Mauaji ya watu 3 Ilala - Dar

Mauaji ya watu 3 Ilala - Dar

Hiyo ya Ilala Boma labda ni nyingine ila hii ya saubuhi ya leo kwenye saa moja unusu hivi imetokea karibu na klabu ya wazee, eneo kati ya Amana na Bungoni, na sidhani kama kuna benki ya CRDB hapo.

kwani Amana na Bungoni si ziko Ilala au?
 
I can't believe it...So sad, rest in peace my Friend Alfa, and poleni sana Tina, Nyokasi na mama
 
Picha kama la Ufoo Saro vile!

Kijana kwa jina la Gabriel Munisi (27) (mtoto wa kanali mstaafu) ambapo katika sakata hili yeye ndiyo muuwaji! Taarifa ni kwamba, huyu kijana alikuwa akimsomesha dem wake huko Turkey....."makubaliano yao yalikuwa...kwakuwa mimi sikusoma, bora wewe nikusomeshe ili kwa pamoja tukishaoana, tuje kulea watoto.....Gebo akimwambia mchumba wake"!

Baada ya kumaliza kusoma huko uturuki, na kisha kurudi TZ ....demu akaanza kumchenjia mshikaji na kuwa hamataki tena....eti kisa amepata mchumba mwingine..(mzava)....! Wambea wanasema, j3 dem alimpita jamaa gebo kama hamjui vile, achilia mbali matusi na maneno ya kashfa ya dem kwa mshikaji (muuaji) siku za hivi usoni via simu!

Jamaa, ishu zake ni kuchuka ndinga Dar na kwenda kuziuza mkoa fulani kanda ya ziwa, nadhani alipata tetesi kuwa demu wake anasepa leo to USA bila hata kumuaga...sasa sijui ndiyo na huyo mzva sielewi.....na alikuwa anasindikizwa [sijui] hapo siwezi pasemea! Nafikiri kwa hali hii, mshikaji Gebo akaamua afanye MAGAZIJUTO tunayo yasikitikia sasa!

huu utakuwa ni UONGO sababu ata safari yenyewe ilikuwa CYPRUS siyo USA kaka wa marehemu ndio kasema.
 
Sasa jamaa kafaidika nini maana na yeye kajitoa uhai huku demu wake na mume mwenzake wanapeta,sasa bwana Mzava atajilia vyake kwa ulaiiiini bila hofu ya Bastola..,lkn mademu nyie mnakera hadi basi..,kalale panapokustahili Kamanda
 
daah.. Nilihisi kama naota... Nilisikia milio mie nkaendeleza usingizi... Duuuh.. Ntajalipuliwa nikiwa ndani... Hii naomba kuwaomba wadau.. Tafadhali.. Tena nawaombeni teeena... Mkiwa na mikasa... Weka hasira pembeni.. Ukiwa huna wa kuongea naye... Am a doc..and i can be of help.. Ingia humu.. Ni-tumie text... I will consult u... And if possible will reffer u to a specialist(psychologist)... For therapy... Hakuna ugonjwa mbaya kama emotional breakdown... Usimnyooshee mtu kidole kama halijawahi kukufika...
 
When I think of such things, I worry a lot, about the woman I will marry tomorrow. So saddening,
 
Sasa jamaa kafaidika nini maana na yeye kajitoa uhai huku demu wake na mume mwenzake wanapeta,sasa bwana Mzava atajilia vyake kwa ulaiiiini bila hofu ya Bastola..,lkn mademu nyie mnakera hadi basi..,kalale panapokustahili Kamanda
wewe hivi umesoma kilichoandikwa au umekurupuka toa usingizini..kawatwangwa wote sasa watapetea wapi au ulikuwa unamaanisha watapetea kuzimu
 
kusomesha mwanamke noma labda we mkeo na hata akiwa mkeo vyuoni huko sio salama
 
Kapuya naye atajiua

Keep watching..kwa jinsi alivyo traumatized huku watu kibao wakimpotezea ili wasubiri majibu ya juu.Anaweza jiona yupo mwenyewe mapema sana.

Natamani serikli imtumie akajilipue na Kagame ,avalishwe kikombora akafe nae km alivyamua jilipua na huyo binti.Anaweza kuwa terrorist mzuri kuliko wa Pakistan.
 
Picha kama la Ufoo Saro vile!

Kijana kwa jina la Gabriel Munisi (27) (mtoto wa kanali mstaafu) ambapo katika sakata hili yeye ndiyo muuwaji! Taarifa ni kwamba, huyu kijana alikuwa akimsomesha dem wake huko Turkey....."makubaliano yao yalikuwa...kwakuwa mimi sikusoma, bora wewe nikusomeshe ili kwa pamoja tukishaoana, tuje kulea watoto.....Gebo akimwambia mchumba wake"!

Baada ya kumaliza kusoma huko uturuki, na kurudi TZ ....demu akamchenjia mshikaji hamataki tena....kisa kapata mchumba mwingine..(mzava)....! Wambea wanasema, j3 dem alimpita jamaa gebo kama hamjui vile, achilia mbali matusi na maneno ya kashfa ya dem kwa mshikaji (muuaji) siku za hivi usoni!

Jamaa ishu zake ni kuchuka ndinga Dar na kwenda kuziuza mkoa fulani kanda ya ziwa, nadhani alipata tetesi kuwa demu wake anasepa leo to USA bila hata kumuaga...sasa sijui ndiyo na huyo mzva.....na alikuwa anasindikizwa [sijui] hapo siwezi pasemea! Nafikiri kwa hali hii, mshikaji Gebo akaamua afanye MAGAZIJUTO tunayo yasikitikia sasa!

Duh hii ngumu kumeza, ila bado watu hawajifunzi sana kwa wanawake na wanaume waliopo.Ni rahisi kukuambia mpe muda wa kujifikiria, kisha anakupa kuwa hakuwa kafanya maamuzi sahihi...wapo maboya wengi tuu ambao hupewa clue mapema sana kuwa mwendo wa wachumba watarajiwa unaonyesha kuwa analea mke wa mwingine.Jamaa wanajifanya kuwa wao ndio wanajua..baadae wanapewa live kuwa hawapendwi,ndipo wanageuka tena kutaka ushauri ila bado wanakuwa wanasikilizia hata kasalamu kazuri tuu km ishara ya marudiano.Bora kusaisia binti bure, na kuoa demu wa elimu isiyo mbali sana na wewe.

Wapuuzi wengi w aaina ya muhongo huwa wanawapa maneno ya kejeli sana wanawake walio na wanaume wasio na shule kubwa hata km wana mafanikio na mapenzi.mwishowe mabinti wasio na msimamo wanaingia line.
 
Kweli kabisa mkuu Ncholas! Kupenda sana napo mara nyingi kunamfanya mtu awe kama ZUZU, haoni wala hasikii la kuambiwa!

Ila tusiwanyoshee mademu tu kidole katika hili, maana.......kuna wanaume wengine huvumiliwa sana na mademu wakati wakiwa na hali mbaya kiuchumi, ili tukizipata tu ankara....tunawatosa, kisha tunatufata wengine wakutumia nao!
 
Back
Top Bottom