Mauaji ya watu 3 Ilala - Dar

Mauaji ya watu 3 Ilala - Dar

mzizi mkavu,vijana wetu wanapotea,sina hata cha kukomenti,n'way,am not online
Vijana wanapotea kwa sababu akili zao zipo kwenye mapenzi hawafikirii zaidi ya mapenzi ya siku hizi ni mapenzi ya uongo hayan ukweli kabisa watamalizika wengi kwa ujinga wao kuendekeza wivu wakupindukia kupita kiasi mapenzi gani ya kupigana risasi?

Sawa tu,bado wewe uliyekuwa unaishi ulaya sasa ulikuja na kodi za kuchanga!!me jamaa namfeel sana mtu mpaka ujitoe sio mchezo mtu anakuwa kakuchafua mbaya,
Mimi sipendi kulazimisha Mapenzi na

ninamuomba Mungu anilinde nisifike hatua kama ya huyo kijana aliye amuwa kuuwa na yeye mwenyewe kujiuwa kuna faida

gani ya kuuwa na wewe mwenyewe kujiiuwa? Kama mwanamke wako au mke wako au Mpenzi wako hakutaki muache tafuta

Mwanamke mwengine wako wengi wapenzi wa kike na wa kiume. Mpenzi wako akikuona wewe ni wa nini wengine wanasema

watakupata lini.Mapenzi ya kulazimishana mimi huwa siyapendi kabisa nikiwa na mpenzi wangu au mke wangu huwa

ninamuambia ukweli ikiwa unaona mimi sifai kuwa mpenzi wako au mume wako niambie ukweli nikuache ukatafute unaye mpenda. Bora kutokuwa na mpenzi kuliko kuwa na mpenzi mwenye mauzi.
 
Vijana wanapotea kwa sababu akili zao zipo kwenye mapenzi hawafikirii zaidi ya mapenzi ya siku hizi ni mapenzi ya uongo hayan ukweli kabisa watamalizika wengi kwa ujinga wao kuendekeza wivu wakupindukia kupita kiasi mapenzi gani ya kupigana risasi?

Mimi sipendi kulazimisha Mapenzi na

ninamuomba Mungu anilinde nisifike hatua kama ya huyo kijana aliye amuwa kuuwa na yeye mwenyewe kujiuwa kuna faida

gani ya kuuwa na wewe mwenyewe kujiiuwa? Kama mwanamke wako au mke wako au Mpenzi wako hakutaki muache tafuta

Mwanamke mwengine wako wengi wapenzi wa kike na wa kiume. Mpenzi wako akikuona wewe ni wa nini wengine wanasema

watakupata lini.Mapenzi ya kulazimishana mimi huwa siyapendi kabisa nikiwa na mpenzi wangu au mke wangu huwa

ninamuambia ukweli ikiwa unaona mimi sifai kuwa mpenzi wako au mume wako niambie ukweli nikuache ukatafute unaye mpenda. Bora kutokuwa na mpenzi kuliko kuwa na mpenzi mwenye mauzi.
Nakubali unachosema,ila kaka unapenda mtu akudharau na umemsomesha?isome story vizuri tu halafu ufikirie kama wewe,na kaka unakuwa umejinyima kipindi chote.hebu ifikirie kaka unipe jibu
 
ni kweli kumsomesha mwanamke ni issue, dodgo gharama zote huko Uturuki halafu anambulia matusi toka kwa mwanamke? afadhali nioe golkipa, yaani full time wife! mambo ya kusomesha wanawake ni mauti tu......
 
Nakubali unachosema,ila kaka unapenda mtu akudharau na umemsomesha?isome story vizuri tu halafu ufikirie kama wewe,na kaka unakuwa umejinyima kipindi chote.hebu ifikirie kaka unipe jibu

kwa comment yako. basi tatizo sio wivu wala mapenzi, ni Dharau/dhurma au whatever you may call it mradi isiwe mapenzi...
 
duh! mwanangu GENTAMYCINE umesemaukweli mtupu. hata mke siwezi kumsomesha, atauza duka au atasugua cherehani. sitaki stress za kusomesha manyang'au afadhali hizo hela nimpeleke mdogo wangu Ulya akale kuku na kurudi. Nyoko senu nyinyi wanawake, wanafki wakubwa. Hata kwenye BIBILIA MLIDANGANYWA NA NYOKA MKANOGEWA! SASA IVI NI BASTOLA TU HADI MSHIKE ADABU. TUNAWATWANGA MAMA ZENU NDO HAO WANAWAFUNDISHA KUGAWA PENZI NJE NA NYINYI ZA MIGUU ILI MAKI MNASHUHUDIA! BADO KABISA!!!! AKINA MANGI SIYO WATU WA KUTANIWA HELA ZINATAFUTWA KWA GHARAMA. KWETU HATUNA NAZI NYA NYUMBA ZA UKOO......
 
