anamiliki vibinti kadhaa pia. ivi karibuni alidunda binti mmoja arusha nusura amuue alafu akamyanganya mtoto mdogo na kwenda kumficha
 
Back
Top Bottom