Kweli kabisa mkuu Ncholas! Kupenda sana napo mara nyingi kunamfanya mtu awe kama ZUZU, haoni wala hasikii la kuambiwa!

Ila tusiwanyoshee mademu tu kidole katika hili, maana.......kuna wanaume wengine huvumiliwa sana na mademu wakati wakiwa na hali mbaya kiuchumi, ili tukizipata tu ankara....tunawatosa, kisha tunatufata wengine wakutumia nao!

Na hiyo ni issue ingine.Wanaume wengi hulazimisha mapenzi kwa wasichana na wepesi sana kutake advantage ya mazingira magumu yao na si waangalifu sana kujipima kila mara km kweli mademu zao wanaridhika na kuwa huru na walioridhika lifestyle zao, mawasiliano nao wakiwa ktk private na public scenes.Hii huwafanya siku zote kutokuwa ktk mioyo ya wanawake.Nimeona sana jamaa wengi wamekuwa persistent hadi kupata kipindi demu kaachika alipokuw aakipenda na hivyo kuwa na huzuni kiasi cha kukubali yeyote wa kumtuliza.Hawa jamaa huwa shower kwa kila kitu ,kwa kiasi cha kufanya demu aone ugumu wa kumpa jibu kavu kuwa hampeni kwa jinsi anaovyoona anavyodaiwa vitu vingi.Ila ipo siku wanachoka na kuachana.

Kwa Observation yangu, wanaume wengi walisomesha wanawake kabla la kuwaoa huishia kutowaoa, na waliowasomesha wakiwa wamewaoa ila nje na kuishi mazingira ya vyuo,kuna wanaovunja ndoa,kuna wanaokuwa na mahusiano mengine kwa kiasi cha kuchafua mahusiano, na kuna wachache sana hubaki ktk ndoa, wengine kwa shingo upande,wengine bora liende hadi mambo mengine yaamshe mapenzi upya.

Wanaume pia wakipata hela ndipo huwa wanakumbuka mademu waote waliowatoa wakiwa hawana hela,wakidhani watawanunua..Kumbe ndivyo wanavyozidi kuwa watumwa tena kwani wao ndio watafanya kila kitu ili kuwapata na kuwaboa.Kipindi hicho huwaona wake,mademu zao kuwa ni washamba na wasiojua tumia,hivyo kutafuta machine za kutumia vizuri.
 
kwa comment yako. basi tatizo sio wivu wala mapenzi, ni Dharau/dhurma au whatever you may call it mradi isiwe mapenzi...
Ok naona umenisoma vizuri hapo kaka,mapenzi wengine wengi tu wapo si ukitoka nje tu hapo tunawaona,sasa ile kitu inaitwa dharau hapo kwa kweli,nitakunyuka risasi msee,kaka yalishanikuta kaka acha,mtu analeta na dharau,weee hiyo mpaka kesho nilimuapia...
 
Tunaishi kwenye generation yenye changamoto nyingi sana. Hizi pistol ni afadhali kuziuza tu na kubaki na shotgun huwezi kutembea nayo.
 
ni kweli kumsomesha mwanamke ni issue, dodgo gharama zote huko Uturuki halafu anambulia matusi toka kwa mwanamke? afadhali nioe golkipa, yaani full time wife! mambo ya kusomesha wanawake ni mauti tu......[jb/QUOTE]

Sawa kabisa, lakini sio kuuwa, haisaidii lolote. mi naona hiyo ni tatizo la kutojiamini tu. mwanaume wa ukweli ujiue kisa demu, and then? haya ona sasa, demu kabaki soon atasahau na maisha yataendelea.

poleni wanaume wenzangu mnaojiua kwa ajili ya mapenzi.

hebu niulize, hivi hao mnaowaonea wivu sana ndo huwa wapenzi wenu wa kwanza? au ni nini huwafanya mdhani bila wao hakuna maisha?
 
Haya matukio yote ukiyachunguza kwa umakini yanasababishwa na mabinti wasichana wa sikuhizi wanajua Sana kula pesa za watu na kutokomea ukiangalia Lile tukio la Ufoo Saro na hili ni Kama yanafanana!! Hapo ukute jamaa lilikua linagharamia Sana maana siku Hizi watu wanasomeshwa kuanzia high school hadi university na baadae wanatoswa msichana anaolewa na mtu mwingine sasa hio ikimtokea mtu mwenye kua tayari kwa lolote basi anawamaliza wote! Wasichana ukiona umekula pesa ya mtu ushauri wangu tulia nae tu!!
 
ni bora mwanamke acheat kuliko kufanya aliyofanya huyo dada ikiwa ni kweli alisomeshwa... na kurudi na kuanza dharau kwa aliyemtoa
 
Nakubali unachosema,ila kaka unapenda mtu akudharau na umemsomesha?isome story vizuri tu halafu ufikirie kama wewe,na kaka unakuwa umejinyima kipindi chote.hebu ifikirie kaka unipe jibu
Sipendi mpenzi

wangu anidharauna wala sitochukuwa hatuwa za kipumbavu eti kumuuwa mpenzi wangu na yule niliyemkamta na mpenzi

wangu. Mimi huwa ninamuambia kabisa mpenzi wangu au mke wangu kama amekwisha choka kuishi na mimi bora aniambie

kila mtu aangalie maisha yake. Sio tena mambo ya dharau mimi sitopenda kumuonyesha mpenzi wangu dharau wala sitopenda

yeye pia kunionyesha mimi mambo ya dharau. Mapenzi ni kusikilizana na kuelewana sio mambo ya mapenzi kuvutana kwa nguvu

kitu muhimu kwenye mapenzi ni uaminifu . Kama Hakuna Uaminifu hakuna hapo Mapenzi.
 
Inasikitisha sana, kijana alikua na maisha yake, lakini pride yake ilioverrun his brains na akwa destructive

kuna shule kwenye hili tukio... tusipende na kuamini kwa asilimia 100, na kwa akina dada, tusionyeshe super promises if we dont trust that we can handle it

Kijana alizidiwa na msongo, na bahati mbaya sana hakua na washauri au watu wa karibu waliomsaidia kuondoa hii issue kichwani
 
Afadhali mchumba wa muuaji kabaki ili aeleze jamii na akikumbuka yy ni sababu wengine kupoteza uhai ajute siku zote
 
Yupo mshikaji wangu mmoja naye anamgharamia demu wake tokea certificate,diploma na sasa yuko Advance diploma,mwanzoni aliniomba ushauri nikampa mifano hai mitatu ya watu waliosomesha wapenzi wao na mwishoni waliishia kukashifiwa na mahusiano kuvunjika,lakini nahisi jamaa kakolea, namuombea yasije mkuta hayo!
 
Sipendi mpenzi

wangu anidharauna wala sitochukuwa hatuwa za kipumbavu eti kumuuwa mpenzi wangu na yule niliyemkamta na mpenzi

wangu. Mimi huwa ninamuambia kabisa mpenzi wangu au mke wangu kama amekwisha choka kuishi na mimi bora aniambie

kila mtu aangalie maisha yake. Sio tena mambo ya dharau mimi sitopenda kumuonyesha mpenzi wangu dharau wala sitopenda

yeye pia kunionyesha mimi mambo ya dharau. Mapenzi ni kusikilizana na kuelewana sio mambo ya mapenzi kuvutana kwa nguvu

kitu muhimu kwenye mapenzi ni uaminifu . Kama Hakuna Uaminifu hakuna hapo Mapenzi.
Sawa kaka nakubaliana na wewe yote umeambiwa alikuwa anasomesha mtoto Uturuki sio pesa ya madafu hiyo kaka ni dollars,halafu anarudi analeta dharau,wallah labda binadamu tuko tofauti sijui,ila mimi kama simtandiki risasi angepata majibu mengine tu.
 
Back
Top Bottom